Babu Seya Afuraia Maisha ya Jera | TBC HABARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Katika hali isiyo kuwa yakawaida Babu Seya afurahia maisha yake ya Jela huku akiendelea na shuguli za muziki gerezani

КОМЕНТАРІ • 124

  • @aishamashaka7935
    @aishamashaka7935 8 років тому +8

    Mungu wetu ni mkuuu pia ni wahurumaa atakuona siku mojaa utatoka tu babu seya

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 11 хвилин тому

      Hatimaye ndoto yako dada Aisha ilikuja kutimia

  • @harifumunir6004
    @harifumunir6004 9 років тому +31

    Mungu ndio ajuae, no condition is permanent Babu Seya if is bad today maybe tomorrow is better, don't worry tomorrow is better. God bless you

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 7 років тому +2

    Mm naamini kwa Asilimia mia moja iko siku Nguza na Papii kocha watatoka watakuwa huru na watapiga pesa nyingi..labda tu nimuombe mh Mwakiembe na mkuu wa Nchi Rais Magufuri wawaachia wafungwe hata kifungo cha nje lkn wafanye kazi zao na wawepo uraiani...hawakuua hawa tukumbuke..Mola wasimamie naandika hii kwa uchungu sana baada ya kuhamisha hisia zangu kama mm ndio wao....

  • @saimmabula3442
    @saimmabula3442 8 років тому

    Huyu mtangazaji anatumia kauli mbaya cjapenda.......God will bless babu seya

  • @sarahrashidirashid9384
    @sarahrashidirashid9384 7 років тому +8

    mweshimowa magufuli Jamani mtoe Huyu baba pamoja namwanae

  • @josephmduwile5763
    @josephmduwile5763 7 років тому +1

    Pole babu seya, ila mshukuru mungu kwasababu ni wakati wake kwa hilo lililokukuta na ipo siku na wakati utapata nafas tena🏃🚄💨💨💨
    coming!

  • @jamilskisesa297
    @jamilskisesa297 7 років тому

    Pole sana babu Seya...sauti yako bado iko imara,tunakuombea afya njema inshallah

  • @kingdonald3312
    @kingdonald3312 7 років тому

    Pole sana BABU SEYA Bado nakuombea mwenyezi Mungu akutetee siku moja ukawe HURU.............
    ". KING DONALD ".

  • @geofreygidion7235
    @geofreygidion7235 7 років тому +15

    Daaah inauma sana mtu kumfunga kifungo cha maisha kwa kumsingizia ubakaji lakini hakuna alie juu zaidi ya jua ikiwa Bbu Seya hakufanya tendo hili bac hukumu yake itamludia yeye aliyemhukumu. Tunakuomba mh. Magufuli umsamehe Babu Seya pamoja na familia yake ili wawe huru.

    • @justinemalima6701
      @justinemalima6701 7 років тому

      kweli kabisa

    • @cypmkutubi3109
      @cypmkutubi3109 7 років тому

      Geofrey Gidion una uhakika?

    • @isaackkamanga3567
      @isaackkamanga3567 7 років тому

      Umenena vyema...natabir raisi wangu atafanya hivyo siku za usoni

    • @joharijuma8667
      @joharijuma8667 6 років тому

      Geofrey Gidion Yani huwa nikiwakumbuka najisikia kulia machozi

    • @noorhatkine3131
      @noorhatkine3131 6 років тому

      isack kamanga maneno yako yamepata kisikika leo na muumba wetu ametenda miujizaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @kudraabsheh5638
    @kudraabsheh5638 8 років тому

    babu sea mungu akupe wepes katika kifungo chako cha maisha

  • @joharijuma8667
    @joharijuma8667 6 років тому +2

    hakika dunia haina haki yani moyo unaniuma sana kuhusu hawa watu wanateketea kama mshumaa ee Mungu uwatetee

  • @rehemamroto5723
    @rehemamroto5723 7 років тому

    msichoke kuomba mungu ipo ck itakuwa ya neema kwenu hamtoamin mtaungana na watanzania wote wenye roho za huruma a aaamin

  • @jerrykaswalala7615
    @jerrykaswalala7615 8 років тому +7

    Mungu yupo kama kweli haki haikutendeka duniani basi itatendeka hata mbinguni duniani tunapita a day will come sote tutahesabiwa kulingana n'a matendo yote. Hata kama upo gerezani ila jua kuna watu wengi sana tupo nyuma yako

  • @prudencesempa2300
    @prudencesempa2300 7 років тому +2

    Namuombea msamaha kwa aliyesababisha afungwe maisha,Mungu angehesabu maovu yetu hakuna ambae angesimama.

  • @barggobiggo8639
    @barggobiggo8639 7 років тому

    Hakika munguu ndyee muwezaa wa yoteee wameasoo kwa miaka mingii J P M recepect my brotherrrrr mung akuongzeeeeeeeeeee

  • @zawadmteleke7554
    @zawadmteleke7554 7 років тому

    Pole sana babu seya najua iposiku utakuwahulu,

  • @greysonmwanjesa4318
    @greysonmwanjesa4318 7 років тому +1

    alafu hata huyu mzee mwandishi wa habari aliyapangilia maswali vizuri sana

  • @dennisamadiva1035
    @dennisamadiva1035 Рік тому +1

    Seya wa mikwalo may God through Jesus Christ release you from the gates of hell like He did for Simon and Peter

  • @andrew29468
    @andrew29468 7 років тому +1

    Km kweli Babu seya kasingiziwa mimi namwomba mungu asimsamehe hyooo aliyemfanyia hila mbayaa,na ajue mungu anamwona,mwisho wake utakuwa mbaya,hyu yeye amejitune hatotoka hdi kifo chake, Ila hakika ninakwambieni yule alofanya hayo ataumia zaidi cku zinakuja kwa kuwa ameangamiza familia ya wengine pasipo haki,
    Ktk ile case sina hakika km aliyekuwa akiwapeleka hao watoto km alifungwa,na km yupo free alifanikiwaje kutoka

  • @martinsamatajr7972
    @martinsamatajr7972 Рік тому +2

    rest in peace marin hassan marin

  • @yulithakashegu7028
    @yulithakashegu7028 6 років тому +1

    Mshukuru mungu kwa yote IPO siku milango ya gereza itafungulia

    • @ayubunnko8747
      @ayubunnko8747 9 місяців тому

      Hatimaye Mungu alifanya ndugu sijui kama upo hai au vipi lakini maneno yako yametimia ndugu

  • @ziguatv9190
    @ziguatv9190 7 років тому

    Wakati mwingine ni vizuri kujua na upande ulioathirika pia, tunamuonea huruma Seya kwa kifungo na naamini rais wetu ni mtu mwenye hekima sana atafanya linalofaa kwa familia ya Seya.

  • @abcdefghijklmn466
    @abcdefghijklmn466 7 років тому

    Lia na mungu wako akusaidie wanakuombea nao wana miungu tofauti na wewe!

  • @severinemfuse7716
    @severinemfuse7716 7 років тому

    ,Babusea vumilia hakuna jambo lisilokuwa na mwisho ndiyo mapito ya dunia Mungu yupo pamoja nawe.

  • @abcdefghijklmn466
    @abcdefghijklmn466 7 років тому

    Mungu wake ndie aliyemfikisha hapa!

  • @kiplelv3218
    @kiplelv3218 8 років тому +1

    apia cjui nyimbo zake ila nashangaa wa tz weng wana penda atoke kafanya nn

  • @abbaaskhamees7819
    @abbaaskhamees7819 8 років тому +5

    Hakuna mwenye kufurahia maisha ya sio na uhuru, angefurahia ndege unapo muweka tunduni yaani ndege killa kitu unampa lkn siku utakayo jisahau kufunga mlango anakutoroka

    • @beatusherman7020
      @beatusherman7020 7 років тому

      Abbaas Khamees kwel mtu afurahie maisha ya vile wasituongopeee jamaa mpaka kazeeka inaumaaaa

    • @beatusherman7020
      @beatusherman7020 7 років тому

      Abbaas Khamees kwel mtu afurahie maisha ya vile wasituongopeee jamaa mpaka kazeeka inaumaaaa

  • @andreamandela2293
    @andreamandela2293 7 років тому

    may God open a way for yuu babu seya

  • @samwelallaon9937
    @samwelallaon9937 7 років тому

    mungu akulinde! mkuu!

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 7 років тому

    poleni sana inasikitisha sana

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 День тому

    MUNGU mwema kwakweli hatimae leo hii tupo nae Uraiani

  • @hamadtwaha4382
    @hamadtwaha4382 7 років тому

    muishimiwa tunakuomba mtowe babu sea wetu

  • @anesiusmkon4031
    @anesiusmkon4031 7 років тому

    kweli anasikitisha San maan alikua muhim sana kwa jamii kiujmula

  • @yasserkhalidy7080
    @yasserkhalidy7080 6 років тому

    tunamuomba mungu ampe afy njema babu sey

    • @yasserkhalidy7080
      @yasserkhalidy7080 6 років тому

      pole babu seya mugu yopo pamoja nawe iposiku milango yajela itafunguka

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому

    Leo uko huru... Mungu mkubwa na atabaki kuw yy daima

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 років тому +3

    It pains! God is the Greatest! He's The most Gracious, The most Merciful!

  • @helenmark7965
    @helenmark7965 5 років тому

    Mashallah he was still smilling

  • @violetgodbless7933
    @violetgodbless7933 7 років тому

    mungu afanye wepes kwenu

  • @khadijanyoni5581
    @khadijanyoni5581 6 років тому +1

    mnakurupuka sana .MTU anafuraha gani wakat tupo ndani

  • @hancembogella
    @hancembogella 9 років тому

    Da mungu amsaidieeeee atoke tu jamani

  • @semereinnocentsabumteymtar7132
    @semereinnocentsabumteymtar7132 9 років тому

    Jamani tunakuombea utoke gerezani.

  • @josephhaule6309
    @josephhaule6309 7 років тому +1

    Hakuna mwenye haki aliye achwa ipo siku MUNGU atamkumbuka

  • @mathewjoseph7050
    @mathewjoseph7050 8 років тому +1

    raiti kama mi ningekuwa rais ningetoa msamaa wa rais wa wafungwa kwa babu sea na wanawe. kosa siyo kosa bar kuludia kosa

  • @ruditaboti3157
    @ruditaboti3157 7 років тому +1

    By mzee ninapomtazama machozi hunitoka

  • @JeremiahNyunza
    @JeremiahNyunza 7 місяців тому

    r.i.p marine hassan marine

  • @majaliwamwinje9969
    @majaliwamwinje9969 7 років тому

    jela in mahali pawahalifu kwahiyo alipo ndo panamfaa siyo ulaiyani muwe mnaelewa jaman mtaelimika na kuijua sheria link sasaaaa???

  • @fahamyyusuph9661
    @fahamyyusuph9661 7 років тому

    babu seya mung yu pamoja na ww

  • @sarafina6656
    @sarafina6656 7 років тому +3

    Mungu awasaidie watatoka

  • @hadijaojuku1540
    @hadijaojuku1540 7 років тому

    Kiukweli inaumiza bt Allah yupo atafanya wepesi juu ya hili

  • @mtakitibezuka9604
    @mtakitibezuka9604 8 років тому +1

    jamani angekuwa rowasa angemtoa jamani magufuri ona huruma ww ndo raisi

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 7 років тому

    Allah ndo anojua ukweli na daima haki inakuja juu tu msigombane.....ikiwa kaonewa siku moja ukweli utajulikana na ikiwa kakosa pia alichofanywa itakua ni haki kwake.....

  • @rydaartashastar7472
    @rydaartashastar7472 7 років тому +1

    magufuri tunakuomba jaman mtoe jaman

  • @lucysalvatory835
    @lucysalvatory835 7 років тому

    maskin amekonda!Mungu ampe nguvu

  • @kiplelv3218
    @kiplelv3218 8 років тому

    jaman mm hata cjui zaman nilikua nackia babu sea na sasa nimemuona youtb ila cjui kafanya nn mbaka kafungwa

  • @felistagerrard2375
    @felistagerrard2375 7 років тому

    Yaani sijawahi kuona amfala kama nyie,hakuna anaeweza kiufurahia maisha ya jela

  • @noahjacob9860
    @noahjacob9860 8 років тому

    Hata mimi kuna mtoto wangu.

  • @dictashijasimeya6080
    @dictashijasimeya6080 7 років тому

    naamini magufuri anamuona

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 7 років тому

    Marin Hassan nakusalimia....

  • @greysonmwanjesa4318
    @greysonmwanjesa4318 7 років тому

    uyu chizi anashindwa hata kujua maswali anavyoulizwa.kunamaswali mengine ni yaneema lakini anashindwa kujitambua

  • @omarymwigula5479
    @omarymwigula5479 7 років тому

    We malina usiseme sidhani km watakuonana tena binafsi nadhani ungesema watanzania wanakuombea wakuone tena,

  • @suhailamohd9267
    @suhailamohd9267 9 років тому

    Mungu yu mwema kla cku kwako utatoka ew unaemuombea mabaya nenda na ww kakae kama n pazur

  • @aminafesali5817
    @aminafesali5817 6 років тому

    si mnampenda kikwete nyie na yy ndio alimfanyia hivo baba wa watu na watt wake hivi mtu au watu mtaliamin vp watu wa 3ama 4 kubaka watt 10 jaman insikitisha sana

  • @beatricemausha8185
    @beatricemausha8185 6 років тому +1

    ipo siku utatoka tuu

  • @seifmohammedseif1229
    @seifmohammedseif1229 7 років тому

    nani ana hakika kasingizwa ? wakati wa leo sheria zilivyo na mwamko upo wa haki sidhan angelikaa hko sana mashaka yapo ya kilichotokea anafaham vzr yeye

  • @isibanianews1329
    @isibanianews1329 7 років тому

    TBC wanafki sana

  • @kiplelv3218
    @kiplelv3218 8 років тому

    bac namm na penda atoke japo aimbe hata nyimbo 1nimckie

  • @top20africamusics31
    @top20africamusics31 6 років тому +2

    Duh jamaa katoka

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 7 років тому

    Hukumu ta kila mtu itatoka kutokana na matendo yake

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 7 років тому

    kwani wewe unae hoji lazima useme anatumikia kifungo cha maisha si sema tu unatumikia kifungo....

    • @iddayeliass6721
      @iddayeliass6721 7 років тому +1

      Viongozi wanaotumia madaraka vibaya mungu atawahukumu Mara 7na aliefanya hayo anajulikana ,atakufa mdomo wazi

    • @iddayeliass6721
      @iddayeliass6721 7 років тому +1

      Huwezi mfunga binadam mwenzio maisha kisa mwanamke jamani hukum ipo ktk kiama chako

  • @shabanimajaliwa5258
    @shabanimajaliwa5258 7 років тому

    Je Babu Seya tayari amepata Gallatone Guitar.

  • @simonkulwa1294
    @simonkulwa1294 7 років тому

    .

  • @jeanmalilo8855
    @jeanmalilo8855 6 років тому

    inama wa tz mlimzingiaga huyu mkongo Mani wetu wajinga nyie

  • @floramshumbusi3597
    @floramshumbusi3597 8 років тому

  • @zawadimbembela4924
    @zawadimbembela4924 7 років тому

    babu sea angeachiwa2

  • @constantinemathias8955
    @constantinemathias8955 7 років тому

    Mm nadhani kosa ni kosa kama diamond alikuwa anaendesha huku anacheza mm nadhani na yeye alitakiwa kupelekwa mahakamani lakini kusema kwamba yeye amekubali kosa ndo mkampa faini kutoa bado mnatuonyesha jinsi gani wengine wanabebwa na wengine wanakandamizwa

  • @dhatianafi5063
    @dhatianafi5063 7 років тому

    hiyo kiboko

  • @hamischimgege9404
    @hamischimgege9404 7 років тому

    babu seya na wanawe wameonewa ila Mungu atawalipia tu,Mungu atawalipia hapa hapa duniani

  • @kudraabsheh5638
    @kudraabsheh5638 8 років тому

    babu sea mungu akupe wepes katika kifungo chako cha maisha

  • @calvinlucas8303
    @calvinlucas8303 7 років тому

    mungu ndie ajuaye na mungu ndie hakimu WA kweli Baba au babu yangu mwenyezi mungu akulinde na akutangulie

  • @michaelnkobi2201
    @michaelnkobi2201 8 років тому

    ipo cku naamini babu seya atakuwa huru.

  • @goodlucknnko1280
    @goodlucknnko1280 7 років тому

    TBC bhana eti babu Seya anafurahia maisha ya Jela,?