Mjukuu wangu ana umri wa miaka minne. Anaupenda sana wimbo huu na kujaribu kuuimba. Nami humfungulia hii u tube ili aweze kutamka maneno vizuri. Nakushukuru sana.
Hongera Sana Dada angu,kwel,yesu,kafufuka nawe,moyoni syo,maigizo ,but one day nami,natamn Sana niweze kuimb but mzingra niliyopo hayaruhsu kwa,sasa,yaan,dah
Sikuwahi kuwaza kuwa unafikilia kufanya kitu cha tofauti kiasi hiki, maneno ya kusema sina but umefanya very great thing. Hakika umenibariki sana na nimekupenda bure. Hongera sana sana sanaaa! 😘😘😘
Lakin naomba kuuliza ulitumia mbinu gani mpaka kufahamu kupiga kinanda nataman sana kucheza lakin sina wa kunielekeza walimu wa kinanda wa sasa hivi waongo anakwambia atakufundisha halafu sababu zinakuwa nyingi mno
Nilikuwa nime-request huu wimbo hapo nyuma. Nakushukuru sana kwa kuniitikia . Mungu akuzidishie neema, ukazidi kutuinua kiimani kupitia uimbaji wako. Hapa Kenya twakupenda sana. Barikiwa!
@@edwigaupendo Hi, Kuna zaburi yenye huimbwa wakati wa misa ya pasaka. Utatubariki sana ikiwa utatuimbia. Kiitikio chake ni "Nitamwimbia Bwana kwa maana ametukuka sana" I wish i could share the tune but nina-hakika unaifahamu.
Yes, kwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika, wimbo mzuri, sauti nzuri, video nzuri. Hongera sana madame Edwiga, endelea kutuinjilisha kwa kipawa chako ulichopewa Baba wa mbinguni
Awww 🥺🥺I still remember how our 2019 Easter eve was MARVELOUS.. with Edwiga as our choir Mistress, she's a true Masterpiece.. May God bless you ❤️❤️❤️❤️her Energy is contagious
Karibu sana, sala zangu nakuahidi ili uzindi kuwa chachu ya upendo, umoja, ushirikiano, upole, na fadhila zote kwa taifa la mungu. Kuimba ni kusali mara mbili. Tupo pamoja.
God's WORD brought forth the universe & fashioned everything in it. A great song at Easter when Jesus Christ, *Word personified* conquers sin, darkness & death. Edwiga, your voice is angelic and the presentation exquisite. Happy Easter Alleluia 🙏🙏🙏
Waaoh ! How beautiful it is to believe in "The WORD " who is JESUS . Nothing was made without HIM, we are because of HIM and in HIM shall we live forever. Be blessed Dear Upendo !
It's so sweet to listen. The song is rooted in scripture and bound to be relevant for a long for the reason that it's inspired by the living word of God. Upendo alike your simplicity and modesty as an artist. May God's grace be upon you and may you inspire many through your songs. Umenibarika sana. Barikiwa
Mjukuu wangu ana umri wa miaka minne. Anaupenda sana wimbo huu na kujaribu kuuimba. Nami humfungulia hii u tube ili aweze kutamka maneno vizuri. Nakushukuru sana.
Nafurahi kusikia hivi. Baraka tele kwake. Ubarikiwe pia bibi yake kusimamia kile anatamani. Mungu atubariki sote.
🙏🙏🙏
Wimbo umejaa utukufu! Mungu tubariki🙏🙏🙏
Daaaaaah, nashindwa nisemaje kwa raha hii ninayoipata kupitia nyimbo zako, Mungu akubariki daima, natamani Sana hata siku moja tu nikuone ana kwa ana.
Tumshukuru Mungu kaka....Tuombe uzima naamini tutaonana tu
Naamini kila wakati Mungu anapozisikiliza nyimbo zako hujivunia sana kazi yake ya kukuleta ulimwenguni. Baraka tele!
Tuzidi kuombeana....Nashukuru sana Amambia
Uko juu hongera
Hongereni kwa kazi kubwa ya uinjilishaji mnayoifanya mungu azidi kuwalinda ili utume wenu uweze kuzaa matunda mema ASANTENI 💯
Yunamshukuru mungu kwa hazina kubwa ya uinjilishaji katika kanisa katoliki. Mungu akubariki
Hongera sana Edwiga,wimbo umeutendea haki,kuimba na organ umeipiga kitaalam
Asante sana kwa wimbo huu, na kwa sauti nyororo na muziki mzuri.
Wimbohuu unanipaupako kilichobakiunahitajika kuzaliwa marayapili
Need I say more? Hongera na asante kwa zawadi hii. Mungu alinde kipawa hiki
Hongera Dada kwa kazi nzuri sana, uimbaji na kupiga kinanda. Wimbo huu ni mzuri sana na umeimbwa na mwanamuziki mzuri sana. Good
Daah madam wangu naona Mungu amejibu, duh very bright video... may God bless you my lecturer.
Ubarikiwe na mungu dada umeongoza kwaya vizuri sana kwaya inaingia mpaka rohoni
Hongereeni Kwa utume mungu azidi kuwainua
Hakika tunabarkiwa kuptia nymbo nzri Mungu atukuzwe binadam tuokolewe,🙏vry nc song👊
Heko kwa uimbaji mzuri wa kumtukuza mwanyezi Mungu
Amina...Tumshukuru Mungu
nice Dada edwiga hongera sauti tamu sana
Waoh! Hongera sana madam kwa kazi nzuri!! Hakika Mungu atukuzwe na watu watakatifuzwe kupitia utume wako.
Amina dear....Ahsante sana mtumishi
Hongera Sana Dada angu,kwel,yesu,kafufuka nawe,moyoni syo,maigizo ,but one day nami,natamn Sana niweze kuimb but mzingra niliyopo hayaruhsu kwa,sasa,yaan,dah
Amina kaka Nicolaus...Amefufuka kweli kweli Aleluya....Usife moyo penye nia pana njia
Asanteni Edwiga ubalikiwe Sana kwa kazi nzuli ulifanya! Nyimbo zako tunazipenda sana
Mungu apewe sifa. Viumbe vyake viendelee ku mutukuza kupitiya nyimbo. Nyimbo nzuri hii.
Amina
Jaman dada napenda nyimbo zako niseme tu ukwel hongera Sana Sana kwa kutuinjilisha vzr kbsa mungu azid kukuza kipaji chako
Amina....Ahsante dear...Nashukuru pia kwa support yako
WImbo Umeimba Vizur Mtumishi Hongeara sana; Wimbo Unaleta amani, Fadhili na Tafakari ya Neno la MUNGU
Ahsante Madame wangu tunamshukuru Mungu.
Ashukuliwe.Bwana.milele.namilele.haleluya
Hongera Kwa sauti mzuri ilioshiba na umahiri Safi sana . Mungu akuzidishie uwezo.
Sikuwahi kuwaza kuwa unafikilia kufanya kitu cha tofauti kiasi hiki, maneno ya kusema sina but umefanya very great thing. Hakika umenibariki sana na nimekupenda bure. Hongera sana sana sanaaa! 😘😘😘
Barikiweni nyinyi nyote watumishi wa mungu kwa wimbo nzuri
Lovely,mungu na hawaongoze na kuwazindishia nguvu mnapo mtumikia katika nyimbo.nice vocal
Mungu atukuzwe ktika kazi ya ke ya mikono yenu
Wimbo huu unanipa baraka
Excellent! Hongera dada, Mungu amekufadhilii, na kipawa chako umekitumia vizuri kumkutukuza yeye.
Ahsante sana mpendwa...Tuzidi kumrudishia sifa, utukufu na shukrani
Wow! Nakupenda sana Dada. Hongera
Ahsante dear...Zidi kubarikiwa
Hongera saana kwa kazi nzuri mwlm , napenda hata tungo zako
Asante sana kwa uinjilishaji uliotukuka🙏
Tumshukuru Mungu Eva
hakika ubarikiwe dada, mbingu zilifanyika kwa neno, hakuna aliye kama Mungu
Amina kaka....Tumshukuru Mungu
Kweli nafurahi unapocheza kinanda; unawaonyesha wasichana mfano mzuri.
Tunafurai sana hapa Congo Kinshasa kwa kipaji yako. Lakini aupendi kutembelea inchi yetu
Nitatembelea.....Tuombe uzima na Mungu atupe kibali kaka
Mungu Baba wa Mbinguni akulinde. daima
Upee, nimemisi hii sauti sana
Wimbo unao upako wa Mungu Baba. Hongera sana mtumishi
Tumshukutu Mungu dear. Zidi kubarikiwa.
We used to sing this song back in high school. However, what amazes me most is how you are playing the piano with a lot of dexterity. God bless you.
Thanks be to God Kelvin
Ms.Edwiga mimi naomba to be a back up singer. Wimbo zako zinabariki.We love your songs in kenya
Karibu sana kaka
Nakuona katika Ubora wako Madam Edwiga Upendo, Hongera sana kwa utume huo wa Uimbaji hakika umetumwa kuhubili injili kweli kweli
Tumshukuru Mungu Anthony
Lakin naomba kuuliza ulitumia mbinu gani mpaka kufahamu kupiga kinanda nataman sana kucheza lakin sina wa kunielekeza walimu wa kinanda wa sasa hivi waongo anakwambia atakufundisha halafu sababu zinakuwa nyingi mno
Wimbo mzuri sana, tunamshukuru Mungu kwa kipaji chako, hongera mate
Amina
Ahsante sana kaka Aidani
Oh my God! That is the best golden song I have heard this year. Beautiful song, angelic voice and nice production. Much love from Kenya. Keep it up .
Thank you....Glory to God Pauline
Upo vizuri. HONGERA
Tumshukuru Mungu mpendwa
Hongera sana wajina wangu kwa wimbo mzuri
🥰🙏🙏 wimbo umenibariki
Tumshukuru Mungu mpendwa
Hongera sana madame Upendo kwa uimbaji mzur. Mungu akubariki mnoo had ushangae
Amina sana kaka....Ahsante pia sana kwa support kaka
Muzuri sana iyo wimbo pia maneno ya hekima na Utukufu wake Baba Mungu. Ubarkiwe sana dada Edwiga. Alphonnse Marie.
Tumshukuru Mungu kaka
Mwenyezi Mungu akubariki pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina
Amina mpendwa Patrick.....Hakika sala zako zinanitia nguvu
Hongera Sana Dada Upendo.
Kazi safi sana, Kwa kweli, kwa neno lake Bwana, kila kilafanyika duniani.....
Ahsante sana Dennis....Amina...Hakika kwa neno la Bwana kila kitu kilifanyika....Neno la Bwana lina nguvu kuu
Mungu amedhihirisha haki yake kwako kututangazia mwaka wa wokovu wetu,salute dada Edwiga
Tumshukuru Mungu kaka Gerald
@@edwigaupendo asante sana Dada ni Frt.Gerald
Kazi nzuri sana Pendo!!
Hongera. Dada uliitikisa mioyo
Nilikuwa nime-request huu wimbo hapo nyuma. Nakushukuru sana kwa kuniitikia . Mungu akuzidishie neema, ukazidi kutuinua kiimani kupitia uimbaji wako. Hapa Kenya twakupenda sana. Barikiwa!
Tumshukuru Mungu kaka Joshua
@@edwigaupendo Hi,
Kuna zaburi yenye huimbwa wakati wa misa ya pasaka. Utatubariki sana ikiwa utatuimbia. Kiitikio chake ni "Nitamwimbia Bwana kwa maana ametukuka sana" I wish i could share the tune but nina-hakika unaifahamu.
@@habakkuketyangjoshua3091 Share with me tune yake
@@edwigaupendo Sure, count it done.
Hi, nimejaribu kukutumia tune ya huo wimbo but sijafanikiwa. Naomba maelekezo yako. Was using facebook though
Kiwango cha juu sana, utukufu mpaka utukufu!.
ACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!!!!!, Dada Edwiga na mbuta may God bless you abundantly.
Humbled kaka.....Ahsante sana.....Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha
@@edwigaupendo Karibu sana.
@@simonkivuva6404 Ahsante
Nice song safi sana hongera kwa sauti safi ya kuwafanya wapagani warejee kundini
Uwiiii jamani...Wapagani wa wapi Kaka Ezekiel
@@edwigaupendo kuna mpagani kaiimba nyimbo yako kaikubali 👏👏
Yes, kwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika, wimbo mzuri, sauti nzuri, video nzuri. Hongera sana madame Edwiga, endelea kutuinjilisha kwa kipawa chako ulichopewa Baba wa mbinguni
Amina....Ahsante sana....Tuzidi kuombeana
I remember hearing this song from a certain catholic choir some years back.beautiful
Hongera Sana madam kwauinjilishaji... Upo vizuri sana Mungu akubariki.
Tumshukuru Mungu kaka...Ahsante sana
Madame umenifanya nipende mziki
Ohh ubarikiwe sana
Hongera Sana dada sauti nzr ya Malaika napenda Sana nyimbo zako
Ahsante sana Kamilius.....Tumshukuru Mungu
proud to be Roman Catholic , Jesus , lovely song
Amen....Thanks be to God
Hujawai kukosea, nazikubali kazi zako Madam🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳
Hongera kwa,kutumia kipaji chako kuihubiri injili
Amina
Hongera mwanangu
@@rosakarata9544 Ahsante Sr
@@simonthongori8586 Ahsante sana mpendwa...Tuzidi kuombeana
Amkeni Amkeni Amkeniiiii,,,,madam Upendo katoa tena kitu kinginee,,,,,,rafiki hongera sana,,,,, keep going mama
Hahahahaha.....Haki nimecheka kwa sauti.....Nashukuru sana rafki angu...Mungu akubariki kila iitwapo leo
Hongera dada. Asante sana kwa sauti yako nziri . ubarikiwe kwakumsifu Mungu
Kudos my dada salamu nyingi Sana kwa dada Liz Kishinda. Mungu azidi kukingarisha katika kipaji chako Lwidiga.
Ahsante kaka....Zimefika
Nimekukubali na mungu aendelee kukubaliki kwani uimbaji nautunzi umenivutia sana
Amina....Tumshukuru Mungu mtumishi
Hongera kwa kazi nzuri kwa kumtukuza Mungu.
Ahsante sana kaka...Tumshukuru Mungu
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
Amina mtumishi
Wimbo bora sana huu!
Umeimba vizuri sana!
Mavazi na sound beats kwenye Rc Melody! Very interesting na inahisia kali za utukufu! Bwana akubariki!
Tumshukuru Mungu kaka
Mko juu mbarkiwe inch zilfanyika
Nyimbo inabariki sana
Asante sana dada . Unakumbusha mbali sana
Awww 🥺🥺I still remember how our 2019 Easter eve was MARVELOUS.. with Edwiga as our choir Mistress, she's a true Masterpiece.. May God bless you ❤️❤️❤️❤️her Energy is contagious
Good...Are you a Weruweru alumni?
Hongera sana kwa uinjilishaji kwa uimbaji, Mungu akubariki na ukujalie uzima ili uzidi kumuihimidi.
Amina kaka Nicodemus....Tuzidi kuombeana
Karibu sana, sala zangu nakuahidi ili uzindi kuwa chachu ya upendo, umoja, ushirikiano, upole, na fadhila zote kwa taifa la mungu. Kuimba ni kusali mara mbili. Tupo pamoja.
@@nicodemusmutisya1907 Nakushukuru sana mpendwa
I love this song... It brightens my heart daily as I listen to it🔥... Be Blessed Upendo❤️
Mentor🥰🥰🥰🥰i love this
I love Catholic ❤..great job Edwina
God's WORD brought forth the universe & fashioned everything in it. A great song at Easter when Jesus Christ, *Word personified* conquers sin, darkness & death. Edwiga, your voice is angelic and the presentation exquisite. Happy Easter Alleluia 🙏🙏🙏
Thank you Fr....Glory to God
Hondera Dada Upendo wimbo umetulia upovizuri
@@philomavere1384 Tumshukuru Mungu mpendwa
Surely Edwiga well done. You have refreshed my appetite of the song I enjoyed in the early days of my formation. Thanks
Waiting for more be blessed
Tumshukuru Mungu kaka George
Napendaxnyimbo za kwaya hii Mungu awabariki
Zidi kuinuliwa
Hongera madam kazi nzuri sana nangependa sana kuimba nawe
Wimbo tamu ❤❤❤❤
Mwimbo nzuri sana barikiwa sana
Kazi njema sanaaa !! We are Catholic
Thanks be to God
Waaoh ! How beautiful it is to believe in "The WORD " who is JESUS . Nothing was made without HIM, we are because of HIM and in HIM shall we live forever. Be blessed Dear Upendo !
Amen....More blessings to you dear James
upo vizuri mtumishi wa mungu
Kazi safi👌👌
Congratulations Edwiga♥️♥️♥️
Celestine you need to look for her and do a collambo. You have just beautiful voices 😂
Barikiwa sana mpendwa
Do it again,I know you will, congratulations Edwiga.
Thank you for your enduring support John....Your prayers and continuing support will help me do more....Be blessed
@@edwigaupendo sure,want to learn from you
Kazi nzur sana, Mungu akubariki ktk kaz yako ya utume wa uimbaji, hakika tunabarikiwa sana kupitia nyimbo zako.
Tumshukuru Mungu kaka Lazaro....Zidi kubarikiwa
Ni seme nini. Let the body of jesus christ be lifted up.upendo keep up madam. God bless you
Amen.....Tuseme tu Ahsante Mungu
Mungu aendelee kukuinua
Hongera sanaa kwa kutushirikisha upendo wa Mungu
Very nice madam edwin napenda kazi zako , na pia nakupenda pia you are blessings
Thank you Benja
Uwiii tam xana aiseeee🙏🙏🙏
I've replayed this song a thousand times.its such a blessing
More blessings over you Christine
Hongera mpendwa nimeupenda sana mpaka najikuta nazama tu
Aminah Atukuzwe Mungu daima na milele. Amina.
Nabarikiwa sana na kazi zako..
Sauti nzuri ya Edwiga Upendo.
Tumshukuru Mungu kaka Bwato
It's so sweet to listen. The song is rooted in scripture and bound to be relevant for a long for the reason that it's inspired by the living word of God.
Upendo alike your simplicity and modesty as an artist. May God's grace be upon you and may you inspire many through your songs. Umenibarika sana. Barikiwa
Tumshukuru Mungu mtumishi.....Glory and honor be unto God.....Thank you for courageous comment Sir....I humbly remain
Safi sana umenikumbusha nyimbo nzuri za zamani. Asante keep it up. Salama kutoka washington dc.
Barikiwa sana mtumishi....Nashukuru kwa support yako....Usichoke kuendelea kuisambaza kwa wapendwa wako pia.
@@edwigaupendo ninazisambaza sana . Wengi wameshangaa na kuona. Wazipenda sana ubarikiwe sana
@@bantusworshipingpraisingan4294 Ahsante sana mtumishi....Ubarikiwe sana
Edwiga upendo.. Hongera sana NM-AISTian mwenzangu..,
Ahsante sana kaka Reuben
Ujumbe mzur ubarikiwe