#MaombiMfululizo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #maombiyausiku #maombi #maombimfululizo #usikuwavitasa #promovertv #jacktanmsafiri
    JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 32

  • @GivenJubleth
    @GivenJubleth Місяць тому +1

    Mungu aliehay anikumbuke baba amen

  • @mariehellenm2483
    @mariehellenm2483 Місяць тому +2

    Amen amen

  • @marsianamsunza8172
    @marsianamsunza8172 2 дні тому +1

    AMEN UBARIKIWE

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 3 дні тому +1

    AMEN

  • @EvelyneNgidos
    @EvelyneNgidos 24 дні тому +1

    Kupitia maombi haya nguvu zote za giza zinazopangwa ili kuiangamiza familia ya binti yangu mpaka wanaenda Burundi kuongeza nguvu zakichawi ili wapate kuiangamiza ee yesu mwenye nguvu batilisha mawazo.yao kila walilopanga liwarudie wao wenyewe na.watoto wao na .mabalaa ,.imikosi nuksii maradhi vyote viwarudie wao wenyewe kwa jina la.Yesu amen.000òìì

  • @user-ne1cd7oq4z
    @user-ne1cd7oq4z Місяць тому +1

    Amen Bwana yesu akubariki akulinde mtumishi wa Mungu

  • @janetmtenzi9239
    @janetmtenzi9239 Місяць тому +1

    Ameeen ameeeeeeen

  • @nangongolukundula9367
    @nangongolukundula9367 Місяць тому +3

    Eee YESU neno lako ni mpyakilasiku ijapokua nikombali unikumbuke kwa hii maombi ya mtumishiwako Katekela

  • @user-gk8fr3yp9k
    @user-gk8fr3yp9k Місяць тому +3

    Baba naomba unikumbuke

  • @GivenJubleth
    @GivenJubleth Місяць тому +1

    Amen,

  • @VailethWiketye
    @VailethWiketye Місяць тому +2

    Napokea Kwa jina la Yesu Amina🙏🙏

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 Місяць тому +2

    Mungu wangu unikumbuke kwa maombi ya Mtumishi wako Katekela

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 Місяць тому +3

    Mtumishi tukumbuke watu tunaofatilia mtandaoni

  • @user-wt9kj7gl1i
    @user-wt9kj7gl1i Місяць тому +2

    Amen 🙏 🙏

  • @LindaJohn-fy1in
    @LindaJohn-fy1in Місяць тому +2

    Napokea kitikta jina la yesu

  • @ZawadiDaudi-js7wl
    @ZawadiDaudi-js7wl Місяць тому +2

    Jamani Mungu aliye hai akutie nguvu

  • @BaltazarSavinNdowo-w7y
    @BaltazarSavinNdowo-w7y Місяць тому +2

    Amina Amina MUNGU yu mwema

  • @frederikomanirakiza6922
    @frederikomanirakiza6922 Місяць тому +2

    Amen mubarikiwe

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 Місяць тому +2

    Kupitia maombi haya Mungu ukanikumbukee

  • @carolinemwanziajustoh8334
    @carolinemwanziajustoh8334 23 дні тому

    Amen amen amen

  • @Nabatabita6873
    @Nabatabita6873 Місяць тому +2

    Mimi kabisa hatasisi kwenye mtandao mutuombeye jamani

  • @Elizabethmuronji
    @Elizabethmuronji Місяць тому +2

    Eee mungu naomba haya yanifunguwe vifungo kwa jina la Yesu amina

  • @user-ij1zu2nj9t
    @user-ij1zu2nj9t Місяць тому

    Mchawi afe kabisa

  • @beatricegerald7253
    @beatricegerald7253 Місяць тому

    Naomba namba ya sadaka

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 Місяць тому

    Mimi ni mkiristo lakn mnafanya maigizo tu hakuna kumtukuzu mungu hapo ni uchafu mnafanya

    • @zainabmohammed9917
      @zainabmohammed9917 Місяць тому +2

      Mungu akufungue

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 Місяць тому

      @@zainabmohammed9917 mimi au wewe

    • @ManenoMbagala
      @ManenoMbagala Місяць тому +3

      Ishi na ukristo wako unaoamini tuachie sisi tunaoamini Yesu ametutoa mbali, wewe niwakala shetani bila kujijua na Mungu akufugue ufahamu nanafsi yako

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 Місяць тому

      @@ManenoMbagala yesu kaagiza hayo mnayofanya au bado unamtumikia mungu kwenye giza lkn siku yesu anarudi atawakana

  • @beatricegerald7253
    @beatricegerald7253 Місяць тому

    Naomba namba ya sadaka

    • @PaulinaMajengo
      @PaulinaMajengo Місяць тому +1

      Angalia hizo zinazopita kwenye screen