INALIZA: Aliyehukumiwa MAISHA na KUKAA GEREZANI miaka 43, Atoa Siri Nzito toka Gerezani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • INALIZA: Aliyehukumiwa MAISHA na KUKAA GEREZANI miaka 43, Atoa Siri Nzito toka Gerezani
    Subscribe / uwazi1
    Anaitwa Mzee Raphael, mmoja kati ya waliokuwa wafungwa na wakaachiwa huru hivi karibuni siku ya sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya uhuru wa Tanzania bara, ambapo siku hiyo Rais Magufuli alitoa msamaha kwa baadhi ya wafungwa.
    Mzee Raphael alikamatwa mwaka 1974 kwa kosa la kuhusishwa na Mauaji, yeye pamoja na Wenzake wanne kisha kuhukumiwa kunyongwa mwaka 1978.
    Akiongea kwa masikitiko makubwa huku akihuzunishwa na kifo cha wake zake wawili pamoja na watoto wake kadhaa, hata hivyo amebakiwa na Mke wake wa kwanza pamoja na watoto wake wanne, akiwemo Mwanae wa kwanza Bi Rose Mary ambaye ni Mwenyekiti wa UWT, CCM Njombe, huku Cosmas akiwa ni Mwanajeshi pamoja na mwanaye Daudi ambaye ni Mchungaji.
    Fuatilia mkasa huu wa kusisimua mwanzo hadi mwisho.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @selincharles3383
    @selincharles3383 6 років тому +72

    tangu nijue maisha sijawai kuona polisi aliestaafu akaishi maisha mazuri na yaamani... nilikuwa sijui sababu kumbe nilaana na matendo yao maovu ndio yanayowahukumu...sasa jamani kwanini mfanye haya... embu badilikeni duniani muhukumiwe bado na ahera inawasubili... duuu Magufuri bado naona kazi kubwa mbele yako... ila naamini Kama Mungu alituumba sote kipi kitamshinda..? pole mzee Pole Sana

  • @allysaid1215
    @allysaid1215 5 років тому +36

    Kama polisi ni sawa na mbwa gonga like

  • @dainesszuberi5033
    @dainesszuberi5033 6 років тому +55

    Mzeee umeninilizaa sanaaa nimeumiaa mungu kufanyie wepesi katika afya yko na maisha yako mungu yuu pamoja nawe nimeumia sanaaa malipo ni hapa hapa duniani shukrani za dhati zimfikie mh:pombe Jonh magufuri azidi kuwa na moyo huo huo nimeumizwa sanaaaa👏👏Ahsante muheshimiwaaa

  • @brunonsungwe8676
    @brunonsungwe8676 6 років тому +2

    Mh jamani acheni Mungu aitwe Mungu ! Huyu baba yetu kaniliza sana! Asante Magufuri kwa ukombozi huu! Hakika Mungu azidi kukuimalisha katika kutafutia haki wanyonge! Mungu mpe maisha marefu huyu mzee

  • @denisclay8549
    @denisclay8549 6 років тому +505

    Kama una amini police ni kazi ya laana gonga like hapa mbn sioni jamaniiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @bernadethamsaki2921
      @bernadethamsaki2921 6 років тому +6

      Co laana ila walioajiriwa ndo wana laana! Ni kazi kama kazi nyingine

    • @shafiimarandu6971
      @shafiimarandu6971 5 років тому +2

      Denis Clay kwel

    • @basilisamsaka1221
      @basilisamsaka1221 5 років тому +6

      Kweli kabisa kz ya police nilaana,na wamelaaniwa,wanasingizia watu sana

    • @bahatirobi6262
      @bahatirobi6262 5 років тому +2

      Denis Clay niwalaaniwa hata sijui kwa mungu watajitetea vipi

    • @rahimaaaaa8699
      @rahimaaaaa8699 5 років тому +8

      Polisi wana laana ndio maana ni maskini wa KUTUPWA.

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 6 років тому +121

    Maisha yake yameishia gerezani masikini pole sana mzee wetu Mungu atakulipia,watu kama hawa wako wengi magerezani wanateseka bila kuwa na hatia. Naelewa mzee anajisikiaje. Pole mzee

    • @mtosimbakwamzungu7703
      @mtosimbakwamzungu7703 6 років тому

      🚶

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 6 років тому

      True

    • @jumakiparis2267
      @jumakiparis2267 6 років тому

      Pole sana Mzee mbona hio mpaka Leo majambazi wakipora police wanapewa posho halafu wanaingia mitaani kukamata watu kuua soo na hata hutasikia waziri wa mambo ya ndani kwema magerezani kukutana na wafungwa kupata maelezo lao sema hivi sasa watatia akili

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 років тому +1

      Usikubali mtoto wako akasome chuo cha upolisi kwanza hatakaa amwone mungu pia hawana msaada ukipata shida ndo wanafurahi wapate pesa yaani pesa kwao ndo muhimu haki kwao hamna hayo machozi baba hayatakuwa ya bure yatakuwa juu yao mungu anawaona

    • @tumainijoseph6356
      @tumainijoseph6356 5 років тому +1

      ashukuriwe mungu

  • @mwakahassan8742
    @mwakahassan8742 4 роки тому +5

    Pole sana mzee Allah atakulipia ata mm machoz yananitoka iyo ndio Tanzania kila kitu chafanywa uenyeji uwenyeji tu

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 6 років тому +1

    Pole sana Mzee ashukuriwe Mungu aliyekuweka mzima hadi unaiona tena familia yako. Muombe Mungu akuondolee uchungu kuhusu uonevu uliotendewa ili usije ukakuumiza na kukuletea madhara. Kuna maisha baada ya yote yaliotokea Yesu ni mfariji.

  • @neemaselemani3689
    @neemaselemani3689 4 роки тому +3

    Askari mungu anawaona, askari kazi ya laana sana, aiseee pole baba

  • @reddyjulius3997
    @reddyjulius3997 6 років тому +47

    Pole sana mzee wangu ndo Tanzania yetu ilivyo hadi leo kuna kesi nyingi sana za kusingizia huku wakiachwa watenda maouvu machozi yako yatawalilia

  • @helenamhema3606
    @helenamhema3606 5 років тому +22

    pole sana mchungaji wangu mlyuka ukiwa makambako tulikukubali mungu amesikia maombi yako

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому +2

    Pole mzee Mungu analipa?Sahau yote na uamini Mungu anawezaa

  • @raphaelngongo1310
    @raphaelngongo1310 6 років тому +43

    kwa kweli raïs Makufuli Mungu amujaliye yeye na familiya yake waishi maisha marefu kwa jambo kubwa alilotenda sababu ma raïs wengine wanajuwa kuhuwa na kuachanisha jamihi ndugu Raphaël shimama kwenye zamu ya kaziya Mungu .

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 років тому +1

    Unamshukuruh Allaah thummaah makufuli...Mwenyezimngu Atawalipaaa. Alokudhulluh ...

  • @hadijabashasha3337
    @hadijabashasha3337 4 роки тому +4

    Dr.John Pombe Magufuli Mungu ndie atakae kulipa kwa wema na huruma yako akujaalie hapa Dunian na kesho Akhera

  • @aokinsindi6948
    @aokinsindi6948 4 роки тому +2

    Pole sana mzee mlyuka mi ni mgum Sana kutoa machozi lakini ktk Hilo nimejikuta machozi machozi mwee 🇹🇿 JPM MUNGU akuongezee siku za maisha YAKO!!

  • @tausijohn2569
    @tausijohn2569 6 років тому +3

    pole sana mzee kwa yaliyokkuta mungu atakusaidia
    maisha yako ysmeishia gerezani .

  • @Blaisebula-uo4fr
    @Blaisebula-uo4fr 8 місяців тому +1

    Mungu nimwema siku zote .mungu akurinde baba

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 6 років тому +17

    Pole mzee inauma sana mtu anafungwa bila hatia

    • @jamilasaidi1020
      @jamilasaidi1020 3 роки тому

      Inaumaxan pole sana police sio watu kabisa

  • @roseondieki7443
    @roseondieki7443 4 роки тому

    Ee Mungu jidhihirishe katika maisha ya huyu Mzee jionyeshe mwongezee miaka mbariki katika uzee wake mpe tumaini tena....Amen Amen

  • @witedsteward4168
    @witedsteward4168 5 років тому +44

    Mimi nimemaliza form four nikaambiwa nijiunge najeshi la polisi kitu ambacho niliona siyo sawa kuliko nichague kazi ya upolisi bora nikachunge ng'ombe!!!! Jela wenye makosa siyo wengi!!!! Kama huw Kubali hawa jama zetu (polisi)gonga like

    • @patrickplatnumz4765
      @patrickplatnumz4765 5 років тому +1

      Wited Steward , nilichaguliwa pia baada ya kumaliza form four. Sikwenda wala sijutii

    • @helenjonsob5718
      @helenjonsob5718 5 років тому

      Wited Steward kwa kweli

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 4 роки тому

      Nimelia jamani eeeemungu magufuli msimamie azid kua kiongoz wetu bora yarabiy muweke rais wetu wallah nimelia sana

  • @kananu578
    @kananu578 4 роки тому

    Great job Mr President Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha big respect from Kenya

  • @lindahwazir7209
    @lindahwazir7209 4 роки тому +3

    Hivi huyu Rais Maguli mbona alicheleweshewa urais ?Ulikuwa wp Baba? Naomba Mungu akutunze akulinde, nimelia sana kwani najua kunawengine wengi kama huyu Mzee anayetoa machozi, hakika machozi haya yataotesha kitu kwa waliofanya hiv.

  • @jackfrancis8047
    @jackfrancis8047 5 років тому +1

    Daaah nimeumia Sana polen Sana Mungu ashukuriwe

  • @delitonavaia3503
    @delitonavaia3503 6 років тому +28

    kwakweli nimetokwa na machozi, japo siyo mtanzania lakini Kama binaadamu nimeguswa. Allah atakulipa.from 🇲🇿

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 років тому +16

    Mungu atalipa hapa hapa

  • @marymah7149
    @marymah7149 5 років тому +9

    Chozi ramnyonge ulipwa na mungu Inshaallah muachie mungu inaniuma kama baba yangu mzazi jmn inauma duuuh😢😢😢

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 5 років тому +22

    JELA NIMEKAA ZAIDI KULIKO NJE...Daah Mungu wangu

  • @josephineluge6693
    @josephineluge6693 6 років тому +9

    Daaaah!!
    Imeniliza sana. Pole sn Mzee wangu

  • @jovinathobias7163
    @jovinathobias7163 6 років тому

    Inasikitisha mno kwakweli Mungu ni Mwema anamakusudi na maisha yetu kwanza kutupatiaMagufuli kila jama linamaana yake,Mungu so kiziwii wala sio kipofu,Asante sana Baba

  • @marygathu3800
    @marygathu3800 6 років тому +4

    Hio machozi mwenyezi Mungu atalipisha.pole baba😢😢😢

  • @sarahstanley3411
    @sarahstanley3411 4 роки тому

    Jamaniii daaa chini ya jua chini yajua mungu mwenyewe ndo anajua 🙌🙌🙌 mungu hamtupi mja wake daa inaumiza sanaa

  • @rehemabaraka9895
    @rehemabaraka9895 6 років тому +38

    Daaa pole sana mzee mungu amesikia kilio chako

    • @mrsrumondo8740
      @mrsrumondo8740 5 років тому

      Jamani magufuri ndio raisi anahangaria matatizo ya wananchi wake kira kona anapita mungu akubariki sana tena sana razima tukupe kura iri uongozi jahazi kwa Mara engine ccm oyeeeeeeeeeeeeee

  • @carolinesergon347
    @carolinesergon347 5 років тому +1

    Woiye soo sad. Poleni sana kwa familia ya mzee Raphael kwa ujumla na pongezi pia..i think they all need counselling especially the old man. He is still in a tough place 4 sure. Am grateful too for what ur president did. Btw big ups to the beautiful presenter mwenye sauti nyororo pia 😍😎

  • @omarkhamis9514
    @omarkhamis9514 6 років тому +5

    Hili jambo lisizikwe vivi-hivi, wizara husika ni lazima zifuatilie na mzee alipwe ridhaa na biashara zake, nguvu zake na mateso ya kihisia aliyopitia mzee huyu na yeyote aliyepitia dhulma za kusindikizwa. Imenivunja moyo sana. Udhalimu ulinuiwa mzee aozee jela milele, wapo wengi. Haki daima itaolea! Pole Mzee Raphael!

  • @carolinetalimo8088
    @carolinetalimo8088 6 років тому +8

    mungu ni mwema ,,,na atakupa nguvu,,

  • @fortunatuswangubo6013
    @fortunatuswangubo6013 5 років тому +5

    Pole sana ndugu yangu kwa mkasa huo

  • @ChalesKadologo
    @ChalesKadologo 7 місяців тому

    Pore Sana babu yng mwnyz mungu akupe maisha maref

  • @donlee2553
    @donlee2553 6 років тому +162

    POLISI WOTE PITENI HAPA MTAJIFUNZA KITU.JAMAANI NISAIDIENI KUWAITA POLISI.

    • @selincharles3383
      @selincharles3383 6 років тому +2

      mmoja tu nihuyo mwanae sidhani Kama yaliyomkuta baba ake anaweza mfanyia mtu mwingine

    • @siwemaseleman7091
      @siwemaseleman7091 6 років тому +3

      pole sana baba malipo ni hapahapa duniani umeteseka sana

    • @nikolymo9315
      @nikolymo9315 6 років тому +3

      Munngu in mweza ya yote

    • @janethotieno1281
      @janethotieno1281 6 років тому +1

      police piteni hapa mjifunze

    • @kingmazengo3643
      @kingmazengo3643 5 років тому +1

      Wajewajeeeeee

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 6 років тому

    Too much emotional I can't stop crying 😭😭😭😭😭😭 guys God is faithful and peaceful guys 😭😭😭😭😭😭😭😭 labda Mungu alipenda kuwapitisha kwa hau ile uwe ushuhunda kwa wengine hata mimi pia

  • @TheMaarifa
    @TheMaarifa 6 років тому +25

    Dah! aisee inasikitisha sana. kuanzia sasa mimi kama wakili nikipewa jalada la kesi ya mauaji nitalifanya bure kabisaa kuwatetea watuhumiwa. Haiwezekani tukaacha hali hii iwe inaendelea kutokea mahakamani

  • @mwajumakweli6753
    @mwajumakweli6753 6 років тому

    Dh... pole sana Baba Mungu yup p1 na we we atakulipia Dh... hinaumiza sana kwakweli

  • @winfred2546
    @winfred2546 6 років тому +4

    Pole sana baba Mungu atakulipishia. ...Kwa kweli nimelia😭😭 am so sorry

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 6 років тому

    Umeniliza mzeee wangu xanaa. Duh Mungu atakulipa kwa kweli. Na waliokusababishia hayo watapata tabu kwa Mungu. Mungu awaweke mahala pabaya motoni waliokutendea unyama

  • @jamillahmansoory3652
    @jamillahmansoory3652 6 років тому +21

    Dah mzee kaniliza huyu acha mungu aitwe mungu

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 5 років тому +1

    Cosmas namfahamu vyema Miaka tuliyosoma Makongo Sec !! Ni Soldier mwenye Maadili Mazuri na Wanafunzi wengi tulielimika kwa Nasaa Zake!!! Pole Mwl na Hongera kwa Kumuona Baba kwa Umri huo!!! Mungu amzidi kumuongezea Baba Umri na Afya njema!! Hongera familia nzima, na Hongera Mchungaji

    • @kadoaugust6497
      @kadoaugust6497 2 роки тому

      Nadhani hata waliomfanyia hivyo watakuwa hawapo hai.

  • @habibakhlifa8534
    @habibakhlifa8534 6 років тому +22

    Pole babaa Ndio Dunia naa aminn mtuu hafii ila kwa zakee na MUNGU NI MUNGU Atabakii kuwa MUNGU sio ww baba wengii wapo jela bila kesii nii kusingiziwa tuu

    • @johnbeda7620
      @johnbeda7620 6 років тому +1

      it painful alot mungu bado amakusudi na wewe mzee wetu

    • @khadijaabdully6284
      @khadijaabdully6284 6 років тому

      inatia uchungu kwakweli,machoz yamenitoka kwa huruma,pole sanna baba angu,mungu yu mwema,na shukran mh magufuli,m/mungu akuweke

    • @lissamsalu2179
      @lissamsalu2179 6 років тому

      Pole sana famille hiyo

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 років тому +1

    Huyu Baba ana uchungu sana sana,Mungu amtiye nguvu sana,ampe umri mrefu wa kuishi.

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 6 років тому +3

    Mi mpaka tumbo limeanza kuniuma.
    Dah!! Mungu anakupenda Baba

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 6 років тому

    Hadi kesi imeniliza sana tokea mwanzo mpaka mwisho kusikia matatizo waliopitia family hii. Mtu afungwe muda wote huo kwa dhulma
    Pole sana Baba mzee, Mungu akupe umri mrefu Na mafanikio mema katika maisha yako.

  • @baidaismail4061
    @baidaismail4061 6 років тому +4

    😭😭😭😭 Duh! inauma sana

  • @ibrahimmaroa5767
    @ibrahimmaroa5767 Рік тому

    pole Sana baba maisha ni mungu tu anayachua ndo maana akatuma makufuli akuche hapo baba yasahau yalivyo bita si nywele baba 🙏🙏

  • @b9media144
    @b9media144 6 років тому +8

    Nimeshindwa kujizuwia, hakika nimeumia, nimelia sana!
    Japo tunasema kuwa Mh Rais yupo kisiasa zaidi ya kujitengenezea mazingira mazur ya hapo baadae, (kila mtu anafikiria kutokana na utashi wa upeo wake). Lkn kwa hili basi amefanya uungwana wa ajabu sana na namuomba Allah amjaalie sikumoja apate kuona nuru ya uislamu na afe haliyakuwa yupo katika Qalma ya laailaaha ilallaah Muhammad rasuulullaah!
    Kwasababu sisi tote n wa M/mungu, anatupenda sawasawa kabisa

  • @aminanyangero7603
    @aminanyangero7603 6 років тому +50

    Chozi LA mwenye haki halitaenda bure

  • @kacheali4777
    @kacheali4777 6 років тому +9

    pole baba mungu ndio mtetez wetu hapa duniani watu wajiona wakubwa kuliko mungu.lakn hak haipotei mungu akusaidie sana

    • @johnjoseph4832
      @johnjoseph4832 5 років тому

      Pole sanaaa bb yetu mungu ni Muaminifu

  • @trdr1915
    @trdr1915 5 років тому +1

    Oh my pole mzee mungu akunjalie na akulundishie chochote shetani amemba

  • @alphageorge4796
    @alphageorge4796 6 років тому +8

    Mungu atukuzwe kwa hili

  • @manyaramrema6531
    @manyaramrema6531 5 років тому +1

    Pole sana mzee Mungu ndo anajua sababu kuna kitu kakuepusha shukuru kwa kila jambo!

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 5 років тому +7

    Miaka 43, nimelia na huyu Mzee, kichwa kinaniuma. Mungu atunusuru

  • @masoudjumanne2761
    @masoudjumanne2761 6 років тому

    Pole Sana, Mungu ndye atakurinda. Nimeumia Sana Mzee Wang

  • @dvjaddie7176
    @dvjaddie7176 5 років тому +7

    Daa inauma sana mungu akujaalie afya tele ishaallah.

    • @raisonmwazembe7002
      @raisonmwazembe7002 4 роки тому

      Ee yesu nisaidie,nifikesalama yote ya duniani pore_baba,mungu in mungutu

  • @secylovenessadaa4245
    @secylovenessadaa4245 5 років тому +1

    Pole sana Mzee wangu Mungu atakulipia

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 6 років тому +6

    Baba yngu Had machoz yananitok ila mungu yiko na atakufut machoz nyamaz Baba yngu 😭😭😭😭

  • @cressyheuser2840
    @cressyheuser2840 6 років тому

    maskini.... nimelia sana kwa kweli! inaonekana wazi mzee alionewa! pole sana mzee wangu

    • @estermbega8154
      @estermbega8154 4 роки тому

      polen sana ndg zangu kwa maonezi hayo ambayo mliyapata ahsante Mungu kwa mh Rais wetu ajuaye kuna watu wanaonewa ila nimejikuta nimelia sana kwa maelezo ya mzee huyu

  • @onyokoreo7999
    @onyokoreo7999 5 років тому +4

    Inshallah you will get your justice Soon,magufuli ni Rais wa wanyonge

    • @salmabanga8962
      @salmabanga8962 4 роки тому

      Duuu kumbe kuna watu wanafungwa bila hatia polee baba

  • @fidesrazalo8438
    @fidesrazalo8438 4 роки тому

    Wote waliokufanyia hivo cku ya mwisho simamanao mbele ya mungu na mungu atawadhibu hapa duniani hakuna haki haki hiko juu mbinguni pole sana baba

  • @babaneygss6753
    @babaneygss6753 6 років тому +7

    Asante Mungu kwa wema wako,asante JPM kwa huruma uliyowatendea wafungwa wote ulio wasaheme 09/12/2017.

  • @jamestarimo2910
    @jamestarimo2910 5 років тому

    malipi na hapahapa diniani...na pengine washahukumiwa wote walio mzulumu maisha mzee wetu...Mungu amtie nguvu mzee wangu ..pole sama mzee

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 років тому +7

    Masikini pole sana baba miaka 43 jela, kuna watu wengi wamefungwa kwa kesi za kubambikiwa police wana husika kwa kesi hizo hao walio toa ushahidi wa uwongo mungu awalaani mpaka kufa kwao .

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 6 років тому

    Mzee aache kuishi jana itamuuma sana. Mungu atamrejeshea miaka yake iliyopotea. Asamehe tu yote yaliyomtokea. Pole sana baba.

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 4 роки тому +7

    Bidii yako yaeza kupeleka pabaya duniani humu.pole sana mzee..loooo

  • @rashidsimba3638
    @rashidsimba3638 6 років тому

    Dah! Pole sana Mzee umeniliza sana nimeshindwa kujizuia aisee

  • @naylahkhamis1545
    @naylahkhamis1545 5 років тому +8

    inasikitisha machozi yananitoka wallah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @lilianmwakapala3658
    @lilianmwakapala3658 6 років тому

    pole sana mzee wangu yalikufika hapo baba angu hukua na jinsi tena baba angu ila mwenyez mungu akupe maisha marefu sana

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 4 роки тому +13

    Pengine police wenyewe walishakufa mamaaaaee, siyo kila kifo mnahuzunika watanzania wengine walitenda mambo mabaya wanalipia.

    • @anyelwisyemwakasungula7419
      @anyelwisyemwakasungula7419 3 місяці тому

      Na sio kila stori mnaiamini Watz kueni stebo kwenye akili ivi mahakama zote zimuonee, Mahakama kuu na Mahakama ya Rufaa zisimtoe, majaji sio wajinga kama mnavyozania

  • @princesspeter48
    @princesspeter48 4 роки тому

    Pole Baba.... Mungu Atakulipia

  • @dianajafety4888
    @dianajafety4888 6 років тому +16

    nmeumia xana baba yaani c kila mfungwaana koxa mungu akutie nguv ad mzee ka huy anatoa choz hao police walaaniw na wote waliokufanyia ivoooo! mtalipwa kwa mlichotend nmeumia sanaaa

    • @selincharles3383
      @selincharles3383 6 років тому

      Diana sidhani Kama yupo hata mmoja.... wameenda na roho zao mbaya

    • @africanhappyadventure6951
      @africanhappyadventure6951 6 років тому

      Duuuuu...! Huko jela wapo Wengi sana wenye kesi za kusingiziwaaaaa.. Sema ndio ivyoo na nadhani ndio maana Raisi alifanya uchunguzi kuhusu hizo kesi akagundua Zina utata ndio maana wakatokaa

    • @zalhahamadi9862
      @zalhahamadi9862 6 років тому

      pole Ba mkwe ndo mambo

    • @rehemaradhid5716
      @rehemaradhid5716 5 років тому

      nikweli

  • @julytito3891
    @julytito3891 4 роки тому +1

    Yaan Machozi yananitoka tu kweli maishani huwa tunapitishwa sana

  • @gemkachar
    @gemkachar 6 років тому +4

    Natumai IGP Sirro pamoja na askari wake waniatazama hii video. Mwenyezi Mungu yupo.

  • @sadajasonie5909
    @sadajasonie5909 6 років тому

    Duuuuuh....pole Sana baba angu...mungu akufanyie wepec ktka maisha yako

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 6 років тому +28

    Huyu mzee kweli alikuwa anajishughulisha miaka 34 nyumba 2
    Vijana wa sasa miaka 35 anavaa supra hajui kodi hata ya chumba

  • @elizabethjohnyombo3875
    @elizabethjohnyombo3875 2 роки тому

    Pole sana mungu akuzindishie maisha

  • @gerraldbukelebe5152
    @gerraldbukelebe5152 6 років тому +113

    Mmmmh! Ni mtoto wa kiume lkn nimeshindwa kujizuia nmelia sana aisee!!

  • @emanuelmalya358
    @emanuelmalya358 6 років тому

    Asante mungu kazi yako nimeiona

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 4 роки тому +5

    Daaaaaaaa mzeee Amelia kwa uchungu sana

    • @zamanineema3057
      @zamanineema3057 4 роки тому

      Kabisaaaaa filahun hawao Mungu atawalipaa kwa choz la mzee huyu

  • @tabuabdalah8661
    @tabuabdalah8661 6 років тому

    Pole sana baba yetu kwakweli machozi yamenitoka nimejizuwia nimeshindwa asante mungu asante rahissi wetu makfuli mungu ampe maisha marefu

  • @rahapaulina1451
    @rahapaulina1451 6 років тому +5

    Mungu utabaki kua MUNGU dah nimelia sana pole sana baba

    • @luciapeter1345
      @luciapeter1345 5 років тому

      Nmebaki
      Tyu kulike coment Za wenzang mana inaniuma
      sana jpo na meng ya kuxema but asilmia nying Imesemw na Wenzang Apa nmebaki tyu njiapanda tanzania kuna makafiri hvi?????????

  • @simbadume3126
    @simbadume3126 6 років тому +2

    Duh! Mzee pole sana, Mungu ana sababu zake ukaenda jela inawezekana kwa uwezo uliokuwa nao miaka ile ya anasa na mengine yaliyotokea huku nje mzee wangu bila shaka usingalikuwa hai hata leo. Kuna sababu katika kila jambo. Nimeona umelia mzee wangu, sasa punguza huzuni na angalia maisha yako ya mbele na sasa. Si vizuri uendelee kusononeka wakati huu, shukuru na furahi pamoja na jamaa pia familia yako tena ingawa haitawezekana kufurahi katika mazingira uliyopitia. Sahau na samehe yote! Mungu akulinde na ujilinde mwenyewe, ondoa chuki na hofu moyoni kwako na utakuwa huru kweli...Mzee una watoto wazuri sana, wamekuwa na kazi nzuri na wamefanya uzazi mzuri kuweza kutunza na kulea wajukuu zako pia. Mshukuru Mungu kwa yote!

    • @lilianwabike5161
      @lilianwabike5161 6 років тому

      Ndivyo walivyo mapolisi wa tz yetu, ukimpeleka mtuhumiwa mwenye kesi kabisa hachukuliwi hatua wanapuuza, utamkuta yuko zake huru ila yauonevu ndo inafanyiwa kazi"

  • @raphaelngongo1310
    @raphaelngongo1310 6 років тому +6

    jambo kwa jamihi zote kwa kweli Mungu amemutowa ndugu Raphaël kwenye mavumbi kamuinuwa zaidi ya utajiri ushuhuda huyo wanipa tumaini kubwa mbele za Mungu mimi piya ni Raphaël nikiwa Congo jina hila la Raphaël limetimizwa kama lililo maanayake yani Mungu mponaji na ndiye aliyemuokowa amen .

  • @e_know4d222
    @e_know4d222 4 роки тому

    Mtangazaji nakupenda bureee, Na pole babu mungu kaliona chozi lako

  • @Purity493
    @Purity493 6 років тому +7

    Pole sana babaa, aki inauma

    • @sadanasibu1038
      @sadanasibu1038 5 років тому

      Hayo ndio maisha ya way an zan a wanyonge kwani mpaka sasa uonevu huo bado unaendelea . Tatizo kubwa ni mfimo wa elimu ya uraia lakini IPO SIKU HAYA YATAKWISHA japo haijulikani ni link.Binafsi Nina uchungu na hasira kwani Mimi pia ni muathirika wa uonevu huo ambao unaendelezwa kwa makusudi na hawa waliopewa dhima ya kuongoza na kusimamia hali MUNGU mpe maisha marefu na karama ya uongozi mh. JPM raising WA haki WA awamu ya tano Tanzania Aminaa

  • @atukuzwensellu8364
    @atukuzwensellu8364 6 років тому

    Poleee,,, namuona mchungaji mlyuka hapo nyuma kanifundisha bible knowledge,,,,poleeeee mzee

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 6 років тому +7

    hakika mungu atakulipia, inauma sana. lakini hii inaonyesha namana gani watu wengi wamefungwa kwa kuonewa.

  • @kaisarimbisso6146
    @kaisarimbisso6146 6 років тому +1

    God bless your family, mzee wetu Raphael

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 5 років тому +4

    Pole sana mzee wetu Mungu atakulipa miaka yako yote uliyopoteza gerezani hakuna uzao wako atakayeteseka tena umemaliza.

  • @reazahmohjey7724
    @reazahmohjey7724 4 роки тому

    Wallahi inauma..Mungu atakulipia mzee..mwachie mola. Pole mzee

  • @mzeewamadodoso1816
    @mzeewamadodoso1816 6 років тому +66

    video hii imenitoa machozi..Hakuna kama Mungu

    • @selinalawrence9173
      @selinalawrence9173 6 років тому +1

      nimetoa choz Kama babaangu mzazi Jamani daaaah Kwer siyo Kla anae fungwa jera anakosa

    • @godwinmsuya6080
      @godwinmsuya6080 6 років тому +1

      Mzee Raphael, kweli unasikitisha sana, nami nasikitika pamoja nawe lakini Mungu alikuwa na makusudi nawe..huenda hao wabaya wako wangekuua kama unge kaa uraiani, basi mpe Mungu utukufu wake.... najua unalilia umri wako na muda wa maisha yako uliopotea... lakini jina la Mungu nalibarikiwe... Mzee Raphael, pole sana na Mungu akubariki sana sana.....

    • @elizabethtadeo1922
      @elizabethtadeo1922 6 років тому

      pole sana baba angu

    • @imanikipanga4108
      @imanikipanga4108 6 років тому

      MZEE WA MADODOSO mungu mwema ipo sku ardhi itapasuka na kutoa ushuhuda

    • @abdallamwandunga8949
      @abdallamwandunga8949 6 років тому

      Pole Sana mzeee

  • @annahrosekennedy4542
    @annahrosekennedy4542 5 років тому

    Mungu Akutie Nguvu Baba yangu... Bwana Ni Mwema Amekutetea katika hili jaribu Nina imani hata wale wengine walio ndani pasipo makosa... Bado Mungu atawatetea...

  • @fredmathubejr3547
    @fredmathubejr3547 6 років тому +55

    Wakowapi majaji na mawakili waliowafunga wazee hawa? Tujifunze kutenda haki coz nothing last forever

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 6 років тому

      Fred Mathube jr tafuta hela wewe huyu mzee kaingia jela Na miaka 34 ana nyumba 2 Na watoto 10 maeeeee we laza duduuuuu tu

    • @fredmathubejr3547
      @fredmathubejr3547 6 років тому

      Hhhhhh umevurugwa

    • @denarddavid9202
      @denarddavid9202 6 років тому

      Fred Mathube jr Na HAO maaskari waliosingizia kesi bado WAPO. Mamlaka zichunguze

    • @romanachao245
      @romanachao245 6 років тому

      Ata yaeza kuwa walifariki na magonjwa,maajali ila mzee yuko hai na salama.Mungu akulinde sana Baba mpe Mungu Marsha yako zaidi ulivyo Tumika jela

    • @petersolomon2979
      @petersolomon2979 5 років тому

      Wengi wao walishakufa

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 6 років тому

    Pole sana alhamdulilahi mshukuru mwnyezmungu na rais waimani mungu ampe maisha marefu rais