Nashindwa cha kusema sijui niseme neno gan kuhusu huu wimbo nabaki kutazama tyuu ila ukweli ni kwamba mmetoa wimbo mzuri sana hakika nafarajika mno kusikiliza,pia hongeren sana wale wote walioshiriki kwa namna Moja au nyingine nikianza na waalimu wa kwaya, walezi wa kwaya na hata pia Wana kwaya wote mwenyezi mungu awabariki kazi ya mikono yenu na afya njema Kila mmoja wenu
jamn hongereni sana bonge la wimbo pia pongezi kwa mpigaji kinanda nakwawalioshiriki piaa mtunzi wote kwaujumla jmn mfalme anavikwa taji Wow🎉🎉🎉🎉🎉🎉👌👌👌💕💕💕💕
Amani ya kristo 🤝🌹 Itawale daima.Amina Da mary congratulations 🎉🥰🌹step marker 🥰❤️💕 nawapenda sana nyote mbarikiwe kwa utume mzuri 🎉 hakika mumeutendea haki huu wimbo ❤️❤️🥰
Amazing the KMC choir, and my role model Organist- Ray Ufunguo, for the praises and marvelous instrumentations, so soul-blessing, may God and His angels continue to gift you to bless us with soul healing and blessing songs. Amen and Amen From Kenya- Michael
Wimbo mzuri na mtamu🎉🎉🎉 kudos
Nashindwa cha kusema sijui niseme neno gan kuhusu huu wimbo nabaki kutazama tyuu ila ukweli ni kwamba mmetoa wimbo mzuri sana hakika nafarajika mno kusikiliza,pia hongeren sana wale wote walioshiriki kwa namna Moja au nyingine nikianza na waalimu wa kwaya, walezi wa kwaya na hata pia Wana kwaya wote mwenyezi mungu awabariki kazi ya mikono yenu na afya njema Kila mmoja wenu
jamn hongereni sana bonge la wimbo pia pongezi kwa mpigaji kinanda nakwawalioshiriki piaa mtunzi wote kwaujumla jmn mfalme anavikwa taji Wow🎉🎉🎉🎉🎉🎉👌👌👌💕💕💕💕
nice one...am addicted to this song coz literally i can listen to it the whole day non stop....kudos
Hongereni sana❤
Lots of love from thika kenya....mmenimaliza eeiiiish.🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nawatakia Maandalizi mema ya kongamano la YESU KRISTO NI MFALME ❤❤❤❤❤❤ Hii nyimbo tamuuu sanaaaa Nawapenda sanaa ❤❤
Itawale kote ❤❤❤
Hakuna namna itawale tu
Yaani ni 🔥🔥🔥🔥
Sindio
Amani ya Kristo Mfalme itawale kotee.
Rajo Pro & KMC nailed it.Great work.
KAZI Safi sana🎉🎉🎉
Wow! Amani ya Kristu Mfalme itawale pote. Itawale pote🎉 Milele
w🎉
Upendo wa YESU KRISTU utawale family zote duniani❤❤❤❤
Barikiwa sana wanakwaya chuga arusha is blessed... Nyie n tunda la kanisa
Kinanda kimetulia
Sauti zimetulia
Utunzi imetulia
Hongereni wana KMC
After many many many years, at last imefika👏👏👏👏🎉congrats to team Mt. Cecilia
Amani ya kristo 🤝🌹 Itawale daima.Amina
Da mary congratulations 🎉🥰🌹step marker 🥰❤️💕 nawapenda sana nyote mbarikiwe kwa utume mzuri 🎉 hakika mumeutendea haki huu wimbo ❤️❤️🥰
Hakika amani imewatawala maana siyo kwa furaha hizo❤❤
Hongereni sanaa KMC kwa wimbo mzuri sana.
Bonge la Burudani, Hongereni sana. Tuliwamis kuwaona
Hongereni sana. Wimbo nzuri, mbarikiwe🎉❤
Hongereni sana wakatoliki wote na amani ya kristo itawale milele
Vizuri sana, itawale pote
Najivunia kuwa mkatoliki 😍😍Amani iwe kwetu sote
Kudos guys kazi safi kweli
Ni balaaaaaaa!
Hata Kenya itawale ❤💪
Kweli itawale, mbarikiwe, naipenda kwaya ya Arusha na najivunia kuwa mkatoliki ❤❤❤❤❤
Hongera sana wapendwa ♥️♥️,, chukueni maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I juz love this song huwa sipiti siku masaa kabla sijaiskiza huwa inanibariki kweli,,,, hongereni waibaji
The dance rhyming with the song❤amani itawale😊
Hakika, Kristu mfalme atawale maisha yetu. Wimbo mmeutendea haki. Hongereni.
Gabriel mkude sekulu hongera kw utunz wa wimb mzuri organist ray ufunguo upew maua yako ,wanakway hongeren pia kwa utume wa uimbaji
Yesu Kristo atawale katika nafsi zetu pia. Hongereni sana wahusika wote!
Nimebarikiwa sana hongereni sana kwa kazi nzuri kabisaaaa🎉🎉🎉❤❤❤❤
How I have been longing for this song.... Very nourishing.. Amani ya Kristo mfalme itawale pote🎉🎉❤❤
Hakika itawale
Nimebarikiwa sana , hongereni nyote👏👏👏👏👏👏👏👏👏🫡🫡🫡
Amina, kazi nzuri sana KMC na Maestro Babu Mkude mwenyewe.
My favorite choir, I have followed you from Mshipi, Kidole Juu.. Now this ....Hongereni sana
Weeeeeee i love the song and dance.
Amani Itawale Milele❤️🙌
Kazi Safi KMC
Amazing the KMC choir, and my role model Organist- Ray Ufunguo, for the praises and marvelous instrumentations, so soul-blessing, may God and His angels continue to gift you to bless us with soul healing and blessing songs. Amen and Amen
From Kenya- Michael
Wimbo mzuri sana huu. Mungu atukuzwe
Hakuna wa kupinga kazi nzuri big up KMC ARUSHA
Aisee 🔥🎶❤ kali sana💯 Amani itawala
Proudly Catholic ❤❤
Congratulations...a very very good music...this choir is going far...all the way from kenya we love you. Ray and your team be blessed
Kazi Safi sana. Hongereni sana Wana Cecilia. Nawapenda siku zote
Another talent,another Anastacia,keep on shinning amazing song👏👏
Nice song, kudos to bwana Mkude Gabriel.
Nice song, congratulations to all singers, Arusha ni moto
Nkmejazika kweli!
Kazi Safi sana welcome back mtakatifu cicilia
Itawale na familia zetu
Hahahaaaaa hatari na nusu
Amani itawale tu kwa haki 🎉 hongereni
Itawale kabisa🎉🎉🎉
Yesu Kristo Mfalme atawale milele
Safi sana❤❤
Great production KMC keep soaring up
Hongerani sana Kwa kazi nzuri sana 🎉
🎉🎉Wadudu wa Yesuuu😂😂😂
😂
Lovely. Hongera kwa kazi nzuri.
Jamani nimeipenda sana hiikwaya Mungu wambingun awatunze nawakarik sana naazid kuwapa mafunuo
Tawala mwana wa Maria🙏🙏🙏🙏
mkude hongera mkuu
Hongera Ray kinaongea
Hongereni❤❤❤
Hongereni sana kwa kazi njema ya uinjilist
Nawapenda sanadunguzangu wa tz mkatholiki daima im from st joseph jericho nairobi st cecilia choir
Acha utawale tu... Big up KMC
That's Rajo pro🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana kwa kazi nzuri!
Hongereni kwa kazi nzuri
Kitu kitamu sana mbarikiwe kwa kumwimbia bwana
Just woooow 🔥🔥🔥🔥
Excellent performance! my favorite for now
One of the best ive heard this year 👍
Huyo ndiye Kristo Mfalme atawala pote
Hongereni sana
Watching from Kisii Kenya ,,,good music 😊
This is an amazing job. Congratulations
Kazi nzuriiii
A well thought composition. Bravo!
Superb
Ur dancing style is on high notch nawapenda
Kazi safi.
Superb work 👏
Nawapenda sana wapendwa.
Amina bwana awe nanyi
It's dope❤❤❤
Kazi Nzuri
❤🎉🎉🎉 Marvelous
Hongeren nimeipenda
❤❤❤❤
amen amen 🙏🙌🙏
Najivunia kuwa m1 wa hii Familia yangu ya KMC🤩🤩🤩🤩 Kazi ni nzuri Sana Family. We released an amazing song 😋😋
Hakika itawale pote
Amina Amina watu wa Mungu
#Asante
#Mtunziproductions
Mmh hii kitu ni nouma sana
Itawale milele atawale hata familia zetu