Ila ushauri kwa watunzi hizo zilipaswa ziwe nyimbo mbili tofauti kabisa, wimbo huko mwanzo na mwisho, hasa huko mwisho utengenezee uwe wimbo unaojitegemea. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
Upendo, you're truly amazing and so divine. Am stunningly surprised by your outstanding performance. You're beautifully created and talented. May Our LORD JESUS be pleased with you and truly protect you from any harm. Continue glowing brighter every day ! You're truly blessed !
Yesu kristu ni mfalme ni mfalme wawafalme ni Bwana wa ma Bwana utawala wake siwa dunia hii bali utawala wake ni wambinguni asante sana dada yangu kwa maneno ayo ya sikukuu ya yesu kristu mfalme yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Another timely treat for the celebration of *Christ the King* Feast this weekend. Shukrani sana Edwiga. Mungu azidi kukuangazia mwanga wake unaposambaza injili yake kwa njia ya uimbaji.
Asante Dada kwa kutuinjilisha Uzidi kubarikiwa una sauti nzuri kweli Dada MUNGU Mwenyezi alikupa kipaji hicho Akujalie Nguvu Afya njema Katika Utume Wako.
Upo Vizuri sana mungu akubariki uendelee hivi hivi.ila kuna wimbo mmoja unaitwa "pokea moyo wangu ee mungu wangu niweze kukupenda Kwa pendo lako" naomba uufanyie kazi tafadhali.
Upendo, we can't have enough of your sweet Angelic songs. We need more and more of you. May GOD be pleased in your humble servant's duty accomplishment . Go on and on , we're watching and praying for you.
Another day of Christ the king 👑 happy Sunday everyone
Yesu ni mzuri sana
I heard this song yesterday,during mass and i had to look for it.
Hakika Kristo ni mfalme wa wa falme👑👑👑👑👑👑
Nakutakia Dominika njema ya 34 mwaka B wa kanisa ambayo wazo kuu ni Yesu kristo mfalme
Yesu ni mfalme hakika ni mfalme 🙏
Hongera sana ,Safi sana.
Happy feast of Christ the king 2024
Watching you from Guinee Bissau
Thank you
Yesu nisaidie nitii amri zako kwenye Dunia hiii 🙏🙏
Ila ushauri kwa watunzi hizo zilipaswa ziwe nyimbo mbili tofauti kabisa, wimbo huko mwanzo na mwisho, hasa huko mwisho utengenezee uwe wimbo unaojitegemea. Hongereni sana kwa kazi nzuri.
@@dominokiba1112 Ahsante sana ila sijakuelewa kabisa. Naomba kama hutajali nisaidie ufafanuzi zaidi.
Proud to be a catholic jamani
Indeed Christ is the King
You mean catholic songs can be sang by one person....wow!
not really
Jesus Krist the King 🙌🙌🙌🙌 Hapo Kesho Mungu akijalia
Merci tendrement maman pour cette chanson agréable Yesu Kristu ni MFALME qui nous vivifie la foi en Christ Jésus !! Soyez béni !!
Happy Feast of the Christ the King
🎉
Aksante sana dada j'aime beaucoup aimé
Wow
Ubarikiwe mtumishi wa mungu ulinigusa moyo wangu ahsante sana ♥️♥️
Unaimba vzr ninabarikiwa sana nisikiapo wimbo huu
Hossanah to the HIGHEST 🙏
Ni jambo jema kumtumikia Mungu, big up sister
Yesu kristo ni mfalme, hakika ni mfalme wa wafalme
Hakika
Nice my Dada kazi nzuri mungu na azidi kukutumia atakavyo
Hakika..yeye.ni.Bwana.wa.mabwana.utawala.wake.niorijino
Happy feast day !
The solemnity of Christ the king of the universe
Kazi nzuri Madam Edwiga. Kristu Mfalme atawale milele!
Hongera sana Edwiga kwa kazi hii nzuri ,,,,,, stay blessed
Kabisa dada yetu
You never disappoint
God bless you
Amina
Christ the king of all kings. God bless you
Very nice song....God Bless You
It's true Jesus Christ is the KING of kings KING of Universal
Absolutely
Mungu akubariki pia akulinde siku zote za maisha yako pia akujalie nguvu za Roho mtakakatifu ili upate kumtumikia siku zote za maisha yako amina
Amina. Nashukuru sana kwa maombi yako na matashi mema mpendwa.
Kweli Edwiga umeimba sawa Malaika. Sauti yako ni nzuri. Icho kipaji, kizae matunda mema. Ila ombi langu kwako ni moja tu, umelijua vizuri kwani nimekwisha sema.
Hongera sana ubariikiwe
Alooo...your so talented, nyimbo zako zinauweka moyo wangu mahala pazuri sana....hongera sana
Hongera upendo wimbo mzuri sana, kila kitu kimepangwa vizuri
So sweet, continue serving God blessed
Son of Gerald Chavallah viewed this Hongera sana
Oooh yes, very nice.
Happy solemnity of Christ the King 2022
He reigns👑
God bless you sis💃💃💃💃
Thank you for the nice song
Hongera dada unacheza kinanda poa sana
Upendo, you're truly amazing and so divine. Am stunningly surprised by your outstanding performance. You're beautifully created and talented. May Our LORD JESUS be pleased with you and truly protect you from any harm. Continue glowing brighter every day ! You're truly blessed !
Amen....Thank you so much dear Mary
Yesu kristu ni mfalme ni mfalme wawafalme ni Bwana wa ma Bwana utawala wake siwa dunia hii bali utawala wake ni wambinguni asante sana dada yangu kwa maneno ayo ya sikukuu ya yesu kristu mfalme yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Amina
Continue praising the Lord through singing. Truly I like your songs. Congratulations
Labda pengine tupeane mawasiliano ili tuelekezane vizuri madam Edwiga Upendo nafarijika sana ninaposikiliza nyimbo zako
Waooooooo may God bless lovely sister
Kazi imeenda shule 🔥🔥🔥🔥💯
Saf sn dada Upendo Kwa Sauti mzuri, umeutendea vema wimbo huu,Mungu akupe zaid kipaji Cha kuinjilisha kupitia nyimbo
Hongera sana wimbo mzuri sana
Hongera sana dada Upendo, tunakukaribisha Mbagala kuu uje kuwapa hamasa wadada kwamba inawezekana. Karibu sana
Upendoooo,,,, nimekumbuka sauti yako kwenye nyimbo,,,,
hongera dada napenda siku moja na mm niwe kama wewe
Keep it up my young sister... congratulations, am so blessed with your singing...keep on shining
Hongala sana dada yetu kwa jinsi unavyo mdu kinanda!! Mungu ambariki kazi ya mikono yako Amina By Vianney parokia cendajuru BUrundi.
Unajuwa kuimba vzur God u pamoja nawe katika uimbaji wako 👏👏👏
Utawala wake si wa dunia hii❤❤❤
Kabixa Yesu Ni mfalme wa ba falme love ❤ u from Burundi
Mungu akutangulie, katika kumtangaza Safi sana
Sauti tamu.... Congratulations dear
Hope utanifunza kucheza kinanda
Melody nzuri sana Haina budi kuigwa na kuendelezwa na waktoriki wote tanzania
Glory to God 🙏
Hongera sana dadaangu una sauti nzur sana nakupenda mno
Asante sana , ubarikiwe
wow very nice asante sana
Barikiwa sana ndugu
Hongera Sana 👏👏 that is true
hongera kwa kuzifanya upya nyimbo tunazozipenda kweli... kazi nzuri na sauti nzuri pia
Hey
Dada yetu unakipaji kizuri mungu akujalie maisha mema uendelee na utume
What a voice ? Blessings.
Congratulations lovely sisy
Nzuri sana dada ang. That's good song and good voice god bless uuuu sana.I like it moreeeeeeeeee
A beautiful song😊
Enjoy
Ningependa tufanye collabo dada edwiga
Nakubali xana❤
😘😘😘safi madam ake
Mbarikiwe na bwana
Another new hit Catholic song after BWANA MFALME I'm so blessed with your talent,keep it up Edwiga,keep on shine.GOD BLESS U
Thank you Sunday....More blessings be over you
merci pour cette belle chanson. sois bénie beauté
Another timely treat for the celebration of *Christ the King* Feast this weekend. Shukrani sana Edwiga. Mungu azidi kukuangazia mwanga wake unaposambaza injili yake kwa njia ya uimbaji.
Gd
4 years later,
Nice song
Asante Dada kwa kutuinjilisha Uzidi kubarikiwa una sauti nzuri kweli Dada MUNGU Mwenyezi alikupa kipaji hicho Akujalie Nguvu Afya njema Katika Utume Wako.
Amina mpendwa....Tumshukuru Mungu
Classment kama classment hongera sana mumy
Ahsante mate
Lovely ❤
Hakika ni mfalme kristo 3
Nice video,nice voice. Spot on edwiga
Your songs are a blessing to me.
Soul soothing.
Be blessed.
Humbled.....Thanks be to God
Kweli utawala wake si wa dunia hii bali utawala wake niwa mbinguni
Wonderful Edwiga. Angelic voices. Consistent rythm with equipment. Waooo.
Thank you
Endelea kubarikiwa kwa kutubariki. Mwenyezi akutunze na kukulinda. Beautiful soul, song and singer
God bless you
Hongera sana Dada, Mungu AKUZIDISHIE kipaji ila nashauri ukipata nafas imba na ile TAWALA KWETU BWANA (Tradition)
Upo Vizuri sana mungu akubariki uendelee hivi hivi.ila kuna wimbo mmoja unaitwa "pokea moyo wangu ee mungu wangu niweze kukupenda Kwa pendo lako" naomba uufanyie kazi tafadhali.
Ahsante sana. Sawa kaka Thomas
Yesu.kweli.ni.mfalme.wa.wafalme.
lovely Edwiga
mungu akuongoze
Upendo, we can't have enough of your sweet Angelic songs. We need more and more of you. May GOD be pleased in your humble servant's duty accomplishment . Go on and on , we're watching and praying for you.
Amen....Thank you for your courageous comment Mary....Your prayers and support is always appreciated
Balaaaaa...🤸
Wow wimbo mwema Sana nahisi baraka tele Edwiga UPENDO Mungu akubariki Sana
Ongera sana mtumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Amina mtumishi. Ahsante sana
Asante sanaaa ,ujumbe mzuri sanaaaaa
Amina