NIKUSHUKURUJE MUNGU WANGU // G. Mtemele // KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU //UDOM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Habari Mpendwa *Karibu utazame na usikilize wimbo huu
    ▫️Wimbo: *NIKUSHUKURUJE MUNGU WANGU
    ▫️Mtunzi: Germanus Mtemele
    ▫️Waimbaji: KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU
    Directed by Rodriado
    PAROKIA YA MT. FRANSISCO XAVERY (UDOM)
    JIMBOKUU KATOLIKI DODOMA
    ▫️ Audio & Video Blessing Studio Pro
    Mawasiliano: 0655 601513 / 0759 601 513
    Subscribe Share like Comment katika channel hii.
    #kwayakatoliki #youtubeshorts #youtube #song

КОМЕНТАРІ • 122

  • @MediusEliya-iy5xf
    @MediusEliya-iy5xf 3 місяці тому +7

    Mmeupiga mwingii yaani wimbo ni 🔥🔥🔥kazi yangu kushare na wengine waenjoy piaah hongereni sana #dev kimarioo my senior 🙏🙏

  • @ShadrackKindole
    @ShadrackKindole 3 місяці тому +7

    Hongereni sanaa

  • @iamemma5860
    @iamemma5860 3 місяці тому +3

    Barikiweni sana 🙏🏿😊 nyimbo nzuri namuona ndugu yangu MOKOENA😁

  • @JAMESEMMANUEL-t9j
    @JAMESEMMANUEL-t9j 3 місяці тому +5

    Mungu azidi kuibariki kazi ya utume wenu katika kumsifu na kumwimbia yeye.
    FAMILIA TAKATIFU.......... 🎉🎉🎉🎉

  • @mcmwakalix3017
    @mcmwakalix3017 3 місяці тому +4

    Kazi nzuri Mungu awatunze

  • @EngrebertAmos
    @EngrebertAmos 3 місяці тому +4

    Mungu bariki kwaya ya familia takatifu udom
    Congratulations organist dev, toronta, paul wasonga

  • @jasonmpitabavuma4044
    @jasonmpitabavuma4044 3 місяці тому +5

    Bwana awabariki sana mzidi mno katika huduma hiyo nzuri 🙏🙏

  • @leonardjacob7118
    @leonardjacob7118 3 місяці тому +4

    🎉🎉🎉🎉good job

  • @gracemtaki5538
    @gracemtaki5538 3 місяці тому +4

    Hongereni Sana Waimbaji ni Vyema KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO ❤❤❤

  • @EmanuelaSulle-yo1iv
    @EmanuelaSulle-yo1iv 3 місяці тому +3

    Hongereni wapendwa 🎉 kazi nzuri 🤗🥰

  • @cosmashenrymbulwa963
    @cosmashenrymbulwa963 3 місяці тому +3

    Hongereni vijana kazi nzuri saana

  • @ndakijr5969
    @ndakijr5969 3 місяці тому +3

    Namna gan Nikolaus baleee namuona bases,any way hongereni Sana Kwa KAZI nzuri
    Mungu awabariki Sana mzidi kutoa KAZI nzuri zaidi ya hapo,
    Na ikawe MWENDELEZO hata pale mtakapohitimu chuo ,💯🌷🌷🌷🌷🌷🌷

  • @godfreyizak5415
    @godfreyizak5415 3 місяці тому +4

    Mungu ni mwema

  • @nobertricardo8594
    @nobertricardo8594 3 місяці тому +3

    Kazi nzr mungu awabariki

  • @VERONICAKIBASA-tp7vs
    @VERONICAKIBASA-tp7vs 3 місяці тому +5

    good job wapendwa barikiwa sana

  • @norberthamlowe2363
    @norberthamlowe2363 4 години тому

    Congratulations!🎉 nafarijika sana! Congole kwenu wanakwaya! I love you all

  • @apolonarylazaro1361
    @apolonarylazaro1361 29 днів тому +1

    Usiangalie udhaifu wangu..mimi mwanao nakupenda sana Bwana….
    A very nice song na mbarikiwe sana

  • @ChaneloK.K
    @ChaneloK.K 3 місяці тому +1

    BWANA na awabariki🙏,
    awatie nguvu katika uinjilishaji Kwa njia ya nyimbo👏👏

  • @BoniphaceMabilika
    @BoniphaceMabilika 3 місяці тому +3

    KAZI NZURI FAMILIA 🎉🎉👏👏

  • @WilliamNsolloh
    @WilliamNsolloh 3 місяці тому +3

    Amina kubwaaa🙏🏿🙏🏿 vamos Udom

  • @simonmwanisenga7815
    @simonmwanisenga7815 2 місяці тому +1

    Asee mbona nilikua sijaona, hii kitu hongereni sana🎉🔥🔥🔥 Mungu awaongoze na kuendelea na utume🙏

  • @RENATUSSUBI
    @RENATUSSUBI 3 місяці тому +2

    Tunamshukuru aliye tuwezesha na kumuomba azidi kutukirimia zaidi ❤

  • @Mc_creative28
    @Mc_creative28 3 місяці тому +4

    UDOM iitikeee jamnii... Tusambazeee link.. link itembeeee

  • @norberthamlowe2363
    @norberthamlowe2363 4 години тому

    Your dressing style is awasome! Beautiful

  • @gaudensiamasima6119
    @gaudensiamasima6119 3 місяці тому +1

    Mungu azidi kuwafanya mumsifu yeye kwa njia ya uimbaji siku zote🎉😇🥰🙏

  • @MatataSamweli-sm2mp
    @MatataSamweli-sm2mp 2 місяці тому +1

    sweet melodie waimbaji kiukwel nimebarikiwa na uimbaji wenu🎉❤

  • @JulieKimario
    @JulieKimario 3 місяці тому +1

    Asanteni sana na hongereni mnooooo mbarikiwe mpaka mshangae❤❤

  • @edisapontion8754
    @edisapontion8754 2 місяці тому +2

    Tumwimbie Bwana... Wimbo mzuri, unatafakarisha. Hongereni sawa wanakwaya

  • @TarcisiusEliackim
    @TarcisiusEliackim 3 місяці тому +1

    Safi saña organist, mr Ntakandi kazi nzuri

  • @TheonasSylivanus-t2l
    @TheonasSylivanus-t2l 3 місяці тому +3

    Nice ❤❤❤

  • @OlmelindaOscer
    @OlmelindaOscer 17 годин тому

    Proud Catholics....

  • @Mtemele
    @Mtemele 2 місяці тому +2

    Safiiiii sana wakuu Meutendea haki sana hii kaziiii safiiii sana

  • @st.bernadethamuce757
    @st.bernadethamuce757 3 місяці тому +9

    Hakika ni wimbo mzurii wa kumshukuru MUNGU.. hongeraa organist🎉🎉..

    • @Robertntakandi
      @Robertntakandi 3 місяці тому

      Tumshukuru Mungu kwaajiri yakeee ndugu zetuu St. Bernadetha

  • @victormtenga6348
    @victormtenga6348 3 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana. Mubarikiwe katika utume wenu.

  • @SabinaManonga
    @SabinaManonga 8 годин тому

    Amina

  • @Sr_emilyjeptoo
    @Sr_emilyjeptoo 26 днів тому +1

    Nikushuruje Bwana wangu… mimi myonge na mdhaifu…… Daah🥹🥹🥹
    WanaFamilia Takatifu God bless you! Yaani my love for this song ❤ i have looked for it since 2019 nilikua na audio ukapotea….good job done here Hongereni sana kwa uinjilishaji nzuri. Mungu awatunze na kuwalinda.

  • @ivomanga-lv5cm
    @ivomanga-lv5cm 3 місяці тому +4

    ❤❤❤❤❤❤❤mnavoringa 😂😂 Hadi naona wivu mmetisha Sana. Apo kwa mpiga kinanda ni balaaaa 😂 Kuna nyingine au hii hii tu

  • @mganialfredoo
    @mganialfredoo 3 місяці тому +3

    🔥🔥🔥

  • @AnnaChrissy
    @AnnaChrissy 28 днів тому +1

    Wimbo nimeupenda mnooo....nausikiliza kila maraaa ...unagusa moyoo

  • @MatildaSamwel
    @MatildaSamwel 3 місяці тому +1

    Mmependeza sanaa Mungu ni mwema👏👏🥰🥰

  • @HariethChigolo
    @HariethChigolo 3 місяці тому +1

    Hongeraa sana ,,kwani mimi ni mnyonge moyo wangu mdhaifu sistahili kusogolea malangoni kwako🎉❤

  • @aloycehongoa6284
    @aloycehongoa6284 5 днів тому

    Kazi nzuri Mungu awe nanyi

  • @ANJELINAMbaga
    @ANJELINAMbaga 3 місяці тому +1

    Amen amen 🙏 🙏

  • @davidjustas1130
    @davidjustas1130 3 місяці тому +2

    wimbo mzuri hongeren!!

  • @ISDORYTEBHO
    @ISDORYTEBHO 2 місяці тому +2

    Hakika mmetishaaa❤

  • @Mc_creative28
    @Mc_creative28 3 місяці тому +2

    Ila nichoooo🎉🎉🎉❤❤ una hatriiii

  • @marthamtegha9071
    @marthamtegha9071 3 місяці тому

    Hongera. Sana. Mtunzi. Wa. Wimbo. Huu. Pia. Waimmbaji wako. Vizuri. Sana. Naomba. Note. Ya. Wimbo. Huu

  • @GodfreyLutumo-hi4bd
    @GodfreyLutumo-hi4bd 3 місяці тому +2

    SJF FOREVER 🎉❤

  • @viceluoga703
    @viceluoga703 19 днів тому

    kuna nyimbo ukisikiliza unasafirinazo kwa hisia. mmeimba kwa utulivu na wimbo unavutia hisia za kiibada na upondefu wa moyo. hongereni na mungu awatunze

  • @amandachilumba2312
    @amandachilumba2312 3 місяці тому +2

    Hongereni familia takatifu🙏

  • @NASRALIMWAGILA
    @NASRALIMWAGILA 2 місяці тому +2

    Hakika familia mmewaka na ujumbe ni mzr sana

  • @GloriaMarandu-n7h
    @GloriaMarandu-n7h 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana😋❤️

  • @ivomanga-lv5cm
    @ivomanga-lv5cm 3 місяці тому +4

    Kaija weeeeeereee kumbe unajua kucheza step mbele ya camera.

  • @JosephNtajishe
    @JosephNtajishe 3 місяці тому +1

    Kazii nzuriii🔥🔥👍

    • @RENATUSSUBI
      @RENATUSSUBI 3 місяці тому

      Mastika sijakuona au urikua unacrea😂🎉te

  • @CelinerAlphonce
    @CelinerAlphonce 2 місяці тому +1

    Hakika ninebarikiwa sanaa❤🔥🔥🔥

  • @volkachriss4062
    @volkachriss4062 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri

  • @espedinanyomolelo402
    @espedinanyomolelo402 3 місяці тому +1

    Hongera asa sanaaaa familia takatifu Mungu azidi kuwatia moyo na kuwaongoza kwa kila jambo❤❤❤❤❤

  • @danielmathias6327
    @danielmathias6327 3 місяці тому +1

    Namuona kijana wangu Englibert ❤❤❤😂 hongereni sana

  • @Mwampamb4aRahel
    @Mwampamb4aRahel 2 місяці тому

    Nice song

  • @Robertntakandi
    @Robertntakandi 3 місяці тому +1

    UBHUNYAMA NI BWINSHI HENE GA! as translated to UNYAMA NIMWINGI KWAKWELI 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @samwelvicent5595
    @samwelvicent5595 3 місяці тому +1

    Oky, 🙌

  • @KesyRamadhani-on2fe
    @KesyRamadhani-on2fe 2 місяці тому

    I like this song

  • @medardbanyikwa
    @medardbanyikwa 3 місяці тому +1

    Nice job🎉

  • @ACREYAPOLINARY
    @ACREYAPOLINARY 6 днів тому

    Toronta the master uinuliwe sana mkuu

  • @ivomanga-lv5cm
    @ivomanga-lv5cm 3 місяці тому +3

    Stephanooo, elika, nyomo, Veronica, Joseph, n.k

  • @VERONICAKIBASA-tp7vs
    @VERONICAKIBASA-tp7vs 3 місяці тому +1

    Bravoo💪

  • @AntiaDaniel
    @AntiaDaniel 2 місяці тому

    Waoo!! Wimbo mzuri saana wanafamilia

  • @joelpaschal835
    @joelpaschal835 3 місяці тому +1

    good job familia, congratulations 🎉💯

  • @AminaHamis-k2q
    @AminaHamis-k2q 3 місяці тому

    Waoooh hongereni sanaa namuona wizo wangu Nyomo hongeraaa sana

  • @SanjiduttyHezron
    @SanjiduttyHezron 3 місяці тому

    Nice work vijana❤

  • @geofreychengula8096
    @geofreychengula8096 3 місяці тому +1

    Abudantly ❤blesses to you @ll🎉

  • @Ms.Paskali
    @Ms.Paskali 3 місяці тому

    Hongera Sana kwa utume.

  • @MathiasMgale
    @MathiasMgale 3 місяці тому +1

    Jaman niraha katika bwana

  • @PerpetuaChiboko
    @PerpetuaChiboko 3 місяці тому +1

    Congratulations 👏 Holy family ❤

  • @NgasaMichael-qm3yx
    @NgasaMichael-qm3yx 3 місяці тому +2

    ❤❤

  • @datiuschangura5206
    @datiuschangura5206 3 місяці тому +1

    Hongera sana mmeupga mwingi

  • @AsaaSaid-l7k
    @AsaaSaid-l7k 3 місяці тому +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @FelisterNgasa-wr2sd
    @FelisterNgasa-wr2sd 3 місяці тому

    Nice🎉❤

  • @aarantimotheo-hr8cr
    @aarantimotheo-hr8cr 3 місяці тому +1

    Ewaaaaaah familia takatifuuu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Arati3
    @Arati3 3 місяці тому +1

    Safi🎉

  • @labismarite7219
    @labismarite7219 3 місяці тому

    Hongereni sana familia takatifu

  • @MathiasMnyashi
    @MathiasMnyashi 28 днів тому +1

    Best ever song

  • @VenasLujinya22
    @VenasLujinya22 Місяць тому

    Hongereni sana.🔥🔥🔥

  • @GeorgeMarko-y2r
    @GeorgeMarko-y2r 14 днів тому +1

    Wimbo mzuri jamani hongereni,,,

  • @PankrasMbunda
    @PankrasMbunda Місяць тому

    Mungu awabariki

  • @Mwampamb4aRahel
    @Mwampamb4aRahel 2 місяці тому +1

    Wimbo ni mzr na ujumbe wake ni mzr San na unasaidia San kiufupi familia hongeren

  • @anethelizeus7891
    @anethelizeus7891 3 місяці тому +1

    Ongera sana familia

  • @BerthaLazaro-wu4sd
    @BerthaLazaro-wu4sd 3 місяці тому

    🎉 very nice

  • @enockjohn2465
    @enockjohn2465 2 місяці тому

    nice song

  • @PaschalRaphael-n9d
    @PaschalRaphael-n9d 2 місяці тому

    🎉🎉mtengwee

  • @SumaLutumo-c5z
    @SumaLutumo-c5z 2 місяці тому

    🎉🎉Kaz nzuriiiii familia🥰🥰

  • @Patrick_Mndeme
    @Patrick_Mndeme 3 місяці тому

    Nice

  • @MARIANAGAITAN-ty7bn
    @MARIANAGAITAN-ty7bn 3 місяці тому

    Nimebarikiwaaaa na wimbo huuuu kw kweliii Be blessed family🎉🎉🎉🎉

  • @DrMASHILIMU
    @DrMASHILIMU Місяць тому

    Hongera familia namuona Rachel apo

  • @Mt_Yudathadei_Njombe
    @Mt_Yudathadei_Njombe 13 днів тому +1

    Nitawezwje bwan kusimama

  • @FiniasStanslaus
    @FiniasStanslaus 3 місяці тому

    MUNGU mwema

  • @AnnaChrissy
    @AnnaChrissy 28 днів тому

    Na sauti ya pili mmeutendea haki......na mwanangu ametoka kunambia anaupenda sana

  • @AnnaChrissy
    @AnnaChrissy 28 днів тому

    Na sauti ya pili mmeutendea haki......na mwanangu ametoka kunambia anaupenda sana 1

  • @datiuschangura5206
    @datiuschangura5206 3 місяці тому

    Mkuu toronta 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Robertntakandi
      @Robertntakandi 2 місяці тому

      🙌🙌🙌🙌 mkuu dogita changura

  • @magdalenacharles5769
    @magdalenacharles5769 2 місяці тому