Huu wimbo ni darasa na kidato chake pia. Minister Umeupiga mwingi mungu Akulinde uzidi kutuweka imani kila leo kupitia Huduma na maandishi yako ambayo ni karama toka mbingu. We love you Zabron
Umeimba my favorite sentence in my daily prayer...." nikumbuke Bwana wangu ugawapo baraka zako" u are talented man more grace. Naomba Yesu anikumbuke na familia yangu anarehemu wengine nasi asitupite.
2023 January tuna Imani utatukumbuka sote Kwa maitaji yetu mbalimbali kuna wenye wanaitaji,kuokoka,hekima ,amani,Imani,watoto,kuolewa,kuowa,kazi,karo,nyumba zao,magari,kusamehewa,kusamehe........ Asante sana Kwa huu wimbo nimebarikiwa saaana ubarikiwe pia
Huu wimbo ni darasa na kidato chake pia. Minister Umeupiga mwingi mungu Akulinde uzidi kutuweka imani kila leo kupitia Huduma na maandishi yako ambayo ni karama toka mbingu. We love you Zabron
Iseeee brother 💞 Sina neno
Amen
Safi sana mungu akujalie
Wimbo uko na ujumbe niliohitaji kwa wakati huu...
HONGERA BWANA JAPHET DUBAI SHOOT IKO JUU ,,HUU WIMBO UKO ON ANOTHER LEVEL BE BLESSED
Kwenye gospel kwakweli Tz tunajivunia Sana ✊
Tz nzima alafu hanaga mambo mengi huyu jamaa nampenda sana
From dubai
Napenda song zake sana.... Mpangilio na mtiriko wa maneno.
@@syombuamuumbi6472 ameen
Shida munafika mahali munaingia illuminati
Umeimba my favorite sentence in my daily prayer...." nikumbuke Bwana wangu ugawapo baraka zako" u are talented man more grace. Naomba Yesu anikumbuke na familia yangu anarehemu wengine nasi asitupite.
Umesha kumbukwa kijana songa mbele💪🏻 Nyuma mwiko utazidi stawi kwakuwa yeye yu nawe
Kweli,ameisha kumbukwa
Vizurii Sana Bwana Japhet!... This is Next level of Gospel Music!!. I'm getting you all the way from Kenya RIFTVALLEY!! ....wapy Like Zangu Jamani!!
Sifa kwa Bwana
Mungu akubaliki Sana Japhet nakupenda kutoka KIGALI
Naomba unitumie number yako ya what's up nakuomba
Nikumbuke Baba, wapi likes za 2023🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yooooh.. Ombeni nnyi mutalewa. Ila mkiwa na Imani. Nisamehe zambi zangu Mungu wangu ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Yuko wapi Mungu wa baba zetu Ibrahimu isaka na yakobo
Yuko wapi Mungu wa elia.... God let the seeh be divaided
Ubarikiwe sana Japhet na kweli Mungu akukumbuke
🇰🇪 from this end I am blessed. Powerful message. Kongole.
Iko vizuri Mdau hongera
Mungu azidi kulinda n'a azidishe kipaju nchako nawe ubariki wengine
Amen amen Toba kwanza Kisha Ombi Mungu akutunze mtumishi kama unamkubali huyu mwamba dondosha like zako hapa❣️❣️❣️
Mungu wa Mbinguni asante kwa zawadi hii uliyotujalia. Kupitia yeye unatufariji.
Hongera bwana Japhet receive warm congrats from Kenya much love 💓
Indeed mungu nami nikumbuke nisisaulike Ili nami niwe mtu Kwa watu 🙏🙏
Amina kubwa yenye nguvu Bwana nikumbuke shukrani kwa ujumbe nzuri wenye nguvu za Mungu
Nasikia kilasiku kubarikiwa na nyimbo hii. Mungu akuchekeshe Japhet. Naandika toka drc
Waaauuuu nyimbo zako za baraka sana tuko pamoja hadi tamati my brother
Nikumbuke Na mimi Bwana
Asante sana brother Japheth zoblon
What a song always you never disappoint 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yesu wangu nikumbuke
Ubarikiwe Kaka japhet wimbk mzur sana unanibariki
Hata Nasi Hapa Rwanda tuna Wapenda sana ❤Turabakunda cyaneeee
Nembo ya vijana wa kiadventista MUNGU akukumbke sana mpka mbinguni asikusahauu kaka
Hungera sana Japhet.Mungu azidi kukupeleka mbele.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu anderee kukutumia
Mungu akubariki sana kwa kazi nzur 🎉🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana nami pia nikumbuke mungu wangu❤
Balaa zito Ngoma imeenda shule safi sana kijana.
Like en love ths songs,,,,mungu akubariki sana
Safi sana Mtumishi, kazi nzuri na ujumbe unatia nguvu na Matumaini. Nenda mbali na kazi hizi zikalete faraja kwa wengi
Barikiwaa nyimbo nzuri Sanaa🙏🙏
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa huduma.hakina nyimbo kubwa sana
Nyimbo nzuri sana barikiwa sana Mtumishi
Barikiwa sana japhet rafikiangu hujawahi kuniangusha nabaribiwa mno🙏🙏🙏
Namhala Japheeee Hongera Yesu amekukumbuka
Kazi nzuri sana mungu awape nguvu katika hudumazenu zakiroho
Amina 🙏 mungu apepe magumu yetu na atukumbuke,am blessed.
Sincerely speaking, this man of God is talented, just listen how this song is blessing millions of people.
Homeboy Niko hapa kukusapoti.
❤❤❤❤❤ nabaliwa sana mungu akutunze mtumishi uzidi kusonga mbele zaidi
Hallelujah......... Barikiwa sana Japhet Zabron hakika Mungu ameweka kipawa ndani yako.
Mungu akubariki sana kakaa
Sijui nitawai pata wapi Zabron Singers ata tusalimiane tu kwa mikono... nyimbo zao zinanibariki kila wakati. Barikiwa sana.
What a powerful declaration
God when you will be blessings others please remember your servant
Wimbo wa siku,wiki,mwaka .Powerful song,beautiful prayer Hakika Mungu nikumbuke.
Neno linaseme Vita sio vyetu, Vita NI vya Bwana,Mungu ananipigania na wenye Vita vyao watanyamaza kimya,
Mungu UNIKUMBUKE🙏🙏🙏
MUNGU ninguvuuu kwakilajambo tumia kipawachako Kama ipaswavyo MUNGU Yuko pamojana wewe
Video kali sana ujumbe ndo usiseme mungu aendelee kukutumia kaka
Mie kama mwanafunzi natii mwalimu,nyimbo zako kaka yanipa nguvu na kupanuamawazo
God forgive me I Know i have wronged You.
Nikubuke nikubuke kwa baraka zangu.
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️
Best song of the generations
Best vedio for our century
Our gospel generations is glad to have you may God continue blessing you Legend
Powerful song 🙏my all time favorite choir 🥰
Tunajifunia Japhet pia tuna mtu na nusu. God bless you my brother ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nikumbuke baba nami ntakushukuru kwa wema wako eeeeh Yesu wangu
Amina MTUMISHI, Yesu UNIKUMBUKE na kuyabeba magumu na UNIGAWIE BARAKA ZAKO nivuke naxo ,ushukuriwe Mungu kwa wema wako.kwangu🩸🩸
❤❤makopa mengi sana kwako kaka yetu Japheth mungu akutie nguvu na akuzidiehie uman🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌷🙏🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
Iseee kaka mkubwa 🏴 Kwa hili Sina neno💞💞💞
Jaman your so Amizied brother l like that move be blessed
Congratulations brother God bless you
Bahari tumevuka kwa mkono wa BWANA kwa hakika mito si kitu, tusonge kwa jina la YESU
Amina kwamafundisho mazuri kupitiya wimbo
Yaan huu wimbo ninavoupenda Sasa hasa Ile sentence ya kwamba 'nilivoanza kuomba nikakumbuka dhambi zangu'
Sweet and Powerful song am blessed👏💪,
Hii nyimbo imenibariki sanaa Mungu akulinde siku zote za maisha yako mtumishi wa Mungu
May the almighty God bless you bro ....nikumbuke pia mm baba mungu🤲
Nice song
Hatimaye leo imefika.The long awaited song is here with us. It is a powerful song God bless you as serve God with your voice.
Barikiwa sanaaaa mtu wa mungu nimebarikiwa sana mungu anikumbuke kwenye magumu haya ninayo pitia !!!
Mungu azidi kukuinua
Nimebarikiwa sana na huu wimbo 🙏🙏🙏
Zabron hunitia moyo niendelee kusonga katika mziki,safari naendelea.Ya Mungu ni mengi
Hii nyimbo imeshutiwa Dubai iko amazing sn👌
Ubarikiwe sanaa, injili hyo kwa njia ya wimbo imenigusa sanaa
Naomba niweke kweny ratiba zako Ee Mungu 🙏🙏 faithful God
2024 nipo hapa ,mtu akiweza ku like my comment i will be back again 🙏
Kweli mungu wangu na me nikumbuke daima
Wimbo wa matumaini Sana kaka, ubarikiwe sana Japheth🙏🙏
Glory be to God,I wish ona day nikushurikishe
Mungu akubariki sana mpendwa hakika tunabarikiwa kupitia kazi yako.
Groly be unto God for I knew he healed my soul through your ministry,Baraka Baraka 🙏🙏🙏
This is a prayer,so powerful,I pray that God will remember me even as we end this year
Hii video ni kali, Nairobi is beautiful, nice song bro.
That’s Dubai, not Nairobi wewe
@@Haika28 just wanted to see if you know Nairobi,
Ubarikiwe mtumishi wa baba nabarikiwa na nyimbo
Ubarikiwe ndugu yangu kazi kubwa sana sana 🤝
Ameeeeeen🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌barikiwa sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakukubali mtumishi mungu akubaliki
Na appreciate sana kz zenuu zabron....
Powerful message.. nyimbo zako nazikubali sanaa.. tokea nikufaham 2012 @Mingas school Kahama.. bas namwagilia moyo kila wakati💪💪
Mwl Meshrich
@@japhetzabron1881 yaah.. karbuni Mza
Hongera Mtumishi Wimbo Mzurii Video Kubwa mnoo Hii
congratulations you are doing a great and loving job....favourite song so far so good.God bless..........video nzuri sana kwa kweli 🇰🇪🇦🇪
Huu wimbo unaniliza sana ....powerful message brother zablon
Amen.Glory be unto God,may He remember us all...In Kenya we love you.
Siwezi choka kuusiliza unagusa sana moyo.
Naomba tuwasiliane mtumishi wa Mungu
Hogera kwa vidéo nzuri n'a wimbo Franck from Bujumbura
Umetisha sana God bless you 🙏🏼 hakika mungu amekutuma wewe u bless me 😊
2023 January tuna Imani utatukumbuka sote Kwa maitaji yetu mbalimbali kuna wenye wanaitaji,kuokoka,hekima ,amani,Imani,watoto,kuolewa,kuowa,kazi,karo,nyumba zao,magari,kusamehewa,kusamehe........ Asante sana Kwa huu wimbo nimebarikiwa saaana ubarikiwe pia
Nikumbuke Bwana Yesu wangu unapogawa baraka zako
it's my prayer God to remember me..God bless you for being a blessing in the body of Christ
May God continue using you to bless my soul, am really uplifted by your songs zaphet.
Amen kaka japheti Mungu awe pamoja nawe na Barikiwa kwa ujumbe mzuri huu
Unikumbuke pia my whole family from my dad,mum, sister and brothers. Through alot diseases, job loss and stagnation. God you are faithful