Best interview so far.. Good questions,, good attempt.. Maswali na majibu quenched the viewers thirst. Thanks & congratulations for this & more Salim. Mtume nimekuelewa.
Ila Kikeke ni the best aloo, alafu jamaa anachanganyikiwa kwelikweli akisifiwa kidogo tu,its the right button ya yeye kuongeza kujielezea kisawasawa,yaan amemjua vyema mtu wake,big up Kikeke!
Moja kilicho nifrahisha my prophet geodavie anaongea mambo ambayo ya hekima Sana ukimsikilisa Kwa umakini prophet geodavie na pastor Tony Osborn nikwambie iviii mafanikio yako ni makubwa Sana mm nishafanikiwa nasema kweli 💯💯💯
Daaah Nabii Yuko Poa Kabsaa 💯, wengne wangesema walitokewa na Mungu mara Oohh nililiona Jua But this Man Keep a standard of GOD ❤. Msikilize kwa Umakinii utapata kitu
BONGO,EAST AFRICA SIJAWAHI KUANGALIA INTERVIEW AMBAYO M2 AMEKAA AKA CREATE CONTENT THEN AKAULIZA MASWALI AMBAYO YANA FAIDA (FRIENDLY INTERVIEW) VERY PROFESSIONAL SALUTE KWA SALIM
Nabii mkuu ana historia ndefu hakuzuka tu ulikua ni mwendo wa mail kwa mail hadi akafika alipo sasa Mungu ampe maisha marefu zaidi ili tuzidi kunufaika na material yake ya viwango vya juu kabisa
This is what God need us to answer some questions when he did all things in our life , I think some pastor (s) should learn 🙏 something from this Interview 💫💯.
Well said The St. Sr.Grand Prophet of The Equator,ambassador of Peace,The Great Teacher,The super specialist,Maestro geedee,The Spokesman Of The God's Kingdom Government,The Humanitarian,Prof.Dr.(P.h.D) Geordavie we real loves you and your precious Teachings,we pray to Amighty God of our lord Jesus to continue keeping you safe, only Chosen and wise People will continue to Understand your vision,mission and purpose of Prophetic Gospel towards the Church in the World
Keep up with God kingdom Government(Maisha ya mtu wa Mungu lazimaa yawe kwenye standard ya juu coz tumeumbwa tutawale)God bless you our dear Daddy Baba mtakatifu nabii mkuu,Tunaaminii naa sisi tutafikaa ulipo Amen
Wewe bado ni mchanga sana kiroho unasafiri ndefu ya kukua ili uweze kuelewa hiyo statement. Wewe mwenyewe unaweza kukaa na Mungu kikao inategemeana na jinsi gani ulivyowekeza katika yeye
Mungu kampa nabii mkuu kibarili na malaka yakweli matendo yake na mafundisho yake niyapeke sana pamoja na kusaidia watu wengi kuliko watumishi wengi kazi yao nikupokea kuliko kutowa kwa watu wene witaji
Tb joshua ujawahi kumjua ,nakushauri upokee moyo wa unyenyekevu umsikilize nakuhakikishia utanikumbuka,usijaribu kabisa kumsema vibaya kwa kuwa Unafata mkumbo,Tb joshua usimseme nakushauri na ata hawa wengine waombee huna mamlaka ya kunena uchafu Mungu akusaidie
6:32 - Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?
Nabii enzi hizi unabii wako ni wa nini unatabili ujio wa YESU mara ya pili? YESU hakuwa na walinzi alikuwa na wanafunzi kwa sababu hakuwa mfalme wa Dunia.
I remember miaka kama 17 nyuma nilikuwa nimeumia kiganja cha mkono, kulikuwa na children's day kanisani kwake tukaenda n ilikuwa watoto wanapita anawashika mikono. That's was the first time niliexperience a live miracle coz mkono ulikuwa ukiniuma ulipona palepale
Kuwa makini Shetani nae hutenda miujiza na watu wanaamini. Alipotupwa duniani alinyimwa utukufu peke yake, ila nguvu anazo na ana uzuri wake ule ule, vya shetani huwa ni vzuri mnoo. Unaweza kuletewa hata ndugu yako aliyekufa na ukaamini ni yeye umeongea nae kumbe ni mapepo soma vzuri juu ya Pepo wa utambuzi Sauli alivyoomba apandishiwe Samwel
Huo ni mutazamo wako siku za mwisho kutakua manabii wa uongo kingine kijana wake wa kiume unajua Nini? Kilimtokea"" watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Nabii ana mhekima sana, kuna siku mchungaji mmoja alisema aniombe nipate kazi, nifanikiwe wakati huo huo hapo nyumbani kwake ana watoto wake wakuwazaa walio maliza vyuo vikuu ila wapo nyumbani wanaangaika na kulima tena vibaru, nilikimbia nikaoa anataka kunitia mikosi.
Nyie mnaoteseka na rangi rangi Nabii hata kwa muonekano anatangaza habari njema kwa hiyo hata rangi yake ni kwa ajili ya Mataifa mbalimbali kupokea habari njema...rangi yake inatangaza kuwafikia mataifa mbalimbali 🎉🎉si wa kwetu tu
Mbona mnazunmzia kidevu heti kamaliza ndevu zote ,wengi mikono nyeusi, mstachi hayo ni mambo binafsi hacha wivu anapendeza, nyie zungumzieni kazi yake,shuhudieni kama mliwai kuona anateda dhambi kama siyo, Mungu aonae sirini ndiye ajuaye acheni mipakazo na wivu.
Kuna manabiii Wana mambo meeengi saaan Kwa sasa ila huyu mwamba namkubali na nampenda saaaaan, siyo nabii wa kuropoka au kusikilizia trending za mitandao,ana hekima
Wanaomsema vibaya hapa wajue tu huyu ni Nabii wa kweli kabisa na Kila kitu anachosema ni kweli kabisa akitoa unabii unapita pale pale mi binafsi namuamini nampenda na ninajua ni Nabii wa kweli mungu amtunze huyu baba yangu Aishi miaka mingiiiiiiii tunampenda sana
Mm napakumbuka mjini mwa Daudi tuliigia shimoni mwaka 2010 hadi 2014 nimesahau nilienda Arusha kule kisongo nikapata kuona mahali penye historia ambapo nabii alitokewa.
Geo Devi wewe ni mtumishi wa Mungu piga kazi baba Arusha na tazania wataerewa reo acha wakutukane ira yupo Mungu.. wewe ni jembeeeee.......hawawezi kukufikia ndooo maaana wanahangaika na wewe .nacho shanga watu wanashindwa kusoma bibria wanapambana na watu wario inuriwa...mimi nakutia moyo.piga kazi
Maelezo ya Mtumishi wa Mungu,yanaeleweka kiwepesi wala hayakanganyi,kuhusu kumjua Mungu,kuisikia sauti ya Mungu na kuyatenda mapenzi yake. Ukilinganisha na wale tunaowasoma kwenye Biblia,hakika Mheshimiwa Nabii Mkuu Daktari GeorDavie (Balozi wa Amani)ni mwakilishi wa Serikali tukufu ya Ufalme wa Mungu katika kizazi cha sasa! Udhihirisho wa nguvu na uweza wa Kimungu,unaonekana kwenye huduma mbalimbali anazozifanya,ni udhihirisho wa muunganiko wa Agano Mungu alilolifanya naye.
Kikeke napenda anavouliza maswali❤❤
Best interview so far.. Good questions,, good attempt.. Maswali na majibu quenched the viewers thirst. Thanks & congratulations for this & more Salim. Mtume nimekuelewa.
Ila Kikeke ni the best aloo, alafu jamaa anachanganyikiwa kwelikweli akisifiwa kidogo tu,its the right button ya yeye kuongeza kujielezea kisawasawa,yaan amemjua vyema mtu wake,big up Kikeke!
So genius nabii geordevi.hongera kikeke kwa interview nzuri.
Acha upimbi
Huyo ni nabii au msanii😂😂😂
Moja kilicho nifrahisha my prophet geodavie anaongea mambo ambayo ya hekima Sana ukimsikilisa Kwa umakini prophet geodavie na pastor Tony Osborn nikwambie iviii mafanikio yako ni makubwa Sana mm nishafanikiwa nasema kweli 💯💯💯
Fanya kazi huwezi sikiliza watu ukafanikiwa bila mipango yako mwenyewe
Hata Magufuli alisema fanya kazi ili ufanikiwe asiyefanya kaz hata kula hatokula
Big Dady, Big Boss, Big Knowledge, Big Wisdom 💯💯💯💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏
😂😂 mi dady wako ? Jinga ww funguka ,
Big up sana Geo Davie 👍 , wenye wivu wajinyongee😂😂
Daaah Nabii Yuko Poa Kabsaa 💯, wengne wangesema walitokewa na Mungu mara Oohh nililiona Jua But this Man Keep a standard of GOD ❤. Msikilize kwa Umakinii utapata kitu
Ktafute mahojiano yake na millard ayo😅😅😅😅
Hujaiona ile anapewa funguo na Yesu.?
Huyu Mzee ni muongo alipoojiwa na milladiayo alisema alitokewa na yesu Leo anasema tofauti
Ogopa mungu na internet bn mzee kajisahau
Alisha ongea kuwa alitokewa na mungu fuatilia nyuma ok yupo vizur nabii
Safi sana mtumishi u made a difference
BONGO,EAST AFRICA
SIJAWAHI KUANGALIA INTERVIEW AMBAYO M2 AMEKAA AKA CREATE CONTENT THEN AKAULIZA MASWALI AMBAYO YANA FAIDA (FRIENDLY INTERVIEW) VERY PROFESSIONAL
SALUTE KWA SALIM
Kikeke has best masha Allah he has got amazing voice ❤❤❤❤
Nabii mkuu ana historia ndefu hakuzuka tu ulikua ni mwendo wa mail kwa mail hadi akafika alipo sasa Mungu ampe maisha marefu zaidi ili tuzidi kunufaika na material yake ya viwango vya juu kabisa
Storia yake haieleweki
Man of God GeorDavie 🙏 wewe ni Mwamba 🙌
Nimefurahi sana kuskia Myles Munroe amekuwa mtu pekee alie mkuza kiimani pastor Geordavie .!
R.I.P DR MYLES .!
This is what God need us to answer some questions when he did all things in our life , I think some pastor (s) should learn 🙏 something from this Interview 💫💯.
Best journalist in Africa...
Jamaa ni nguli wa habari bongo Kwa wakati mrefu kidogo bila kuweka takwimu sahihi
Msomi hujibu bila kujikaza mana ni kweli anachokisema. Mungu akupe maisha marefu baba nabii mkuu mh.Dr Geordavie. More love dadyy
Baba, mheshimiwa,nabii,mkuu, mh Dr😅😅
😂😂😂😂 acha nikae kimya
@@mackjr5291 kumbe na wewe umeziona hizo titles?
MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMANZA
@@mackjr5291😂😂Watu wake hao,wameshaambiwa nendeni channel ya Crown. Inawezekanaje baba,nabii mkuu,mheshimiwa,dr,daddy ndani ya comment fupi tu.
Wow!!!my spiritual father ❤️❤️❤️
Amen prophet nakukubali sana
Maneno mazuri na mafunzo mazuri sana ya Nabii
My lovely daddy ❤❤❤
Amazing moment
Mungu azidi kukuheshimisha sana
Well said The St. Sr.Grand Prophet of The Equator,ambassador of Peace,The Great Teacher,The super specialist,Maestro geedee,The Spokesman Of The God's Kingdom Government,The Humanitarian,Prof.Dr.(P.h.D) Geordavie we real loves you and your precious Teachings,we pray to Amighty God of our lord Jesus to continue keeping you safe, only Chosen and wise People will continue to Understand your vision,mission and purpose of Prophetic Gospel towards the Church in the World
Uyu alianza na Mungu kisha akachukuliwa njiani by the Elite
Waoooo My Dady love you so much 🙏🙏
Keep up with God kingdom Government(Maisha ya mtu wa Mungu lazimaa yawe kwenye standard ya juu coz tumeumbwa tutawale)God bless you our dear Daddy Baba mtakatifu nabii mkuu,Tunaaminii naa sisi tutafikaa ulipo Amen
@@gabrielkiwango1893 hajasema God kingdom bali kasema gods kingdom yaani ufalme wa kishetani au
He is my spiritual teacher❤❤❤❤❤
Good interview
Congratulations my daddy
Hongera Sana mheshimiwa huyu baba anajielewa jamani
MY LOVELY DADY❤
Acha uchawa
Home boy Nina ndugu Yako anaimba mtoe et.
Asante Dr Georgdevie
Huyu si alisema alikaa kikao na mungu kwaiyo ndugu zetu wakristo mnaamuamini kweli alikaa kikao na mungu.
hakuna kitu kamahicho
Sio mbaya hata wewe na mimi tunaweza kukaa kikao Isa 1:18 SUV
Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA.
Wewe bado ni mchanga sana kiroho unasafiri ndefu ya kukua ili uweze kuelewa hiyo statement. Wewe mwenyewe unaweza kukaa na Mungu kikao inategemeana na jinsi gani ulivyowekeza katika yeye
Namwelewa sana huyu mwamba
Respect kwako baba.
Mungu tusaidie tupe macho 🙏
Kikeke, ni professional kabisa kwenye kuuliza maswali, hana maswali mareeefu
Sawa bwana Geje
Tumuombe mungu atupe macho ya rohoni kwa sababu mwishoni kutatokea manabii wa uwongo nao watawotosha wengi, mungu atupe utashi wa rohoni.
Much love from Kenya 🇰🇪 . Maulana akuzidishie🙏
Asante salim kikeke baba wa habari africa napenda hii
Kikeke najua anajisemea “Huyu mzee muongo sana” sema Afrika()
Je ni nini alichoongea cha uongo kulingana na ulichozungumza hapa?
Africa si wanaamini vya wazungu! Ila sisi tylimtambua na kumuelewa nabii mkuu hatutaki vya nje tena tushapata chakwetu
Hii Ngoma ngumu sanaa
😂😂😂😂😂😂
Mungu kampa nabii mkuu kibarili na malaka yakweli matendo yake na mafundisho yake niyapeke sana pamoja na kusaidia watu wengi kuliko watumishi wengi kazi yao nikupokea kuliko kutowa kwa watu wene witaji
😂😂😂 walinzi wa yesu walimkata mtu sikio au sijaskia vizur 🙌🙌
😅😅Ndio walimkata mtu sikio ipo kwenye biblia
@@genescosmas432😂😂😂😂😂
Ndio Kwan hujawai soma Bible
BIBLICAL GENIUS ,MAJIBU YANAYO JENGA
Njia za kupiga pesa Bongo :
Imba Nyimbo za mapenzi,
Au Ujiite Nabii
😂😂😂😂
Kamskizeni dr.myles manroe uyoo aliemiinspire. Dr.myles ni very smart anamadini sana.
HONGERA SANA BABA 🙌🏻
Tb joshua ujawahi kumjua ,nakushauri upokee moyo wa unyenyekevu umsikilize nakuhakikishia utanikumbuka,usijaribu kabisa kumsema vibaya kwa kuwa Unafata mkumbo,Tb joshua usimseme nakushauri na ata hawa wengine waombee huna mamlaka ya kunena uchafu Mungu akusaidie
✍️
6:32 - Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, je, hamtii akilini?
Hujaandika kitabu nataka nisome vizuri huu Mstari...
@@PFD123hiyo ni aya ya Qur'ani
Kama maisha ya Duniani si chochote kwanin Mungu aliwek watu duniani ?? Asingeawek mbinguni
Sema Myles Monroe ni alikua na hekima sana
Nabii kuu super
Nabii enzi hizi unabii wako ni wa nini unatabili ujio wa YESU mara ya pili? YESU hakuwa na walinzi alikuwa na wanafunzi kwa sababu hakuwa mfalme wa Dunia.
MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMANZA🙏🙏
Hata mimi
😅😅😅😅
I remember miaka kama 17 nyuma nilikuwa nimeumia kiganja cha mkono, kulikuwa na children's day kanisani kwake tukaenda n ilikuwa watoto wanapita anawashika mikono. That's was the first time niliexperience a live miracle coz mkono ulikuwa ukiniuma ulipona palepale
Ila wabongo 😂😂
@abdallahhuseinkabale7534 ndio tulivyo.
😂😂😂
Kuwa makini Shetani nae hutenda miujiza na watu wanaamini. Alipotupwa duniani alinyimwa utukufu peke yake, ila nguvu anazo na ana uzuri wake ule ule, vya shetani huwa ni vzuri mnoo. Unaweza kuletewa hata ndugu yako aliyekufa na ukaamini ni yeye umeongea nae kumbe ni mapepo soma vzuri juu ya Pepo wa utambuzi Sauli alivyoomba apandishiwe Samwel
@rebecaerick7887 Kazi ya kujudge sio yangu. I believe in God na sio mtu.
kwamba nabii wako akikuombea akiwa hana kitu itabidi imani yako kwa Mungu iwe kubwa kuliko yeye !!!! 🤣🤣🤣
Mwenyezi Mungu atupe macho ya rohoni hawa wachungaji wengi ni manabii wa uongo hila huyu geodevie akili ainipi kabisa kama ni mchungaji kweli
uyu wakipiga vizul atasemaaaa vzul iyo nguv anaitiwa wap
Hahahahahahajahahaajaja
Wewe kweli ndio wale wale
Tuache dharau na makasiriko
Gharama zake za kuombewa mwaka 2014... Kufungua njia 500,000, Kufungua mlango 1,000,000 na kufungua geti nimesahau ila ilikuwa gharama zaidi
Looh muogope Mungu we mkakaaa😂
😂😂😂😂@@janethelly4986
Heeeee jmn
MATHAYO 10:8...Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure
😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu,wajinga kweli ndo waliwao
Huyu ni Nabii Mkuu Nabii Wa Mungu kabisa apriciate dady
Huo ni mutazamo wako siku za mwisho kutakua manabii wa uongo kingine kijana wake wa kiume unajua Nini? Kilimtokea"" watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@@SmilingFlowerBouquet-hs2hvkijana Alifariki kama utakavyofariki wewe hujui chochote pole nitafte dm nikupe ushahidi mzima kuhusu broh 😂😂😂😂😂😂
Jamaa ni menta sana sio msengemsenge anacode zakuwapiga watu hasa😅
Nabii ana mhekima sana, kuna siku mchungaji mmoja alisema aniombe nipate kazi, nifanikiwe wakati huo huo hapo nyumbani kwake ana watoto wake wakuwazaa walio maliza vyuo vikuu ila wapo nyumbani wanaangaika na kulima tena vibaru, nilikimbia nikaoa anataka kunitia mikosi.
Muogopeni Mungu fungueni macho yenu acheni mikumbo
Hes very smart ❤
Muda utafika kila kitu kitakua wazi na tutaelewa kuwa tulikua tunadanganywa na Hawa manabii wa uongo wanaotumiwa na shetani.lets wait
Nyie mnaoteseka na rangi rangi Nabii hata kwa muonekano anatangaza habari njema kwa hiyo hata rangi yake ni kwa ajili ya Mataifa mbalimbali kupokea habari njema...rangi yake inatangaza kuwafikia mataifa mbalimbali 🎉🎉si wa kwetu tu
Jamaa ni msomi sana, anajibu kisomi sana.
Daah viti vizuri atari
Brown umeona vt tuuu kijana
😁😁😁😁😁
😂😂😂😂jamaaa anamashabiki sema njaa mbaya sana manina cheki comments za maparata wake😅
Wamejaa kinoma hapa kwenye comments,wametumwa😅
Umenichekesha San 😅😅😅😅
Mbona mnazunmzia kidevu heti kamaliza ndevu zote ,wengi mikono nyeusi, mstachi hayo ni mambo binafsi hacha wivu anapendeza, nyie zungumzieni kazi yake,shuhudieni kama mliwai kuona anateda dhambi kama siyo, Mungu aonae sirini ndiye ajuaye acheni mipakazo na wivu.
Huenda ulikua wito wa Mungu ila kwa sasa unamtumikia shetani kwa kujua au bila kujua ila mzee kwa Sasa umepotoka na shetani
Mzee msafi sana, ana saidiya watu, ongera Mzee.
Hakuna nguvu ya Mungu hapo.
Munngu akupe maisha marefu
Congratulations my super Daddy
Kikeke anajua sana kazi yake
Jamaa sijui anajipodoa
Tafuta hela utajua acha maswali
@happinesszephania7709 kwamba ukiwa na Hela ndo huttokua na maswali au wewe ni mfuasi wa huyo jamaa
@dc4543 ukiwa huna hela kila kitu kwako ni kibaya na hasira za kipuuzi puuz
ivii hii interview imeishia apa tu natamani hiendeleh Geordavie ni smat sana
\
Kuna manabiii Wana mambo meeengi saaan Kwa sasa ila huyu mwamba namkubali na nampenda saaaaan, siyo nabii wa kuropoka au kusikilizia trending za mitandao,ana hekima
Wanaomsema vibaya hapa wajue tu huyu ni Nabii wa kweli kabisa na Kila kitu anachosema ni kweli kabisa akitoa unabii unapita pale pale mi binafsi namuamini nampenda na ninajua ni Nabii wa kweli mungu amtunze huyu baba yangu Aishi miaka mingiiiiiiii tunampenda sana
Mmm unakipimo gani kinachokuthibitishia kuwa huyo ni nabii na Mungu anamtumia?
Ww Ndo unasema ni Nabii lkn Nabii siyo jambo dogo
Sijaona akitoa rejea yoyote kwenye biblia
@@edwinkajuna7207hata hawajafungua na maombi
Dah maisha haya..yaani watu kabisa wanamuamini huyu ...amakweli omba sana akili na maarifa
The True Definition ot the MAN OF GOD 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyo ni man of God dah haya bhn
@@nickalreadyknows SHETANI NDIO mungu wake
@@nickalreadyknows😂
Mm napakumbuka mjini mwa Daudi tuliigia shimoni mwaka 2010 hadi 2014 nimesahau nilienda Arusha kule kisongo nikapata kuona mahali penye historia ambapo nabii alitokewa.
Yesu hakua Tajiri hskua na mali na akiwaombea watu kumbe unahubir kwa utajiri
Geo Devi wewe ni mtumishi wa Mungu piga kazi baba Arusha na tazania wataerewa reo acha wakutukane ira yupo Mungu.. wewe ni jembeeeee.......hawawezi kukufikia ndooo maaana wanahangaika na wewe .nacho shanga watu wanashindwa kusoma bibria wanapambana na watu wario inuriwa...mimi nakutia moyo.piga kazi
Kumamae Geordavie Eti Yesu Akirudi Ataenda kumpokea Airport kisha atapanda gari yake😂😂😂😂
My beloved Dadie❤❤❤❤
Kikeke mitano Tena ur the best kwenye hiz kazi
Leo kaongea vizur sana
Dunia imeisha kabisa
Baba Nabii mkuu Dr Geordavie Balozi wa Amani,My lovely Daddy Uishii Miaka mingi sana Sanaa.......Baba ♥️❤
Nyie ni shida sana
Ila wanawake Mungu awasimamie tu
Man of God
Icho kicheko nikibaya sana
21:16 - Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yao kwa mchezo
21:17 - Kama tungeli taka kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.
21:18 - Bali tunaitupa kweli juu ya uwongo ikauvunja na mara ukatoweka. Na ole wenu kwa mnayo yazua.
Wafundishe sheikh wng hawajui chochote hawa ndugu zetu
That is very true daddy love you so much ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
The great Daddy of mine!! Akili ya Baba yetu ipo smart mno
Kama wewe ni nabii tuambie utakufa lini na tarehe ngapi acha kudanganya watu hakuna unabii katika zama izi ni ufunuo acha uongo
Part two.......
Ulisikiaje
Nilichojifunza elimu(be it formal or non formal) na exposure ni kitu muhimu sana! Mzee ni wazi anapenda elimu
Kikeke anakua-compromised na hekima za mtumishi....asee watumishi wachache sana wanaweza kumstand salim
Well said Nabii,
Sema mbona kama kuna mismatch ya face vs mikono/viganja..
nahic anajichubua
Maelezo ya Mtumishi wa Mungu,yanaeleweka kiwepesi wala hayakanganyi,kuhusu kumjua Mungu,kuisikia sauti ya Mungu na kuyatenda mapenzi yake.
Ukilinganisha na wale tunaowasoma kwenye Biblia,hakika Mheshimiwa Nabii Mkuu Daktari GeorDavie (Balozi wa Amani)ni mwakilishi wa Serikali tukufu ya Ufalme wa Mungu katika kizazi cha sasa!
Udhihirisho wa nguvu na uweza wa Kimungu,unaonekana kwenye huduma mbalimbali anazozifanya,ni udhihirisho wa muunganiko wa Agano Mungu alilolifanya naye.
Subiri ukumu
Shalom