NSODYA PHILIMON ukisema umewafananisha na wale wakoma waliorudi wachache kutoa shukrani ila ukumbuke kuwa wale wengine wamerudi mikoani na kutokana na kukaa muda mrefu gerezani wamekuwa masikini kabisa hawana nauli kimaisha kwa sasa wanawategemea ndugu sasa ndugu anakusaidia chakula na vitu vingine unaweza kumwambia tena akupe nauli ya kwenda kumshukuru rais pe gine ndugu wenyewe hali zao sio nzuri ila naamini hata wao wanapenda kwenda kutoa shuktani ila uwezo hawana mpaka wawezeshwe
Hongeraaaaa sana DR MAGUFULI Mungu akusimamie ktk yote!
RIP JPM
nmewafananisha na wale wakoma kumi walioponywa na yesu wakarudi wachache kwa shukrani
NSODYA PHILIMON ukisema umewafananisha na wale wakoma waliorudi wachache kutoa shukrani ila ukumbuke kuwa wale wengine wamerudi mikoani na kutokana na kukaa muda mrefu gerezani wamekuwa masikini kabisa hawana nauli kimaisha kwa sasa wanawategemea ndugu sasa ndugu anakusaidia chakula na vitu vingine unaweza kumwambia tena akupe nauli ya kwenda kumshukuru rais pe gine ndugu wenyewe hali zao sio nzuri ila naamini hata wao wanapenda kwenda kutoa shuktani ila uwezo hawana mpaka wawezeshwe
samahani kwa hili ila nimeona kama wametenda lililojema. ila nilijua Kama wamewawakilisha wengine ndg.
mmetoa logo ya ikulu kwenye hii clip,nyie ni wakutumbuliwa