SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo

КОМЕНТАРІ • 2,5 тис.

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 2 місяці тому +280

    MUNGU MUUMBA MBINGUNI NA DUNIA, tupe macho ya rohoni tujue kweli yako, na tukae ktk njia zako Amina...... 🙏

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 2 місяці тому +8

      Kwaio humu ulikua unasoma biblia au imeingiliana VP na maombi 😂😂😂😂

    • @SalhaJumanne-p2o
      @SalhaJumanne-p2o 2 місяці тому

      @@kamarhelo😂😂😂

    • @AweiyBeauty
      @AweiyBeauty 2 місяці тому +4

      Jaman jaman jaman watu hahahahahhhh!hayo majb sjui wp tunayapata wallah

    • @MohammadSwaghir
      @MohammadSwaghir 2 місяці тому +3

      Wewe ndo umesema la maaana

    • @MosesKahindi-ys2xb
      @MosesKahindi-ys2xb 2 місяці тому +1

      Amen🙏

  • @EphrahimIlomo
    @EphrahimIlomo 2 місяці тому +63

    Daaa tumesubiri sana mnakaa mno mpaka tunasahau kama Kuna snake boy anyway kazi nzuri sana@clam vevo

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 2 місяці тому +44

    Snake boy 🐍 inazidi kua hatariiii umetisha sana clam vevo 🔥🔥🔥💪

  • @Kaloki-hv7dx
    @Kaloki-hv7dx 2 місяці тому +38

    Sijui mm ni wangapi naombeni likes hapa...mwenyezi mungu haibarki snake boy...clam vevo hatariiii..

  • @AshaMussa-r4z
    @AshaMussa-r4z 2 місяці тому +12

    Kazi nzuri kaka Allah akulinde uzidi kutoa kazi nzuri ila munachelewesha sana

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 2 місяці тому +34

    Clam vevo the number one ☝️ mpaka apa Congo 🇨🇩 na kubali équipe clam vevo.

  • @ramadhanmbai648
    @ramadhanmbai648 2 місяці тому +53

    WA Kwanza kutoka Kenya. I love Tanzania bongo movies .. big up Tanzania ❤

  • @nestorykakatv7526
    @nestorykakatv7526 2 місяці тому +58

    Ushauri wa bure msiwe mnakaa siku 10 jaman mjue tunapenda xn hii kazi

  • @CostaTande
    @CostaTande 2 місяці тому +2

    Santé sana kwawangizadji yote wa muvi snack boy mungu awabariki wote clam vevo n'a Kim Nadayrecta Kakoso mungu amulinde kwakweli ni Costa Tande Justin kutokeya Congo

  • @NicemireilleIgiraneza
    @NicemireilleIgiraneza 2 місяці тому +20

    Kazi nzuli jaman naomba like from burundi tujuane

  • @FeydhullahTwalib
    @FeydhullahTwalib 2 місяці тому +41

    Kiujumla vevo na team yako mupo vizuri tena mupo vizuri sana

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 2 місяці тому +36

    Medick,mbwela,mwasi, Zumba,sengo,kipara ,na kakoso, nawakubali sana na team nzima 🎉🎉🎉🎉hongereni sana washirika nyote wa snake boy mwaitendea haki kabisa hii move 🌹🌹🌹🌹

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban 2 місяці тому +566

    mi mpk nilshakata tamaa kbs ya kuifuatilia snake boy mnakawia sana mpk nilihamia zangu kwa kp na zeb mnaboa sana au kwa kuwa tunasifia kazi nzuri ndio maana mnatucheleweshea

    • @MoneyKey247-fk4oy
      @MoneyKey247-fk4oy 2 місяці тому +18

      Kweli😂😂😂

    • @NawaliKassimu
      @NawaliKassimu 2 місяці тому +23

      Mpaka unasahau uliishia wapi

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 місяці тому +45

      Inahitaji akili ndogo tu kujua mwanzo mlikua mnalalamika inakua fupi sana muda mdogo sasa Hivi wameweka ndefu zaidi maanayake lazma watakua wanatumia muda mrefu kuandaa bado tena malalamiko

    • @LovenessPaul-yf7rz
      @LovenessPaul-yf7rz 2 місяці тому +4

      Kwakweli😢😢

    • @MaulidMrisho-hk2vi
      @MaulidMrisho-hk2vi 2 місяці тому +10

      usilaumu kukawia angalia wanatumia muda mlefu kuandaa maana siokitu chalaisi2 kiivyo wanatumia malifa mengi

  • @Puchuanitz
    @Puchuanitz 2 місяці тому +55

    Jaman me nataka mwakatobe ak zinga team zinga dondosha like

  • @mosesashikoye3288
    @mosesashikoye3288 2 місяці тому +11

    Clam siku hizi unachekewesha sana hadi nasikia nimeanza kukosa hamu tena, imarikeni kwa hilo. Tunawapenda sana huku Kenya

  • @BakariNgare-v8z
    @BakariNgare-v8z 2 місяці тому +79

    Duuh Clam vevo watueka sana wachelewesha mzigo but ongera Kwa kaz nzuri naona next kanumba miaka inayo kuja karibu Mombasa Kenya.

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 2 місяці тому +3

      Dakika 40 pia umegewa

    • @BakariNgare-v8z
      @BakariNgare-v8z 2 місяці тому

      Hahahaha 40minutes n sawa but anatueka sana Vevo best wishes to this guy is very genius​@@eggysulle7988

  • @RifatiJeshi
    @RifatiJeshi 2 місяці тому +43

    Mkishajua tunawafatilia na kuwakubal mnatuchelewesha sana kutoa muendelezo!! Jirekebshen bhac

    • @rashidkwengwegu6876
      @rashidkwengwegu6876 2 місяці тому +1

      Kuchelewa kwao ni kuandaa kitu kizuri kitakacho kuvutia

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 2 місяці тому +368

    Nimekuwa wa Mia mbili na 53, Naomba likes zangu, snake boy ni motooo 🎉🎉🎉

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf 2 місяці тому +9

      Afadhali umesema kweli mana kila mtu wa kwanza humu😂😂😂😂😂

    • @officialgvanny8334
      @officialgvanny8334 2 місяці тому +4

      ​@@HudhaimaYussuf😂😂😂😂

    • @TajaIssa
      @TajaIssa 2 місяці тому +5

      Kama unamkubali mtanzi gonga like

    • @NdohoAud
      @NdohoAud 2 місяці тому +1

      ​@@HudhaimaYussufhhhhhhh😂😂 nihatal

    • @Mashenene_Robert
      @Mashenene_Robert 2 місяці тому +1

      Wewe adimin 😅😅😅

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 2 місяці тому +20

    Mimi ni miongoni mwa first 80,000 waaah! Si watu mnawai jamani... Yaani karibu nianguke😂❤🇰🇪KE🇰🇪NYA🇰🇪

  • @AishaAbdallah-lm4ic
    @AishaAbdallah-lm4ic 2 місяці тому +18

    From Kenya..🇰🇪🇰🇪 watching from Qatar 🇶🇦 🇶🇦 Nikiwa Moja Wenu🤝💕💕💕

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 2 місяці тому +229

    Àssalaam aleykum..
    Tukumbuke na Ibada ndugu zangu 🇹🇿 🇰🇪 🇧🇮 🇷🇼 🇨🇩

    • @NasraNasra-l9q
      @NasraNasra-l9q 2 місяці тому +7

      Waalaykum ssalaam...
      Shukran kwa ukumbusho❤

    • @FatumaHamisi-sr6yj
      @FatumaHamisi-sr6yj 2 місяці тому +5

      Walekum salam shukurani Kwa ukumbusho kipenzi 😍

    • @KishkiMdogo
      @KishkiMdogo 2 місяці тому +4

      Shukran

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 2 місяці тому +4

      Waalykumussalaam warahmatullah'hi wabarakaatuh.
      Muhimu shukria ❤

    • @SalimuMshana-v3b
      @SalimuMshana-v3b 2 місяці тому +5

      Waalaykum musalamu warahmatullah wabarakatuh
      Inshallah,

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 2 місяці тому +37

    KWANI watu mko n sim kwa mkono jmn 😂😂 nawapenda 🥰 Bure Genz 👊 team strong team clam vevo🇸🇦🇰🇪❤️❤️❤️

    • @MishyMbetsa
      @MishyMbetsa 2 місяці тому +1

      Safi Pendo wakwehuu ❤

  • @Shacky665
    @Shacky665 2 місяці тому +19

    Kazi nzuri Tim vevo hamjawahi niangusha🎉🎉🎉🎉

  • @adidjahassan6046
    @adidjahassan6046 2 місяці тому +20

    From burundi ❤❤ napenda sana snake boy clam apewe maua yake jamani kama tukopamoja gonga like apa ❤❤

  • @mwajumaahmed9888
    @mwajumaahmed9888 2 місяці тому +6

    Hakuna kazi ndog jmni wanajitahid sana na kutoa ndefu ndefu had rahaa mungu awabariki kwenye kzi zenu

  • @amothedecorationiw9iw
    @amothedecorationiw9iw 2 місяці тому +25

    Kigongo kinachelewa mpaka napata hasira kiukweli sijafurahia kabisa week mbili tunakaa kinyonge aaaahhh director amezingua

  • @Jeremiahc224
    @Jeremiahc224 2 місяці тому +31

    Kazi njema inaitaji watu hodari na nyinyi nyote ni mahodari kabisa 🙌🙌🌹❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @KIBETLOTIPO
    @KIBETLOTIPO 2 місяці тому +22

    Watching live from the capital city of Africa 🇰🇪 KENYA,wapi like zangu,ila mnachukua muda mwingi kutoa episode

  • @MwabuJackson
    @MwabuJackson 2 місяці тому +4

    Hi cast of the snake boy, we are really enjoying your wonderful movies. Please keep it up, I wish you the best in your remaining seasons. I'm Zambian.

  • @heryIsaac
    @heryIsaac 2 місяці тому +8

    clam ni bonge moja la act 4this country niamin

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 2 місяці тому +52

    Wakwanza from 🇰🇪🇰🇪 ila mnachelewesha sana hd tunasahau pale tulipoachia ila kazi nzuri sana Clam vevo tunaikubali ❤

    • @MishyMbetsa
      @MishyMbetsa 2 місяці тому

      Safi Dama Mkenya wangu

    • @edwardngugi3537
      @edwardngugi3537 2 місяці тому

      Ii kiswahili yko c ya Kenya 😂😂😂 buana

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie 2 місяці тому

      @@edwardngugi3537 hiki n Cha wapi kipenzi

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie 2 місяці тому

      @@MishyMbetsa good ❤️

    • @RomanNdigeze
      @RomanNdigeze 2 місяці тому

      Naomba unicheki bax

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 2 місяці тому +33

    Watu waliokubaliii kaziii hiii ya CLAM VEVO gonga like hapa❤❤❤❤ movie iko unyamaaa sanaaa

  • @Nancykerush
    @Nancykerush 2 місяці тому +36

    Naipeda xana na watch nikiwa Nairobi Kenya wapi likes zangu jamen

  • @khajiathuman-zq4bj
    @khajiathuman-zq4bj 2 місяці тому +36

    tunaemuona tanu ajulikan yupo upande gani 😂😂 tien like ap

  • @MagrethDaniel-cu5fg
    @MagrethDaniel-cu5fg 2 місяці тому +6

    Aisee huy dada urembo unamtesa jaman kaqa kama mpira ahahahaha!!! Ungekuwa na sura ngumu ka me akaaaah! Hata ukitupwa pale mbwa hanusi😂😂😂😂😂

  • @husseinmohamed1380
    @husseinmohamed1380 2 місяці тому +8

    Anguka nayo clam vevo,much love from 254🇰🇪.

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 2 місяці тому +45

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo❤

  • @RaymondMahadi
    @RaymondMahadi 2 місяці тому +10

    Alright thanks for your work bro 🙏
    Good morning our lovely videos
    I'm Raymond mahad from Kenya Mombasa or Nairobi
    I'm so happy for this channel

  • @EstherShania-u8i
    @EstherShania-u8i 2 місяці тому +14

    Leo nmechelewa lkn naomba like hta 2 tuh

  • @Akili820
    @Akili820 2 місяці тому +13

    Clam noma sana 🇨🇩🇨🇩☝️

  • @André-c6
    @André-c6 2 місяці тому +33

    Clam VEVO hanajua kwandikajama , mana tukikosa kumwona Vevo tunamwona mwakatobe , tusipo mwona mwakatobe, tunamwona Vevo 😂😂😂
    Samani jamani Mimi kwetu Mozambique 🇲🇿🇲🇿 kwiavio sijuwi kwandi vizuri, samani 🙏 nipeni like

  • @mwanaidisaidi1101
    @mwanaidisaidi1101 2 місяці тому +8

    Sijawahi kucoment acha leo nikomenti unatucheleweshea sana mzee yan unafanya mda wote tushinde UA-cam maana unawaza inatoka saizi au laah,,,,hongera kwa kuitoa maana tumeisubili kwa hamu sana tunashukuru kwa kutuongezea dakika bigup utafika mbali kijana

  • @MaalimKhan-o6k
    @MaalimKhan-o6k 2 місяці тому +47

    Nakubari unyama huu apa nisubiri kwa hamu sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @MellanierChristian-wn9mw
    @MellanierChristian-wn9mw 2 місяці тому +12

    Movie intufundisha hii dunia kuna watu wetu wa karibu ni wanafikii saana si mnaona rafiki ake mtukufu anavojifanya hajui alichokifanya yaan mtu anakupa msiba af anakusaidia kuliaaa 😢

  • @ErickyTz-ku7dt
    @ErickyTz-ku7dt 2 місяці тому +5

    Why this young boy clamvevo doesn't trending although he is the best and large number of pure views any way much love from Toronto canada

  • @GebrielMosha789
    @GebrielMosha789 2 місяці тому +16

    Makini sana kamnda clqm vevo umeupiga mwingi hila zingatia kuwaisha mzigo

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 2 місяці тому +386

    Mwenyezi mungu akubaliki wewe na familia yako muwe na maisha malefu kwa wewe unaye soma comment hiii

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 2 місяці тому +44

    Najaribu kufanya mazoezi ila najikuta kukosa mueleko😢... Kama umeamka Salama sema Asante mungu Kwa Kila pumzi ninayopumua.... team strong hapa kutoka Tanzania 🇹🇿🇶🇦

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 2 місяці тому +2

    Nomaaa sana kwa movie tamuu vevooooo ila nisimsahauu director kakosooo anafanya kaziii nzuriiii sana

  • @VeroKiziro
    @VeroKiziro 2 дні тому +1

    Wah wanaume mnapeana bb..mungu wangu

  • @kizzydaniel4388
    @kizzydaniel4388 2 місяці тому +61

    umetucheleweshea sanaa mzee sisi huu ni zaidi ya ulevii

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 2 місяці тому +31

    Mtoe maoni basii kazi wsicheleweshe sana 😂😂😂 kuomba like tu 😂😂😂

  • @yassatv2129
    @yassatv2129 2 місяці тому +131

    Naomba wote mnaoangalia snake boy mwenyezi mungu awape afya njema na mafanikio makubwa katika maisha yenu🙏

  • @diva_20162
    @diva_20162 2 місяці тому +7

    Sema kipara anaupiga mwingi sana aseee maua yake,, hachezi mbali na fursa 😂😂

  • @shamiraramadhani3145
    @shamiraramadhani3145 2 місяці тому +12

    Mnakalia kuomba like tu na wakati wanachelewesha saana hii move clam acha kuchelewesha hivyo bhn

  • @aminielenock2050
    @aminielenock2050 2 місяці тому +12

    Mnachelewesha sana kazi wakuu pia nzinga ni tumemiss misemo yake na timbwili

  • @aminielenock2050
    @aminielenock2050 2 місяці тому +15

    Huo mziki bonge moja la ubunifu 🔥🔥

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 2 місяці тому +60

    Wa kwanza leo naomba like zangu toka dr Congo 🇨🇩💪💪

  • @professor1992
    @professor1992 2 місяці тому +108

    Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tangu nianze kufuatilia snake boy sijawai pata likes, jameni naombeni likes mukinifuata youtube

    • @Kib-jsanley
      @Kib-jsanley 2 місяці тому +1

      Mombasa😂😂

    • @DuniaMayombo
      @DuniaMayombo 2 місяці тому +4

      Nilisha kupa likes ambayo uliomba❤

    • @collinsmlay1438
      @collinsmlay1438 2 місяці тому

      Nimekupa dislike moja aisee nataman nikuongezee zaidii

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 2 місяці тому +5

    Kazi nzuri bro mbwela big up sana

  • @idrixalumany5902
    @idrixalumany5902 2 місяці тому +20

    Wana mzengo mko moto sana😂😂

  • @paulrimba654
    @paulrimba654 2 місяці тому +10

    Wa mwisho leo, big up VEVO crew

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 2 місяці тому +45

    ila namie sija chelewa sana nipo kabisa namie naomba like zangu 15 hapo ila nawapongaza sana kitu kizuri kabisa jaman ila Clam vevo 🎉🎉❤

  • @hashimuomary4569
    @hashimuomary4569 2 місяці тому +25

    Kwan mnaoomba like zinawafaidish nn nyie vibwengo watoto wa mwakatobe

  • @VictorObeth
    @VictorObeth 2 місяці тому +3

    Namuona ndugu yangu ibra mbwera au chif safi kaka kazi nzuri

  • @MartinLazaro-zj6ke
    @MartinLazaro-zj6ke 2 місяці тому +8

    Clam VEVO. Sterling wa snake boy umekuwa Bora sana. Season 1 na season 2. Kazi nzuri sana ❤❤❤❤

  • @DianaRose-kh7sr
    @DianaRose-kh7sr 2 місяці тому +20

    Watu mko vizuri mapema mshawahi 🧡🧡🎉

  • @dismasjuma7440
    @dismasjuma7440 2 місяці тому +25

    aura4aura nikiwa kenya kazi bro clam.wakenya wenzagu like natukutane tuesday CBD kwa mapambano

  • @mustafamwenda
    @mustafamwenda 2 місяці тому +3

    Ila wadau saiz watanzania tumepiga hatuwa kwenye movie camera saiz zina hd ya kueleweka unaona mpak chunusi kwakweli tujipongeze wote tz❤❤❤❤

  • @samwelwekesa4480
    @samwelwekesa4480 2 місяці тому +8

    Nipeni likes za wakenya, nampenda vevo na kazi zake

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 2 місяці тому +6

    Kazi nzuli sana ongeren ila maoninyangu kazi inachelewa kwa siku nyigi sana jmn fanyeni malekebisho kwamuda sahihi na dakika za kutosha ❤❤

  • @SallyMateru
    @SallyMateru 2 місяці тому +32

    Hatimaye baada yakusubiri kwa muda mrefu😂😂

    • @crazykea2032
      @crazykea2032 2 місяці тому

      Eeeeh wanakawia sana adi mtu huchoka😂

    • @SallyMateru
      @SallyMateru 2 місяці тому

      @@crazykea2032 yaani mpaka unaanza kusahau ilipoishia 🤣😂😂 ila Ndo tunaipenda Hata iweje hatuachi kufatilia

  • @MaicoKaniqueMaico
    @MaicoKaniqueMaico 2 місяці тому +8

    From mozambique 🇲🇿 tunakubali sana snak boy

  • @fatumahashimmcheni9610
    @fatumahashimmcheni9610 2 місяці тому +6

    Ku edit Videoo ni kazi ngumuu sana kupangq vipandee na kuandaa kazi nzur

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu 2 місяці тому +20

    Wenye kufuatilia hizi episodes tujuane 😂😂😂mimi ata ikifika episode 50 lazima niifuatilie team Clamvevo wapi likes 👍👍👍

  • @siafuonlinetv
    @siafuonlinetv 2 місяці тому +36

    Kama kuna mtu kila siku alikuwa anaangalia kama clam kaaploud au laaa gonga like kwangu

  • @isharaganechi6616
    @isharaganechi6616 2 місяці тому +13

    Mimi wa kwanza kutoka kongo naomba munilae kibas kidogo sababu naikubali hii muvi na imecheleweshwa ila tunaipenda tu

  • @IamNjoki
    @IamNjoki 2 місяці тому +12

    Yaani Clam mnatuchelewesha sana

  • @annaki318
    @annaki318 2 місяці тому +3

    It's so 🔥🔥🔥

  • @MahadiMusa-b1z
    @MahadiMusa-b1z 2 місяці тому +8

    Sasa nyie mnao like amuwaambii kua ii igizo saivi adisi aeleweki nini inamaanisha wamalize2uuu

  • @peterleonidasofficial3135
    @peterleonidasofficial3135 2 місяці тому +32

    Itumie hii series piah kujifunza..make vipo vingi sana vya kujifunza...naomben likes bhas😇

  • @manirakiza-y7v
    @manirakiza-y7v 2 місяці тому +10

    Jaman mbona mlikawiya sana il courage san vipenz vyangu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 2 місяці тому +16

    Duuh jmn mlkua mmechelewa kweli but safi sana

  • @shabanbachane7318
    @shabanbachane7318 2 місяці тому +10

    Kuwa wa mwisho naomba like 5

  • @gharibali2554
    @gharibali2554 2 місяці тому +1

    MCHEZO MZURI SANAAAA ILA.MNACHELEWA KUTOA

  • @Mnyaturu980
    @Mnyaturu980 2 місяці тому +17

    tanzanua nzima hakuna move inayo fuatiliwa kama snake boy clam hongera sana

    • @MRJ1308
      @MRJ1308 2 місяці тому

      Angalia WRONG HOUSE kwenye channel ya chinga media afu ufananishe

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 місяці тому

      ​@@MRJ1308Lakini hii ndo ya kwanza ile ya pili

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 місяці тому

      ​@@MRJ1308Lakini hii ndo ya kwanza ile ya pili

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 2 місяці тому +7

    Kwa kuchelewa lakini nimeona mchezo vile unavyo chezeshwa atari sn 💪🔥🔥

  • @hamisimbwana-yf3ze
    @hamisimbwana-yf3ze 2 місяці тому +10

    Wakwanza leo Fedha boy Aka Hamisi Mbwana from kenya mombasa kenya

  • @VivianeCosmas
    @VivianeCosmas 2 місяці тому +4

    Ila kipala anaogopa kufa 😂😂😂😂

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 2 місяці тому +6

    Nakubali kazi nzuri sana team Clam Vevo, bila kumsahau Director Kakoso na Mganga wa taifa anaependezesha Movie yetu.. Mwakatobe.. Hongereni kwa kazi nzuri tuko pamoja mwanzo mwisho..
    KAMA UNAIKUBALI HII SERIES NA ULIKUWA UNAISUBIRI KWA SHAUKU TUJUANE HAPA KWA LIKE❤

  • @SylvesterMwinga-ff5iy
    @SylvesterMwinga-ff5iy 2 місяці тому +8

    Safi kazi nzuri>Team strong tujuane

  • @ShizoMsosa
    @ShizoMsosa 2 місяці тому +31

    Kukudadakei one number

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa 2 місяці тому +8

    Nawapenda❤.tunaomba.mtuongezee.mda.kidogo

  • @bilahimwalia1452
    @bilahimwalia1452 2 місяці тому +1

    Maoni!
    Baada ya kubadilika kutoka kuwa nyoka ingependeza zaidi angeleta mambwembwe kidogo kama kujinyoosha au vinginevyo, au labda kutema mate baada ya kumaliza kummeza mtu.
    Maoni yangu🙏🏾
    Kazi ni nzuri sana, big up sana kwa team #Vevo.
    Mozambique 🇲🇿

  • @Monystar01
    @Monystar01 2 місяці тому +87

    Aisee kama kuna mtu alikua anaumia Snake 🐍 boy kuchelewa kama mimi Gonga likes 👍

    • @saidpolish1988
      @saidpolish1988 2 місяці тому

      Unachoka mtu kuifatilia inavochelewa sana

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 місяці тому

      Kabisa inachelewa sana mpk tunakata tamaa

    • @Harmontwo255
      @Harmontwo255 2 місяці тому +1

      inakuja ndugu zangu 😥😥😥😥 kazi ni nyingi upande wetu sisi ma producer

    • @SaidiHemedi-ug6qw
      @SaidiHemedi-ug6qw 2 місяці тому +1

      Wewe nimshamba tu

  • @jummarockyjr9645
    @jummarockyjr9645 2 місяці тому +8

    Kazinzuri clam nakubali sana❤

  • @roseafrael75
    @roseafrael75 2 місяці тому +20

    Kazi nzuri sana,,ongereni 🎉🎉🎉.

  • @sandulutu8635
    @sandulutu8635 2 місяці тому +16

    Mnachelewa mpaka tunasahau mlipoishia

  • @BarackZephania
    @BarackZephania 2 місяці тому +3

    Sk villa akiondoka italoswa ladha

  • @hamdunslimofficail4150
    @hamdunslimofficail4150 2 місяці тому +3

    Picha ovyo sana ii kila cku visa vinaongezeka tu ahaa