Napenda unavyoimba mark Ila zaid napenda ukiimba saut ya aina flan kama pale .....taratibu wanielekeza ninapokosea ...... ... Napenda sana yan....msalmie Japhet popote alpo
Siamini bado Marco alituacha. Wiki mbili Sasa naskiza nyimbo zenu. Kumbe nyinyi watoto Wa zabron mwanzilishi Wa SDA kaguga choir🫡. A big fun of their songs, so much blessing. RIP Marco.
Pumzika kwa amani mpendwa vita umevipiga vema mwendo umeumaliza ni mapema mno ila kazi ya Mungu hatuna chakukulipa ila kukuombea Mungu akupokee akueke mahala pema penye mema 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mungu akubariki sanaaaaaa bro zaidi atuzidishe
Mungu akuinue zaidi na zaidi viwango via juu zaid amen
Amen 🙏 mungu ni fundi aliye fundi was fundi wote ulimwenguni yaani fundi spesheli
Mungu akubariki ioseph
My God this people 😅😅😅 good songs
You people are a blessing,I love your songs....wapi likes za +254🇰🇪
Naipenda kwaya hii "ZABRON SINGERS" Nyimbo zenu nzuri sana!!!!!!!!!!
Marco umetisha wimbo mzuri video nzuri sana keep it up bro Mungu azidi kukupigania
Napenda sana huu wimbo, una maana mingi Mungu akubariki
Jamen nasikia marko ameaga wapendwa😢😢
Yeah ni kweli😭😭😭
Kweli hilo
Nimeumia sana
Heart 💔💔 😢😢
Ni uzuni jameni 😢
Amen soo nice song with powerful message God bless you
Congratulation broo wimbo mzury sana barikiwa zaid
mazuri ya huyu fundi kaniundaniunda kanitengeneza nipo hapa kumushukuru
Marco now upo 🔥🔥🔥 na kuangalia sana hatuwa zako Kaka
Great kweli Mungu ni fundi maishani mwetu napenda
Leo nimeshinda nikiskiza huu wimbo cku mzima...what a blessing song keep it up Marco
Fundi wangu umetisha kaz nzur big up bro
Hakuna siku inapita bila kusikia wimbo huu rip marco
If God could come now after listening this song,, am sure i will get a ticket f the promised land of Heaven, to avoid the earthly things
😢😢😢😢😢😢😢😢Eeee Mungu Baba Zidi kumutunza mwanao Huko aliko😓😓😓😓😓🙏🙏🙏
U bless me zabron singers may the lord bless you
Wow nice song#mazuri ya uyo fundi ka niunda ka nitengeneza na kanifanya upya nko apa kumshukuru
Hata mkiimba hizi comment na mengineyo mpeni views zote mrs marko na familia yake tunawaomba isiwekwe kwenye matumizi yenu Mungu hatapenda hili
Namini hii ni familia inamcha mungu na akiwa mwenye kiti wao hawatujitaji na umbea - tuinue hii familia tusiitenganishe-wote wanaomboleza
Pumzika kwa Amani kaka hakika vizur havidumu
Poleni Sana familiar ya Marco.
Mwenyezi Mungu awape nguvu wakati Huu mgumu wa majonzi.
Pumzika Kwa Amani Marco
This song has lifted me. All about gratitude
Hki hii wimbo inamafundisho makubwa mno nasoma maandiko tu nakuelewa baraka tele
Rest in peace Marco, we miss you and your golden voice.😂😂😂😂😂😂😂
This song is touching my life.. is very blessing me ✨🙏
Mtuletee wimbo wa akida,aliouandika marehemu Marco
Ushatoka unaitwa akida
Kweli Mungu ni fundi. Mungu akubariki kwa huu wimbo mzuri
Napenda unavyoimba mark Ila zaid napenda ukiimba saut ya aina flan kama pale .....taratibu wanielekeza ninapokosea ...... ... Napenda sana yan....msalmie Japhet popote alpo
Amen barikiwa sana kaka Marco mungu wa mbinguni akuinue Juuu zaid na zaidi
Your songs are so sweet,I listen to them over and over
Siamini bado Marco alituacha. Wiki mbili Sasa naskiza nyimbo zenu. Kumbe nyinyi watoto Wa zabron mwanzilishi Wa SDA kaguga choir🫡. A big fun of their songs, so much blessing. RIP Marco.
Such ayoung soul has rested and gone we are here for memories LORD why😢😢😢😢
Ubarikiwe sana mpendwa uzidi kumtumikia mungu.aminaa
Napendaga sauti ya Marc ktk group ya Zabron
Umeondoka lakin umetuachia ujumbe duh!!pumzika kwa amani Mwamba😭
Wimbo mzuri sana hongera sana mungu akubari
Daaah ni gumu kuami Aiseee
Blessings through your songs wanazabron.
Nani mwingine kamwona Martha mwaipaja? Anyway nice song God bless you
Hadi mimi kama mkenya nimeuma sana na hili jambo la marco kufariki walai😭😭
Mwendo umeumaliza mapema sana kaka😭💔
May ur gentle soul continue to rest in peace till we meet again in the coming life Amina
God bless you with more.i love this song 🎵❤
i love this group😍
Nice song, let everyone be blessed
Deus abençoe o seu ministério Marco Joseph 🙏🏽
Mungu kubariki sana
Daah huu wimbo unawaita watu kwa Yesu
Nice song joseph
Endelea kunyeyekea Kaka Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana be blessed
Mungu awabariki .fundi kanitengeneza .
Nimebarikiwa sana Na huyu fundi
Muhimu msiliache kundi lenu Mungu amewainua mkiwa kikundi mkiacha umoja mtapoteana,asante
wimbo mzuri umenibariki sana pumzika kwa amani mtumishi😢😢
Mungu mpepepo isiokatika😭😭❤❤❤
Mungu akubariki kaka nice song
May you be added more mr Marco
Uyu wimbo mara ya kwanza nausikiliza,Mungu akulaze maali pema kaka Marco.Nyimbo iyi imenibariki sana😢
🇰🇪❤Everywhere🔥💯
Huyu Mungu amenipa uhai leo acha nimshukuru.
Huyu mungu na haishi milele
Pumzika kwa amani Marco
Pumzika kwa amani mpendwa vita umevipiga vema mwendo umeumaliza ni mapema mno ila kazi ya Mungu hatuna chakukulipa ila kukuombea Mungu akupokee akueke mahala pema penye mema 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Being blessed daily .woow
Ubarikiwe Kaka kwa ujumbe mzuri
Brother God bless you, the really encourage
I love the song!!!,,kp it up Marc,,u dd it so well,,,
It has blessed me!!!
Woooow,nice song!!!am blessed ooo
Hongera sana kaka,Mungu akubariki.kweli Mungu anabadilisha maisha
asante Marco zabron; Good song, be blessed
Poleni sana jamani Macro Ulale salama
The song is awesome yo good to the maximum keep it Up
Hongera kijana! Mungu azidi kukuinua
Nice song bro....nakuonaga vle uko Zabron singers choir, lakini leo umefanya kali meipenda hii song...blessed
Hongera brother kwa ujumbe mzuri! #Mungufundi
Golden voices,nice pronunciation of words and massage well recieved
Safi sana kweli fundi niyesu
THANK YOU ,BE BLESSED MARCO
Amaaa kweli Marko😢
God bless you so much my brother
You should come to KENYA
Naukubali sana huumwimbo fund, mnavipaj hongeren vijan
Pumzika kwa amani tulikupenda lkn Mungu alikupenda zaidi ndungu😢
Family iliojengwa juu ya mwamba imara Yesu
pumzika kwa Amani Marco mpendwa wetu
God bless this song is vry nice
🇰🇪🇰🇪 Poleni sana the Zabrons family
Simanzi kubwa kwetu hatuna neno lolote zaidi ya kushukuru.
Kazi nzuri sana Mungu akuinue na kukubariki zaidi
amina sana
Thank you so much Marco.Repeated the song the whole night.
Vita umevipinga mwendo umemaliza salama roho yako Bwana aweke mahali pana sitahi Bwana afariji family c rahisi ila Bwana ameruhuzu
This has been my favourite song ata nimeshangaaa ni huyu dah r.i.p
Namshuru fundi wangu najinia fundi
Barikiwa sanaaa
Am blessed 🙏🙏
Nakubali nawimbo wako
Mungu akubariki akufikashe mbali