SIRI NZITO NABII KAIRUKI WA KANUMBA AJITOKEZA,AMJIA JUU MARTHA MWAIPAJA NIPATIE MTOTO WANGU JOSHUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @kiswahilitv
    @kiswahilitv  29 днів тому +8

    Follow the Kiswahilitvonline channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Va8vvFmDOQIguahdWK2Z

  • @FortunatusDaniel
    @FortunatusDaniel Місяць тому +90

    Jamaa kafanana na Erick Omond

  • @zeliphangubia6844
    @zeliphangubia6844 Місяць тому +9

    The more Martha is being said, the more am loving her

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 Місяць тому +12

    Martha .hii ni vita Kali Sana🥺🥺nacho amini mungu hatakubali uangamie dada😢.mtetezi wako yupo.bora Tu ufungue moyo wako na mungu atakulinda.msaidie mamako.ukilala ukiamka kumbuka mamako .kwa lolote lile .mkumbuke mama😢.mkumbuke Tu mama....kumbuka mama ni dhahabu .katika maisha yako..mama ni funguo katika maisha yako.

  • @annmuringo8438
    @annmuringo8438 Місяць тому +16

    Martha is high time to speak out or ignore everyone and reconcile with your mum only

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 Місяць тому +18

    mbona kama hili linaniingia akilin mana john said analalamika kwamba martha hatak nimuone mtoto wang..bc ukute kwel ni mtoto wa huyu Dr kairuk ee YESU msaidie da martha jmn😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @vanvickermoviemakau1960
    @vanvickermoviemakau1960 Місяць тому +32

    Kama akona mtoto wako,unamwambia unataka mtoto wako,unafikiria huo wakati wote mtoto amekuwa akila Nini,akivaa nini,akiishi nini?Kama haukuwa na lengo la kumuoa,bona ukambebesha mimba?kwenda huko una mdomo mwingi.Watumishi wa Mungu hawapayuki hivyo.Akikushtaki hizo nyakati amekuwa akilea damu yako,utaweza kumlipa.

    • @DinahMwadime
      @DinahMwadime Місяць тому +5

      @@vanvickermoviemakau1960 Huyu kama ashtakiwe kwa kumteleza mtoto na aanze kujukumika kuanzia sasa .Na domo lake afunge na ajivue utumishi ajirekebishe.

    • @RoidaMbemba
      @RoidaMbemba Місяць тому +4

      Kweli mungu anakazi kubwa sana
      Hata huyo mtoto najua atakukataa Kwa sababu hukumjali Leo Martha kafika hapo mnajifanya kuongea sana,laana zenu hazina maana yoyote,mngelaaniwa nyie kwanza,siyo Kila mama anania njema na mtoto wake,angekuwa hana maisha msingehangaina naye,Martha jifunze kunyamaza.

    • @Osm90-m3j
      @Osm90-m3j Місяць тому

      Hakumtelekeza Bali u Msikilize kwamba alimzuia😂😂😂😂😂 Dunia simama nipande ​@@DinahMwadime

    • @margaretmkangala7774
      @margaretmkangala7774 Місяць тому

      Nakutakia safari njema ya Kenya ila usimsahau kumbariki mkwe wako mapema

    • @MathayoAlfredsaruni
      @MathayoAlfredsaruni Місяць тому

      Huyu na yye ni mbovu kabisa.. anatafuta kik tu.. huyo mtoto anafikiri alikuwa anaishije.. na hana hata aibu kuongea utumbo mkubwa kama huu..maanake na yeye ni mzinzi tu..mtumishi gani anawatoto nje ya ndoa yake ?? Saivi kila mtu anamsapoti shetani sana ila martha mwaipaja aanguke..lakini aishivyo Mungu martha atakuwa salama.. na tujichunge sana na midomo yetu hii.. itatuponza. But for now martha azidi kunyamza na tutajua maadui zake apa hapa..

  • @josephinepaul6169
    @josephinepaul6169 22 дні тому +1

    The more anaaibika the more nazidi kumpenda na kumuombea.Mungu asipungue kwako Martha. Mungu ndie mwamuzi

  • @landrinebagalwa5919
    @landrinebagalwa5919 Місяць тому +6

    Watumishi wa siku za mwisho 😂😂😂😂😂
    Tuta watambua kwa matendo na maneno kabisa 😢😢😢😢😢

  • @vivianatieno4421
    @vivianatieno4421 Місяць тому +9

    Whatever the situation , human is human 😅 we still love Martha ❤❤❤❤❤❤❤ toa nyimbo zingine tushukuru Mungu pamoja dada , lots of love from kenya .

    • @AnneySyalo
      @AnneySyalo Місяць тому

      Yes mm siezi muacha

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson Місяць тому

      Hawezi kutoboa hata akitunga wimbo hawezi kufuta machizi ya Mama yake atapata shida tu.

    • @AMOSMIHAYO-h7c
      @AMOSMIHAYO-h7c Місяць тому

      Sio wewe ila ni roho ya mashetani ndio itendayo kazi maishani mwako

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 Місяць тому +18

    Ndo maana hawa watu wanaojiita walokole siwaamini na siwaelewag kabisa😅 mchungaji anafanya usinzi na mwinbaji yaani ni uchafu mtupu alaf unasimama madhabahuni unajifanya unawekea watu mikono na unajiita nabii, huyo Roho mtakatifu ni wawapi... Looh jaman tumtafute Mungu kwa nguvu zetu kwa kusimama na kuomba rehema wenyewe sio miujiza nadhan tumejionea hapaa😢😢😮

    • @MargaretChengo-qg3rw
      @MargaretChengo-qg3rw Місяць тому +1

      Exactly, na bado anakuja kuongea na ujasiri wake wote jamani🤭🤭 Mungu atusaidie 😢

    • @PamelaHezron
      @PamelaHezron Місяць тому +1

      Huyu si mchungaji bwana mchungaji hawezi jitanabaisha kuwa alizini.

    • @SaraSara-i1l
      @SaraSara-i1l Місяць тому

      Bora waabudu mizimu😂

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 Місяць тому +1

      Hayo ni mambo ya ujanani na Mungu ukimuomba msamaha anakusamehe haijalishi huko nyuma ulikuwaje

    • @JAPHETJOSEPH-b6e
      @JAPHETJOSEPH-b6e 6 днів тому

      Duuuuuu,,,,,wokovu upo ,,walokole wapo ,,,huyu paster simwelewi.

  • @LovintaAdhiambo
    @LovintaAdhiambo Місяць тому +7

    Hii nywele si ya mtumishi wa Mungu...a Man who has long hair dishonour himself.

    • @AnnaKimey
      @AnnaKimey Місяць тому

      Ni kama kana ukimwi

    • @joyprintspro3845
      @joyprintspro3845 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂.!

    • @MariamKarembo
      @MariamKarembo 26 днів тому

      Wewe nawe kwani nywele yake yakuhusu na nini??? Sikiliza chenye anasema lkn jitho lako limepita Moja kwa Moja hadi kwa nywele akhya😂😂😂😂😂😂

  • @BilhaNduati-pg8wg
    @BilhaNduati-pg8wg 24 дні тому +3

    Ukisoma Bibilia vizuri sana ufwate vizuri, Yesu hakuzaliwa tarehe 25 December

    • @MehaiZephania
      @MehaiZephania 23 дні тому

      Ndio ukweli

    • @RehemaKasanga-i1u
      @RehemaKasanga-i1u 22 дні тому

      Kuna ukwel myuma y pazia ujiulizi miti ya krisimasi na uyo Babu krisimasi vinausiana na nn na kuzaliwa kwa yesu??

    • @MariamKarembo
      @MariamKarembo 11 днів тому

      @@RehemaKasanga-i1u kumbe tuko wengi tunao jiuliza maswali hayo🤔🤔

  • @JohnSaqwere
    @JohnSaqwere Місяць тому +1

    Acha kelele. Martha is the best❤

  • @esterlwesya6678
    @esterlwesya6678 Місяць тому +5

    Hakuna mtumishi mwenye hekima anaropoka namna hii mtandaoni 😢😢 mkweeéee😅

  • @RealGiftLydia
    @RealGiftLydia Місяць тому +4

    Mnakutana ki uduma na huku mna fanya uzinzi, yaani kama kuna watu wanao aibisha
    Yesu ni basi tu😢😢 ila siku yaja siri zote zita funuliwa,haya bado ni madogo sana.

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 Місяць тому +6

    Hii ndo shida ya kudate na wanaume vilaza😢
    Siko upande wa Martha ila huyu jamaa ni hovyo sana.

  • @amanijoseph6764
    @amanijoseph6764 Місяць тому +3

    Jamaa ana make sense sana..Kuna kitu haiko sawa kwa huyu Binti Martha..Kwanini wanajificha katika kivuli cha injili ? Kumbe wavurugaji sana..😊😊

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko Місяць тому +30

    Wakati wa mungu umetimia ngumu sana kwa mtoto kumkataa mama hii ni htr sana

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q Місяць тому +1

      Nikwel kabisa

    • @healingsschool4630
      @healingsschool4630 Місяць тому

      Martha hajamkataa mama. We sema unamtaka Martha

    • @Ester-y5m9b
      @Ester-y5m9b Місяць тому

      ​@@healingsschool4630wacha ukweli usemwe

    • @MsalabaniReko
      @MsalabaniReko Місяць тому

      @@healingsschool4630 duh ww sim kubwa bila bando ni mzigo jalibu kununua bando ili usipitwe na mambo ya mitandaon kwa unavofikili wew Martha ni mtu mdogo tz yani kila mtu anaweza kumfikia kilaisi ivo ukiweka bando nenda katazame interview za Mama yake alafu ndo uje kukoment kwangu

    • @ShamsiMbago-n2q
      @ShamsiMbago-n2q Місяць тому +3

      @@healingsschool4630 anamtaka ampeleke wap!ajamkataa kafanyeje ivo?we unaona raha mama kama yule kutoa machoz kwenye hazara?

  • @MaryMueke-s5v
    @MaryMueke-s5v 19 днів тому

    God have mercy 🙏

  • @slowmeditater
    @slowmeditater Місяць тому +7

    Mungu aruhusu watu wa hekima wamzunguke Martha kwa sasa, hata kama Mungu anamrudi basi asiruhusu akose uwezo wa kujizuia na huu uchungu katika hii moment 🙏🙏

    • @MaliamuMaliamsaidi
      @MaliamuMaliamsaidi Місяць тому +1

      Na kwa kwa nini umkatae mama

    • @dianamvuzwa-eh9ov
      @dianamvuzwa-eh9ov Місяць тому

      Unajisemeshasha kama wewe ulipata mzdhazi mzuri shukuru kila mtu anapenda awe na mapenzi mema namama lakini yakikukut utalijuwa​@@MaliamuMaliamsaidi

    • @kigesomichael8061
      @kigesomichael8061 Місяць тому

      Hana adabu anaimba nn ss

    • @JumaKasim-v1e
      @JumaKasim-v1e Місяць тому

      Huu hii ngumu sana hivi nikweli au

    • @NdayishimiyeDerick-v1c
      @NdayishimiyeDerick-v1c Місяць тому

      Yani martha kazungukwa namahaduwi huyu postors kazaa naye hakufatiliya mtoto wake hata huyokairuki niwakiduniya anyamanz wengin wasem

  • @BarakaMbise-lk1eb
    @BarakaMbise-lk1eb Місяць тому +1

    mungu akusaidie Sana Dada angu Martha

  • @kumwimbamwanabuteirene5930
    @kumwimbamwanabuteirene5930 Місяць тому +3

    😂😂😂😂😂😂iyi ni maneno uyu muchungaji ni problem

  • @MercyKilonzo-kd5vu
    @MercyKilonzo-kd5vu 15 днів тому

    Wanaounga mkono swala la martha kumkana mamake mungu awape hekima, someni maadiko vizuri

  • @ChazsMassawe
    @ChazsMassawe Місяць тому +3

    Daaaah hizi sarakasi za marta zitaisha lini Mungu wangu. Duuuu hatariiii sana

  • @HifuftfuGudwfy
    @HifuftfuGudwfy Місяць тому +1

    Mungu wambinguni nakuomba kwaajili ya martha simama sasa maana umesema tunapo kutegemea hautatuaibisha shuka sasa Mungu hii sasa nifedhea ongea sasa Mungu naomba usinyamaze 😭😭😭🙏

  • @RoseVitalis
    @RoseVitalis Місяць тому +3

    Hadi machozi yananitoka jamani Martha nampenda akamalizane na mamake mambo yanayoendelea haya ili yaishe yananiumiza sana yesu alisema pale msalabani kwa mwanafunzi aliyempenda angalia Mamayyako

  • @ErickiRuben
    @ErickiRuben 10 днів тому

    Tunaomba mungu asimame mwenyewe kwa habarihii,

  • @BandanaKavuzune-gs5zs
    @BandanaKavuzune-gs5zs 27 днів тому +3

    Waaah hii ni temptation lakini itaisha

  • @SaSdeb
    @SaSdeb 22 дні тому

    Apa n Mungu ahusike 👏👏

  • @SuzanaRobert-z5v
    @SuzanaRobert-z5v Місяць тому +8

    Miaka yote hiyo ulikuwa wapi then leo unamuhitaji hata wewe mbwa mwitu miaka yote hiyo ulikuwa wapi kumjali mtoto😂😂

    • @HappyStephan
      @HappyStephan 23 дні тому

      Eti 😮😮😮😮😮 kama taperi ivii

  • @DamarisGichana
    @DamarisGichana Місяць тому +1

    I am with you brother save the Boy who is innocent

  • @KANGAKARANI
    @KANGAKARANI Місяць тому +3

    Wow mungu anatibitisha kitu.hapaaa tenda bwnaaa

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 28 днів тому +1

    KHAAAAA NO COMMENT 😢😢😢😢😭😭😭🙌🙌🙌 NACHIDWA KU COMMUNITY NALIYAAA🙌🙌😭😭

  • @FurahaMeckson
    @FurahaMeckson Місяць тому +3

    We have Balthazar in Tanzania too??? 😂😂😂😂

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 27 днів тому +1

    wanawake bwana sasa Martha na huyu mzee dah😊

  • @AnethMasaki-c5f
    @AnethMasaki-c5f Місяць тому +4

    Mungu achilia Rehema ktk haya😮😮😮😮

  • @MonicaPeter-h9l
    @MonicaPeter-h9l 28 днів тому +1

    Martha MUNGU akutetee katika Hilo,ila mti wenye matunda Huwa unapingwa mawe hivyo usiongope MUNGU yuko pamoja na wewe , wewe ukae kimya ,BWANA YESU atakupigania

  • @amirliga6301
    @amirliga6301 Місяць тому +8

    Mtumishi unajiita Nabii wa Mungu bado unakiri kufanya uzinzi kupata na mtoto hadharani kanisa lipi linaruhusu manabii wazinifu log!!!😮😮😮

  • @RufinMwanza-e8v
    @RufinMwanza-e8v 20 днів тому

    Kaka atcha Mambo aya shida ni Nini lakini umependa kumujaribu Martha mutumishi wa mungu Yani mungu akusamee

  • @tatujuma4795
    @tatujuma4795 Місяць тому +18

    Ili haya mambo ya mitandaoni yaishe inabidi muhusika mkuu ambae ni Martha ayamalize kwa kwenda nyumbani kwa mama yake kuomba msamaha warudi ktk hali yao ya maisha ya upendo kama zamani, vinginevyo kila mtu hasa wenye nia mbaya na Martha watatumia mwanya huu kumuangusha. Na asisahau kuamua ni jinsi gani atabalance maisha kati ya familia na huyo Joan wake.

    • @annkim2690
      @annkim2690 Місяць тому +3

      Huyu jini akiwa hapo haiwezekani

    • @annkim2690
      @annkim2690 Місяць тому +2

      Huyu jini akiwa hapo haiwezekani

    • @annkim2690
      @annkim2690 Місяць тому

      Huyu jini akiwa hapo haiwezekani

    • @annkim2690
      @annkim2690 Місяць тому

      Huyu jini akiwa hapo haiwezekani

    • @annkim2690
      @annkim2690 Місяць тому

      Huyu jini akiwa hapo haiwezekani

  • @denissasso5575
    @denissasso5575 22 дні тому

    eti nabii, nabii sambuli gani huyu,
    kwa hio ulizaa na martha nje ya ndoa sio!
    bure wewe kabisa,
    Martha tunakuombea mungu azidi kukubariki.

  • @FBT146
    @FBT146 Місяць тому +3

    Sifikirii kama ni sahihi kwa mtu wa Mungu kuzungumza namna hii mtandaoni huku ni kuvunja huduma na kutokimshirikisha roho mtakatifu na je, ulisubiri haya yatokee ndipo ueleze hisia za kimwili. Samahani kwa maongezi yako upo kimwili kazungumze kifamilia muelewane
    Pia tusiwapotoshe wanaotaka kuifuata njia ya kweli

    • @joyprintspro3845
      @joyprintspro3845 Місяць тому

      Shika ulichonacho , Watumishi ni jina tu ...

  • @NeemaBaraka-l7l
    @NeemaBaraka-l7l 18 днів тому

    Mimi niko congo, naonakama iyote ni ufungulivu ya dada Martha, inawezekana huyu Johan ni ibilishi mkubwa ku mahisha ya martha.

  • @Everlyne-zg2qz
    @Everlyne-zg2qz Місяць тому +6

    Hakuna mtu hii Dunia mwenye hana kosa,tena hakuna boma linalo kosa maneno, jamani tuwachane na Martha,Ila tumwombee mtumishi pole Martha jitie Moyo yote yatapita Ni kipindi tu kinapita

  • @RoseMunisi-u8g
    @RoseMunisi-u8g Місяць тому +1

    Mungu akutie nguvu Martha ila Mungu yupo aikuwa sababu ya familia yako kuweka haya Mambo hadharani ,bite ungempenda ndugu yako ungemuombea ndugu ili Mungu amsaidie

  • @annettemalechela7543
    @annettemalechela7543 Місяць тому +13

    This is bringing more fire ulikuwa ukifanya uzinzi wakati ni mtumishi you need delivarence nay God give strength all of you

    • @AmynerNeph
      @AmynerNeph Місяць тому

      Why he doesn't want to marry her

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Місяць тому +1

      WEWE Umeuwa BILA SHOKA WALA PANGA! Umepigaje vile?

    • @mercymuturi8129
      @mercymuturi8129 Місяць тому

      Ako na mke huko Kenya alifuga ndoa na nilikuwa mmoja wa msimazi​@@AmynerNeph

    • @MaryNjoka-i3t
      @MaryNjoka-i3t Місяць тому

      Tubuni jamen

    • @MaryNjoka-i3t
      @MaryNjoka-i3t Місяць тому

      Damu yako wadai Leo ? Ujui hata kulea kusomesha,Uko Kama ulizaa inje na wewe ni mtumishi kwa hivyo ulitenda dhambi

  • @marthakitinusa9696
    @marthakitinusa9696 Місяць тому +2

    Kiburi siku zote huleta maanguko.....? Vip kuhusu uzinzi hauleti maanguko. . ? Mungu atusaidie haiko sawa hii

  • @LYDIAKHALUMI-h2z
    @LYDIAKHALUMI-h2z Місяць тому +7

    waaah dunia inamambo kweli, huo muda wote ulikuwa wapi? ndio uanze kusema haya yote.Kwani Martha ana watoto wangapi?

    • @EmilianaMbwambo
      @EmilianaMbwambo Місяць тому +1

      Dunia inamambo sana watumishi wamegeuza hii kama Dili wanatafuta kiki

  • @Cyp-x3z
    @Cyp-x3z Місяць тому +2

    Kwa kweli dunia imefika ukingoni kati ya Martha na Joan kuna siri nzito sana ila Mungu atufungue macho

  • @MiliamJonh
    @MiliamJonh Місяць тому +3

    Wachungaji MUNGU anawaona Mnasherehekea Christmas na happy birthday.. Mbona moto unawasubir

  • @ShukraniLameck-ev7dz
    @ShukraniLameck-ev7dz Місяць тому

    Wote tumetenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu. Lakini kuidhinisha dhambi haibariki, mnahudumu halafu mnazini😢 Bora nikae hivihivi

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 Місяць тому +18

    Jamaniiii huku kunusurika kufa kwa Matha hata mama yake alisema, huyu kairuki namuamini

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Місяць тому +2

      😂😂😂jaman kwan kairuki hawezi kukop maneno ya mama akaja kutudanganya

    • @neemalambo9790
      @neemalambo9790 Місяць тому +1

      @@nancyg8664 🤣🤣🤣

    • @JulianaSakatete
      @JulianaSakatete Місяць тому +1

      Ana weza kusikiliza mahojiano ya mama matha kama ulicho sikiliza Kisha nae kaongea kwenye mahojiano Hilo zaidi

    • @JustinaBalige
      @JustinaBalige Місяць тому

      Fact mi mwenyewe simuelewagi huyu jamaaa​@@nancyg8664

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      ​@@nancyg8664 anaweza kabisa na kama mtoto ni wake kwanini aje mitandaoni si aende mahakamani kudai haki. Siku zote alikuwa kimya leo kaibuka

  • @FaustaEvord
    @FaustaEvord 27 днів тому

    Duuh! Hawa manabii WA Dunia hii?? Mna mungu wenu nyinyi na huyo Martha wenu!Acheni kulihaibisha Taifa la Mungu aliye hai Mtaadhibiwa vibaya sana!

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 Місяць тому +11

    Mmefanya nimeenda kutaza wimbo wa pastor kyande😢😢😢😢Nabii hana heshima kwao😢, Martha jipe moyo haya ni mapiti tu

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 Місяць тому +3

      Umethibitisha kuwa ni nabii?

    • @Drkitsao
      @Drkitsao Місяць тому +2

      Sasa martha ni Muabudu shetani ama ni nabii? Unazingua ujue😊😊

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 Місяць тому

      Eti Nabii,unajua maana ya Nabii kweli? Nabii na mwimbaji ni watu wawili tofauti

    • @Launego2024
      @Launego2024 Місяць тому

      Nabi wap we uliskia wap

    • @InnocentBirdNest-nl4eg
      @InnocentBirdNest-nl4eg Місяць тому

      Wewe tetea upumbafu

  • @veronicahdanielstv8292
    @veronicahdanielstv8292 20 днів тому

    Mungu mkukubuke mtumishi wako Martha

  • @MbogoSouljah
    @MbogoSouljah Місяць тому +6

    Kumbe wanaume wengine tunaujinga uliozidi.
    Hakua andiko mzazi ni Mungu wa pili, na kama lipo toeni.

    • @newevelastlife2571
      @newevelastlife2571 Місяць тому

      Mpe na andiko hili asome pia.Luka 14:26 Mtu yeyote akija kwangu, asipomchukia baba yake, mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas Місяць тому

      Jifunze kusona bibilia

    • @AngelSimon-l6z
      @AngelSimon-l6z Місяць тому +1

      KUTOKA 20 : 12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 Місяць тому

      Kasema andiko linalosema mzazi ni Mungu wa pili​@@AngelSimon-l6z

    • @MbogoSouljah
      @MbogoSouljah Місяць тому

      @@newevelastlife2571
      Kuwaheshimu tunawaheshimu lkn nimesema toa andiko mzazi ni Mungu wa pili.
      Yohana 17:3
      Uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo uliye mtuma.
      (Kama sisi wazazi kuhesimiwa na watoto wetu, hatuwezi kuwa Mungu bali kunatufanya kuangukia katika kundi la miungu)

  • @MarthaIsraelBukuku
    @MarthaIsraelBukuku 23 дні тому

    Mwache Martha na Mungu wake watafika salama.

  • @josphinemwangi-mc2tw
    @josphinemwangi-mc2tw Місяць тому +4

    Huduma mkahudumiana😮😮😮😮

  • @SarahLetion
    @SarahLetion 25 днів тому

    Martha usiogopa nyamaza kimya Mungu akuteteeee kabisa.

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 Місяць тому +21

    Hii vita kali hadi ma ex wote watajulikana 😢😢
    Kifuatacho na kinaendalea kufuata😢

    • @GraceDaniel-l2n
      @GraceDaniel-l2n Місяць тому +2

      Nmecheka sana afu kumbe watumishi huwa wanazini😅😅😅

    • @annkim2690
      @annkim2690 Місяць тому

      🤣🤣🤣🤣

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 Місяць тому

      Ma ex wameandamana

    • @philomenastephen3364
      @philomenastephen3364 Місяць тому

      WAO PIA NI WANADAMU KAMA WENGINE WOTE. NA SI WOTE NI WATUMISHI WA UKWELI. NI BIASHARA.​@@GraceDaniel-l2n

    • @Brendah-i6f
      @Brendah-i6f Місяць тому

      𝐴𝑡𝑎 𝑚𝑚 𝑛𝑚𝑒𝑠ℎ𝑢𝑡𝑢𝑘𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎𝑎,, 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑎 𝑗𝑜𝑢𝑠ℎ𝑎 𝑤𝑎𝑘𝑒😂😂😂😂😂😊​@@GraceDaniel-l2n

  • @JoshRumena
    @JoshRumena Місяць тому +1

    Ww ni mushawi uko duniyani sana martha ni mutu wa roho ni sana ndiyo mana alikuasha iyo niukweli ku toka kwa mungu

  • @Purity-zl4wt
    @Purity-zl4wt Місяць тому +11

    Naona ni majira ya wazimu🤔yaani kila mtu na zake mungu turehemu

    • @naomikiula1252
      @naomikiula1252 Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiii yani

    • @mohamedadel-tu6cl
      @mohamedadel-tu6cl Місяць тому

      😂😂😂😂ati majira ya vichaa😂😂

  • @leahnjeri-oc7hx
    @leahnjeri-oc7hx Місяць тому

    Hakuna mtu hana kiburi chake,achaneni na martha kabisaa,napenda hako kadame sana❤

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono Місяць тому +6

    Uwiiii nyie martha Mungu atakupiga kwa mapigo makuu

  • @GetrudaTarimo-c7y
    @GetrudaTarimo-c7y Місяць тому

    Dada martha wewe ongea na mama yako uombe msamaha maneno yote yanaisha ila usipo patana namama maneno yanaongezeka dada pole sana mtumshi nakupenda sana kipenzi pole jamami vita sio yako mwachie mungu pekee.

  • @melisazwale2226
    @melisazwale2226 Місяць тому +3

    Na nywele vipi weee karioki rudi nyumbani 😂😂😂😂

  • @MARYNAFULA-d6o
    @MARYNAFULA-d6o Місяць тому +4

    😅😅😅😅😂hataki kuongea mengi na yale ameongea ni mengi zaidi😂😂😂

    • @hawakibona9402
      @hawakibona9402 Місяць тому

      Hakuna ambacho hajaongea yote kaongea

    • @AnnaNgei
      @AnnaNgei Місяць тому

      Ndio nashangaa😂😂

    • @BelckEustace-di2md
      @BelckEustace-di2md 25 днів тому

      😂😂😂😂😂😂nimecheka sana mwenyewe,naona kamaliza amebakiza DNA🤣🤣🤣🤣

  • @kadoluxclassic5634
    @kadoluxclassic5634 Місяць тому +7

    Nilishika Likizo Juu hizi Habari niwe nazipata nikiwa nim Rlax Nimetulia Waooo ikistajabu ya P Ddy utayaona ya Barthazari apa sasa tuona ya Martha kbs waooo

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      Ila wewe eti waooooo mbona kama anafurahia hahahaaaaa hiyo waooo mpaka nimecheka sasa

    • @rahabulukelo8738
      @rahabulukelo8738 Місяць тому

      Hakika kabisa looh!

    • @Launego2024
      @Launego2024 Місяць тому +1

      😅😅😅 haloo

  • @SaudaMkwizu-b7g
    @SaudaMkwizu-b7g 28 днів тому

    Mimi natakanikwambieuliambiwa hapo kwa Matha ulipata SHAMBA la kuotesha mbegu Acha wewe si baba Acha kujitukana wewe ni mùuaji Huna mtoto nani alimlea wewe uje kudai mtoto juu yamama yake kweli amuombe msamaha ila wewe ni mzinzi sio nabii usilitukanishe jina la mungu

  • @fashionKalmahouse
    @fashionKalmahouse Місяць тому +3

    Mtoto Joshua Tena ni mgani yawa.si mama alisema ako na mtoto mmoja alipata kwenye ndoa, Kali sana.

    • @NancyVugutsa-jg6ev
      @NancyVugutsa-jg6ev Місяць тому +1

      Huyu ni kiki anafanya

    • @fashionKalmahouse
      @fashionKalmahouse Місяць тому +1

      @NancyVugutsa-jg6ev Aki, which is very very wrong.this joke is very expensive.

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Місяць тому +2

      Huyu mbona ni kama kiki . Haki ikigundulikana ni kiki basi hata Ile habari ya Kanumba itakuwa ni uongo 😅

  • @tufikekapeta8863
    @tufikekapeta8863 18 днів тому

    weeeeeeee😢😢😢😢 ukapotezea mtoto wako unaakili wewe au ila matha kama kweli umemkana mamaako umekosea wangu ludi ulipokosea tengeneza

  • @philomenastephen3364
    @philomenastephen3364 Місяць тому +6

    HAYA NI MAJIRA YA KILA KITU KUWA HADHARANI. MUNGU YUPO KAZINI KONDOO NA MBUZI WANATAMBULIKA SASA.

  • @WemaSauka
    @WemaSauka 25 днів тому +1

    Yesu simama mwenyewe

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Місяць тому +7

    kwahyo kunywa cappuccino ndo bata😂😂😂ila watu wengine bhn

  • @Mteule2022-cs2ys
    @Mteule2022-cs2ys 24 дні тому

    Martha pamoja na kukuombea kukutetea pia jiangalie na ui gie toba kuna mlango umeacha wazi... Mpaka nimekuhurumia

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 Місяць тому +3

    Acha ufala wew fanya maisha wew ushaambiwa Joan mtoto wa kipare sasa mpare na tunguri ni kama samaki na maji hakuna rangi Martha ataacha kuona

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 Місяць тому

    Huyu Matha Sasa Mwanakulitafuta, haya anayozungumza Mchungaji hayakutakiwa yawe hadharani Mwenyezi Mungu Amsaidie Matha Kumpa Ufahahamu yasiendelee mitandaoni Wayamalize Kifamilia.

  • @eunicesemere5555
    @eunicesemere5555 Місяць тому +3

    Watanzania umemuharibia jina pastor Ezekiel mkachoka ss panga imegeukia kwenu aya angalau muanchane na Ezekiel wetu pambaneni na dada yenu ila mama ni mama habari ndio iyo dunia imeisha tuombeni mungu aturehemu tu

  • @sobrejazz3919
    @sobrejazz3919 Місяць тому +2

    Huyu hajielewi kamwe, kwanza yeye mwenyewe ywahitaji kukombolewa , ywajiita mtumishi na huku anakiri kafanya uzinzi na Martha. Akili yake iko sawa kweli ama ywatafuta kiki tuu. Sijawai kuona ujinga kama huu, kwa kweli hizi ndizo Nyakati za mwisho....hawa manabii wa uwongo wamezidi...

    • @ERICAHMWAKILUNGU
      @ERICAHMWAKILUNGU Місяць тому

      Hapo Sasa utumishi na uzinzi Mungu tusaidie this are last days

  • @DaudJohn-p3k
    @DaudJohn-p3k Місяць тому +3

    dada matha fanya ya Mungu kwa bidii usichoke wanadamu wana maneno mengi sana hila Mungu ana neno moja tu kwako mwachie Mungu aliye kuumba apambane nao love you❤❤❤❤❤❤🎉

    • @pjmaarifa3528
      @pjmaarifa3528 26 днів тому

      Aminaaa uko sahihi ,Mungu ana neno Binadamu no maneno be cool Martha YATAPITA TU

  • @UpendoMichael-p1z
    @UpendoMichael-p1z Місяць тому

    Sijaelewa. Mh. Midomo hii. Ni ya kuchunga sana. Hata shetani ana manabii. Na mungu ana manabii. Ukiwa na akili utajua kuzitofautosha roho. 1wakorintho 14:10-11. Pia 1yohana 4:5-6. Tuache kumchezea mungu. Si Kila roho inatoka kwa mungu nyingine zinatoka kwa yule mwovu.

  • @RizikiRemy-n9k
    @RizikiRemy-n9k Місяць тому +4

    Is you Eric omondi 😢😂😂😂

  • @RafikiMpolee-n8i
    @RafikiMpolee-n8i Місяць тому

    Jmn huna mengi ya kusema tena ina maana hayo yote uliyaongea na machache😢 pole martha mwaipaja piga goti kwa Mungu mlilie sana yeye na Mungu hutupa majibu kwa wakati wake wala hajawahi kutuacha kama yanayo endelea hayana ukweli basi hili ni jaribu lako na inakupa ulishinde dada nabarikiwa sana na nyimbo zako naomba achana na huyo kairuki asie na mengi na kuongea

  • @HappinessElisha-b6x
    @HappinessElisha-b6x Місяць тому +5

    Hizo nywele katia dawa au?

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      Zinapepeaaa hahaaaaa ndo nabii huyo

  • @NelsonMwaipaja
    @NelsonMwaipaja 16 днів тому

    Kairuki yupo xawa kabisa ameamua kukanda Kwa maji ya moto ili Martha apone barikiwa mchungaji

  • @anneanji4818
    @anneanji4818 Місяць тому +6

    Kariuki mbona hujibu maswali unayo ulizwq😂😂😂

    • @BerniceOneGB
      @BerniceOneGB Місяць тому +4

      😂😂sio kariuki ni kairuki,usiekelee waKikuyu 😊

    • @anneanji4818
      @anneanji4818 Місяць тому

      @BerniceOneGB wewe mother wake si ni wahuko walibadilisha tu story 😄😄😄😄

  • @asifiwetito7065
    @asifiwetito7065 Місяць тому

    Huyu alikuwa kwenye huduma ya uzinzi au huduma gani maan sielewi uzinzi na utumishi wa Mungu ni wap na wap km ulikuja kwenye huduma ya mungu ilikuwaje kumtumia na hukuwa na mpango wa kumwoa kwanza mtumishi wa Mungu ana hekima sio roporopo namna yako😢😢

  • @BettuNdururu
    @BettuNdururu Місяць тому +3

    Mmezidi. Wanahabari mbona Martha ni mzuri tuu. 🇰🇪 🇰🇪

    • @footballonly793
      @footballonly793 Місяць тому

      Yuko vizuri kumkataa mama yako

    • @ANNAJustine-d1k
      @ANNAJustine-d1k Місяць тому

      Wana Habari hawana Kosa wao wako kazini tu

    • @VeronicaMussa-lu1yw
      @VeronicaMussa-lu1yw Місяць тому

      Wakati wa Mungu kufichua maovu ya wanaojiita watumish wa Mungu umefika ili watanzania tujue ni Mungu yupi wanamuimbia!!! Mungu alimtumia Beatrice kuropoka mauz ya dada yake

  • @mohamedadel-tu6cl
    @mohamedadel-tu6cl Місяць тому

    Aaaah 🙌🏿🙌🏿your pain is talking volumes bro karioki😂😂 seems you still have unfinished business with her😀move on karioks😂

  • @AnneNamasaba
    @AnneNamasaba Місяць тому +5

    Pastor's tumeisha neno la mungu tumeacha tunarukaruka tu .Pastor ulikuà unaojàtu hadi Pastor's tunaoja mboga

  • @benjaminechacha
    @benjaminechacha Місяць тому

    Ushauri tuu matha nimevaa viatu vyako kweli unapitia magumu dada angu muhimu pigana kwa Maombi Mungu yupo anajibu nakuombea dada angu imeniuma sana kwann uchafuliwe kwa namna hii tuombe pamoja

  • @daisynyerere5730
    @daisynyerere5730 Місяць тому +16

    2024 MWAKA WA UREJESHO, KURUDISHA VITU WATU WALIVYOIBIWA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
    SASA TUNAINGIA MWAKA WA UTEKELEZAJI WA MUNGU KATIKA YALE YALIOREJESHWA...KAMA HUNA ROHO MTAKATIFU HUWEZI ELEWA HII COMMENT NA KAMA UNAONA HUELEWI PITA🙏🙏

  • @queenmajesty7650
    @queenmajesty7650 Місяць тому

    We ni mpuuzi, huna mbingu yakumpeleka Martha. Martha atasamehewa na Mungu wake aliemuumba.
    Wewe ni mzinzi kama wazinzi wengine.

  • @PaulinaJenga-y1z
    @PaulinaJenga-y1z Місяць тому +4

    Jaman huo kairuki ni anatabuli kweli tena mungu amemtumia

    • @AgnesOnesmo
      @AgnesOnesmo Місяць тому

      😂😂😂😂😂wewe achana na watu

    • @emmymutama2394
      @emmymutama2394 Місяць тому

      Pauline hata Mimi namshangaa huyu mchungaji. Hajui mtoto wake ana miaka mingapi anakula nini?Hizi ni kiki

    • @HappyJohn-h8q
      @HappyJohn-h8q Місяць тому

      ​@@emmymutama2394 anakeraaaa

  • @MwangiZipporah
    @MwangiZipporah Місяць тому

    Let's all pray for Martha , anayo pitia ni magumu ila Mungu atampitisha salama

  • @GodfreyShakale
    @GodfreyShakale Місяць тому +5

    Uuuuwi jamani matha wangu mungu akufunike

    • @MsalabaniReko
      @MsalabaniReko Місяць тому +2

      Mbaka ukiona ivo basi ujue mungu amemfunua mazaifu yake ili apate kupona ww unafikili ilo jambo ni la Jana

    • @g_forcemusician4242
      @g_forcemusician4242 Місяць тому

      Malaya tu huyu martha

  • @StevenFungo-g6v
    @StevenFungo-g6v Місяць тому

    Mungu akusamehe

  • @MargaretOmondi-pf3uz
    @MargaretOmondi-pf3uz Місяць тому +4

    Mbona sura kama ya Eric Omondi wa kenya?
    Kariuki, ulikuwa wapi kabla Make Martha kulilia Joan amwache Martha?
    Umetumwa kumharibie Martha Jina. Tangaza Yesu sio kumchafulia STAR Jina.
    Hata hivyo, hii sura Martha haezi kubali kuzaa naye. Duniani kote twamjua John Saidi

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 Місяць тому +1

    Nilikuwa namuheshimu huyu jamaa lakini hapana hata haelewekiii mlevi sio mlevi anatafuna maneno tu chefuuu🫢🫢🫢