KANISA LIMEMEZWA NA UDUNIA WACHUNGAJI TUKEMEE UOVU MCH.KATEKELA|T.A.G UKONGA MAGEREZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 2 місяці тому +11

    Mch Mwaipopo ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni pamoja na kamati yako kumleta Mch Katekella asante sana.

  • @narekiMihwela
    @narekiMihwela Місяць тому +2

    Ubarikiwe sana maana wewe ni barua ya mungu tu!!🙏🙏🙏🙏

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Місяць тому +2

    Amen ubarikiwe sana kwa mafundisho hya hakika Mungu atusadie tujue ukweli

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana Mchungaji. Leo umeongea kweli ya Mungu. Waenda Mbinguni tubadilike YESU anarudi kuwachukua wateule.

  • @narekiMihwela
    @narekiMihwela Місяць тому +2

    Amina mtumishi wa MUNGU

  • @saradavirginia-kd7tn
    @saradavirginia-kd7tn Місяць тому +2

    Amen barikiwa sana ❤🎉

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 2 місяці тому +2

    Amina kubwa baba yangu Mungu wetu akubariki sana na akupe nguvu zakuachilia ukweli wa injili baba.

  • @BongeHiti
    @BongeHiti Місяць тому +2

    Mungu akuzishie afya

  • @ZulehaHassan
    @ZulehaHassan Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 2 місяці тому +2

    Mungu atusaidie sana

  • @evodeitangamahoro3762
    @evodeitangamahoro3762 2 місяці тому +1

    Mtumishi mungu akubariki tena akuongeze mufuta ya loho mtakatifu ni mewapenda sana

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 місяці тому +1

    Amina sema watu wapone kwa jina la Yesu.

  • @agnessjoseph9069
    @agnessjoseph9069 2 місяці тому +2

    Bwana yesu atusaidie 🙏

  • @GggyJhh-y4x
    @GggyJhh-y4x 2 місяці тому +2

    Waaaaa mungu atusaidie sana kwakwel inasikitisha ila mungu atatupigania ubarikiwe sana pastor mungu azidi kukutia nguvu na akuinue viwango vya juu sana

  • @Filemonclemens
    @Filemonclemens 13 днів тому

    Pastor amieli nabalikiwa sana na mafundisho yako natamani sikumoja tuwe wote peponi Kwa bwana wetu yesu klisto

  • @jacobmwandenga3364
    @jacobmwandenga3364 2 місяці тому +2

    Mungu tupe kiu Cha kushikamana na Wewe kwenye maisha yangu

  • @EvahKarist-xj3qi
    @EvahKarist-xj3qi 2 місяці тому +2

    Ubarikiwe mtumishi neema ya Kristo ikawe juu yako

  • @ااا-ح9م
    @ااا-ح9م 2 місяці тому +1

    Amina na ubarikiwe mutumishi,na penda mafundisho yako mungu akulinde

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 2 місяці тому +2

    Mtumishi wa Mungu Katekela ubarikiwe sana kwa neno na maombi na penda nipate mwisho mzuri

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 місяці тому +2

    Mungu alikukomboa kwa hii KAZI kubwa..ya kuufichua ukweli ..Mungu akulinde

  • @patriciaanatory7357
    @patriciaanatory7357 13 днів тому

    Mtumishi ubarikiwe sana. Hakika nabarikiwa sana ninaposikia mafundisho yako. Natamani ufike kwetu Bukoba ili watu wafunguliwe

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv 2 місяці тому +3

    nimependa mahubiri haya ,hakika Mungu atudaidie kubakia na uharisia wetu .....tuache kuiga mitindo ya kidunia

  • @izakaperice
    @izakaperice 2 місяці тому +2

    Amen mutumishi

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 2 місяці тому +2

    MUNGU akubariki Sana na akutangulie Kwa kila Jambo amen ubarikiwe Sana

  • @williamntungilahe5598
    @williamntungilahe5598 2 місяці тому +3

    Mungu akubariki katekela

  • @nominetjacob8137
    @nominetjacob8137 2 місяці тому +4

    Neema hii ya ushuhuda nasikiaga hara ya ushuhuda wako una ukweli mtupu maana ndivyo ilivyo YESU kristor alisema mbingu na Nchi zitapita lakini NENO la MUNGU halitapita mpaka litimie maana ukweli ni kumupokea YESU KRISTOR ALIYE HII Injili yako naiamini sana na sina mashaka nayo hata kidogo imenyoka kweli kweli una unena ukweli wa Habari Za YESU Aliye hai Ubarikiwe sana

  • @AfricanMusic-ey1co
    @AfricanMusic-ey1co 2 місяці тому +2

    AMEN 🙏🙏🙏

  • @Hafashimanamanassé-o8s
    @Hafashimanamanassé-o8s 2 місяці тому +3

    Imana imwongere imigisha.ninkomezi zokunesha

    • @JJTSUPERCLEANER
      @JJTSUPERCLEANER 2 місяці тому +1

      Nikweli kabisa imana imurinde nu mwasi setan😂😂!

  • @EliaitaKweka
    @EliaitaKweka 2 місяці тому +2

    Amina

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 2 місяці тому +2

    Ameen Ameen

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 2 місяці тому +2

    AMEN

  • @failanangeso26
    @failanangeso26 2 місяці тому +2

    Amen

  • @ambokilegwakisa3526
    @ambokilegwakisa3526 2 місяці тому

    Nakupenda sana kwa mahubiri yako,ila ushauri wangu mnyoo wa kidugu naomba uache ili wakusikiao na kukuona iwape neema kwa maana si hekima ya wanadamu kukataza kunyoa denge kwa watumishi bali ni Mungu mwenyewe walawi 19:27 wa rohoni na waelewe haya.

  • @narekiMihwela
    @narekiMihwela Місяць тому +1

    🙏🙏🙏

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 2 місяці тому +1

    Amen amen

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 2 місяці тому

    Asante

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 2 місяці тому +2

    Mch Katekella ubarikiwe maana naendelea kuelewa na kubarikiwa saana na neno na shuhuda nzuri na adimu

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 2 місяці тому +1

    Amiina glory

  • @PhilimonMathias-y5l
    @PhilimonMathias-y5l 27 днів тому

    Naomba maombi yako baba

  • @EmanuelLemba-t1d
    @EmanuelLemba-t1d 2 місяці тому

    Ameeen sana

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 місяці тому

    Ameni Ndugu Yangu, mpendwa,rafiki yangu, maana yoyote anaeubili inili Ya Toba, ,Toba Kwanza maombezi yanafwata,

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 2 місяці тому +3

    Ni kitabu gani kina ahadi hizo wapendwa?Qur'an inatoa ahadi za namna hii kuwa watakaokufa wakiwa waisilamu wanaume watapewa wake sabini,na huko watakuta mito ya pombe na mauno ya wanawake yenye futi 40.jamani watu wafunguke macho Allah siyo Mungu ni shetani

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 2 місяці тому

      Jamani vitabu vya Mungu waandishi wanatumikishwa na mafreemasoni wanaandika tofauti robo mtakatifu atufumbulie mafumbo roman katoliki wanakunywa pombe umewahijiuliza kwann hawataki sadaka pombe ukimuuliza loho mtakatifu nyuma yaromani kuna.nguvu.ya.giza inaitesa

    • @CamaraSyntya
      @CamaraSyntya 27 днів тому

      Kweli kabisa ni shetani

  • @PaulFrank-lw2jt
    @PaulFrank-lw2jt 2 місяці тому

    AMEEEEN

  • @MarthaChaula-o3f
    @MarthaChaula-o3f 2 місяці тому +1

    Nimesikia Amieli ana kuja Iringa utakuwa lini na ni wapi

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 місяці тому +1

    Mwenye masikio na asikie,
    Hivi hizi ahadi za wanawake 70 tunasikiaga kwa imani gani!

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому

      Hao ni Waislam ndio Paradise yao inavyo waahidi kuwapa hao wanawake patakua na mito inayo tiririsha Pombe, huku duniani hawaruhusiwi kunywa ila huko kwenye Pepo yao wanaruhusiwa kunywa mpaka uwe chakali ruksa

  • @nizigamaviolette-ig9dl
    @nizigamaviolette-ig9dl 8 днів тому

    Ukweli kabisa turudi upentekoste unaongea wanafikiri muchezo uyo niukweli waKristo tubadilike

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 2 місяці тому +1

    Huyu ndiye mchungaji ninayemuelewa

  • @nominetjacob8137
    @nominetjacob8137 2 місяці тому +2

    Ndomaana wazungu wana chimba madini yapo ya kira rangi haya unayo shuhudia yana ukweli kabisa

  • @joshuaandrew386
    @joshuaandrew386 2 місяці тому +1

    Amen 🎉

  • @jackmtafya3383
    @jackmtafya3383 2 місяці тому

    Muongo bro

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 2 місяці тому +1

    Majini majina yao maisilamu

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 2 місяці тому

    Hasa kwenye mtoko wa pasaka

  • @ERICAHMWAKILUNGU
    @ERICAHMWAKILUNGU 2 місяці тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 2 місяці тому

    Si unatuchekesha,hapo kwa kucha ni ukweli hizo kucha watu wanajipandikisha inakaa ya Jezebel,i wonder where the beauty is in such demonic nails🤔

  • @jackmtafya3383
    @jackmtafya3383 2 місяці тому

    Unawatishia watu Mungu si aliapa hataiangamiza dunia lakini brother
    Lucifer sio shetani lucifer ni kristo Yesu yeye ashindae nitampa Nyota ya asubhi (lucifer ) Bwana Yesu akupe neema ya kumjua kwakweli wewe ni mtu safi sana yani Nimekuondolea dhambi hio katika jina la Yesu kristo

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 Місяць тому

      HATA MTOTO MDOGO ANAJUA LUCIFER NI NAN, HEBU USITUTIE AIBU SIE

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому

      Utakua we ni Mfuasi wa Lucifer kwajinsi ulivyo kinyume na mahubiri ya Mchungaji,

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому

      Kuna watumishi kibao wanapingwa na watumishi wenzao kutokana na aina ya huduma, lakini huyu mchungaji kahubiri muda mrefu mbona hakuna mtumishi aliejitokeza kumpinga isipokua mitume na Manabii wauza mafuta na maji ndio wanalalamika kwasababu anawavurugia madili yao ya utapeli.

  • @EunnyNicks
    @EunnyNicks 2 місяці тому

    Hallelujah Hallelujah

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 14 днів тому

    VIDEO ZAKO ZINASKLACHI YAANI SIJUI HAUJUI KUWEKA MITAMBO SAWA

  • @jackmtafya3383
    @jackmtafya3383 2 місяці тому

    Muongo wewe bro

    • @nehemiahmguluka1996
      @nehemiahmguluka1996 Місяць тому

      Sikio la kufa halisikii dawa, Kama usiposikia ukaokoka basi wewe Kufa tuu

    • @AgnessMpanduka-l5g
      @AgnessMpanduka-l5g Місяць тому

      Kama unajua ni muongo sasa ulikua unasikiliza nini? Tuubilie basi wewe huo ukweli maana wengine hatujui kitu ndio kwanza tunayasikia maneno magumu.

  • @narekiMihwela
    @narekiMihwela Місяць тому +2

    Ubarikiwe sana maana wewe ni barua ya mungu tu!!🙏🙏🙏🙏

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 2 місяці тому +2

    Ameen

  • @Kingsalumoni
    @Kingsalumoni 2 місяці тому

    Amen

  • @fitinamarando
    @fitinamarando 2 місяці тому +2

    Ameen