NTEMI EPI 81||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 4 Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 134

  • @kapaayathegreat
    @kapaayathegreat  5 місяців тому +34

    Watu wanataka iishe hii Series mnasemaje iishe ama iendelee hadi ngapi? Nataka sikumoja tuongee LIVE ntawataarifu siku na muda❤

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 5 місяців тому +2

      Ifike EP ya 100 kaka NTEMI

    • @MakongoChacha-pd5id
      @MakongoChacha-pd5id 5 місяців тому

      Iendelee japo muda mnaweka mfupi sana

    • @victoriabonaya4143
      @victoriabonaya4143 5 місяців тому +1

      Mpaka tuone mtoto wa Zena na Jeremiah please 🙏

    • @alexjoseph6967
      @alexjoseph6967 5 місяців тому

      Muwe mnawahisha

    • @AllyMbega
      @AllyMbega 5 місяців тому +2

      Lkn umeskia Zena amemwambia maria atakuwa anaenda na Jeremiah kumchek, na maria nae ni kifaa halafu mwamba anamoyo ujue sio jiwe

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 5 місяців тому +7

    huyo anayetaka iishe mjibu aigize yakwake sisi hatutaki iishe mana hii tamthilia ni zuri sana kaka ntemi

  • @christinaaloyce6762
    @christinaaloyce6762 5 місяців тому +7

    Penzi la jeremia na Zena ,,penzi la dhati kwa kwelii

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 5 місяців тому +4

    Tunataka kuona mtoy wa zena na kajere then wakiishi pamoja ❤❤

  • @suchabulunja5611
    @suchabulunja5611 5 місяців тому +3

    Piga kazi mr. Kapaayathegreat unaigiza uhalisia📌📌. Familia zetu zinafurahia movie hii🎉

  • @TausiHassan-wz5ff
    @TausiHassan-wz5ff 5 місяців тому +1

    Move yako nzuli atali ila imalize vizuli sasa isiwe kama nyingine❤❤

  • @Witness-p5s
    @Witness-p5s 5 місяців тому +2

    Jamani kidogo nilie kama kweli Zena kaondoka na huku yupo nyuma ya kamera na kijacho wetu nampenda Zena jere Maria na ntem na kated mnanikosha jamani

  • @christinaaloyce6762
    @christinaaloyce6762 5 місяців тому +6

    Diana ,,ingia google kuangalia jinsi ya kuiba wanaume za watu

    • @OmanOman-hz3nd
      @OmanOman-hz3nd 5 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @christinaaloyce6762
      @christinaaloyce6762 5 місяців тому

      🤦🤦🤦🤦

    • @Abera662
      @Abera662 5 місяців тому

      Mwenzio huku nimekufa kicheko😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @OmanOman-hz3nd
      @OmanOman-hz3nd 5 місяців тому

      @@christinaaloyce6762 ila akae akijua huyo rafiki Ake atapeleka tenah 🤣😂 mbinu zote walizopanga hapo

    • @OmanOman-hz3nd
      @OmanOman-hz3nd 5 місяців тому

      @@Abera662 😂😂😂😂

  • @JacobMollel-c6x
    @JacobMollel-c6x 5 місяців тому +1

    Yaan move nzuri hiv iishe? Kasema nan yaani iendelee mpak tuienjoy zaidi achana na hao wanaosema iishe hawajua utamu wa hii move

  • @lekokojulius6339
    @lekokojulius6339 4 місяці тому

    Maria nakapenda kinoma🎉ila mtemi hapo umeuwa asee🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kevy254
    @kevy254 5 місяців тому +2

    Lazima Jeremiah aoe zena ❤❤❤

  • @noelmasere1400
    @noelmasere1400 5 місяців тому +2

    hivi mzee Saimon na huyo Mashimba huwa wanapata mda wa kula chakula kwel!!!😅😅😅😅 maana mda wote wanawaza kutengeneza majungu

  • @SophieTsui-p9g
    @SophieTsui-p9g 5 місяців тому +2

    Mimi nataka kumuona mama nyanjige akiwa mwehu

  • @BusunguMalagabu
    @BusunguMalagabu 3 місяці тому

    Yeremia na zena wanapendana kweli

  • @mongelablenya997
    @mongelablenya997 5 місяців тому +1

    Iendelee tu

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 5 місяців тому +1

    Iendeleee mpaka zena ajifungueee mpaka apate na wajuku😂😂😂😂

  • @Jeanmarienshombo
    @Jeanmarienshombo 5 місяців тому +1

    Mashimba na mzee sayimona ni kama machizi tuh, yote wanayo panga wanashindwa.

  • @antoniaoswald1643
    @antoniaoswald1643 5 місяців тому

    Iendelee banaa

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 5 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @Heri-ze6gi
    @Heri-ze6gi 5 місяців тому +1

    Iendelee na iishie mpaka pale mlipoishia ninyi

  • @SevianSamwel-qp4jj
    @SevianSamwel-qp4jj 5 місяців тому

    Hakika Ntemi unatisha Kanda ya ziwa pa1 sana👍👍👍

  • @SuzanaMakubo
    @SuzanaMakubo 3 місяці тому

    Waooooh zena nakupenda bure mom

  • @SamsonMasala
    @SamsonMasala 4 місяці тому

    Kwangu Mimi nataka iendelee maana inanifuraisha sana

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 місяців тому +1

    Mzee saimoni wenzako wanafuga ng'ombe we unafuga panga

  • @TABUATHUMAN-k5i
    @TABUATHUMAN-k5i 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ sana!!!! tunataka Zena ajifungue waishi na Jeremiah

  • @AbbassSaguty
    @AbbassSaguty 2 місяці тому

    Yan mke wangu anaipenda san anataman isiishee kaka mtemi

  • @harrisonchiro1974
    @harrisonchiro1974 5 місяців тому

    Hebu iendelee Sana!

  • @AllyMbega
    @AllyMbega 5 місяців тому +1

    Mmmmmmh Jeremiah anawindwa na madem hatari

  • @FaidhaAlly-f9b
    @FaidhaAlly-f9b 21 день тому

    Iendelee tumewamiss sana

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 5 місяців тому

    ntemi KAZI nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SixMichael
    @SixMichael 5 місяців тому

    Iendelee kaka mpaka mtakapoona inatosha

  • @peterkisendi1104
    @peterkisendi1104 3 місяці тому

    Ishee bhna maana ,lete kigogo kingne

  • @LutuIpelanya
    @LutuIpelanya 5 місяців тому

    iendelee

  • @neemaayubu5186
    @neemaayubu5186 5 місяців тому

    Kwa hiyo zena hatutamuona tena mpaka ajifungue😢😢

  • @StephanoAdam-d1d
    @StephanoAdam-d1d 5 місяців тому

    Yan hii move n nzur sañaa sitaman ata iishee

  • @FredWekesa-sy3yr
    @FredWekesa-sy3yr 5 місяців тому

    Beste just fungulia episode zote daily rather than couple of days.

  • @KisuraOndek
    @KisuraOndek 5 місяців тому

    Indele hat 1000

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 5 місяців тому

    Diana na minza poleni

  • @eliyamadukwa5301
    @eliyamadukwa5301 5 місяців тому +1

    Mimba ya maria ilienda wap

  • @pilyamspill
    @pilyamspill 8 днів тому

    NO FINISH ❤

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂 ivi tedi's uncle amelala kwenye gulofa😹😹😭😭😭

  • @RehemaNyagawa-h4m
    @RehemaNyagawa-h4m 3 місяці тому

    Tunaomba ya 83

  • @sylviaomwenga8740
    @sylviaomwenga8740 5 місяців тому

    Wacha iendelee naomba iendelee hadi mia mbili hamsini

  • @selestinimbezi7345
    @selestinimbezi7345 5 місяців тому

    Movie ipo be vizuri sana

  • @fredrickngumbao418
    @fredrickngumbao418 5 місяців тому

    Nataka kuona Jeremiah na Zena wakiishi pamoja

  • @FredWekesa-sy3yr
    @FredWekesa-sy3yr 5 місяців тому

    Beste fungulia episode zote

  • @zakariawafula3156
    @zakariawafula3156 5 місяців тому

    Tunataka tuone Ndemi akirudiana na mama Teddy.

  • @noelmasere1400
    @noelmasere1400 5 місяців тому +2

    minza na Diana mkipita kwangu hata kiti cha kukalia siwapi kwa hayo mawazo mnayowaza

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 5 місяців тому

      Minza ata peleka maneno tena maana episode lliopita alituma sms kwa rafiki zake kuwa wakina mama nyanjige wana panga kumteka Jeremiah 😄😄

  • @JosephineYotamu
    @JosephineYotamu 5 місяців тому

    Wow jeremia napenda sana saut yako

  • @ApolinaryBejumla
    @ApolinaryBejumla 5 місяців тому

    Iendelee hadi tuone mtoto wa zena na neremia

  • @FredWekesa-sy3yr
    @FredWekesa-sy3yr 5 місяців тому

    Wabongo yaaa nipo Kenya

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 5 місяців тому

    Mkaya ndo hapo gologan😂😂😂😂😂😂

  • @FredWekesa-sy3yr
    @FredWekesa-sy3yr 5 місяців тому

    Lovely movie ❤

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 5 місяців тому

    Iedelee mpaka100

  • @mwitamahende3836
    @mwitamahende3836 5 місяців тому

    Acha movie iendelee kaka hatampka Mia kabisa

  • @sylvesterdonald7441
    @sylvesterdonald7441 5 місяців тому

    Kwani huyo nyanjige mmemficha wapiiii😂

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml 5 місяців тому

    Mzee simion na mashimba endeleeni kuota tu hapo zena ashafka mjini

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 5 місяців тому

    Nipen like zangu

  • @Kavulajuma5
    @Kavulajuma5 5 місяців тому

    Jamn zena kaondoka kweliiiii😢

  • @FredWekesa-sy3yr
    @FredWekesa-sy3yr 5 місяців тому

    Lovely

  • @dicrantv8478
    @dicrantv8478 5 місяців тому

    Series iendelee lakini muipeleke sinema zetu iwe inarushwa

  • @BulubaLufuta
    @BulubaLufuta 5 місяців тому

    Iendelee

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NaomiMahela
    @NaomiMahela 5 місяців тому

    Itelee

  • @misanangasa2278
    @misanangasa2278 5 місяців тому

    Ifike hata mia tano kidogo
    Wengine bando hatuna pakulipeleka

  • @BettyNanyama-ii1zq
    @BettyNanyama-ii1zq 5 місяців тому

    Mbona iishe na bado hatujaona mtoto wa jere iendelee

  • @MussaSimeo
    @MussaSimeo 5 місяців тому

    Hadi 200 hapo itafaa sana

  • @aminaubao
    @aminaubao 5 місяців тому

    Mm nataka iendelee paka Zena azae 😂😂😂

  • @AdhanAbdi-qx4zl
    @AdhanAbdi-qx4zl 5 місяців тому

    ntemii ni tamu nikiwa narok

  • @HAMISJOSEPHJILALA
    @HAMISJOSEPHJILALA 5 місяців тому

    naombeni tu like zenu

  • @WilkisterBukango-cp5fh
    @WilkisterBukango-cp5fh 5 місяців тому

    Mzee simon izo ndevu😂

  • @ImmaMsukuma
    @ImmaMsukuma 5 місяців тому

    Kwann vipand vingine havi somi?

  • @DeboraAmani-w8w
    @DeboraAmani-w8w 2 місяці тому

    mimba ya zena imeenda wapi😂

  • @sholeMasaka-eo5yf
    @sholeMasaka-eo5yf 5 місяців тому +1

    100

  • @PetroMusa-bz6bu
    @PetroMusa-bz6bu 5 місяців тому

    tuna subilia kuona

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 місяців тому

    Cheko la ntemi hatari 😂😂😂😂

  • @MartinNiyukuri-n2t
    @MartinNiyukuri-n2t 5 місяців тому

    Mayombya unanywele nzuriiii LV y

  • @AdhanAbdi-qx4zl
    @AdhanAbdi-qx4zl 5 місяців тому

    Kenya movie ama ni tanzania

  • @BusunguMalagabu
    @BusunguMalagabu 3 місяці тому

    HIV mama nyanjige mbona kama chizi2

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 5 місяців тому

    Mbona inaganda sasa achien bc

  • @BulubaLufuta
    @BulubaLufuta 5 місяців тому

    Nyumbani

  • @TausiHassan-wz5ff
    @TausiHassan-wz5ff 5 місяців тому

    Move yako nzuli atali ila imalize vizuli sasa isiwe kama nyingine❤❤

  • @danielkiprutokisa9534
    @danielkiprutokisa9534 4 місяці тому

    Iendelee tu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @FransiscaSalama
    @FransiscaSalama 5 місяців тому

    100

  • @GradnessMarico
    @GradnessMarico 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤