The song only speak what am passing through right now and make me regret why I have a good heart of helping but at the end the payment is heartbreak 😢😢😢 thank you for this beautiful song is really encouraging
literally 1000% sound 100% instrumental 100%... this song is more delicious than the food i eat, i think it shoud in balance diet list.... MUNGU AKUBARIKI SANA .... hizi instrumental reminds me sabath gospel of our late grandpa...
Jamani huu wimbo niliusikia kwenye hope channel! Naweza nikasema is the song of the year! Ni mzuri ajabu! Umepangiliwa vizuri sana na gitaa limepigwa vizuri mnooo...hongera sana Japhet!
I believe that nothing is permanent,its for a season and it have a good reason for a lesson of good testimony 😊,Wacha waseme,2Corinthians 4:16-18🙏🏿🙏🏿,Amen,thank you Japhet God grant you more Wisdom and grace 💙💙💙.
Nimekuwa wakwaza naomba like jaman
achauongo dg
Huwa unanifurahidha sanaaaaa.
Hii nyimbo inaupako sana hongera sana mtu wa mungu
Eee Mungu nimewaacha waseme tumain langu likwako Mungu wangu ,
Nice song💖be blessed servent of God ,God is each and everything in our life no matter what they're talking 🙏🙏
😭😭😭😭 Machozi yamenitoka asante Mungu kwa kumtumia Japhet kama chombo chako teule ili agange mioyo iliyojeruhiwa....🙏
Pole na endelea kubarikiwa pia 🙏🏾
Amina mtumishi
These song comforted and blessed me two years ago. It's like it was redone but still a blessing to our family
Kuna nyimbo zinakuja kwenye kipindi sahihi kwa watu. Ukiifungua tu unapona kabisa. Kazi nzuri, Mungu aendelee kuwalinda na kuwatumia ipasavyo.
Be blessed man of God because of your songs which teaches your people the right way
Ameen. This song touched on my life...leo ndio nimeona kwa mwonekano wa sura unafanana na Victoria Zabron...nawapenda sana Zabron family
Ubarikiwe sana sana boss yaan sanaaa
Pamoja sana ndugu angu 🙏🏾
Dah... Kuna mda nawaza ningekuwa nacho Mimi hicho kipaji... Mungu akubariki Kaka... Mimi hunibariki hata kabla hujaimba. 🥲🥲. God is with you
Barikiwaaa najivunia kuwa na shabiki ka wewe
Asante damu yangu japhet mtumishi wa mungu unajua kuimba unajua kuwakilisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa tuko pamoja mungu akujaalie
This one is good but I loved the original version more,mbona ulidelete hivo audio?
The song only speak what am passing through right now and make me regret why I have a good heart of helping but at the end the payment is heartbreak 😢😢😢 thank you for this beautiful song is really encouraging
Me tu hivyo
What an inspiring song be blessed aboundantly 🙏 nice song 🙏🙏🙏
Congratulations 👏 woow the song is lit
Owh what a touching song,,it has really blessed my heart
What a powerful song 💖
Conglatulations wasukuma wangu kazi nzuri Mungu azid kuwapigania
If you agree like this comment,This is purely beautiful❤️
You're talented you keep encouraging us in worshiping God
Welcome the church of God.Seventhday adventist church.
what God says about me is more important than what people say.
Amen umenikumbusha mbali ulipokuja kazn kwangu na Marco du
My favorite artist your songs are on another level may you be blessed 💝🙏 for us ,you bless us with songs love from Kenya 🇰🇪.
Mungu wa mbinguni akujalie japhet zabron 🙏🙏waache waseme 5:02
Powerful song, its so touching
❤❤❤😢😢😢😢😢😢 wachawiwote acha wasemeee
Pokeya tena nguvu papa
literally 1000%
sound 100%
instrumental 100%... this song is more delicious than the food i eat, i think it shoud in balance diet list.... MUNGU AKUBARIKI SANA .... hizi instrumental reminds me sabath gospel of our late grandpa...
Good Presentation, Nice song, be blessed mtumishi wa Bwana🙏Wacha waseme mi nko naenjoy😋
Ameeeeen❤❤❤❤waache waseme ni MUNGU tu ndo anaejua tatizo langu ubarikiwe🙏🙏🙏sana kwa kila jambo
Good song kweli ni mungu pekee atujuae barikiwa sanaaa🙏🙏🙏🙏
Jamani huu wimbo niliusikia kwenye hope channel! Naweza nikasema is the song of the year! Ni mzuri ajabu! Umepangiliwa vizuri sana na gitaa limepigwa vizuri mnooo...hongera sana Japhet!
🙌🙌 wimbo umenibariki Aiseeeh....
I love it, feeling encouraged from Kenya.
Bwana asikusahau mbinguni maana umekuwa mbaraka Kwa wengi
Nakupenda kaka unajitahid saana
Barikiwa mtumishi wa Mungu 🎉🙏
Amazing song with a powerful msg❤🎉
Mungu azid kukutumia kaka angu penda sana
Infact mungu pekee ndiye mkuu wetu... so you are true 👍brother zabrone this song 🎵 actually blessed 🙌me iam blessed with you 🙏🙌❤💙😊
Mungu wa mbinguni akujalie japhet zabron 🙏🙏waache waseme
Uko vizuri endelea kunyenyekea mbele za Mungu ili akuinue zaidi.
Hii ni Zaid ya yoyote
Melody ✅
Ujumbe✅
Godbless u🙌
KAZI nzuri sana, God bless you
Hakika waache waseme ni kazi ya baraka sana hii, hongera sana kaka yetu!🔥🔥🎶
Nakukubali sana
Mungu..akubariki ..na akutunze..uzidi kuwabaraka
Mungu akubariki napenda xn nyimbo zako
Nice song bro Japheth aki barikiwa sana
Penda sana zabron💗💗💗💗💗💗💗
Wimbo mzuri ,mbarikiwe ndugu uko,mwatubariki sana.❤❤much love from Kenya 🇰🇪🔥🎉
Am blessed with this annoited song
Mungu akusongese mbele kwa kazi yake zaidi akupe nguvu ❤
Niko Kenya naomba kutoa nyimbo ingine hapo Kali na wewe am an adventist
Nimetafuta sana huu wimbo hatimae nimepata
Wimbo unanitia sana moyo napitia majaribu lakini nafajirika na huu wimbo jamanii❤❤
Nimelia sana huu wimbo😭😭😭😭😭😭😭
Umetisha Mzee🔥🔥🔥
Wooow Very Good Song
Me From RD Congo 🇨🇩🇨🇩
I love you so much ♥️♥️♥️♥️♥️
Unanifariji sana, km vile ulijua nayoyapitia. Mungu akubariki kaka angu🙏🏼.
Jamaaaaniii! " Naomba collabo brother, una kitu kipo ndani yako! 😭😭
A beautiful encouraging song. Be blessed Japheth.
Nyimbo nzuri Mungu apewe sifa🙏🏼
Hongera sana kaka kazi nzuri
Amina.Wimbo mzuri na ujumbe mzito
Ndugu nakutafuta sana,Nina jambo nataka kusema na wewe
I believe that nothing is permanent,its for a season and it have a good reason for a lesson of good testimony 😊,Wacha waseme,2Corinthians 4:16-18🙏🏿🙏🏿,Amen,thank you Japhet God grant you more Wisdom and grace 💙💙💙.
Ameeen waache wasema mchana usiku watalala hii nimeipenda Mungu pekeee ndo mkamilifu
Kaka Bwana aendelee kukutumia na mataifa yote tukabarikiwe
Kabisaaaaa bro kweli kweli.
Barikiwa sana mtumishi
kazi nzuri unafanya
blessing in
disguise
❤❤nabarikiwa sanaa mungu akubariki
Inapendeza vile Mungu hawazi kama wanadamu....waache waseme.
Nyimbo zako zinastahili kuwa na 10M+ views, jumbe hizi zinapaswa kuwafikia watu wengi Sana watiwe moyo kama unavyonitia moyo Mimi.
Wow congrats bro japhet,,,
MUNGUU akujalie Mr Japheth songa mbele MUNGUU akuteteeee
Umewapenda hawaoni,Waache waseme🙏🙏
What a powerful song 🎵 👏
Ni Mungu tu ndo anayejua ninayoyapitia hajanitenga najua thanks so much for your song zabron singers
Ni wimbo ninaipenda sana hakika ni Mungu pekee ndio ananijua nilivyo
Barikiwa sana Mtumishi 🙏
What amazing song lyrics...!
A wonderful teaching 🎉🎉🎉
Only God knows...Mungu aendelee kukuinua
Mimi nimewaacha waseme mungu Atawajibu🎤🎸🎧🕓💝💝💝💝
Wimbo unanibariki San Kaz nzur mutumish ubarikiwe sana ♥️♥️
Hii nyimbo naipenda sana nilikua naisikiliza oudio toka mwaka juz kwenye flash sikujua ni zabron ndo umeimba
AMINA MTUMISHI
BARIKIWA SANA KWA FARAJA YA NENO 🙏🏼
Nimeusubiri kwa mda mrefu sana huu wimbo naupenda sana
Unanibariki sana ad natokwa machozi jmn
Hakika kazi Yako nibalaka tosha balikiwa sana mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi, wimbo umenibariki sana.
Huu mkali sana hongera
Huu wimbo unanitoa machozi Kila nkskliza
Hakika ni Mungu ndo anijuaye
Ndio kaka nakuona sawasawa
FROM BUSANDA SEC TO THE TOP , PREACHING THOUGH MUSIC GOD BLESS YOU MOOLA..FRM JEREMIAH . KEEP IT UP LET THEM SAY.
Naupenda sn huu wimbo mie☺ july 2024 am here again 2 listen
Unatubaliki, balikiwa sana
Nice song 🙏🏼 barikiwa
Barikiwa mtumishi
Ngoma Kali sana
🙏🏾
😭😭nimejikuta nalia tyu,be blessed sana
Japhet keep on the good work, further more their is no perfect person .
U never disappoint us Japhet
Welcome again!! Nashukuru
And pls post the Swahili lyrics up for us to see and learn
I will 🙏🏾
Ndiyo uharisia barikiwa sana