NTEMI EPI 76||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 кві 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 4 Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 91

  • @Kavulajuma5
    @Kavulajuma5 3 місяці тому +5

    Binti wa mwenyekiti nakupenda bure jamn uko vzr.

  • @user-ws1ro3eh6j
    @user-ws1ro3eh6j 3 місяці тому +4

    Jamani nampenda Sana huyo mganga ananifurahisha muha mwenzangu daah

  • @user-hf9rh8io3l
    @user-hf9rh8io3l 3 місяці тому +7

    Nawakubali sana wasukuma

  • @MafanghaAmos
    @MafanghaAmos 3 місяці тому +4

    Nimeisubili sana from DSM anae kakubari kajere kaongo agonge like

  • @user-ry5bh9vq7t
    @user-ry5bh9vq7t 3 місяці тому +8

    Wanao tamani jere apone like zenu hata 10❤❤

  • @user-vp2lz3yw8g
    @user-vp2lz3yw8g 3 місяці тому +1

    Maria jamani mwanzo alivyoanza nilimwona mwembamba now yamekuwa mnene mashaallah maua yako Maria nakupenda sana❤🎉

  • @suchabulunja5611
    @suchabulunja5611 3 місяці тому +5

    Leo mzee simoni kaamua kubadili nguo kabaki ntemi tu😂😂

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 3 місяці тому

      😂😂😂😂 mtemi na utajiri wake wote lakini abadili nguo 😂😂

    • @Mariam-vu4cp
      @Mariam-vu4cp Місяць тому

      ​@@rizikisam6481😅😅😅😅

  • @PetroJohn-ke6sx
    @PetroJohn-ke6sx 3 місяці тому +7

    Yaa kazinzuli sana natamani kuiona pia ya shujaa maana nilipenda sana

  • @suchabulunja5611
    @suchabulunja5611 3 місяці тому +2

    Leo mzee simoni kaamua kubadili vazi 😂😂

  • @user-wk5yv4um4m
    @user-wk5yv4um4m 3 місяці тому +4

    Team ntemi❤❤❤❤

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 3 місяці тому +3

    Mtemi nakukubali mganga muha 😂😂😂😂 unanikosha ww mganga

  • @itumbistudio
    @itumbistudio 3 місяці тому +1

    Dah! Mshikaji namkubali sana, in short jamaa anajua, anafanya vitu kwa uhalisia wake kabisa naisubili kwa ham sana EP ya 77.....

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 3 місяці тому +3

    nilichopenda leo ni kuona mzee simon kabadilo nguo 😅

    • @neemaayubu5186
      @neemaayubu5186 3 місяці тому +1

      😂😂😂tupo wengi kumbe 😅

  • @SalmaSuleiman-ir7zt
    @SalmaSuleiman-ir7zt 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂,wewe mgaga kumbe kicheko hiki nichabbyako wewe nomaa mungu akupe maishaaa utafkambalii

  • @ElishaMasolwa
    @ElishaMasolwa 3 місяці тому

    Mm Leo ni wamwisho naombeni like zenu

  • @fatumashabani4462
    @fatumashabani4462 3 місяці тому +1

    Leo mgaga kanichekesha jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Nadia-fg8yr
    @Nadia-fg8yr 3 місяці тому +2

    Jamani wasukuma na wapenda,, mnavoongea kilugha,,yaani pambeee

  • @SikituMasanja
    @SikituMasanja 3 місяці тому +1

    daah asee Yani ni ujumbe mzuri sana napata Kila episode
    Ila Mzee Simon bhana mmh huwa anacheka kweli 😂😂😂

  • @donardmsomi8451
    @donardmsomi8451 3 місяці тому +10

    Kama unamkubali Ntemi gonga like ...

  • @selestinimbezi7345
    @selestinimbezi7345 3 місяці тому

    Movie nzuri sana pia napenda na shujaa iyendelee

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 місяці тому +1

    Ilaa mgangaa jamani hahahaha😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @IrenePaschal
    @IrenePaschal 3 місяці тому +1

    Duuuuuh!!!! manyonyesho tulosikia hiyo tupungiane 🤣🤣🤣

  • @user-uc6hb8er9f
    @user-uc6hb8er9f 3 місяці тому

    Jeremiah wangu jamani, namiss sauti yako nyororo na Zena, maulana awe pamoja na ww, na huyo mganga pia apate hathabu si mama nyanjike tu, mbona nakubali kuroga??? Lkn nawapenda yooote ntemi,s actars❤❤❤❤👏👏, shujaa jamani nataka nikutane na minza anae leta mazima mazima

  • @kentechmediacentre6858
    @kentechmediacentre6858 3 місяці тому

    Mapenda Tako la Maria Yani ana nichiziza kinoma jameni

  • @user-nf7kt6wp6s
    @user-nf7kt6wp6s 3 місяці тому

    Jeremia kweli unachekesha sana lakini hainaneno kipenz changu zena unafurahisha sana si upone sasa

  • @agnesbochaberi5738
    @agnesbochaberi5738 2 місяці тому +1

    Mzee simoni wacha asira😂😂

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 3 місяці тому +2

    Jelemia vp amepona ❤❤❤❤

  • @SalmaSuleiman-ir7zt
    @SalmaSuleiman-ir7zt 3 місяці тому

    Mugaga nomaa anamisemooo

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 3 місяці тому

    Mzeee saimon kapendeza mashallah 😂😂😂

  • @YohanaJames-zn6dr
    @YohanaJames-zn6dr 3 місяці тому +3

    𝐭𝐮𝐤𝐨 𝐩𝐚𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐤𝐚

  • @Mariam-vu4cp
    @Mariam-vu4cp Місяць тому

    Maua y mzee simoni kabadili nguo leo😂😂😂

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 3 місяці тому

    NTEMI nakupenda sana,,,maalimie kajere na zena,,,,na Teddy

  • @user-ef3lb9xd8z
    @user-ef3lb9xd8z 3 місяці тому +1

    Ntemi Iko poah sana

  • @clementinalungu
    @clementinalungu 3 місяці тому +1

    Thanks

  • @shinjengasa3574
    @shinjengasa3574 3 місяці тому +1

    Camera ya leo aisee imetulia sana wakuu,naon picha zimetulia sana

  • @leonardyohana268
    @leonardyohana268 2 місяці тому +1

    Jamani namba ya maria mbona mnafeli nimemuelewa bhagosha😂😂😂

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 3 місяці тому

    Mzee Simon leo kabadilisha nguo😂

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 3 місяці тому

    From Pakistan minza muongo yatakukuta mambo

  • @KingMbogo
    @KingMbogo 2 місяці тому

    Huyo mganga anavyowaita wazee😂 muhuni kweli

  • @rehemamrinzi6996
    @rehemamrinzi6996 3 місяці тому

    Please NTEMI mregelee vero 🙏 i watch from kenya

  • @user-wc8px8qx2d
    @user-wc8px8qx2d 3 місяці тому +2

    mbna hazisomi

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 3 місяці тому

    Ukijiangalia kwenye kiyooo kinakuandikia Please wait me😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @PeterNKishiwa
    @PeterNKishiwa 3 місяці тому +1

    Kaz nzur xana kapaya

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂 huyu mganga anavoongea 😂😂😂 kama anawachamba watu 😂😂

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 3 місяці тому +1

    Mganga asipo pona jeremia basi fimbo zitakuhusu ntemi 😂😂😂😂

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o 3 місяці тому +1

    Ila jamani baba ake zena apew maua yake mana kaucheza vizuri uhalia wake

  • @Abera662
    @Abera662 3 місяці тому

    Kajere kasipo pona mganga sijui utamuenda wapi mtem ohooo

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 3 місяці тому +1

    mganga unachesha sana

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 3 місяці тому +1

    ila maria angekuwa anachomolewa kwenye tv mapema sana ningekuwa shapita nae toto toto kweli

    • @shinjengasa3574
      @shinjengasa3574 3 місяці тому

      Kwa kwel ni MTU na nusu,ana shepu la kwenda

  • @Nadia-fg8yr
    @Nadia-fg8yr 3 місяці тому

    Minzaaa,, wewe,, ntemi hapendi watu weusi 😂😂😂,,acha kujipendekeza kwa ntemi kitakuramba kitu

  • @user-zv2es2oe6k
    @user-zv2es2oe6k 3 місяці тому

    Imejirudia hii

  • @GFreythegreat
    @GFreythegreat 2 місяці тому

    🔥pawa chura mganga sukuruzaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-yg9gs4vh4k
    @user-yg9gs4vh4k 3 місяці тому

    Jamani 😂😂😂😂huyu mzee huwa ananimaliza na hiki kiswahili chake 😅😅😅😅 machai wee wasukuma na kiswahili 🎉🎉🎉🎉

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 3 місяці тому

    Kumbe Maria ana mzigo hivyo wawoooo🥰🥰🥰

  • @user-wk5yv4um4m
    @user-wk5yv4um4m 3 місяці тому

    Haha 😂😂😂 Leo mzeeee saimon kavaa vzr

  • @mustaphaathumani5843
    @mustaphaathumani5843 3 місяці тому

    Sukuma Gang

  • @samwel_laurent
    @samwel_laurent 3 місяці тому

    Ooooh vp Ina vipande vingapi jumla 😊😊😊😇

  • @morganabwogi8201
    @morganabwogi8201 3 місяці тому

    Gud job.......Kenya is locked

  • @AbdallahBonge-wb9dt
    @AbdallahBonge-wb9dt 3 місяці тому

    Jmn maria uko vzr sana lkn huyu nyanjige

  • @user-sv6zy3hc8o
    @user-sv6zy3hc8o 3 місяці тому

    Ila jamani huyu mwenyekit anasubla sana.

  • @veebaby2542
    @veebaby2542 3 місяці тому

    Wa kwanza ku watch ❤❤

  • @Amosifaustine-eq9bm
    @Amosifaustine-eq9bm 3 місяці тому

    Kimeumana sasa

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 3 місяці тому +1

    ❤❤

  • @christinaaloyce6762
    @christinaaloyce6762 3 місяці тому

    Mganga nakukubali sana ,,daah

  • @user-ww3hb5md3v
    @user-ww3hb5md3v 3 місяці тому

    Leo wa kwanza

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 3 місяці тому

    jere una mikwara jere 😅😅

  • @emes602
    @emes602 3 місяці тому

    Ila mganga anamaneno 😅😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @shilangida4330
    @shilangida4330 3 місяці тому

    😂😂😂😂mzee Simon kiboko

  • @user-pc4nu2kj6u
    @user-pc4nu2kj6u Місяць тому

    Mzee simoni mtu wa panga

  • @YORAMMARIGANYA
    @YORAMMARIGANYA 3 місяці тому

    Hongela maana inafundishwa kila kila

  • @HamisMasesa
    @HamisMasesa 3 місяці тому +1

    gudi gudi

  • @neemaseko4988
    @neemaseko4988 3 місяці тому

    Natamn. San ka jer kapone

  • @PetroJohn-ke6sx
    @PetroJohn-ke6sx 3 місяці тому

    Waao wakwanza mimi leo

  • @ndikumanaannaa5259
    @ndikumanaannaa5259 3 місяці тому

    asanteni sana

  • @Pascalsmon
    @Pascalsmon 3 місяці тому

    Tunasubilia kwaham sana

  • @mussamathias2159
    @mussamathias2159 3 місяці тому

    Elisha dondosha makopa

  • @neemaayubu5186
    @neemaayubu5186 3 місяці тому

    Mganga 😂😂😂😂

  • @CarenWekesa-ql4dw
    @CarenWekesa-ql4dw 3 місяці тому +1

    😂🎉

  • @user-yh1po4no8u
    @user-yh1po4no8u 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @misanangasa2278
    @misanangasa2278 3 місяці тому

    Huyu mganga kichekeshovo

  • @janeombati2290
    @janeombati2290 3 місяці тому

    😂😂👏👏👏👏👏

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 3 місяці тому +1

    Hizo ndevu za babu wa mganga za kunyolewa fyekeo nimezikubali😁😁😁