DHAMBI ISIYOSAMEHEKA NI IPI?(OFFICIAL VIDEO)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @DotoS12
    @DotoS12 3 місяці тому +1

    Amina kw neno zr la uzima , shkrn kw Mungu.

  • @DariahKaveri
    @DariahKaveri 7 місяців тому +2

    Mungu naomba msamaha kwa kushiriki meza ya Bwana nikiwa mwenye dhambi

  • @marthamwakatobe1596
    @marthamwakatobe1596 2 роки тому +1

    Ahsante Mungu kwa mafundisho mazuri ya kutupa ufahamu kuhusiana na kumkufuru Roho Mtakatifu. Mungu wa mbinguni mpe maisha marefu mtumishi wako huyu .

  • @SofiaMsal
    @SofiaMsal Місяць тому

    Mungu akubariki past naazidi kuku patia uzima Bure ili uzidi kutu funulia ukuu wamngu njinsi anavyo sema kupitia mandiko matakatifu amen

  • @graceharoun
    @graceharoun 6 місяців тому

    Amina barikiwa sana mtumishi nimejifunza hakika MUNGU anivushe salama pamoja na familiar yangu atusamehe kwa mengi tuliyomkosea

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 9 місяців тому +1

    Amen mungu akubarki san mtumishi

  • @francisthomas748
    @francisthomas748 Рік тому +3

    Hey pastor mafundisho Yako ni mazuri kabisa naomba siku Moja uje uko Kenya ulete hiyo mafuzo uko, Mimi ninashiriki katika kaniza la Enemasi SDA naomba ufike wakati Moja.

  • @IbrahimBeja-p5s
    @IbrahimBeja-p5s Рік тому +2

    Nimelewa mungu akubaruki mchungaji

  • @anifakipalile4338
    @anifakipalile4338 2 місяці тому

    Mungu azidi kukufunulia ili uzidi kutufundisha hata sisi tumuelewe mungu na tusamehewe madhambi yetu🙏🙏🙏

  • @deborahmfinanga3991
    @deborahmfinanga3991 2 роки тому +1

    Mchungaji mungu azidi kukubariki sana,umenifungua akili kwa kweli na mshukuru sana mungu kwa kukutumia njema,jina la bwana lipewe sifa.

  • @BethLameck-sc9py
    @BethLameck-sc9py Рік тому +2

    Mungu akubariki baba hakika Mungu anakutumia

  • @faithndeva8658
    @faithndeva8658 4 роки тому +2

    Amen pastor nimejifunza mengi may God bless you

  • @JaluoOdera
    @JaluoOdera 4 місяці тому

    Pasta kweli nimekuelewa sana mungu akubariki

  • @nintunzeleonel8062
    @nintunzeleonel8062 5 років тому +8

    Ubarikiwe sana mchungaji kwa kuweka ukweli wazi hakika wengi tulikuwa tunatenda mabaya bila kujielewa.Varikiwa sana.

  • @sabathdaychannel2985
    @sabathdaychannel2985 3 роки тому +1

    Nimebarikiwa pastor kwa huduma yako Mwenyezi Mungu akutangulie kwa utumishi wako

  • @patiencehumbled3519
    @patiencehumbled3519 2 роки тому +3

    Amen,nilikuwa natafuta injili ya ukweli,mtumishi ubarikiwe maana nimeipata kwako kupitia mtumishi wa Bwana mwinjilisti Paschal Cassian

  • @kazidotto8675
    @kazidotto8675 Рік тому +2

    MUNGU Wangu nisamehe zambi zangu mm pamoja na familiya yangu maana nimetenda zambi nyigi zigine bila kujuwa nakuja kwako unisamehe kupitia mtumishi wako

  • @patriciakhakali4200
    @patriciakhakali4200 3 роки тому +6

    My friend and sister in Christ shared with me one of your sermons a few days ago,I have been listening to your sermons, and they have been a blessing, I feel so much at peace .

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 роки тому +1

    Ameen barikiwa Mtumishi wa Mungu 🙏

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 5 років тому +2

    Haki nimejifunza mambo makubwa mno mtumishi. Haki mungu akubariki sana

  • @Celestineshikuku-i4x
    @Celestineshikuku-i4x 2 роки тому +1

    Doreen Edasi from saudi arabia, l lov the preaching man of God 💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @annesilengo2717
    @annesilengo2717 4 роки тому +2

    Bwana Yesu asifiwe kwa ajili yako wewe mtu wa Mungu hakika nimejifunza pa kubwa sana juu ya dhambi isiyosamehewa. Mungu apanue mipaka ya maisha yako man of God. Anne from Kenya

  • @fridafrancis1960
    @fridafrancis1960 2 роки тому +2

    Sioshwi dhambi zangu ila kwa DAMU YA KRISTO TU ameen

  • @lydiahnyaboke1995
    @lydiahnyaboke1995 3 роки тому +4

    I have been following on your teachings moreso on prophecy and I must say you simplify things for me for easy understanding,I am enjoying prophecy so much.Be blessed and may God fill you with more knowledge and wisdom.

  • @maalady4631
    @maalady4631 3 роки тому +5

    The best teacher of the word of God ...be blessed MoG

  • @shimwekagwiza3731
    @shimwekagwiza3731 5 років тому +4

    Asante pastor, nakupenda Sana maana unanifumbua macho kila nisikilizapo mafundisho yako

  • @betronsokanya9071
    @betronsokanya9071 4 роки тому +1

    Nimebarikiwa sana...namshukuru Bwana Yesu Kristo kwa kuniokoa,na pia nakushukuru wewe mchungaji kwa kukubali kufikisha ujumbe wa Yesu mwenyewe.amina

  • @asharamadhan8806
    @asharamadhan8806 5 років тому +4

    Amina pastor Mungu akubariki nmeelewa kuhusu meza ya Bwana naomba Roho Mtakatifu aniongoze katika maisha yangu yote maana bila Yeye Mimi siwezi nakushukuru sana Mchungaji kwa Neno Lenye nguvu ndani ya Moyo wangu Mungu unaemtumikia akupe afia NJEMA pamoja na familiya Amina

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis Рік тому

    Past hongera sana kwa somo

  • @nelsonamani9489
    @nelsonamani9489 10 місяців тому

    Pastor nashukuru sana Kwa mahubiri yako, Mungu akubariki

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 5 років тому +6

    Sinanjambo yakusema nawomba Mungu anisamehe pastor Mungu akumbaliki sinjuwe kitu cyakusema Mungu nisamehe

  • @elijanzioka9639
    @elijanzioka9639 10 місяців тому

    I thank God for giving me good news ,be blessed pastor

  • @judithpius9687
    @judithpius9687 5 років тому +5

    Hubiri zuri sana, ni muhimu Kujua Dhabi isiyosameheka. Mungu akubariki pr unapotusaidia kuyajua maandiko.

  • @amonidafa9665
    @amonidafa9665 4 роки тому +1

    Hili somo sikuwai kulielewa...Asante Yesu kwamba leo nimeelewa...The victory belongs to Jesus our savior

  • @dorothyokeyo5454
    @dorothyokeyo5454 4 роки тому +1

    Very touching I don't know the truth about dhambi ya zisizo samehewa .I like your preaching zina nisonga karibu na Yesu

  • @cutestpuppies6632
    @cutestpuppies6632 5 років тому +6

    Nimebarikiwa tena na mahubiri yako pastor, Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

  • @marymichael8197
    @marymichael8197 5 років тому +2

    Mungu azidi kukutumia kwa kazi njema. Nimebarikiwa na fundisho!

  • @mariampeace6737
    @mariampeace6737 11 місяців тому

    Huu Ni wa kweli kabisa MUNGU WA MBINGUNI Ampe Maisha marefu matakatifu

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 4 роки тому +1

    Eh mungu atusamahee na atuepushe na midogo yetu mungu wangu Nimeogopa sana

  • @dottocharles7809
    @dottocharles7809 5 років тому +1

    Pastor nimefarijika sana kwa hubiri hili Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kuifunua kweli ya Mungu kwa watu wake nipo Mwanza Kirumba S.D.A nafurahi sana mahubiri yako

  • @romanmaroa3389
    @romanmaroa3389 3 роки тому +1

    Man of GOD, I am much bless and I love your preaching and teaching, God bless you. I am from kenya

  • @mundesmokesen9314
    @mundesmokesen9314 2 роки тому

    Asante Sana mchungaji umenitoa sehemu moja kwenda pengine ubarikiwe

  • @benardakyoo7475
    @benardakyoo7475 5 років тому +1

    God bless you pastor nimejua kwel na itaniweka huru kwa Jina la Yesu kristo

  • @maryaoko5027
    @maryaoko5027 2 роки тому

    Mtumishi.....niko na swali....sasa ukila na ndio lkwa umempokea Yesu na hamkua na mafunzo alafu ukashirikishwa

  • @christinajmnkenyi724
    @christinajmnkenyi724 4 роки тому +1

    Pastor Mmbaga namshukuru Mungu kwa kukutumia ww kama chombo kunena nasi,naamini kwa Jina la YESU KRISTO ,hubiri hili litaniokoa na ugonjwa ulioko ndani yangu.

  • @kinggwalu114
    @kinggwalu114 2 роки тому

    Ahsante sana baba nabarikiwa kwer

  • @mahindiumakinisa4732
    @mahindiumakinisa4732 Рік тому

    Ahsante kwa hili somo

  • @emmamedia8155
    @emmamedia8155 3 роки тому

    Yaaaaani huyu mchungaji Basi tu Yuko poa Sana Hadi cyo poa!!!!

  • @rehemanashon3739
    @rehemanashon3739 Рік тому +3

    Barikiwa sana Pastor

  • @boyhd2480
    @boyhd2480 3 роки тому

    Barikiwa mchungaji

  • @heritierba9868
    @heritierba9868 2 роки тому

    Fundisho nzuri tena

  • @paulraymond68
    @paulraymond68 4 роки тому

    Hakika nimekuelewa be Blessed Pastor Mbaga na Mungu azid kukutunza

  • @MaombiJofre-k8m
    @MaombiJofre-k8m Рік тому

    AMEN Barikiwa

  • @mercynyanchoka6283
    @mercynyanchoka6283 3 роки тому

    Amen, hua nafuatilia kutoka hapa saudia, barikiwa sana

  • @happymbilinyi7564
    @happymbilinyi7564 5 років тому

    Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa sana n.a. Huduma yako Mungu azidi kukutunza tupate mengi zaidi

  • @jackmollel3942
    @jackmollel3942 3 роки тому

    Napenda sana haya mahubiri

  • @marthajames7492
    @marthajames7492 4 роки тому

    Bwana akubariki mchungaji uzidi kutumika shambani mwake

  • @RajabuHidaya
    @RajabuHidaya Рік тому +3

    Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi huyu.

  • @gloriatoo22
    @gloriatoo22 3 роки тому +1

    Kenyan 👀 I love your teachings..be blessed too

  • @MaryWilson-vg2mm
    @MaryWilson-vg2mm 4 роки тому

    Nabarikiwa sana napenda mafundisho kwakweli.

  • @chibugamedia7313
    @chibugamedia7313 4 роки тому +1

    Barikiwa sana

  • @kissanselu8569
    @kissanselu8569 2 роки тому

    Yaani ubalikiwe mtumishi

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 5 років тому +1

    Mungu azidi kukutumia kwa kazi yake Pr,songa mbelee

  • @estermsigwa1476
    @estermsigwa1476 2 роки тому

    Amen nimepata kitu

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 5 років тому +1

    Kweli shetani ananitatiza na. Usingizi, ila nguvu ya Roho mtakatifu ananiongoza, soma zuri, be bless pastor from qatar

    • @damah8431
      @damah8431 4 роки тому

      Pia niko Qatar dadangu nipe number yako

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому +4

    Baba mchungaji, hata kama niko mbali, umenifundisha kitu ambacho sijawahi kufundishwa toka kuzaliwa kwangu. Mchungaji, ahsante sana, hakika nakupenda sana. Ww ni nuru ya hiyo ulimwengu wote. Mchungaji ameeeeennnn. Mchungaji ubarikiwe sana. Mchungaji naomba namba zako ili siku mmoja niweze kuja mpaka kanisani, au hata nikusalimie tu ktk mawasiliano ya simu.

    • @ayubuminja334
      @ayubuminja334 5 років тому

      Pia wengi tumeshirik meza ya bwana bila kupambanua na yamkin yametukuta mabaya kwa ajil ya kutokupambanua sasa tufanyeje ili tusipatwe na mabaya?
      swali la pili ikiwa tayari umesha mkufuru roho mtakatifu tufanye nini tupate kusamehewa, na hali yakua tunajua ukitubu dhambi na kujitakasa kwa damu ya yesu ndipo tunahesabiwa haki ss inakuwaje hapo?

    • @micamathew6433
      @micamathew6433 5 років тому

      @@ayubuminja334 nikwamba, umeshiriki meza ya Bwana bila ya kupambanua kwa kina, inamaana ulikuwa hujui kiundani vizuri si ndio??? Sasa hapa hutapatwa na jambo lolote baya kwasababu ulikuwa hujui. Lkn kama unafahamu vyema na ukula mwili wa Kristo isivyostahili bac unaweza patwa na matatizo. Lkn kama ulishapitia mafundisho ya kipaimara, nikwamba huruhusiwi kula meza ya Bwana bila kupata kipaimara. Yaan kama hujapata kipaimara usisogelee ktk meza ya Bwana.

    • @micamathew6433
      @micamathew6433 5 років тому +1

      @@ayubuminja334 kaka, kumkufuru roho mtakatifu ni dhambi ya milele, yaan hutasamehewa daima hata utubu, ni kwamba hutasamehewa kabisa. Kumkufuru roho mtakatifu ni mtu kumdharau Kristo Yesu, kumkana, kutokumwamini, kumtukana Mungu, yaan na mengine yote yanayofanana na hayo. Sasa mtu wa aina hii hana msamaha hata atubu vip, huyu mtu hawezi kusamehewa. Lkn kama unaonaga ktk filamu mbalimbali, utaona watu wanamkufuru roho mtakatifu. Mfano mzuri ni kupigwa chata ya alama666. Yaan ukishawekewa hii alama na ww umeridhia bac hutasamehewa hata uvue nguo mchana kweupe. Ni hivyo tu.

    • @ayubuminja334
      @ayubuminja334 5 років тому +1

      Lakini kwa hio damu ya yesu sisi tumesamehewa dhamb kwa hio damu yesu tumewekwa hur kwa hiyo damu ya yesu yote yamekwisha kwa hio damu ya yesu tumepata ondoleo la dhambi huwa wana manisha nini kama kuna dhambi isio samehewa

    • @ayubuminja334
      @ayubuminja334 5 років тому

      @@micamathew6433 ni kweli kuhusu meza ya bwana nimekuelewa vizuri .

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 5 років тому +1

    Barikiwa Sana pastor mbaga

  • @kevinigendi6080
    @kevinigendi6080 5 років тому +20

    Pastor l really love your preaching am from Kenya thank you so much

    • @amonidafa9665
      @amonidafa9665 4 роки тому

      Stay connected man of God

    • @v_simon2677
      @v_simon2677 3 роки тому +1

      Napenda sana kuskiliza mahubir Mungu aendelee kuwabarik ili muendelee kutufundisha ili tuelewe

  • @buhatwatv8106
    @buhatwatv8106 4 роки тому

    nime elewa, ubarikiwe sana MCHUNGAJI

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 4 роки тому

    Barikiwa Mch kwa somo hili.

  • @anithabuberwa2253
    @anithabuberwa2253 5 років тому +19

    Kanisa lako liko wapi mtumishi wa Mungu? Natamani ningeungana nanyi katika ibada za kila siku nimepanda sana mafundisho yako naona kuna kitu kikubwa sana ndani yako kimewekwa na aliye juu, mimi nipo Morogoro.

    • @zephaniahgiftedbygod960
      @zephaniahgiftedbygod960 5 років тому +5

      Barikiwa sana Anitha Pastor anapatikana Dodoma mjini

    • @dannychagana3019
      @dannychagana3019 5 років тому +1

      Nenda kanisa la SDA hapo Morogoro watakusaidia namna ya kumpata huyu mchungaji

    • @MaryMary-hw8fr
      @MaryMary-hw8fr 5 років тому +2

      Amen mtumishi ubarikiwe sana unafundisha mpaka unaelewa bila shida.

    • @jordanmashaka50
      @jordanmashaka50 5 років тому +1

      Nenda kwenye kanisa lolote la Waadventista wasabato lililokaribu na wewe ushiriki ibada, maana pr ni mchungaji wa kanisa hili.
      Hauna haja ya kumfata Dodoma, hapo hapo Morogoro yapo makanisa mengi ya SDA.

    • @isaiahstadius2383
      @isaiahstadius2383 4 роки тому +1

      Anitha Buberwa karbu MAZIMBU SDA unaweza kunitafuta kwa namba 0672911001 nitakuelekeza.

  • @avenaaleoamo5095
    @avenaaleoamo5095 5 років тому

    Asante kwa ajiliya mafundisho haya yamenitoa sehem moja kwenda nyingine endelea kutufunulia zaid

  • @enockosongoh4374
    @enockosongoh4374 4 роки тому +1

    Frank mkenya from Kenya napenda Sana mahubiri yako pastor

  • @zephaniahmwendwa3840
    @zephaniahmwendwa3840 3 роки тому +2

    iam so blessed with that teachings

  • @jessikaakinyi8445
    @jessikaakinyi8445 4 роки тому +1

    Ni kweli pastor kuna Aunt yangu anaombea watu wanapona Ila yeye ako na goita aponi na watu wanapona hadi leo ako na hiyo goita

  • @veronicaenock7292
    @veronicaenock7292 4 роки тому

    Amen Pastor Mmbaga ubarikiwe sana 🙏🏻🙏🏻

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 5 місяців тому

    Mungu wangu
    Mimi niliwai kula meza na Sija batiza jamani
    Inamaana basi kwangu.....

  • @rachelmanema9044
    @rachelmanema9044 4 роки тому +3

    Pastor tunaomba utembelee makanisa yetu ufundishe hili somo ubinafsi na ubaguzi unamaliza watu tuombee sana hasa ukabila umezidi

  • @mutangajohn3689
    @mutangajohn3689 3 роки тому

    MUNGU akusaidiye pastor

  • @antoniraphael9124
    @antoniraphael9124 3 роки тому

    Kwakweli adi kwenye UA-cam nacheka wambea hao wapoooh labda namm nimewai kuifanya nimesaau mungu anisameee

  • @josephshidukiseni8758
    @josephshidukiseni8758 5 років тому +4

    Nimepataa kitu pastor... Kiukwl hapo kwenye kushiriki meza ya BWANA wengi tunatenda kinyume kabisaa... Ilaa asante kwa somo sasaa tumejifunza... Ubarikiwe

  • @witnessmalangalila91
    @witnessmalangalila91 4 роки тому

    Barikiwa sn Mtumishi

  • @williammwanawima7996
    @williammwanawima7996 4 роки тому

    Somo zuri sana, pastor MMbaga, ILA HUYO MSOMAJI HATUMSIKII KWA SABABU HATUMII MIC. UNGESOMA MWENYEWE ULIYE NA MIC.

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 5 років тому

    Waaa jamani haya mafundisho yamenigonga moyo Sana,, barikiwa sana mtumishi sijui niseme nini aki

  • @philbertmashaury1985
    @philbertmashaury1985 5 років тому +1

    Pr. Amina sabato ijayo ni meza ya Bwana nimepata chakufanya

  • @kabalata1506
    @kabalata1506 5 років тому +1

    Amina Pastor Bwana Yesu akubariki sana

  • @simionkimani7669
    @simionkimani7669 5 років тому

    unatupeleka shwari mhubiri ....nafurahia sana mahubiri yako

  • @happinessshilie4019
    @happinessshilie4019 2 роки тому

    Jina la BWANA litukuzwe

  • @miriamisack3220
    @miriamisack3220 4 роки тому

    Asante mungu kwa neno hili asante baba

  • @JaluoOdera
    @JaluoOdera 4 місяці тому

    Pasta Mimi j andaki Karibu siku moja ututembelee kanisani kwetu mpiji b

  • @yohanamabubu2491
    @yohanamabubu2491 5 років тому

    Kristo wa neema yote akubariki sana mtumishi kwa ajili ya neno zuri.

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 3 роки тому

    Pastor hili somo ni adimu makanisani uwelewa Wa juu namna hii ni mdg sana

  • @wycliffephinus4237
    @wycliffephinus4237 5 років тому +1

    @pastormbaga you're real exciting me for l want to be a doctor but also a pastor ,you're my role model in Christ.

  • @zachaeousmithea9488
    @zachaeousmithea9488 3 роки тому +1

    Wonderful preacher

  • @elizabethlukumai4521
    @elizabethlukumai4521 5 років тому +1

    Asante mtumishi mungu akuinue zaidii

  • @joyceyusuph448
    @joyceyusuph448 4 роки тому

    Barikiwa mchungaji somo hili limenijenga kwa namna yake

  • @seyaorongo7466
    @seyaorongo7466 5 років тому +1

    Somo zuri umeiponya nafsi yangu barikiwa sana

  • @anusiathavedasto9916
    @anusiathavedasto9916 4 роки тому +2

    Samahani mchungaji kwa wale wnaokuwa chini ya marudi tayar wamejitenga na meza ya bwana iyo imekaaje

  • @MasikaSaloméWapalya
    @MasikaSaloméWapalya Рік тому +1

    Glory be to God always

  • @aganzearthur6205
    @aganzearthur6205 2 роки тому

    Mucungaji nakusihi saana huyo musemo umetumiya eti hao waamiwako eti nibyasharazako Mungu hawezi kuwufurahiya hizo nikondoo umepewa na Mungu na maziwa zinayokupa ili kaziya Bwa iendele yangine unayo niyaziyada