NTEMI EPI 78||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 кві 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 4 Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 60

  • @kideboy01
    @kideboy01 3 місяці тому +8

    Wamwisho leo like kwangu

  • @AmosErnestkatunzi
    @AmosErnestkatunzi 2 місяці тому +4

    Kama umependa urafki wa ntemi wa dhati kwa jeremia gonga like hapa

  • @misanangasa2278
    @misanangasa2278 2 місяці тому +5

    Kwamba kijiji kizima kita baki na watu wawili tu ntemi na jele chizi 😊

  • @lailalaila9114
    @lailalaila9114 3 місяці тому +5

    Wakwanza leo 😂😂😂😂

  • @user-nf7kt6wp6s
    @user-nf7kt6wp6s 3 місяці тому +4

    Mm wa saba nimewahi san natamani kumuona jeremia na zena anaenda mjini

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 2 місяці тому +1

    Rafiki wa ntemi na jeremia nimeupenda sana ❤❤😢

  • @Abera662
    @Abera662 2 місяці тому +2

    Japo nimefika kesho nipeni zilizo baki maana kajere kamepona🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 2 місяці тому +3

    Masimba na mjomba wake akiri zao tiripu kokoto tiripu mchanqa😂😂😂😂😂😂

  • @user-ij3uo8do8z
    @user-ij3uo8do8z 2 місяці тому

    Mzee mukorofi ameishiwa mara mojaa tu😮😮

  • @HAMISJOSEPHJILALA
    @HAMISJOSEPHJILALA 3 місяці тому +2

    like ziko wapi

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 2 місяці тому +1

    Bila kumuona mzee saimon sina raha😂😂😂😂

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 3 місяці тому +2

    Sjacherewa sana reo wasta😂😂😂😂😂😂

  • @user-wk5yv4um4m
    @user-wk5yv4um4m 2 місяці тому

    Nawapenda sana lakini pia namupenda Alex❤

  • @user-jo1lg3co3j
    @user-jo1lg3co3j Місяць тому

    Daa Maria sana kuna mauwa Yako

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 2 місяці тому

    Selina amefanya hdi nmelia akhi😭😭😭Kweli Mungu nmkubwa 🙏🙏

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 місяці тому +1

    Mzee simoni ungekuwa baba angu nakupiga shoka ufe tu huna faida duniani

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 2 місяці тому

    Mzee simon na hilo ndomo khaaaa😂😂😂😂

  • @TipharRoman
    @TipharRoman 22 дні тому

    Hongera ntemi

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 місяці тому

    Hatimae Jeremiah kapona ila Zena n Jane mumeniliza 😢 ❤furaha isioelezeka ❤hongera yako Ntemi we n zaidi y ndugu kwa Jeremiah 🎉🎉 ❤mungu akubariki ❤Zena nend amjini bbko muuwaji atakuja kukutia hyo mimba jmn Baba wengn sjui wakoje😢😢😢

  • @JeremiaJohn255
    @JeremiaJohn255 2 місяці тому +1

    Mmh jamani afadhali kajele kamepona

  • @mmnm8373
    @mmnm8373 2 місяці тому

    Twasubiri ndoa sasa❤❤ kajere na zena

  • @JacquelineMussa
    @JacquelineMussa Місяць тому

    Pole

  • @user-bk9qt3ey4i
    @user-bk9qt3ey4i 2 місяці тому

    Mama nyanzige pamoja mama jele wote waperekwe jera!

  • @user-mu7rr7xn4l
    @user-mu7rr7xn4l 2 місяці тому

    Jere kapona jmn ntemi ashukuriwe

  • @jacoboclement7081
    @jacoboclement7081 2 місяці тому

    Sasa. Mimi nasubilia ndoa 2 yantemi mimi kama kajere kata enda kumtongozea ntemi 😅😊😅😅😅❤

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 2 місяці тому

    Jen hajipendi kabisa

  • @HezroneRobert
    @HezroneRobert 2 місяці тому

    ukigagesha kanatuja hadi ukadubolepo 😁😁

  • @user-le2si2gc5e
    @user-le2si2gc5e 2 місяці тому +2

    Natamani kuona hii movie inaisha

  • @BahatiEnock-vf1zw
    @BahatiEnock-vf1zw 2 місяці тому

    So kwel

  • @ndikumanaannaa5259
    @ndikumanaannaa5259 2 місяці тому

    asante sana kwa muendelezo wadau❤❤❤❤

  • @user-cm1pr2zm9w
    @user-cm1pr2zm9w 2 місяці тому

    Mnatucheleweshea sana kutoa tunaomba muwe mnawahisha jamani 😅

  • @HgHg-gv4nz
    @HgHg-gv4nz 2 місяці тому +1

    🎉

  • @IrenePaschal
    @IrenePaschal 2 місяці тому +2

    Sio siri vpande n vifupi 😪😪

  • @HamisiMasesa
    @HamisiMasesa 3 місяці тому

    Pamoja sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @martinaclavery1475
    @martinaclavery1475 2 місяці тому

    Sasa jere hizonguo nakofia katoawap

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 2 місяці тому

    daah!! mzee simon pokea maua yako 😅😅

  • @AmosErnestkatunzi
    @AmosErnestkatunzi 3 місяці тому

    Wa pili leo jaman

  • @NkandaSaida
    @NkandaSaida 2 місяці тому

    Kajele kapilaga chuuuu

  • @user-yg8uj2vs7o
    @user-yg8uj2vs7o 3 місяці тому

    Mbona move hii haidunguki

  • @PeterWilliam-rb2yu
    @PeterWilliam-rb2yu 2 місяці тому

    Bona mmeigandisha

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 2 місяці тому +1

    Mtemi hubadilishi nguo😅

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 2 місяці тому

      Ndo masharti ya mizimu😂😂😂

  • @HezroneRobert
    @HezroneRobert 2 місяці тому

    21:04

  • @paulomzinza2942
    @paulomzinza2942 3 місяці тому

    Mbona haichezi au ni mimi tu

  • @user-cm4yo3kn5s
    @user-cm4yo3kn5s 2 місяці тому

    Mmepigaje hapoo jele kofia ameitoa wapi kwamuganga

  • @HgHg-gv4nz
    @HgHg-gv4nz 2 місяці тому

    Nii

  • @zeyadazeyada8050
    @zeyadazeyada8050 2 місяці тому

    ❤❤❤

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 2 місяці тому

    Zena umenitia uluma 😢😢

  • @user-yq9sh1cw1z
    @user-yq9sh1cw1z 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @user-iq6fz6uw7x
    @user-iq6fz6uw7x 2 місяці тому

    Jaman si mtoe mbona inaganda ss

  • @HAMISJOSEPHJILALA
    @HAMISJOSEPHJILALA 3 місяці тому

    hii mbona haichezi sasa

  • @jtin5019
    @jtin5019 3 місяці тому

    Mbona mnachukua mda mrefu sana kuapload kazi? Tunasubiri mpaka tunamaliza MB

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 3 місяці тому

    Watatu😂😂😂😂😂

  • @karembo7082
    @karembo7082 2 місяці тому

    Mmmmmm mmmh😅

  • @user-lb5zn1ro4i
    @user-lb5zn1ro4i 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉jereeee nakupenda mnoooo❤

  • @user-yg8uj2vs7o
    @user-yg8uj2vs7o 3 місяці тому

    Na 79 tatzo nini

  • @HgHg-gv4nz
    @HgHg-gv4nz 2 місяці тому

    Pos😂