#Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 11

  • @ERICAHMWAKILUNGU
    @ERICAHMWAKILUNGU 2 місяці тому +7

    Mungu akubariki mnoooo nikikusikiliza bila kukuangalia nasikia sauti ya mtumishi wa Mungu Moses kulola....pengine kama roho ya eliya ilivyoishi ndani ya yohana yaweza kuwa hivi ....Mungu wa mbinguni na ajitwalie utukufu Kila saa usimamapo kuinena kweli yote ...Tunakuombea huyu Yesu aitwae Kristo azidi sana kukutumia maana darasa liko wazi na ametuagiza tuwalete wengi kwake yeye aliye mwalimu....kazi hii ni njema na ni agizo pekee la Yesu wakati anapaa kuelekea mbinguni kwenye utukufu wake ..Mungu akulinde na kukutunza Kwa ajili yake tu...nguvu na uweza wake ukutunike na kukukumbusha yooote Kwa ushuhuda na kuwaleta wengi Kwa Yesu ...Mungu nakushukuru Kwa ajili ya mtumishi wa Mungu mchungaji katekela ....nakuomba kupitia yeye jina lako likatukuke sana Leo na milele lakini ni furaha yetu wengiiiiiii wamjue na kumpokea Yesu ili siku Moja tukaimbe Kwa ushindi mbinguni....barikiwa mno Yesu ni Mungu peke yake ..asiyehitaji mtu kuitwa Mungu ...anazo siku na majira mikononi mwake...Hafi anaishi hata Leo ....mwanaume pekee aliyemseta shetani kuzimu Kwa pambano Kali pale msalabani Kwa saa tatu ..Giza likaja alafu likatoweka pazia likapasua tukapata kibali Cha kupaingia patakatifu...tuko huru tuko huru mauti na kuzimu zimeshindwaaaa napiga kelele kuzimu isikie kuwa Yesu ni bwanaaaaa Yesu ni Munguuuuuuu na kuzimu isikie nyamaza na bwana akukemeeeee haleluyaaaaaaaa Yesu ni Mungu peke yake...ameeeen

  • @SudaNyalupagi
    @SudaNyalupagi 2 місяці тому +1

    Mungu akubariki mtumishi,uishi miaka mingi tuendelee kuisikia injili

  • @violetnasimiyu8718
    @violetnasimiyu8718 2 місяці тому +2

    Mtumishi Mungu akubariki sana. Maana kwa shuhuda na mahubiri yako yamenifanya kuwa jasiri siogopi chochote. Hakika wewe ni wa baraka sana kwangu. Sifa na utukufu ni kwa BwanaYesu.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 місяці тому +1

    Yesu ni mtamu Sana.

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 2 місяці тому +1

    Amen asante mtumishi

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 місяці тому +1

    Mtumishi wa Mungu umetoka mbali, kwa maana mungu amekutengeneza ukawa mpya na kiu ya maovu yote yametakasika. Shetani ndiye aliyenya haya yore. MI namshangaa mungu anavyoweza mbadilisha mtu. Kila mkoa unaoenda nakufuatilia utube yumkini mwanangu atakutana na mungu wako. Ee MFALME mwokoe mwanangu hata dk hii niandikapo anipigie sauti yake nipone . Amen