This song Is hitting me differently. I was suspended from Collage due to School fees and now I have a Scholarship In Australia fully paid for a masters Degree. God you are Faithful😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Tulio rudia kusikiliza mara kadhaa tujuane na kama umebarikiwe nyosha mkono tujuane chap kunasiri kubwa niwafichulie gonga like hapa pleaz🎉🎉 nawapenda waimbaji wangu
Hayaumizi mpaka yakukute, bado nasubiri mkono wake mungu shule yangu ilifungwa na serikali na kunyimwa usajili, kama vile haitoshi sasa nasumbuliwa na matapeli wanaosema shule yangu waliuziwa na benki. Mungu nishike mkono mwanao naangamia!
Wimbo mzuri sana ndugu🎉,ila naomba tu kukushauri.Uimbaji sio mashindano ,napotazama naona ndani ya mwezi mmoja umeachilia vibao vitatu vizuri sana ila singependa kuona ukivuma tu kwa muda mfupi na kutoweka,hivo ningekushauri ujipee muda kabla ya kuachia wimbo mwingine😊,wapo wengi waliokuja hivo kwa kasi ila hawakudumu na singetamani uwe mmoja wao,ni ombi langu Mungu akujalie neema na maarifa. Kwa hakika maisha yako ni ushuhuda kwa kila anayeijua safari yako mpaka ulipofika,wqcha tu Mungu aitwe Mungu na azidi kukuinua🙏🙏
❤❤❤wewe ni hatariii unayembea na upako ndio maana Mungu anakupandisha juu Kila siku sio wengine kujionesha Tu afu hawana kitu ,,,Mungu akuinue Zaid ya hapo mtumishi❤
Yaani nyimbo imeanza vizuri sana Na obby alpha Akatembea na beat kiutam sanaa Sasa Alipokuja kuimaliza nyimbo ni japhet Brooh Nyimbo umeimalizaa hebu msikilizeni japhet Jinsi Alivyo ibadilishia beat
This song inspires me daily that despite my tribulations I have a lot of reasons to thank God ! He has been with through it all. If you feel the same way like and comment so that I can keep coming back and listening to this uplifting jam over and over again! Much love from Kenya
Ayubu 22;28-29
Amen amen kaka ❤🎉
Hakika haikuwa rahisi Bali ni mkono wake Bwana Yesu.❤🙏
Nyimbo nzur sana brooo ujawhi kukosea
Huu ni wimbo bora kabisa wa mwaka. Nimebarikiwa sana na wimbo huu. Hongereni watumishi.
Amen
Kama unamkubali obby alpha japhet zabron Victoria maestro gonga like za kutosha apa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
wanaosema bila MUNGU hawawezi chochote tujuane kwa like hapa🙏
Siwezi babaangu we ndio ngome yang🙏🙏🙏🙏u
👊👊🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
mungu ni Mwema kwetu bila yeye hatuwezi lolote.
bila mungu siwez chochote
This song Is hitting me differently. I was suspended from Collage due to School fees and now I have a Scholarship In Australia fully paid for a masters Degree. God you are Faithful😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Our God is Gud
Amen,, God bless you.
When Gods' grace decides to locate you, 😊no one can prevent it from doing so
To God be the glory
Waooooooh ... Am Happy For You
Huyu jafet ni hatali nampenda sana anaimba vitu really❤❤❤❤❤
Hata mimi ninapenda japhet sana
Hakika haikuwa rahisi na bila Mungu mimi singeweza na siwezi pekee yangu 🙏, Shalom 🙏😇♥️🥰🇰🇪😂
Kwa wengine inaeza kuwa kawaida sana kufika mahali nimefika, ila kwangu ni muujiza 🔥🔥
Hallelujah 🙏
Its November haikuwa rahisi huu ni muujiza... who is here with me 🎉🎉🎉 praise God
Amen
Here I am. God is good all the time.
Amen 🙏🏼
Wanaompenda Obby Alpha Gonga like hapa tujuane🎉🎉
Tupooooo
God blessing
Nina kitu gani yesu kifanye waniseme nimeweza ukaniokota tena ukaniokota...nabarikiwa na hii part sana❤❤❤ubarikiwe kaka japheth
Wanaopenda Japheth Zablon gonga like hapa
Haikuwa raisi mimi kuokoka mana kama zambi ingekuwa inatoa harufu mimi nilikuwa nimeoza asante Mungu
wakenya wapi likes za Victor Maestro
I wish I could like more times...👍 👌 💛
Obbi alfa ,tunamkubali sana ,we Kenyans let's gather here why is our likes🎉
Kama si huruma zako ningekua wapi Yesu😢🙏🙏
Tulio rudia kusikiliza mara kadhaa tujuane na kama umebarikiwe nyosha mkono tujuane chap kunasiri kubwa niwafichulie gonga like hapa pleaz🎉🎉 nawapenda waimbaji wangu
Japhet Zabron is something else guys wow
huwa ananibamba sana kwa nyimbo zote
Haijakuwa rahisa kweli, lakini nani kama Mungu. Asante Mungu.
Blessed More, Exactly Kaka mkubwa Obby, Si RAHISI ni NGUMU kuyaelewa wala kuyaeleza MAPITO
Bila Mungu Mimi siwezi 😢 Asante Mungu kwa neema yako🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wow wow wow yani nyimbo akiwa Japhet the zablon iko amaizing The voice is voicing..Good job guys
❤❤❤❤❤❤haikua rahisi kwa kweli from kenya 🇰🇪 mungu awabariki majirani zetu ❤️
Hapa ulipo mbali Sana obby alpha 😍💯💯💯💯💯
Mtumishi Barikiwa...Mno
Ila watu wa mbeya 😢😢
From Kenya good song brother God bless you all 💯 donga like tukisonga wadau
Wow..this is amazing and a blessing to many..big up Asante mana imenibariki
Huyu japhet ni moto wa kuotea mbali aise
There's always something about men who serve God diligently. On loop mode every single day. Blessings upon blessings
I like how wame vaha wote wa tatu and Harusi ..............powa kabisa
God bless you
Amen 🙏🙏. What an amazing collaboration.
Ongelen sana! Japhet pole kwa kumpoteza brother
Hayaumizi mpaka yakukute, bado nasubiri mkono wake mungu shule yangu ilifungwa na serikali na kunyimwa usajili, kama vile haitoshi sasa nasumbuliwa na matapeli wanaosema shule yangu waliuziwa na benki. Mungu nishike mkono mwanao naangamia!
Amen 🙏 ni kweli bila Mungu hatuwezi lolote Barikiwa sana Watumishi wa MUNGU .
YESU KRISTO AENDELEE KUWATUMIA KATIKA UTUMISHI MWEMA .
Wanao sema bila Mungu tujuaneee wanawamunguu
Wimbo mzuri sana ndugu🎉,ila naomba tu kukushauri.Uimbaji sio mashindano ,napotazama naona ndani ya mwezi mmoja umeachilia vibao vitatu vizuri sana ila singependa kuona ukivuma tu kwa muda mfupi na kutoweka,hivo ningekushauri ujipee muda kabla ya kuachia wimbo mwingine😊,wapo wengi waliokuja hivo kwa kasi ila hawakudumu na singetamani uwe mmoja wao,ni ombi langu Mungu akujalie neema na maarifa. Kwa hakika maisha yako ni ushuhuda kwa kila anayeijua safari yako mpaka ulipofika,wqcha tu Mungu aitwe Mungu na azidi kukuinua🙏🙏
❤❤❤wewe ni hatariii unayembea na upako ndio maana Mungu anakupandisha juu Kila siku sio wengine kujionesha Tu afu hawana kitu ,,,Mungu akuinue Zaid ya hapo mtumishi❤
😢kuna vile moyo umebeba n kupitia magumu mengi alafu unaiona hii video ....Be Blessed.....inaamsha hope mpya moyoni
Ila hivi vichwa viwili hivi ni balaa Obby & Japheth.
God bleessing
Nice work brother,,,God bless you ,,,,
Bila Mungu hata mimi mwenyewe sijui ningekuwa wapi, it's been God and it will always be Him
Victor maestro ni noma sana from kenya be blessed but were waiting for your channel
This has become my anthem "uliniokota tena ukaniokota. Nilikuwa si chochote si lolote😭😭😭😭..thank you for giving me a song that takes me on our knees
Nabarkiwa Sana na huu wimbo Mungu awabariki sana
Nakumbuka mbali sana hakika ni Mkono wake Mungu🙏
My testimony🙏🙏🙏
Awesome message!
More Grace @ObbyAlpha🙏💥💥💥🇺🇬🇺🇬
Yaani nyimbo imeanza vizuri sana Na obby alpha Akatembea na beat kiutam sanaa Sasa Alipokuja kuimaliza nyimbo ni japhet Brooh Nyimbo umeimalizaa hebu msikilizeni japhet Jinsi Alivyo ibadilishia beat
Huu wimbo umenibariki Sana sijawahi kuwaza ningesikika kwenye Radioni na kuonekana kwenye Television 📺
Walionidharau watanisalimia kwa heshima.Liked,shared,commented 2025
Amen🙏🙏 kwa kweli bila MUNGU hatuwezi chochote mbarikiwe na BWANA 🙏🙏🙏
Woooooow ubarikiweee sana kaka yangu nyimbo nzuri sana nimependa
❤❤❤naona hatujapoteza sana mungu aendelee kuwawezesha
This is on replay. It is amazing how great Jehovah is. It is outstanding how loving and faithful our great God is. It is never easy, BUT Jesus…..
Hadi hapa namshukuru MUNGU tu,, lakini naamini Mungu nitainuliwa kwa wakati wake zaid😢 bila Mungu mm swez
I pray may God hear every one who is calling him🤲🏼
Mungu akupe maisha marefu naupenda sana huu wimbo
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
Sautiii nzurii Sanaa 🎉🎉
Haikuwa rahisii kusema ukweli ❤🙏🙏 nawapenda sanaa
Ubarikiwe mujakazi.napenda sana hii wimbo. hii wimbo ni ufunuwo mukubwa kutota mwenyezi mungu.❤❤
❤❤❤❤Nabalikiwa sana na pia ilikuwa ndoto yangu kuon niny wawil mnaimb pamoja*@japhet zabron na @obby alfa❤❤nawapenda san na mungu awape maarifa zaid❤
Huu jumbe kwenye huuu wimbo acha Mungu aitwe Mungu nilipo toka na hapa ni lipo sio akili zangu wala nguvu zangu
Truly, Bila MUNGU mm Siwezi.That's why I testify,,,haikuwa rahisi.Thanks much ooh my Lord Jesus.
Nazipenda nyimbo zako obby. Quite inspirational...barikiwa zaidi
Yani,ni kweli kabsa,bila Mungu hatuwezi,hapa tulipo ni neema tu
Haikutosha pale CALVARY bado apo nami ❤ Bila Mungu mm siwezi
Mungu azidi pumzi na uzima, asikengeuke kama hao waimbaji wengine wanaanza na gospel ghafla unasikia anaanza kuimba bongo fleva
❤❤❤haikuwa rahisi kweli kweli😢 ,much love from 🇰🇪 ❤
Wonderful and you guys have great and lovely voices.
Hakika ni mkono wa mungu my dear ❤🎉😢💯🙏✨
This is too Evangelical... May God bless you lads and your ministries...
Hallelujah!ni nguvu zake tu ju bila yeye hatuwezi...may the lord continue lifting you guy's up❤❤
Obby alpha kaka nabarikiwa sana Kwa kipawa chako mungu azidi kukubariki
Wimbo nzuri sana mbarikiwe. haikuwa rahisi Mimi kufika hapa wimbo umenibariki sana sana 🙏🏼🙏🏼🙇🏼♀️
Burundi 🇧🇮 we are here to show love 🇧🇮 ❤❤❤
NEEEEMAA...Wengine katupangia eti hatutofaulu lakini mipango ya Mungu aipangapo hakuna wa kupinga...
nimependa hii nyimbo sana hata mimi naomba support
This song inspires me daily that despite my tribulations I have a lot of reasons to thank God ! He has been with through it all. If you feel the same way like and comment so that I can keep coming back and listening to this uplifting jam over and over again! Much love from Kenya
That victor maestro verse is top notch.......💥💥 3:08
Bila MUNGU mimi siwezi 🙌
Vijana wa maaana kabisa haikuwa rahisi kweli
Bila Mungu sijui mimi mwenyewe ningekua wapi😢 it's been God and it will always be Him🙏 ❤
Beautiful day with beautiful song blessed Mr Alpha obby
Japheti fundi fundi alafu fundi tena
❤❤❤huu wimbo hunibariki sana ,napenda kuuskiza sana
The music is so cool.
Big up Man of God
Obby Alpha you will go far in JESUS NAME
This is true God has good plans calendar 📆 yake c ya mwanadamu❤
Nice song God bless y'all 🙌 🙏 ❤️ 👏
Daaah vijana mmeimba siyo mchezo Mungu awabariki 🙏
Listening to this song and I can't tell how uplifted I feel...
This was timely in my current situation.❤
Kama sihuruma yako kama sirehema zako ingekuwa aje baba nashukuru Mungu awabariki vijana wangu
Haikuwa rahisi kufika hapa ni mkono wake bila Mungu mimi siwezi 2025
Kwa kweli bila mungu mimi siwezi ' nakutumaini kwa kila jambo jehovah ❤❤
Kaka hongera sana kazi zuri sana Mungu akupandishe viwango vyengine
God bless you brother,hakika mimi siwezi kama sio Mungu
What a masterpiece...I love Obby's songs but this combination was something else ❤❤❤🇰🇪
Vijana kuungana kumtukuza Mungu, ni jambo la kutiwa Moyo, hongereni mzidi kubarikiwa
15/12/2024 will come back to celebrate with this song of a something have been waiting for.
Please I will celebrate with you, may God do it 🎉
Back here to celebrate with this song again because he has done it for me,he has answered my desire.
@@Faykyms Glory to God, congratulations 🎊
@@damarisfirstdaughter thankyou I celebrate God
We are here 2025 ni mkono wake Mungu ❤❤❤
Brother unajua, Mungu akubariki sana ety
Mimi siwezi bila msaada wa Mungu 🙌🙌🙌🙌☝️🙏