BABU SEYA ALALAMIKA "WALITUSHIKA MKONO KWA KUTURAMBA MGONGONI,HATUNA MSAADA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Рік тому +2

    Pole Sana mzee.naikubal Sana 💪 ile nymbo yako seya m,balo donge liwashike mabusu motomoto Mimi na ww seya seyaa naipenda sana

  • @JohnDoe19xx
    @JohnDoe19xx Рік тому +17

    Mzee kama huyu bado anaimani atatoboa sasa wewe kijana unafeli wapi?

  • @erasmusmlay3284
    @erasmusmlay3284 Рік тому +4

    Legends 🔥🔥

  • @mtktv597
    @mtktv597 Рік тому +9

    Ndo kosa kubwa moja alofanya kikwete kwenye madaraka yake na hao walinyanyaswa kisa sio watanzania, janja janja nyingi wakapewa uraia kumbe ndo mbinu ya kuwahukumu kifungo cha maisha daaaah 😭 alafu unakuja kumuachia mtu kashakua mzee ivo tena serikali za mwenzetu mambele mtu Kama huyo kutoka jela angepewa fedha ndefu ya kuanzia maisha akiwa nje lakin serikali zetu zero zero zero 🥚

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Sasa ukiwa sio raia ndio huwezi kufungwa maisha?

    • @RamadhanKatozi-sm5bb
      @RamadhanKatozi-sm5bb Рік тому +2

      Huyu alifungwa wakati wa utawala wa MKAPA, siyo wakati wakati wa utawala Kikwete. Wakati huo Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

    • @RamadhanKatozi-sm5bb
      @RamadhanKatozi-sm5bb Рік тому +2

      Babu Seya na wanae walikamatwa tarehe 12/10/2003 na kuhukumiwa tarehe 25/6/2004. Hicho ni kipindi Cha utawala wa hayati Benjamin MKAPA.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 Рік тому +1

      Unaropoka kama kuna kitu unajua wakati bichwa tupu hamna lolote. Hata hujui walikamatwa mwaka gani. Na wala hujui sababu ya kukamatwa kwao. Chunga mitandao uliza ubongo wako kabla hujaandika

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      Maskinii mhmm na ndicho kilichomuuwa magu moja ni hili

  • @merckmdamu2942
    @merckmdamu2942 Рік тому +4

    Kikwete nimpumbavusana mxiiiiiiiiiuu Mamaaee

    • @RamadhanKatozi-sm5bb
      @RamadhanKatozi-sm5bb Рік тому +1

      Lakini ukumbuke kuwa Babu Seya na wanae walifungwa kipindi Cha utawala wa hayati Benjamin MKAPA.

    • @frankjackson9016
      @frankjackson9016 Рік тому

      Chunga sana kauli Yako Mzee yasije yakakukita

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 Рік тому

      Kikwete kakufanya nini sasa ukiambiwa ulete ushahidi wa upumbavu wake upo tayari? Acha uchoko wewe mpumbavu au una nyege ya kwenda jela Fara wewe usipende kumchafua mtu kwa sababu ushakunywa gongo zako unaropoka tu chunga mbakuli wako huo

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 Рік тому

      @@mbwanahasan2971 Ndomaana ukaitwa mbwa Sahani. Matakonini😂😂😂. Kama imekuuma kamkojolee mamaako. UTOKO wewe Mamaeeeee🖕🖕🖕🖕

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 Рік тому +1

    Masikini mzee wetu

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому +4

    Walio kufanyia ivyo walaaniwe washenzi

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 Рік тому +1

    Kapungua sana ya kikwete sio mtu kabisa!!!yan kikwete wizi yeye uhuni yeye sijui uyu mtu aliumbwaje alafu atosheki!!yan kilwete angekua mtoto wa baba wa talfa kama kina makongoro angeiuza nchi!!yupo radhi ale nawazungu kuliko wazalendo!!!

  • @thomasronniemashele6445
    @thomasronniemashele6445 Рік тому

    Dansi kwao congo tz ni bongo fleva kwenda mbele .r.i.p bolingo

  • @suzyclement3899
    @suzyclement3899 Рік тому

    ❤️❤️

  • @musaguga
    @musaguga Рік тому +1

    Mzee mbona kakonda?

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 Рік тому

      Njaa mambo siyo mambo hata ukila mwili hauna ushirikiano kabisa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Kama unatoa maoni toa kistaarabu matusi ya Nini

  • @mohamedyally58
    @mohamedyally58 Рік тому

    Huyu mzee akichukuliwa na king pale itakua poa Sana kwasababu anaweza Sana live band mbona wataelewa

    • @winniemandawa4470
      @winniemandawa4470 Рік тому +1

      Duu kumsingizia mzee km huyu ni dhambi kubwa ..nawaombea mungu awanyanyue tena amen..

    • @winniemandawa4470
      @winniemandawa4470 Рік тому

      Pole sana mzee wetu ,binadamu wabaya bora ya mnyama

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому

    MWENYE KUJUA ANISAIDIE,,,ILE KESI WALIYOTUHUMIWA NAYO,,NI KWELI AU WALIPEWA?

    • @katibampya8442
      @katibampya8442 Рік тому +1

      Hukumu ipo ni kweli waliwaharibu watoto, sasa wabongo wengi waliamua kushupalia habari za vijiweni.

    • @kingiryn8656
      @kingiryn8656 Рік тому

      Walibambikiziwa Kesi

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Рік тому

    Lijendi