JAPHET ZABRON - NAWAKUMBUKA (official video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 465

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 2 роки тому +4

    Mimi ni Japhet 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
    Akina Japhet wote leteni like tumsapoti wajina letu

  • @maracezighe1758
    @maracezighe1758 Рік тому +2

    Kwa hakika wimbo huu ninapo usikiliza unanipa moyo wakuzidi kusonga mbele barikiwa sana Japhet 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jamiladotto9622
    @jamiladotto9622 2 роки тому +22

    Wimbo unaujumbe Makini sana🙌🙌.. unagusa. 😢😢 Mungu pamoja nawe. Mwalim Japhet zabron. Uende mbali....🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @edensingers.8781
    @edensingers.8781 2 роки тому +4

    Umegusa mahitaji ya wengi, barikiwa Sana kijana.
    I'm Happiness kutoka Nkololo Bariadi.

  • @neemamussa5630
    @neemamussa5630 2 роки тому +34

    Unajua Kuna wakat Mungu anasema na sisi directly kupitia nyimbo za watumish wake,I was feeling like Giving up lkn nmehis kupata nguvu upya😭

    • @mumyhendry2919
      @mumyhendry2919 2 роки тому +1

      Mungu akuinue na akuguse moyo wako na magumu yako,Never give Up mpnz,Mungu anakuona na anakupigania sana

    • @aishakiwembo9141
      @aishakiwembo9141 Рік тому +1

      Nakukubali sana unaimba nyimbo nzuri

    • @AmosObanda23Thursday16Nov8am
      @AmosObanda23Thursday16Nov8am 2 місяці тому

      Mie Mungu hunena Nami sana kupitia NYIMBO, then napata verse huo wimbo watoka🔥

  • @dicksonmwanzi5060
    @dicksonmwanzi5060 2 роки тому +2

    Kazi safi na kuntu kabisaa

  • @japhetowoya9505
    @japhetowoya9505 2 роки тому +2

    Asante sana mtumish wa Mungu nabarikiwa sana Japhet

  • @aderinacharles9415
    @aderinacharles9415 2 роки тому +2

    Jamani bora huu wimbo naupendag sana

  • @mutuasteve2179
    @mutuasteve2179 2 роки тому +2

    Tunaitaji nyimbo kama hizi, God chosen people,, bado nasikiza huu wimbo, nafikiria sana wanaomahitaji balibali kama wato wa mitaani, wajane, mayatima,jamani tuwakumbuke, hii ndo ibada Mungu anaikubali.

  • @ijaarose8789
    @ijaarose8789 2 роки тому

    Najifunza kutokata tamaa kila kitu ni kumtegemea mungu 👏👏

  • @elisherhando
    @elisherhando 2 роки тому +2

    Kuimba raha hasa ujue kuimba, u made it Mungu azid kukulinda

  • @chiko_55
    @chiko_55 2 роки тому +2

    Kaka kazi nzur sana

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 2 роки тому +2

    Mmhhh kwakweli nyimbo zako Jaohet huwa zina ufaridji moyo wangu kila mara siwezi kumaliza siku mbili sija kusikiliza baba mungu akuzidishie milele 🙏🏽🙏🏽

  • @zabronalex5052
    @zabronalex5052 2 роки тому +2

    Hengera sana mtumishi kwakazi nzuri na mungu akubariki

  • @moshiwamboi1266
    @moshiwamboi1266 Рік тому +2

    Covenant family ❤️ Patricia boatwright let's come together

  • @patucharles6
    @patucharles6 2 роки тому

    Mungu akubariki saana huu wimbo umenibariki saana na umeungusa moyo wangu kabisa

  • @crevermsigala8722
    @crevermsigala8722 2 роки тому

    Ahsante kwa wimbo mzuri mtumishi wa mungu unanipa faraja kitka mapito yangu

  • @gracebwambale5032
    @gracebwambale5032 2 роки тому +2

    Mbarikiwe saaana

  • @esrommakono9213
    @esrommakono9213 2 роки тому +2

    Great job kijana. Mungu azidi kukuweka viunga vya juu sana

  • @johnnanangumufarijimulumbo9532
    @johnnanangumufarijimulumbo9532 2 роки тому

    Winbo nzuri Pia ya ni fariji saaaana tena saana vraiment mungu awalinde saaaana kundi zabron singer

  • @noelajames767
    @noelajames767 2 роки тому

    Aiseeee kaka ata kama napitia magumu kweli ila wimbo huu umenifungua sana tena sana na mungu aweee naweee daima

  • @margaretasiko6950
    @margaretasiko6950 Рік тому

    Amen huu wimbo umenifanya nimelia sana mungu akubariki sana ndungu yangu

  • @nyembamathias5786
    @nyembamathias5786 2 роки тому +4

    Wimbo makini sana Mungu akubariki

  • @marysamson1209
    @marysamson1209 Рік тому

    Mungu uponye kila roho yenye uhitaji wakono wako
    Usimsahau huyu mtumishi wako ulomuwek kupitia ulichoweka ndan yake kutukumbusha tunapojisahau katika utumishi 🙏🙏
    Ishi tu rfk yangu nakupenda mnoo

  • @mutuasteve2179
    @mutuasteve2179 2 роки тому +2

    Tangu nianze sikiza huu wimbo sijakoma

  • @kelvinabuti8982
    @kelvinabuti8982 16 днів тому

    Mungu akukumbuke na akupanulie mipaka kimziki ili tuzidi kubarikiwa kwa pamoja

  • @neustermussa4262
    @neustermussa4262 2 роки тому

    Huu wimbo umenikumbusha mbali Sana mungu awe nawe ck zote

  • @emmanuelakilya2086
    @emmanuelakilya2086 2 роки тому

    Kaka umeimba wimbo unaogusa maisha ya wengi binafsi nimebarikiwa saaana.

  • @jumaemanuel
    @jumaemanuel 2 роки тому

    Nimeupenda sana huu wimbo ila viitikio havijakaa poa umesound vizuri sana

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 2 роки тому

    Kilio chetu kweli Mungu anajua hatupaswi kuchoka.

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson 2 роки тому +2

    Katika waimbaji wanaoimba content za kufaliji na kuokoa faith ya watu , ww unanikosha na unanitach as you can think nmekusimulia maishayangu Basi unanifalijiiiiii du , Mungu akubaliki 😭😭😭

  • @paulmwati7539
    @paulmwati7539 2 роки тому

    Amina mpendwa katika Bwana yesu Christo tumebarikiwa sana

  • @BarakahLago-qs7nf
    @BarakahLago-qs7nf 6 місяців тому

    Yaani hata siuchoki kuusikiliza huu wimbo natafuta lyrics sijapata barikiwa sana mtumishi wa Mungu.unaniispire sana kuimba so touching song be blessed

  • @Lakhishi-oc3kt
    @Lakhishi-oc3kt Рік тому +2

    Hii wimbo naisikiliza asubuh mpaka usiku na sioni nikichoka aki naipenda sana iko nzur sana

  • @Ann-vr7ti
    @Ann-vr7ti 2 роки тому

    Yaani kuna wezakano hunijui Ila huu wimbo umenimbia mm, asante Kaka zabron

  • @collinceawuonda73
    @collinceawuonda73 2 роки тому

    Neno la Mungu ni uhai katika wimbo kama za Japheth utahisi nikama Mungu Kwa kweli Neno lipo hai ndani yako na Mungu Yuko Tu nawe papo hapo

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 2 роки тому

    Japo Maisha ni shida yasitutenge na Mungua

  • @georgembile7025
    @georgembile7025 2 роки тому +2

    Machozi ya furaha yanabubujika toka kwenye macho yangu, BARIKIWA sana Japhet

  • @judymuindi2029
    @judymuindi2029 2 роки тому

    Japhet, thank you so so so much, kilio changu mungu amesikia😭😭😭

  • @BusyBeeOnyiego
    @BusyBeeOnyiego 2 роки тому +6

    Waiting

  • @alicekamanzi7815
    @alicekamanzi7815 2 роки тому +2

    Mungu azidi kukuinua my brother uzid kutuinjilisha.

  • @CatherineKilaka-zf9li
    @CatherineKilaka-zf9li 11 місяців тому

    Wimbo wako unanifuza Mambo mengi sana barikiwa sana japeth

  • @CharlesMwitamasengwe-wn8zu
    @CharlesMwitamasengwe-wn8zu Рік тому

    Mungu anatupenda sana na ipo siku tutaishi kwa amani

  • @barakanyambele6642
    @barakanyambele6642 2 роки тому

    Nipo kahama majengo japhet, nahitaji japo siku moja niwatembelee nyumbani

  • @agustinobenard7038
    @agustinobenard7038 2 роки тому +2

    Nice song god bless you

  • @neemamkunte3127
    @neemamkunte3127 2 роки тому

    Wow nice song ❤❤❤❤. Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine

  • @lukiasaidi4422
    @lukiasaidi4422 Рік тому

    Wimbo huu una ujumbe mzur Sana , na unafundisha pia, ufike mbal

  • @Rockcitytz
    @Rockcitytz 2 роки тому +2

    Bariki xana umewakimbuka watu mhim ktk jamanii ..na ni kama wanasahaurika fulan hv.. good Job kijana

  • @edwinmhema3191
    @edwinmhema3191 Рік тому

    Hongereni kwa nyimbo nzuri mungu awabariki hakika

  • @Godwisdom2
    @Godwisdom2 2 роки тому +6

    Good song, when i was listening this song, Holy Ghost spoke to me to make schedule of prayers for disabled people, poor, orphans and sick. I'll do in the name of Jesus

  • @jescamasanja7655
    @jescamasanja7655 2 роки тому

    Ohoo hatimaye..wimbo umerudi.Wimbo wa Albamu ya kwanza. NAWAKUMBUKA.Hongera....

  • @agnetamwaighuri736
    @agnetamwaighuri736 2 роки тому +2

    Wow ndugu japhet zabron haki huu wimbo ni mzuri sana nimeuhisi umenigusa umenibariki Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @kirongoephy6236
    @kirongoephy6236 2 роки тому +20

    God is faithful..🙏
    Much love from kenya🇰🇪

    • @lyontheblessed8200
      @lyontheblessed8200 2 роки тому

      Kirongo ua-cam.com/video/O5Z1Ai6aZwA/v-deo.html ✅🙏🏼

  • @prettywizard5374
    @prettywizard5374 2 роки тому +2

    Hakika kilio changu Mungu anakijua na hivi karibuni nitafurahi,,,,,,kazi nzuri ndugu,, keep it up!!!

  • @sharonmwikya2947
    @sharonmwikya2947 2 роки тому

    Wow,just wow,nabarikiwa zaidi

  • @emmanuelkiiza7945
    @emmanuelkiiza7945 2 роки тому +2

    Asante YESU , Mungu awabariki , nawapenda

  • @TumainiPatson
    @TumainiPatson 4 місяці тому

    Ujumbe mzuri unanitia moyo MUNGU akubariki

  • @felisterpaschal4623
    @felisterpaschal4623 2 роки тому

    Ni kweli kabisaaa tunajisahau sanaa

  • @nyachirangimlengwa
    @nyachirangimlengwa 2 роки тому +2

    Huu wimbo jamani, hatimaye tumeupata mashabiki, Barikiwa sana

    • @estherkaaya750
      @estherkaaya750 2 роки тому

      Mimi pia Leo ndo najua unaenda Kwa jina la nawakumbuka

  • @shilindejoseph3982
    @shilindejoseph3982 2 роки тому

    AMINA.Mungu ni mtetezi wetu.

  • @dicksonakyoo4019
    @dicksonakyoo4019 Рік тому

    Kilio changu hakika BWANA anajua🙏🙏🙏naamini hvyo tu na wala hakuna chakufanya nisiamini

  • @abelbaraka263
    @abelbaraka263 2 роки тому +2

    Mungu Ndiye hupanga maisha

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 2 роки тому

    Bonge la wimbo, barikiwa sana

  • @sandraa8706
    @sandraa8706 2 роки тому +2

    Balikiwa kakaanguuu

  • @tukulambamichael709
    @tukulambamichael709 2 роки тому

    Uko vizuri my brother mungu akubariki

  • @stellasimiyu1343
    @stellasimiyu1343 Рік тому +2

    My favorite 🥰🥰🥰🥰

  • @user-id9vz6yn2v
    @user-id9vz6yn2v 10 місяців тому

    Wimbo wa kimbingu sana utukufu apewe ..
    Bwana

  • @omryjohn1868
    @omryjohn1868 2 роки тому +2

    Hujawai kuniangusha @Japhet

  • @mosesmwakajwanga7277
    @mosesmwakajwanga7277 2 роки тому

    Mwamba Yuko vizur mungu ambark sana

  • @olivamdamu4535
    @olivamdamu4535 2 роки тому

    Umeweza. Mungu aendelee kukubariki

  • @neyhanga7866
    @neyhanga7866 2 роки тому

    Waoo niliusikia kwenye bas nikaupenda

  • @hapdomyiroga6985
    @hapdomyiroga6985 2 роки тому

    Nabalikiwa kwa huu wimbo mpk machoz yanatoka

  • @user-tn8ug6wf4b
    @user-tn8ug6wf4b 9 місяців тому

    Amen kubwa Mungu ni mwema kwetu sifa ni za Bwana iyi nyimbo inakuwa ikinipatiya tena nguvu katika maisha yote Mungu ni Baba ya mayatima 🙏🙏🙏🙏

  • @yusterexpedito
    @yusterexpedito Рік тому

    Napenda sana nyimbo zako minggu akubark kwa hudumaa yako

  • @edithasimon2770
    @edithasimon2770 2 роки тому

    Amina mtumishi wa bwana MUNGU wa mbinguni akutuze

  • @catherineaugustine7124
    @catherineaugustine7124 Рік тому

    Mungu ATUSAIDIE kuyatenda mema🙏🙏

  • @AnnoyedArcticFox-dh5dv
    @AnnoyedArcticFox-dh5dv 3 місяці тому

    Nakukubali Sana kaka yangu mungu ni mwema

  • @michaeljoseph5107
    @michaeljoseph5107 2 роки тому

    Hongera sana,wimbo mzuri sana.

  • @gracemtango3591
    @gracemtango3591 2 роки тому

    Hujawahi kuniangusha bigup brother

  • @connectbookerz9086
    @connectbookerz9086 2 роки тому

    HII ni nyingine kali tena not only a song but words to think about ,ni message ambayo yafaa kusikizwa na roho sio sikio

  • @mangalajr1476
    @mangalajr1476 2 роки тому +2

    Nabarikiwa sana mkuu kwa kazi nzuri Mungu akubariki.

  • @chepkorirwinny4435
    @chepkorirwinny4435 Рік тому

    God bless you Japheth,you are a lesson to me..sizoei nyimbo zako🙏🙏

  • @marrienoni4592
    @marrienoni4592 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭 Eeee mungu nijikuta tu nalia

  • @pendondaki5431
    @pendondaki5431 2 роки тому

    Ameeen,barikiwa, kwani umegusa his zangu.Mungu akubariki mnoo kwa ngozi hii

  • @user-cg5ly5rg8z
    @user-cg5ly5rg8z Рік тому

    Naupenda sana wimbo unaujumbe mzito sana

  • @winfridasanyenge6510
    @winfridasanyenge6510 2 роки тому

    Mungu akubariki sana,napenda sana nyimbo zako🙏

  • @benjaminoyigo9619
    @benjaminoyigo9619 Рік тому

    In my prayers i remember you...
    Great zabron God bless u.

  • @obbelinmoshi5891
    @obbelinmoshi5891 2 роки тому

    Hongera sana
    Karibu sana Runzewe sec siku moja

  • @vanessamoraa2464
    @vanessamoraa2464 2 роки тому

    Hakika,,Mungu wetu wakumbuke wanao 🙏🙏

  • @sammymwangi9576
    @sammymwangi9576 2 роки тому

    nilikua nimefika mwisho wa maisha lakini umeniokoa be blessed

  • @centrineninah9486
    @centrineninah9486 2 роки тому +6

    Such a powerful message ....I have cried coz of this song ..such a blessing to me .much love from Kenya .nairobi

  • @sijaliusnyalanga7409
    @sijaliusnyalanga7409 2 роки тому

    Kazi nzl mungu akubaliki umenibalik cna mngu akuinue zaidi

  • @brendahgatwiri8026
    @brendahgatwiri8026 Рік тому

    We thank God to have you.... Thankyou for this song.. umenitoa mahali

  • @user-ff4mc3zj3j
    @user-ff4mc3zj3j 4 місяці тому

    Nyimbo zako zinanibark saaan ❤❤

  • @christinehstemy734
    @christinehstemy734 2 роки тому

    Nimeguzwa Sana mungu azidi kukupa kibali bro kazi mungu iendelee 🙏

  • @angelharnaa7692
    @angelharnaa7692 2 роки тому

    Japhet naona umeimba huo wimbo kwaajili yangu

  • @jamesmayaka9070
    @jamesmayaka9070 2 роки тому +2

    so sweet bro songa mbele na mungu

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 2 роки тому +6

    Wewe kaka unajua sana nak kubali sana 🙏mungu wetu sote usichoke kwa kua yeye dio mtoa riziki...maneno kuntu👌

  • @kafulajoseph7051
    @kafulajoseph7051 2 роки тому +2

    Hujawahi kufer

  • @egonmatwiga9102
    @egonmatwiga9102 2 роки тому

    Kama unamwamin Mungu wa Japhet kuwa anaweza like hapa pia mwamin na ww atakuwezesha kwa kila unacho taka kufanya