The sound and voice control , the organ played with such skill undefined makes the whole harmony unbeatable. The song renewed will be listened for such long hard to tell. Edwiga, you and your wonderful friend Despina will always remain blessed for this much more ahead. Thank you.
The sweet tempo and simple video presentation makes your outstanding performance so Divine with a clear message delivered. Our Father in Heaven is Pleased .
Oh how so appropriate the posting of this glorious song with the Feast of Christ the King coming up. As always, the angelic voices of Edwiga & Despina and the perfectly harmonized instruments is a beauty to behold. May Christ the King reign in our hearts and bless you dada Upendo and your ministry 🙏🙏🙏
Barikiwa mno best yangu.....Sala zako, maombi yako, hamasa yako, support yako na mengine mengi ndiyo yamechangia mafanikio katika hii hatua....Nakushukuru mno my
Bwana mfalme ameketi milele atawabariki watu kwa amani asante sana kwa wimbo iyi nzuri ya sikukuu ya yesu kristu mfalme Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Hongereni sana dada Edwiga Upendo na Despina Mdende. Mungu azidi kuwafanikisha na kuwabariki katika miradi yenu yote. Nimefurahia sana wazo la kuamua kufanya kazi pamoja. Mmeshare karama zenu👏👏👏👏👏
Ahsante, ila kwa kweli; nakupenda kwa dhati, sio kwa kufanya masiara, ila wakati utafika mda ambao utakubali kuwa Mama wa watoto zangu. Wewe ndie chaguo langu. Nakuomba ufikiri kuusu ombi langu. najua kwamba utawaza kwamba nina kichaa, ndio; ni kichaa cha mapenzi. Wewe ni Mke mrembo nakupenda sana kwa dhati. Siwezi kubarikiwa bila kuwa na wewe mrembo. Najua kwamba tupo mbali kwa mwili ila ndani ya moyo wangu nakuwaza mda wote.
Jambo mara nyingine Edwiga Upendo. Wewe ni mtahalamu kwa kupiga kinanda; ni vizuri kukaa karibu na wewe ili ni fahamu na mimi kupiga kinanda. Nawezaje kuku pata kama nafika Tanzania? Umepiga kinanda Vizuri zaidi sana. Tena na cheko yako ni nzuri mno. Nimekufuraiya sana, aswa wakati unapo cheza kwa kinanda. Wakati ninapo sikia nyimbo na mlio wa kinanda unacho piga, nimepata faraja ndani ya moyo wangu. Natamani nikuone kwa karibu. Wewe ni furaha ya moyo wangu.
Great voices, great song...blessing me and my family every day....I have taught my kids( dont speak swahili) and they can now sing alone. You are such a blessing!!!! Nimeisambaza sana kwa marafiki yangu hapa UK and everyone else. Happy Christ the King/ Jumapili ya Kristu mfalme...you have set the bar high....following keenly for.more and more.
Saw this on a friend’s status and I came here! Whoa, can’t stop listening 🥰. Everything: voices, video and the beautiful ladies. Many blessings Edwiga and your friend ❤️
Uzidi kubarikiwa. Yote ni kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu. Hicho ni kidogo sana mbele ya Mungu. Tunatambua hilo. Zaidi usiache kutuombea. Ahsante
Wimbo mtamu sana
Ubarikiwe sana dada zangu # Edwiga Upendo + mwenzako
Amina.....Barikiwa zaidi na zaidi
Mama nzuri huyo Ana imba vzr
Amina mama mungu azidi kukubariki na azidi kukubariki hiyo sauti
Mmeimba vizuri
Hongereni am feel blessed,,,umujua kugusa mioyo,,mnaimba kwa more feelings hongereni,,mungu awajalie uwezo zaidi
Amina Annie.....Ahsante sana kwa support
Juhudi kubwa sanaa ,single person catholic song its a hard work
Tumshukuru Mungu
Naupenda huu wimbo sana....asante Edwiga
Barikiwa kaka Josphat
Shukrani kwa waimbaji wetu wa Tanzania Mungu awabariki. Am so much blessed . May God grant you good health so that you may transform many soul.💖💖💖💖💖💗💗
Kibao safi sana mwalimu...ntakuja unifunze kucheza organ..barikiwa sana kwa kazi nzuri
hongereni dada zangu kwa kuinjilisha🤣🤣🤣
Ubarikiw sanaaa. Upendo
Ahsante Mary
Hakika nimefarijika sana kusikia nyimbo hii imejaa kila aina ya faraja MUNGU awabariki sana
Yani nnabarikiwa sana na ww dada
Mungu atukuzwe ndani ya nyimbo zako
Roho mtakatifu azd kukuongoza dear
Amina
Yesu Kristu ni Jana, Leo na Milele yote♥️♥️👑
Hongera Sana wahusika wote wa nyimbo hii ,,hakika umenibariki .Mungu mwenyewe awazidishie neema na baraka tele katika maisha yenu
Amina....Tumshukuru Mungu
Kusema ukweli mnaimba jaman ,,congole kwenu wainjirist,wetu nice song,,wawoooo good beat❤
The sound and voice control , the organ played with such skill undefined makes the whole harmony unbeatable. The song renewed will be listened for such long hard to tell. Edwiga, you and your wonderful friend Despina will always remain blessed for this much more ahead. Thank you.
Thanks be to God James.....Glory and honour be unto him
@@edwigaupendo Amen ! Stay Blessed !
The sweet tempo and simple video presentation makes your outstanding performance so Divine with a clear message delivered. Our Father in Heaven is Pleased .
Ujumbe Mzuri sana
MUNGU akubariki my sister, kazi yako ni nzuri saana.
Ufalme wa Kristu unifikie na mimi na wote❤
Je n'ai jamais compris la langue ici mais catholique que je suis, j'adore écouter vos chansons
Hongeren watumishi wa Mungu kwa utume wa uinjirist ,,Mungu akutunze kipaji chenu nabarikiwa xana❤❤
Oh how so appropriate the posting of this glorious song with the Feast of Christ the King coming up. As always, the angelic voices of Edwiga & Despina and the perfectly harmonized instruments is a beauty to behold. May Christ the King reign in our hearts and bless you dada Upendo and your ministry 🙏🙏🙏
Thank you Fr...Thanks be to God
@@edwigaupendo Karibu. Shukrani za dhati kwenu na baraka tele katika yote
Wow hadi sitamani wimbo uishe, hongereni sana Madame!! MUNGU azidi kuwainua daima
Barikiwa mno best yangu.....Sala zako, maombi yako, hamasa yako, support yako na mengine mengi ndiyo yamechangia mafanikio katika hii hatua....Nakushukuru mno my
Pamoja sana rafiki yangu wa faida
Ahsanteni sana kwa kuzidi kutubariki kwa nyimbo nzuri
Congratulation to u ccter
Nmebalikiwa mungu awabariki nanyi pia
Napenda kazi yako nzuri.
Sauti taaaaamu😍😍
Barikiwa ndugu
Bwana mfalme ameketi milele atawabariki watu kwa amani asante sana kwa wimbo iyi nzuri ya sikukuu ya yesu kristu mfalme Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Amina kaka Patrick
Be blessed my cct bt nam nataman kufikia huko napenda saan nyimb zako na saut nzur 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💕💕💕💕
Wimbo nzuri sana, mbarikiwe
Kazi nzuri sana dada ang Mungu akubariki sana katika utume wako wa uimbaji I wish all the best
Bwana mfalme atawabariki watu wa Amani.
Enheeeee.apo apo Dada.nmependa sana I say
Napenda uimbaji wako, uchhezaji kinanda na pia wewe mwenyewe.. sijui kama kuna nafasi ...hahaha
Waooo Madamu Kazi nzuri sana Ubarikiwe
Amina
Hongereni sana dada Edwiga Upendo na Despina Mdende. Mungu azidi kuwafanikisha na kuwabariki katika miradi yenu yote. Nimefurahia sana wazo la kuamua kufanya kazi pamoja. Mmeshare karama zenu👏👏👏👏👏
Amina.....Barikiwa zaidi mtumishi
Amina.....Barikiwa zaidi mtumishi
Wimbo mzur San. Be blessed
Amen....We pray for John Mgandu's soul continue rest in eternal peace
Ahsante, ila kwa kweli; nakupenda kwa dhati, sio kwa kufanya masiara, ila wakati utafika mda ambao utakubali kuwa Mama wa watoto zangu. Wewe ndie chaguo langu. Nakuomba ufikiri kuusu ombi langu. najua kwamba utawaza kwamba nina kichaa, ndio; ni kichaa cha mapenzi. Wewe ni Mke mrembo nakupenda sana kwa dhati. Siwezi kubarikiwa bila kuwa na wewe mrembo. Najua kwamba tupo mbali kwa mwili ila ndani ya moyo wangu nakuwaza mda wote.
Tunashukuru Jean kwa kutupenda...Endelea kubarikiwa na kazi ya uinjilishaji
Nyimbo nzuri na sauti nzuri good song edwiga upendo
Thanks be to God....Thank you dear Lulu
Napenda sana nyimbo zenu mung awabalik sana
Hawa dada zetu wapo Juu barikiwa sanaaa
Bwana mfalme, ameketi milele atawabariki watu kwa amani.
Umenifurahisha sana. Mungu akubariki Edwiga.
Amina kaka Rodgers
Bwana akubariki sana kwa kazi njema unayofanya.
Amina
Jambo mara nyingine Edwiga Upendo. Wewe ni mtahalamu kwa kupiga kinanda; ni vizuri kukaa karibu na wewe ili ni fahamu na mimi kupiga kinanda. Nawezaje kuku pata kama nafika Tanzania? Umepiga kinanda Vizuri zaidi sana. Tena na cheko yako ni nzuri mno. Nimekufuraiya sana, aswa wakati unapo cheza kwa kinanda. Wakati ninapo sikia nyimbo na mlio wa kinanda unacho piga, nimepata faraja ndani ya moyo wangu. Natamani nikuone kwa karibu. Wewe ni furaha ya moyo wangu.
Zidi kubarikiwa mtumishi
Great voices, great song...blessing me and my family every day....I have taught my kids( dont speak swahili) and they can now sing alone. You are such a blessing!!!! Nimeisambaza sana kwa marafiki yangu hapa UK and everyone else. Happy Christ the King/ Jumapili ya Kristu mfalme...you have set the bar high....following keenly for.more and more.
Humbled man of God.....More boessings over you
Huu wimbo na saut zake dah una nikosha sana nauwona uwepo wa Mungu kabisa
Amina mtumishi....Tumshukuru.....Sifa na shukrani tumrudishie yeye
Bwana Mfalme mzuri, dada Edwiga. Sauti mzuri sana. Bwana Mfalme akubariki kweli. Alphonse Marie.
Amina Baba
nice... she is doing good... hongera wadada kwa utume wa uimbaji na upigaji kinanda...
Ahsante sana
Music made in Heaven. Great voices. Mko mbele sana, to God be the Glory.
Kazi Nzuri, Sauti tamu zinaleta hisia mpaka moyoni, Mapigo ya kinanda yako poa Mbalikiwe sana tena na tena
Amina...Barikiwa zaidi na zaidi Mtumishi
Dada upendo wimbo huu unatubariki sana.
Hasa tunapomaliza kipindi cha mwaka wa kanisa tunamsifu na kumtukuza mfalme wetu.
How nice is it.🙏🙏🙏🙏
Sauti tamu kipawa kutoka kwa Mungu,ewe Dada ktk KRISTU shime endelea kutuongoa na mix za kikatoliki hadhira tuko,Ktale kenya
Amina...Barikiwa Mtumishi
Unaimba vizuri sana
Aika sana mae
Well done keep it up
Saw this on a friend’s status and I came here! Whoa, can’t stop listening 🥰. Everything: voices, video and the beautiful ladies. Many blessings Edwiga and your friend ❤️
Bwana awenawe daima kwakwel menapendasan kuimba, ndomaan nmevutiwxan nakaz yako nzr ubarkiwexan dadaangu
Amina kaka Abel....Nakushukuru sana kwa matashi mema kaka
Kazi nzuri na bora kabisa
Tumshukuru Mungu kaka Genes...Ahsante pia
That's absolutely good,very nice perfect,interested song,good voices that touches my heart,I appreciate your talents,be blessed more and more
Thanks be to God. Be blessed more
Ongeleni sana kwa kuimba vizuri ,,wote ni wakali wa sauti mungu awabariki sana
Kazi nzuri Sana dada , ubarikiwe sana
You have indeed great talent. Carry on you will be great singer in the catholic songs
Wajina nakupenda tu great job mamaa
Nakupenda bure dada edwiga karibu mara
Hongera Edwiga umepiga hatua kubwa sana
Ahsante Chair...Barikiwa zaidi tangu leo na hata milele
Waooow! Nzuri sana. Continue winging higher
Thank you....Your prayers please
@@edwigaupendo Amen
Today I'm listening to and watching your songs,,,,I feel so blessed 🙏🙏
Say hi to Despina,,, I lover her voice too❤️❤️
*love
Safi wimbo mzuri kwakweli.
Hongereni Sana Dada Edwiga Kwa Kazi nzuri
Ahsante sana
My favorite,,that madam Upendo.....sauti zuri izo na kina poa
Hongereni Sana ,Mungu azidi kuwainua
Nakosa Maneno ya kuwaambia Mzidi kubarikiwa wapendwa
Hongeren sn kwa saut zenu nzur
Congratulation, the song is nice
Kama una moyo wa nyama, semantics Amen
mungu akubraki sana dada upendo kwa kazi nzuri unayoifanya
Ahsante kaka Eric...Nashukuru kwa support yako
Ubarikiwe Sana.
kazi nzuri dada zangu nawaombea Mola azidi kuwabariki
Sauti tamu tulivu kabisaa...
M barikiwe sana asee🙏🙏
Tumshukuru Mungu....Barikiwa
@@edwigaupendo Shukran Sana Dada Ed.. fanya uongeze na nyngne nymbo zako znanivutia sana
Surely...I love your songs and the technic in composition......and the message up in them
From Kenya
St Anthony choir mwala
Barikiwa wimbo NI mzuri sana
Wow beautiful Angels good work...God bless u
Wimbo mzuri Sana nikiusikiliza unanitia amani ya kupambana daima.
Amina sana
Wow wow wow.... wonderful....yes indeed Jesus Christ is King forever... angelic voices 💯🌹🌹🌹🌹
Upo vizuri upendo
Nzuri sana bonge la surprise good song Dada Ang upendo jah bless
Thank you....Barikiwa zaidi na zaidi ndugu yangu
Nimeupenda sana wimbo,unanifariji
Sauti nzuri sana edwiga
Kazi Safi sana..aisee...jina lake lizidi kuhimidiwa...
Amina sana Stephen
Mna sauti tamu wadada nyie. Mmebarikiwa sana yaani ila msijiinue baada ya kusifiwa. Mmesikia eee
Uzidi kubarikiwa. Yote ni kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu. Hicho ni kidogo sana mbele ya Mungu. Tunatambua hilo. Zaidi usiache kutuombea. Ahsante
Nimevarikiwa sanaaaaa
Happy solemnity of Christ the king 👑
Good San mnaimba vizuri sauti zenye mavutio
Beautiful ladies, beautiful song beautiful voices
Good madam Edwiga stay blessed
Amen more blessings to us♥️♥️♥️
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki wapendwa.
Tunashukuru
You are talented madam edwiga, great voice of all time.
very well done.Mbarikiwe sana
Amina....Ahsante sana
Ubarikiwe dada hakika umeimba vzur
Barikiwa