NTEMI EPI 82||Swahili Movie ll Bongo Movies Latest II African Latest Movies

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Huu ni mwendelezo wa filamu ya NTEMI na hii ni Season 4 Ni moto!. Endelea kuifuatilia hautajuta!
    NTEMI ni moja kati ya filamu bora za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie nchini Tanzania.
    NTEMI ni kijana wa Kisukuma mwenye juhudi katika ufugaji wa Ng'ombe. Tatizo lake anathamini sana Ng'ombe kuliko hata mwanae kumsomesha.
    Kupitia series hii Swahili Movie /Bongo Movies utajifunza zaidi kuhusiana na kabila la Kisukuma pamoja na makabila mengine yanayowazunguka Wasukuma.
    Hakika utajifunza kitu kikubwa.
    Hii ni moja kati ya Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania series itakayokujia kila Alhamisi saa Tisa na Nusu Alasiri.
    Endelea kufuatilia hadi mwisho,usisahau kulike,share zaidi kusubscribe.
    Tunaomba support yako kwa kushare kwa wengine, ila zaidi uendelee kujifunza kupitia filamu zetu za Swahili Movie/Bongo Swahili Movie/Swahili Movie za Tanzania. WE LOVE YOU ALL. ...........................................................................................................................................................................................
    KAPAYA THE GREAT FILM
    Contact:
    0655 218 331/0753 318 331
    email. kapayamic75@gmail.com
    Instargram
    Kapayathegreat
    TANZANIA.

КОМЕНТАРІ • 131

  • @JoyceCharo-s4n
    @JoyceCharo-s4n 5 місяців тому +12

    Naingojea kwa hamu sana hii🎉🎉🎉 na wakwanza nipeni like zenu

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 5 місяців тому +1

      Jamani ntemi isiishe mim nampenda anavyo ongea

  • @Millicent-jt5ty
    @Millicent-jt5ty 3 місяці тому +1

    Mbona ya 83 hatuioni jmn,,hyoo mganga apewe maua yake mwenye anasema ukijiangalia kwenye kioo, alafu kioo kinakwambia please wait me na wazee walikuwa wachafu mpk nzi wanataman kuvaa ndala hongeren jmn wote👏👏👏👏

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 5 місяців тому +3

    Kajeree kameingia kazini,,,,NTEMI unavotuko sana mweeee sasa unamtaka mwanamke na huna uwezo hata wakumsalimia jamani

  • @valiantlucas4070
    @valiantlucas4070 4 місяці тому +2

    Wawoo! Thanks 🙏🙏 🙏🙏🙏 mashabiki zetu Kwa kututazama

  • @irisimali
    @irisimali 4 місяці тому +2

    Nimeanzia epi 1hadi epi 82 ndugu zangu hongereni sana ,Ntemi mzee Simon,Jere,zena ,selina,mganga😂part yenu mmeiwakilisha vilivyo bila kusahau tedy na wahusika wote maua yenyu ndio hayo jamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉much love from Kenya watching from Saudi Arabia.

    • @elizabethbethy7267
      @elizabethbethy7267 4 місяці тому +1

      Woooow kumbe Kuna Team strong hapa Saudi Riyadh Mimi saa hizi ndio nimemaliza episode 82 ❤❤❤2.48 am na morning naamkia mjengo 💪💪💪Team Ntemi nawapenda sana 🎉🎉🎉❤❤❤❤🙏🙏🙏

    • @irisimali
      @irisimali 4 місяці тому +1

      @@elizabethbethy7267 Vipi, yeah team strong nko hapa hii filamu imenibamba kabisa. Nilikua nawatch nikipiga mjengo mos mos.

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 місяці тому +1

    Madhali nzuri uhalisi wa mazingira ya kijijini mazuri mpaka watu tumetamani tuwe wasukuma

  • @hellencosta9818
    @hellencosta9818 5 місяців тому +5

    Nami Leo wa kwanza pongezi kwangu na waigizaji wetu

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 5 місяців тому +4

    Bibi gat nimecheka kwa sauti jamn mbavu zangu 😂😂😂😂😂😂😂

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 місяці тому

    Hongera sana kwa tamthilia nzuri inayotazamika hata ukiwa umekaa na mamamkwe mama mzazi baba babu bibi baba mkwe watoto

  • @AhadiMoses
    @AhadiMoses 4 місяці тому +1

    🤣😂🤣😂 Nakubaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sanaaaa ntem .wewe siowamchezooooo

  • @christinasebastian
    @christinasebastian 2 місяці тому

    Napenda sana namna mlivo weka filamu yenu 🥰🥰🥰🥰 ntemi Huwa nacheka sana kakiswahili kako

  • @zakariangala
    @zakariangala 8 днів тому

    Ntemi. Kazi safi ❤❤❤.Endeleeni kututongoza🎉

  • @ImmaMsukuma
    @ImmaMsukuma 4 місяці тому +2

    Naisubilia sana kwa ham episode 83

  • @emes602
    @emes602 5 місяців тому +2

    Endelea tu kututongoza😂😂😂😂😂 nachekaga kiswahili chake

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 місяців тому +2

    Ntemi ukorofi wote kwenye kutongoza hana ujanja😂😂😂😂😂😂😂

  • @ngusakalima9899
    @ngusakalima9899 4 місяці тому +1

    Ntemi akana kako katumbafu kenhage tugoje samba katolwe wangu nkenhe ng,ombe hakaya

  • @johariabdalla3099
    @johariabdalla3099 5 місяців тому +1

    Ndo kwanza movie imenoga 🥰🥰❤️❤️❤️❤️

  • @TymoMyln
    @TymoMyln 3 місяці тому

    Tunaingoja ntemi ep 83 kindly Michael tunakutambua jitahdi 🙏🙏

  • @MargaretaTaremo
    @MargaretaTaremo Місяць тому

    Tunasubili mwendelezo mko vizuri

  • @GFreythegreat
    @GFreythegreat 4 місяці тому

    hehehehhheee😂🤣🤣😂😂 endelea kututongoza mwenyekiti

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 3 місяці тому

    Kazi nzuri sana ntemi 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @RoseBaru-i6z
    @RoseBaru-i6z 4 місяці тому +1

    83 Iko wap jaman jila

  • @TessyElias
    @TessyElias 5 місяців тому +1

    Tnasubiri episode ya 83 na kuendelea

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 5 місяців тому +2

    Nipen like nimewahi

  • @agnesbochaberi5738
    @agnesbochaberi5738 5 місяців тому +1

    Ntemi salimia huyo mrembo tupa misitari😂😂

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 5 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bibi hati🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niache maama nakufa kicho

  • @ebbykageha-o8g
    @ebbykageha-o8g 5 місяців тому

    Napenda sana tamthilia ya ntemi zena na Jeremiah iwish mngekua real couples mnapendeza sana

  • @RichardKichiba
    @RichardKichiba 24 дні тому

    Jaman mwendelezo

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 5 місяців тому

    Ntemi upewe mauwa yako🎉🎉🎉 ❤waogopa kumsalimia msichana😂bibi gati fimbo moja ndio imekuangusha😂 ntemi mpelek tedy shule😢

  • @BarakaMagonya
    @BarakaMagonya 4 місяці тому

    Ntemi ni filamu nzur sana na pendwa sana kwangu 🎉🎉🎉

  • @elizabethbethy7267
    @elizabethbethy7267 4 місяці тому

    Team strong mpooo??? ❤❤❤

  • @SmilingDriftwood-up8lb
    @SmilingDriftwood-up8lb 3 місяці тому

    Mwendelezo jamn

  • @PaulYohanaMaduhu
    @PaulYohanaMaduhu 3 місяці тому

    Vip kimyaaa

  • @Nadia-fg8yr
    @Nadia-fg8yr 5 місяців тому

    😂😂😂. Bora ata ungekuwa mzuri ningefumba ata macho kidogo😂😂😂,, ntemi ❤

  • @RashidiDaudy-ez6zt
    @RashidiDaudy-ez6zt 3 місяці тому

    Ntemi vipi 83 iko wapi au ndo imeisha hiyo tujuze madhabiki zako baba

  • @MkamaJustin
    @MkamaJustin Місяць тому

    Ntemi ni muvi nzuri sana mbn mwendelezo hatuoni? Tunaomba mwendelezo

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 5 місяців тому

    Mtemi bibi gatii mtatuvunjaa mbavuu hahahahahahaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤ masikin kajeriiiii nawapenda sanaa

  • @SistyAthanasy-martin
    @SistyAthanasy-martin 2 місяці тому

    Mbona mwendelezo Hamna au Ndo bas tena

  • @kevy254
    @kevy254 2 місяці тому

    Mzee mzima mwenyewe 😂😂

  • @RechoMasunga-rp9dr
    @RechoMasunga-rp9dr 3 місяці тому

    Jamani tumemisi ntemi ileteni basi 83

  • @ConsolathaMpin
    @ConsolathaMpin 4 місяці тому

    Mbona 83 haipo jaman

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 4 місяці тому

    Kazi nzuri sana ntemi🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kanembe
    @kanembe 3 місяці тому

    Endelea kututongozaa😅😅

  • @sylvesterdonald7441
    @sylvesterdonald7441 5 місяців тому +1

    Ka fundi jere kameingia mzigoni sasaa😂😂😂

  • @Heri-ze6gi
    @Heri-ze6gi 3 місяці тому

    Jaman kipande cha 83 na kuendelea viko wap jaman

  • @josehkan
    @josehkan 5 місяців тому

    Ntemi umeniangusha 😅😅salima mrembo Bana, 🎉

  • @ChrisTapule
    @ChrisTapule 5 місяців тому

    Jamani Iko patama mwendelezo wake vipi

  • @JumanneZengo
    @JumanneZengo 19 днів тому

    Jamani mbona hamleti kazi ya ntemi vip tunaisuniri kwahamu zote

  • @RichardKichiba
    @RichardKichiba 24 дні тому

    😅😅😅huyu ntemi ndo hakili zangu kabisa😅😅

  • @lydiahnyamokami5058
    @lydiahnyamokami5058 5 місяців тому

    Noma katedhi helimu ni ya muhim ❤❤

  • @missanaalfred4322
    @missanaalfred4322 5 місяців тому +2

    NTEMI INEISHA AU MBONA 83 HAIONYESHWI

  • @AnsaB-j2m
    @AnsaB-j2m 5 місяців тому

    Mbavu zangu 😅😅😅 ntemi aki wewe 😂😂😂😂

  • @Nadia-fg8yr
    @Nadia-fg8yr 5 місяців тому

    😂😂😂 safari Hii Tedy atakunyoosha😂😂😂

  • @SistyAthanasy-martin
    @SistyAthanasy-martin 3 місяці тому

    Jamani ee mbona hamjatuma mwendelezo wa hii nipo naisubiri kwa hamu

  • @rehemamrinzi6996
    @rehemamrinzi6996 4 місяці тому

    Ntemi vpi leta next unatueka

  • @YohanaAman-uz2eu
    @YohanaAman-uz2eu 4 місяці тому

    Jamani83 mbna hatuioni jaman ntemi

  • @gideonlendi-yj2yt
    @gideonlendi-yj2yt 4 місяці тому

    Munachelewa kuongezeya tinging mumemariza

  • @patientmunoni6414
    @patientmunoni6414 5 місяців тому

    mum mfugaji wa ngombe ntemi si wa mchezo unaonja fimbo 😊

  • @christinaaloyce6762
    @christinaaloyce6762 5 місяців тому

    Endelea tuu kututongozaa jmn ,,duuh kiswahili chake jmn

  • @JaredOdhiambo-r1g
    @JaredOdhiambo-r1g 5 місяців тому

    Kumbe Bibi Gati alisomea acrobatism, anajua kukwepa fimba za Ntemi!

  • @MaryamM-zw4xv
    @MaryamM-zw4xv 5 місяців тому

    Nawapongeza kwakazi nzuri sana❤❤

  • @mustaphaathumani5843
    @mustaphaathumani5843 5 місяців тому

    Upi kuti ibheho 😂😂😂 ntemi nyana ghete😊

  • @abwilu25
    @abwilu25 5 місяців тому

    Ila ntemi 🙌🙌

  • @ديالاالبيشي-ش7خ
    @ديالاالبيشي-ش7خ 5 місяців тому

    Bibi ngati amecheza forward na backwards kwa u pamoja ntemi 😂😂😂😂muna ni maliza na kicheko huku hadi wainguru Ana shangaa

  • @AbibaZakeo
    @AbibaZakeo 5 місяців тому

    Jaman nasubili kwa hamu sanaa eps ya 83

  • @stephenlongor858
    @stephenlongor858 3 місяці тому

    Mbona 83 hamtoi

  • @ZephaniaPetro-n3x
    @ZephaniaPetro-n3x 5 місяців тому +1

    Hahahahah ntem wew

  • @selestinimbezi7345
    @selestinimbezi7345 5 місяців тому

    Hii movie ntemi kamaliza

  • @prettyney3812
    @prettyney3812 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂 Ntemi jmn

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 5 місяців тому

    Bibi gati umelitafuta mwanyewe kwa ntemi 😂 😂 😂

  • @BarnabaFrancis-p1k
    @BarnabaFrancis-p1k 5 місяців тому

    😆😆😆😆😆😆 bibi Gati chini

  • @SalahMashaur
    @SalahMashaur 4 місяці тому +1

    Mbn 83 hatuioni jamn

  • @fatmaramadhan762
    @fatmaramadhan762 4 місяці тому

    Next part ntemi naona umeanza kutuweka

  • @Witness-p5s
    @Witness-p5s 5 місяців тому

    Jamani leten 83

  • @PauloAmos-k2f
    @PauloAmos-k2f 5 місяців тому

    😊 Yan Leo munanifulahixha

  • @alexjuve3837
    @alexjuve3837 2 місяці тому

    ntemi sio wakutufanyia ivo wewe kaeni na movie yenu hatuna shida nayo tena

  • @Richiemagessa
    @Richiemagessa 5 місяців тому

    Hivi maria namuona peke yangu tuu au? 😂

  • @MichaelWanyonyi-js5vt
    @MichaelWanyonyi-js5vt 4 місяці тому

    Naulisa kwani ntemi imefika mwesho 😅

  • @lailalaila9114
    @lailalaila9114 5 місяців тому

    Ira ntemi 😅😅😅😅😅Ndo ujui ata kutongoza

  • @noellaniyonizeye1646
    @noellaniyonizeye1646 5 місяців тому +1

    Ntemi uko dawa ya meno kabs

  • @witnesskihaga2241
    @witnesskihaga2241 5 місяців тому

    Kunakoelekea sasa kivumbi Mzee Simon kazi ipo shigella amepotelea wap

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 4 місяці тому

    Jaman ntemi mbona hamtoi hizo zinazo edelea

  • @DeogratusMathayo
    @DeogratusMathayo 5 місяців тому

    sawa mzee simon

  • @FereshfestogmailFereshfestogma
    @FereshfestogmailFereshfestogma 5 місяців тому

    Aendelee kuwatongoza wote

  • @GilbertEdson-mh1ti
    @GilbertEdson-mh1ti 3 місяці тому

    Vp 83 Isha Toka kwani

  • @clintonmkawe9186
    @clintonmkawe9186 3 місяці тому

    episode 83 please

  • @OmaryBakari-c8v
    @OmaryBakari-c8v 4 місяці тому

    Mbona hatupati muongozo

  • @JohnMachiya
    @JohnMachiya 4 місяці тому

    83 lin jaman mbona imechelewa

  • @elvisamoi6170
    @elvisamoi6170 2 місяці тому

    Episode 83 yakuja lini?

  • @midianobed9001
    @midianobed9001 5 місяців тому

    Tuletee mwendelezo aise

  • @Witness-p5s
    @Witness-p5s 5 місяців тому +1

    Naona Jeremia atema cheche kwa binti

  • @GilbertEdson-mh1ti
    @GilbertEdson-mh1ti 4 місяці тому

    Leteni 83 mbona Ivo jamani

  • @geofreymgosi-ie9fy
    @geofreymgosi-ie9fy 4 місяці тому

    brother mnakwama wapi ni mdaa hamtoi vipande sasa

  • @DeborahPrincess
    @DeborahPrincess 4 місяці тому

    Nini shida mbona mnachelewesha episode nyingine

  • @DeborahPrincess
    @DeborahPrincess 5 місяців тому

    Mtemi unashindwaje kutongoza

  • @SirKabuche
    @SirKabuche 3 місяці тому

    Watoe mwendelezo sasa mbona kama washamba hivi siku zote hizo.

  • @salmahoperi9783
    @salmahoperi9783 5 місяців тому

    Shangazi unakazi ngumu Kwa Ntemi

  • @SmilingDriftwood-up8lb
    @SmilingDriftwood-up8lb 3 місяці тому

    83 haipo

  • @stevj4wr
    @stevj4wr 4 місяці тому

    Episode ya 83 wap mbona haionekan?

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 5 місяців тому

    Kwann mnatoa na mnagandisha sasa