Kenyans where are you likes ziko wapi ingine kali imekam ❤😘when I listen japhet songs roho inafunguka I can pray sana kwanza ile niache niende oo my lord
Mie ni mtanzania na nipo Tanzania. Lakini hongereni sana wakenya mpo active saana katika kusapoti waimbaji wa Tanzania. Na mko active kwenye kucomment. Nawapenda bure❤ natamani siku Moja nije nitembelee Kenya majirani zetu.
Nmemtumia kaka yangu huu wimbo amefarijika sana kwani anapitia kipindi kigumj sana ila nmemwambia hauko peke yako hapo ulipo upo na Mungu akabasam hakika Mungu mwema🙏🙏🙏🙏
Aaaiy Japhet...sasa hii gani tena, sasa hii ndiyo yenyewe 👌👌🔥🔥🔥am trying to get 2, hours loop so that i can get it word to word....what a covenant song, it is surely a personal relationship with my Father in heaven abd me....Your song has spoken to my soul....May God preserve you and your Ministry. Much love from Kenya.....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎧🎧🎧
Hongera kaka video Iko powa mazingira yanasadifu kilichoimbwa,maana kuna muda waweza ona uko mwenyewe wote wamekuacha ila muhimu ni kuamini Mungu yupo na hatuachi .KONGOLE KWA VIDEO HIYO NZURI👏
Kutoka Kenya 🇰🇪 let's show him Love,pita na like
❤
From kenya 🇰🇪 watching ur song brother Japhet from Zabron singers ❤❤❤❤
@@justinchengo4748 nipitieni guys pale kwangu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
More love from kenya❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kenyans where are you likes ziko wapi ingine kali imekam ❤😘when I listen japhet songs roho inafunguka I can pray sana kwanza ile niache niende oo my lord
Hani iyo
Gani iyo imetoka sah
Kama uko hapa mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪weka likes
Kenyans nipe likes kama umefika huku 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
By the way hakuna inchi usupport zingine kama kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️😊 nice song sana
Ikabidi nirazimike gukomenti kama unaamini upo namungu popote 🎉🎉🎉❤
Watu wa kenya Mungu awabariki sana mnaupendo sana nakaz ya mungu❤❤❤❤❤❤❤
Full full support from Kenya 🇰🇪 wapi likes zangu please na pia Mimi mnipatie support yenu Kwa kutazama video zangu ❤❤
Ninapitia wakati mgumu sana. Niko kwenye maombi ya kufunga.
I decree and declare that am not alone. Nipo na mungu.🇰🇪 Nandi county
Usihofu,Mungu wetu ni Mkuu na mkubwa kuliko unayoyapitia,atakuvusha.
Mungu akutetee
Tulio barikiwa na hii nyimbo gong like
Wimbo mzuri Sana unanitia nguvu Sana wakati kama huu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪may God bless you 🙏
❤❤❤❤❤ God Bless You..Encouraging Song God is Faithful.Amen. Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
From Kenya, good song Japhet also remember Marco's kids and their mother always tell them a word of hope.
Hongera sana kaka yetu Mungu azidi kukubariki na kukuza kipaji chako.Twabarikiwa sana kupitia nyimbo zako ..... much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kitoka Kenya 🇰🇪 nice song 🙏 sipoo pekee yangu hapa nilipo nko na mungu katika vita tunapitia hapa Lebanon 😢🤲🙏🇱🇧
Hp uko salama dadangu Mungu ako
Kongole kwa nyimbo hii Japhet Mungu akubariki maishani🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We love you from kenya 🇰🇪
May God bless you with your family ❤❤❤❤
From Kenya...nice song....Am blessed with ur songs..be blessed...in Jesus name Amen 🙏
Kazi nzuri zabron kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nishabebwa na mungu eeh.....wimbo umenibariki Japhet 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 stay blessed and happy Sabbath in advance
Mie ni mtanzania na nipo Tanzania. Lakini hongereni sana wakenya mpo active saana katika kusapoti waimbaji wa Tanzania. Na mko active kwenye kucomment. Nawapenda bure❤ natamani siku Moja nije nitembelee Kenya majirani zetu.
Karibu huku kwetu Kenya
@@KamwathiColleta Asante sana
@@KamwathiColletanipitieni guys pale kwangu
Karibu sana 😊
🤲🙏inshalla
Hapa nipo niko na Mungu nikiwa kiambu 🙏🙏🙏
Asante sana kwakazi nzur hakika mungu akubariki sana nimefilijika sana nakutia nguvu yakukazaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakenya mnajua kutonesha maana ya upendo, nawapeda sana majirani zetu! Pokeeni maua yenu ❤❤❤ 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪
Nmemtumia kaka yangu huu wimbo amefarijika sana kwani anapitia kipindi kigumj sana ila nmemwambia hauko peke yako hapo ulipo upo na Mungu akabasam hakika Mungu mwema🙏🙏🙏🙏
Amen
Dear God, bless Japhet and the entire family. Mungu azidi kukupatia nguvu na upendo milele na milele. 🙏🙏🙌💗💓❤️🩹🩵💚🎉😮😅😢😢😊😢
Me I just pray for this guy ,asirudi nyuma ,na penye anaenda God bless him from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sipo peke yangu nipo na Mungu .... wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mpo I dedicate this song to My self na wale wote mko nje ya nchi
This song makes me feel much secured in christ❤❤🙏
Kudos❤❤Keep going young man....more blessings from above☺️☺️Sky is the limit💯BIG UP BROTHER👊👊
Kila wakati nipo na Mungu😢🙏🙏. Wimbo wa kiwakati. Barikiwa Japhe. Ni Barack
Eee mimi hii song imenirivive kabisa.. nilikuwa chini sana kiroho,.... thanks bro kwa kukubali kutumika ❤❤❤❤❤❤❤❤na Mungu
Siku moja nitakuwa msanii mkubwa kama Japhet. Mafunzo ninayojielimisha kutoka kwake najua ipo siku tu. Sijafika lakini Mungu ana mpango.
Mi niwa Mungu 🙏🙏🙏 be blessed broo nyimbo zako zabariki sana ..Mungu azidi kukuinua juu zaidi 🙏🙏
Sipo peke yangu kila wakati Nipo na MUNGU ❤❤❤je waijua Siri ya MUNGU na mtu???tumepata nini mimi na MUNGU, napendwa na MUNGU mie🎉🎉🎉
Team kuchiamini wapi likes za bebii mko wapi, inashika ivo ndio tunasmile tukiwatch hii song❤❤❤❤❤
Eeeeiish Kama Sio Hivi Sitaki😊😊😊.I'm Happy For You Two
Tulio barikiwa na hii nyimbo gonga like hapa🥰🥰
❤❤❤
Akii uko na kibali excellent 🎉❤😅🙏🇰🇪 we love you
Wahoo! Japheth, you make me cry any time I listen to your voice. Keep on going on my brother ❤❤❤❤
From kenya... believing in God...usiniguze!💗
Hapa❤ ❤nilipo na mungu 🙏🙏🙏🙏🙏zabron mungu akuzidishe
Nipo na wakati wote mungu awabariki sana❤❤❤❤
Ameeen sipo pekeangu🙏🙏
From uganda I'm always grateful and blessed by the songs from zabron singers God bless you all brotherns in Christ
Wimbo mzuri sana nabarikiwa nikiwa Kenya❤❤❤
I speak that the mighty hand of God will carry these children to the greatest heights that their father envisioned for them in Jesus' name 🙏
I am always with God.Thanks brother for the Amazing songo.Nipo and tupo na mungu Kila wakati
Wimbo mzuri sana ..Mungu aendelee kukulinda siku zote .
I am from Kenya. Nice song Japhet Zabron
Kama ulikuwa shalom worship experience at prideinn paradise Mombasa tukusanyike hapa... This is powerful. Likes zikuje🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aaaiy Japhet...sasa hii gani tena, sasa hii ndiyo yenyewe 👌👌🔥🔥🔥am trying to get 2, hours loop so that i can get it word to word....what a covenant song, it is surely a personal relationship with my Father in heaven abd me....Your song has spoken to my soul....May God preserve you and your Ministry. Much love from Kenya.....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎧🎧🎧
Good sana unajua kunikuna kunako bro mungu akusimamie
Sipo peke yangu hapa nilipo nipo na Mungu🙏🙏🙏be blessed bro japhet
Waaaaaah huu wimbo unanigusa ile mbaya,,,kongole sana Japheth,,zabron singers...fan wenu kutoka Kenya
Mwaka huu 2024 nimepitia changamato Ila Mungu amekuwa n mimi,, amenipa Ushuhuda 🙏,, Mungu yupo nami
Good song..imenikuza sana...God bless you japhet..may your way shine forever in the Lord
Lovely can feel it in my heart❤❤❤ commenting from kenya africa
😊😊😊 nyimbo zako hunijengea siku.. be blessed
Good job bro ❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪
Nimeipenda ndugu Japhet, nimeipenda kabisa! Imenifika rohoni. Barikiwa.
Am from Kenya and really love the artist may God grant him more life ❤❤
Mimi ni mtanzania niwapongeze wakenya kwa roho nzuri,ya kumsappot Japhet
Kuna watu wanaendaga makanisani kila siku lakini wanaenda kwa waganga kutambika wanadai mungu anasaidiwa na ilizi
I love from Kenya 🇰🇪
Always Kenyans, we love zabron singers, endeleyeni mbele
Hapanilipo nipo na Mungu🙏🙏🙏
Kazi safi sana zabron❤
Kaka napenda sana unapotagaza ijili na nyimbo zako zaniweka uwe Imani hapo nilipo na mungu Yu NAMI
Amen we are watching from Nairobi Kenya wimbo mtamu Sasa nipo na Mungu
Halleluya,wimbo mzuri uliobeba uwepo wa Mungu
God bless you nimebarikiwa kupitia hii wimbo
Ni kweli ubarikiwe
Nipo Zambia nyimbo nzuri sana
Ubarikiwe tu sana from Kenya
Hongera kaka video Iko powa mazingira yanasadifu kilichoimbwa,maana kuna muda waweza ona uko mwenyewe wote wamekuacha ila muhimu ni kuamini Mungu yupo na hatuachi .KONGOLE KWA VIDEO HIYO NZURI👏
God bless you my brother 4:15
Am Emmy from Nakuru
wimbo mzuri sana mungu atukuzwe siri ni kuokoka na kumwamini yesu tena tulitii neno kabisa hakuna mtu atatugusa
Umesemaa jambo labusara Sanaa
Uwakemee kabla hawajakuwai kaka in the name of jesus
Japhet babaa acha nikuambie mti usio matunda haupurwi mawe kwa hiyo waliona kitu kwako.Mungu ndiye mtetezi wako atakupigania kutoka kenya
japhet hongera Sana nasisi Kama kikundi 2nakusapoti na 2nakupa Mauwa yako🎉🎉🎉 bariwa pia 2naomba sapoti yako na we Kama mwimbaji mwenze2
Asanteee
Wakenya nasi tunawapenda sana hongereni sana kwa kukubali njimbo za injili tz ❤
Sipo pekeagu nko na mungu mucha love from 🇰🇪 wimbo mzuri
Hapa nilipo nipo na mungu.Amen
Wimbo huu unanipa nguvu hakika sipo peke yangu
Sipo pekee yangu,hapa nilipo nipo na mungu
Ooh Kenyans, si we love zabron. Forever together in supporting them.
Ninatumai sijachelewa,wimbo mzuri sana,upendo mwingi kutoka Kenya 💜💜
Nakupenda sana kaka Japhet mungu akulinde kaka
My God will lead me through it indeed bro 🎉🎉🎉
Siko peke yangu nilipo nipo na Mungu, wimbo mzuri barikiwa kaka.
Mungu akutie nguv Japheth
Hapa nlipo nko na mungu very cool song wow...
Barikiwa sana 🥳
Nitajibiwa kwel au nimechelewa Mungu nisaidie 😢
Majibu yaja
Nmebarikiwa sana na huu wimbo MUNGU akubark sana mtumish.
Thanks to the Almighty God for this far and for being always there for us 🙏🙏
From Kenya 🇰🇪 let's show our brother love ❤🙏🙏
God bless
Amina utukufu kwa Bwana Yesu Kristo
Much love from kenya. Hapa nilipo nipo na mungu. Kwa hakika. Amina sana. 🙏🙏🙏
Mungu awatie nguvu nawapenda sn