I am in U S A. 19000 miles away from Tanzania but I love the songs of this team. I am writing this with a lot of tears. I wish I can be next to this brothers and sisters and sing this with combo with them. Someone needs to talk to be please.
mungu asie waacha wana wake ,, -kwa hiki kipindi kingumu sana mungu awe upande wenu kuwafariji . hapa kenya twaomboleza na nyinyi na tunawaombea neema ya bwana iwe juu wenu ndungu na dada zetu❤❤❤❤ tunawapendaz. neema itoshe😢
Hadi wa leo sijawai amimi Marco is no more 😢 kwani kunaedanga aje.Mungu tusaidie kuzidi kuhesabu siku zetu.we shall meet him in paradise if we remain to be faithful.poleni sana Wana Zabron .kweli inauma sana.
Mungu tujalie mwisho mwema, tutaonana tena Marco Mungu awe mfariji wenu familia na zabron singers kwa ujumla.. ! Pumzika kwa amani bwana alitwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe!😢
I used to play their,mkono wa Bwana daily in my work place computer daily from 9 am to 8pm Monday to Saturday,but from Friday nimeshindwa am in deep pain,imeniumiza Sana.Pole Sana our neighbors Tanzania.
From Kenya, So painful. May God give fortitude to Zabron Singers and the entire family. @ Japheth and Victoria na wengine, mungu awafariji wakati huu mgumu. Mjane wa Marco pole sana. Siku moja tutakutana nae na tujumuike pamoja kwenye kiti cha enzi. Poleni
Kama machozi yangeweza kuamusha mtu aleye kufa basi Marco angeamka leo maana nimelia sana😭😭😭😭😭😭 ila hatuna hiyo uwezo rip shujaa,,,pole zangu from Kenya mungu hawatie nguvu😭💔
Mungu awafariji mioyo yenu Marco ameiaga dunia sissi tumebaki tusonge mbele na kutumainia MUNGU asubuhi njrma inakuja wafu wafufuke waliolala ndani ya YESU..poleni sana
Ikiwa machozi yanaweza kumuamsha kaka Marko hakika angeamka ni wapi pumzi ya uhai inauzwa niwapi pumzi ya uhai inauzwa hakika wangenunua kaka aamke ....ASANTE MUNGU TUFUNDISHE KUHESABU SIKU ZETU😢😢😢
Nimelia sana Yan nmeliaaa Mungu nitie nguvu maana huyu kijan kaniumiza Sana kwanini majambazi na wahalifu wengine wanaishi Ila huyu kaondoka mapema sana😢😢😢😢😢 daaaahh
na sisi hatujaamini kweri Kweri na wapenda sana ndugu zangu niko Burundi lakini naumia kukosa muimbeji mcha Mungu hata mujikaze ndugu zangu Mungu nyie wote azidi kuwalinda 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hakika kizuri hakidumu kama ambavyo wasemavyo wahenga wetu, hatuna namna ya kusema au kufanya ,zaidi ya kumrudishia utukufu wake Mungu,pumzika Kwa Amani kipenzi Cha wengi,aAmina
Poleni wan Zabloni singers familia jamaa na marafiki, sisi kama your fans twaendelea kuwashikilia na maombi. Amani ya bwana na iwe nanyi mkimpumzisha. Mpendwa Marco
Not only Zabron singers are mourning in Kenya we knew him through your touching songs 😢we are mourning too may God comfort you guys
If tears could bring this guy back 😢we've really cried..tis well .till the resurrection morning.hugs from kenya 🫂🫂🫂
May his soul rest in peace
My condolences to Family.Watching this from Norway and my heart cries with the loss.
Amen
I am in U S A. 19000 miles away from Tanzania but I love the songs of this team. I am writing this with a lot of tears. I wish I can be next to this brothers and sisters and sing this with combo with them. Someone needs to talk to be please.
It's so sad 😭💔 and painful 😢
Japo ni uchungu farijikeni katika yesu mungu awatie nguvu wakati huu mgumu 😢😢😢
Ndivyo Imani yetu inavyo jaribiwa ,ninacho waombea sana .Msije mkamkatia Mungu tamaa kwaajili ya hili,tazameni kusudi la Msalaba
Poleni sana nimejikuta nimelia
Poleni sana Kwa family yao Marco zabron singers 😭💔💔😭😭 inauma sana
mungu asie waacha wana wake ,,
-kwa hiki kipindi kingumu sana mungu awe upande wenu kuwafariji . hapa kenya twaomboleza na nyinyi na tunawaombea neema ya bwana iwe juu wenu ndungu na dada zetu❤❤❤❤ tunawapendaz. neema itoshe😢
Hadi wa leo sijawai amimi Marco is no more 😢 kwani kunaedanga aje.Mungu tusaidie kuzidi kuhesabu siku zetu.we shall meet him in paradise if we remain to be faithful.poleni sana Wana Zabron .kweli inauma sana.
Mungu tujalie mwisho mwema, tutaonana tena Marco
Mungu awe mfariji wenu familia na zabron singers kwa ujumla.. ! Pumzika kwa amani bwana alitwaa na bwana ametoa jina lake lihimidiwe!😢
I used to play their,mkono wa Bwana daily in my work place computer daily from 9 am to 8pm Monday to Saturday,but from Friday nimeshindwa am in deep pain,imeniumiza Sana.Pole Sana our neighbors Tanzania.
Poleni sana,kwa familia na wana zablon,,mungu amechukuwa kilicho cheke,,mungu wa mbinguni awafariji na kuwa tia nguvu
Mungu awatie nguvu poleni sana Zabron singers tunaumia pamoja na nyinyi
From Kenya, So painful. May God give fortitude to Zabron Singers and the entire family. @ Japheth and Victoria na wengine, mungu awafariji wakati huu mgumu. Mjane wa Marco pole sana. Siku moja tutakutana nae na tujumuike pamoja kwenye kiti cha enzi. Poleni
Kama machozi yangeweza kuamusha mtu aleye kufa basi Marco angeamka leo maana nimelia sana😭😭😭😭😭😭 ila hatuna hiyo uwezo rip shujaa,,,pole zangu from Kenya mungu hawatie nguvu😭💔
Ni kweli kabisa😭😭😭😭
Poleni sana ndugu zangu chakufanya tumuombe dua ndugu yetu aliye tangulia mbele za haki mung ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu
Polen sana mungu awatie nguvu familia, ndgu marafiki, na kanisa kwa ujumla mbele Yake nyuma yetu mungu pekee aijua sababu.
Mungu aiweke roho yake pahali pema peponi. 😢😢from Kenya
So sad, poleni, may the Lord God continue to strengthen the family and the Zabrons singers
Mungu aonaye machoji ya wapendwa awafariji jitieni nguvu katika jinala Yesu kristo
Poleni sana sana wapendwa, Mwenyezi Mungu ameona mnaliweza hili jaribu atawafunga moyo mkuu litapita,pumzika kwa amani Marco
Polen sana watumishi wa Mungu mwenyez Mungu awatie nguvu sana
Mungu awafariji mioyo yenu Marco ameiaga dunia sissi tumebaki tusonge mbele na kutumainia MUNGU asubuhi njrma inakuja wafu wafufuke waliolala ndani ya YESU..poleni sana
Ikiwa machozi yanaweza kumuamsha kaka Marko hakika angeamka ni wapi pumzi ya uhai inauzwa niwapi pumzi ya uhai inauzwa hakika wangenunua kaka aamke ....ASANTE MUNGU TUFUNDISHE KUHESABU SIKU ZETU😢😢😢
Wow, niece one, creativity,hata mimi nimeumia
Poleni sana alafu pia mnajua sanaaa❤❤❤❤❤ mungu awaweke Kwa huduma yake
Mungu awatie nguvu poleni sana na ni msiba mzito san
😢😢😢
Hakika maisha yetu Mungu ndiye anayajua, wimbo huu umeniliza na kunikumbusha mbali sana 😭😭😭😭😭 Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
Hili linaumiza sana😭😭. Enda salama Michael ❤❤❤.
😢😭😭😭angekuwa hapa tungeskia sauti yake tamu aki mbona kaenda jamani Mungu mbona
❤❤❤❤❤ nakuomba
4:22
Ni msiba wa Taifa huu
Msiba wa Taifa ni ule akifa kiongozi wa Kitaifa ndiyo maana hata bendera waga zinapepea nusu mlingoti.
@@MashakaMagesafikiria kwa upana alichomaanisha kwa kusema msiba wa taifa.
Pokeeni pole zetu kutoka kenya ,maumivu makali kweli mungu awape nguvu zabron singers na familia ya Marco
Poleni sana
Nimejikuta nalia sana! Huu wimbo unaumiza sana! Kuliko unavyodhan. Nimemkumbuka kaka simon! Kwann Mungu alituhudu aondoke
Mungu awatie nguvu family ya zbron kazi yake mungu haina makosa tumuombee ndugu yetu marco apumzike kwa aman tutaonana mbinguni kwa baba marco amna
av watched this hundred times in disbelief! poleni Wana zablon tumo safarini sisi wote
Poleni Sana. Mungu awatie nguvu. Wakati Huu wa. Uchungu,Caroline from kenya
Subscribe for me too dearest 🥰
Daaaah,,, ee Mungu nakuomba huyu ndugu yetu umlaze mahala pema peponi 😭😭😭😭🤲🤲🤲💔
Mungu tuongoze siku zote za maisha yangu
Nimelia sana Yan nmeliaaa Mungu nitie nguvu maana huyu kijan kaniumiza Sana kwanini majambazi na wahalifu wengine wanaishi Ila huyu kaondoka mapema sana😢😢😢😢😢 daaaahh
Kenya tuko pamoja nanyi pole sana
😢😢😢😢😢 poleni poleni sana. Mungu Mwenyewe awafariji na kuwapanguza machozi. Lala salama kaka Marco 🙏🏽
Mungu hufanya njia pasipo na njia hata hili mtalishinda poleni sanaa
Poleni sana watumishi wa mungu.acha Mungu hamlaze mahali alipojichangulia Marco na Mungu hawafariji na hawatie nguvu
Poleni sana Zabron Singers. Mungu awafariji nyote pamoja na familia ya Marco
Pole sana mungu azidi kuwaongoza
Have cried so much,may God comfort you zabron singers
Pumzika kwa Amani Mama yangu Pumzika kwa Amani Marco😢😢😢😢😢😢
Poleni Sanaa wapendwa wa Zablon singers… kweli hili limeumiza moyo Sanaa😭😭😭😭😭😭😭. RIP Mike
Mungu awatie nguvu.
Japo yanazushwa mengi ila daima Mungu ni mwema
😭😭😭😭poleni sana Yani nimeumia sana kaka Marco Mungu akupokee🙏
na sisi hatujaamini kweri Kweri na wapenda sana ndugu zangu niko Burundi lakini naumia kukosa muimbeji mcha Mungu hata mujikaze ndugu zangu Mungu nyie wote azidi kuwalinda 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu amlaze mahalo pema peponi, awatie nguvu familia yake waliobakia
Poleni Sana MUNGU MWENYEZI awatie nguvu inauma Sana
Polen zabeon family and marco familiy god blessed maeco family from tz mwanza🇧🇼
Hakika kizuri hakidumu kama ambavyo wasemavyo wahenga wetu, hatuna namna ya kusema au kufanya ,zaidi ya kumrudishia utukufu wake Mungu,pumzika Kwa Amani kipenzi Cha wengi,aAmina
May God heal us in Kenya and our family in Tanzania.We love so much.May God Comfort you
Poleni sana kwa kipindi hichi kingumu mungu awatieh nguvu
Mungu awatie nguvu watumishi wa Mungu katika kipindi hiki kigumu
Mungu afanyike faraja kubwa kwenu🙏🏾,poleni sn ndugu
Poleni zabron. Singers kwa msiba uliowakumba. Ni huzuni sana kumpoteza.marco kwa huo umri mdogo. Mungu awafute machozi nyote. RIP Marco
Poleni sana wanzetu Watanzania...Toka hapa Kenya tumeguzika poleni poleni poleni
Hawa ndugu wanamaumivu makali sani mwenyewe Kila nikiona crip zao naishia ku😭😭😭😭😭Eee Mungu wakumbatie uwemfariji wao🙏
Mungu mwenyezi awafariji 🇰🇪.
I have mourned sana mungu mbona haki😢😢😢😢😢
Ila hatuna sababu yoyote ya kuuliza kazi ya mungu
So heartbreaking take heart wsnazabron singers na familia ya marco kwa jumla😢😢😢
Mungu awapiganieeerr😮😮
Mungu wafariji na ailaze roho yake mahali peponi pole zangu kwa familia
Pole sana kwa ndugu jamaa na marafiki wote.
Msiba kwetu sote yesu tunakuitaji sana mungu tusaidie tunahisi kuchoka tupe nguvu mungu mungu akulaze mahali pema Kaka Marco😢😢😢
Pole kwa Familia Ndugu na Jamaa Mungu akawe Faraja
Poleni sana mungu awatie nguvu
Poleni sana
Wakenya tunalia💔🥲
Poleni tuko pamoja katika hili kutoka mombsa Kenya 😢
Mungu awe faraja sana kwetu,ata sisi roho zetu zinauma saaana
Inauma sana Mungu tusaidie sana
It's such a loss watching from US in tears
Ni ngumu kuzoea ila tunapolia tusilie kama watu wasio na matumaini kwan tunaamini kuna siku yesu atarudi tutaonana na wapendwa wetu 😢😢😢
Pole sana ndugu zeto.May God confort you
Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu Wana wa Mungu, amen
Mungu wa mbinguni,hawakumbuke kwa kipindi hichii kigumu,poleni sana,😢😢
Poleni sana Mungu awe mfarijini wenu na awape amani yake.
Mungu ni mkuu awafariji katka hiki kipindi kigumu😢😢😢😢
Poleni Ndg Zetu Mungu Atusaidie Tumeumia Sana 😭
Kweli ni huzuni sanaa na upweke ndani ya mioyo,kijana mdogo kuacha family ikiwa bado wanamhitaji.mungu ingilia Kati hili
lnaumaaa 😭😭😭😭sitaki kufikiria familia na jamaa mnavyoumia...poleni Mungu wape nguvu wakati huu mgumu
I cant stop asking Lord kwa nini Uliruhusu?? 😢😢😢it's not easy
Polen sana Mungu awatie nguvu katika kipind hiki kigumu😢😢😢
Kwann umeyaruhusu haya mungu 🙌🏻😭😭😭😭😭
Aah😢😢 hili ni pigo kwa mataifa😢😢inaumiza
Mbali Mungu mwaminifu nyakati zte 😢😢😢😢
HAKIKA limetuumiza si Zabron family TU,Bali Taifa
Inauma sana,lakini si wote tuko safarini.mungu angekuwa anaulizwa swali,angeulizwa sana kwanza na watoto wangu wanapenda zabron singers
Poleen,,,,Mungu awape faraja😢
Poleni wan Zabloni singers familia jamaa na marafiki, sisi kama your fans twaendelea kuwashikilia na maombi. Amani ya bwana na iwe nanyi mkimpumzisha. Mpendwa Marco
Poleni sana majirani and God comfort you all.
Mungu mwenyezi ufuna mahali bake
Poleni sana aki mungu amueke pahari pema
Mungu ndiye anajua ,Naomba awafariji poleni Mungu amlaze mahali pema
Mungu awape nguvu na ujasiri yakuendeleza kazi yake
Nyie this song is soooo emotional 😭😭😭 RIP MICHAEL
Mungu tujalie mwisho mema pumzika kaka 😭😭😭 lakin tumaini letu lipo kwa yesu🙏
Poleni sana ndugu jamaa namarafiki pumzika kwa amani ndugu yetu
Enda salama mtumishi wa mungu nimapenzi yake mola mary from Kenya vihiga
Poleni sana😢 Hakika wote tutarudi mavumbini. Mungu awatie nguvu hakika inaumiza sana