Kinacho tufurahisha ni kwasababu kuna lugha inaofanana na yetu ya kirundi yaani huu mganga anajuwa sana kuigiza Natwebwe abarundi turabakwilikirana cane Team Ntemi muhezagirwe Mungu awabariki san
Nilikutana na Mwenyekiti mjini Geita mwezi uliopita mara mbili nikafurahi kusalimiana naye. Na alikuwa amevaa nguo zile miongoni mwa anazovaa kwenye filamu hii. Hongereni sana
Niliwahi kwenda Mshinde, kipindi kile nasoma Bung'wangoko secondary school mwaka 2013, Kuna rafiki yangu mmoja nilisoma naye, anaitwa DOTO LUNEMHYA MATURE, wa Mshinde. Daaah hii movie imenikumbusha huko..
Mbn hamtowi jamn like zetu?saw me sitak kujua et nimechelew au nimewah naomben like zang
Nimekuwa wa 6 leyooo naisubiri kwa hamu inshaallah🙏🙏👏🤝❤❤❤❤❤
Safi sana mganga hapo nimewapata kumbe kweli mganga ni mchawi kapona kajere!!!!
Kinacho tufurahisha ni kwasababu kuna lugha inaofanana na yetu ya kirundi yaani huu mganga anajuwa sana kuigiza Natwebwe abarundi turabakwilikirana cane Team Ntemi muhezagirwe Mungu awabariki san
Mbona mnakawia kutoa episodes bana I really enjoying this please hurry up 😂😂😂😂😂😂
Nilikutana na Mwenyekiti mjini Geita mwezi uliopita mara mbili nikafurahi kusalimiana naye. Na alikuwa amevaa nguo zile miongoni mwa anazovaa kwenye filamu hii. Hongereni sana
😄😄😄kweli??
Jmn jmn hatimaye jere wetu ameponaaa💃💃
nawapenda sanaaaaaa jaman, mpo ver good asanteni sanaaaaaaaaaaaaa
Selina, selina leo mashiba na tabia xake kama mwanamuke amekiona 😅😅😅
😂😂😂😂😂 selina nakupenda bule😂😂😂😂😂😂 Alf masimba maneno yako haya hata maaana
Selina Selina Selina nimekuta mara tatu una hatari wewe 😂😂😂🙌🏻
Selina Selina Selina jmn umetisha😅😅😅huyo kkko ni gumegume kbsaa 😂😂
Jmn alie Cheka uongo wa mgaga akipandisha like apa😂😂
Waoooo Ka jeremia kamepona uwiiiiii
Ntemi ananifurahisha sana 🎉🎉🎉🎉
asanteni ntemi tunafurai sana❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Nmefurahi ntemi amepona🎉❤❤❤
Wow kajere❤❤❤❤❤
Nawapenda sanaaaaaaa🎉❤
mganga noma sana nimekubali
Mie wanine achien sasa
Ntemi Hana wa kumshauri kitandani hahaha
Jaman ntemi asomo huyo mutoto
Kazi nzuri ntemi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uwiiiiiiiiii Selina wetu leo umenifurahisha
Ako ready Kwa mkono😂😂😂💪💪
Hatimaye jere amepona 👏👏👏👏
Kazi nzuri sana nawapenda bure❤❤
nmewahi naisubili kwahamu
Kaka ntemi tupe vitu tunavisubili kwahamu kubwa mno MUNGU awasaidie jaman mm nakukubari sana 😢😢😢😢
Aiseee tunazisubiri Kwa hamu Sana hizo episode ya 77 na 78 tuwaishieni
Nimefurahi sana kupona kwa Jeremiah
Selina nimekupenda bure umejua kunifurahisha 😂😂😂
Nzuli sana
Niliwahi kwenda Mshinde, kipindi kile nasoma Bung'wangoko secondary school mwaka 2013, Kuna rafiki yangu mmoja nilisoma naye, anaitwa DOTO LUNEMHYA MATURE, wa Mshinde. Daaah hii movie imenikumbusha huko..
Ulikuwaga unaishi wapi wewe ndugu , make Mimi nimwenyeji wa hapa Mshinde , na huyo doto namupata vizur sana , lakin kalibu Tena mshinde ety
Move safi imetulia kinoma❤
Mapozi ya mganga na tulugha twake ni hatari.Ogopa ni hatari.
Nilikuwa naishi Kasamwa, mtaa wa Utendeni, sekondari nimesomea Bung'wangoko secondary school, nilimaliza 2015, @@amosalphonce1631
😂😂😂😂😂 Selina weee umekinga ngumu uwiii
Unatxha kinoma
Kajele 😂😂😂😂😂😂
Huy muganga nimurundi?❤
Hatimaye jere kapona
Hatimae kajele kamepona da
Ila nyie chiz na kofia kichwan hhahahahaha
Naombeni no za maria nimsalimie asee
mashimba boya sana
From Pakistan Selina wewe
Mwambie uyo mwanaume
Mganga ana mbwembwe jamn.
🤣🤣🤣🤣selina leo umenivunja mbavu zangu🙌 mpaka sasa ubao unasoma selina VS mashimba 5:0
Me wa tatu😂😂😂😂😂😂😂
Jeremiah huyooooooooo.
Oyoooo leo Nimewai 😅😅😅😅
Lemi na mayombya mnanipa rahaa😂😂😂
😂😂😂 selina v mashimba
😂😂😂😂
@@Abera662 naipenda iyo battle ya hao watu
Bha so nkulu na Bha nyonkulu😅😅 noma sana
Ndo lugha gan jmn
Kisukuma hicho mix kiha
😂😂😂😂😂 napenda iyo
Mbona kama hajajipanga movie eps nyingi mpk wafutiliaj wanasahau hata iliko anzia
Unaona kaz rahis eeee,jarib kuandaa yako uone mziki wake
Reo nimewah. wapiri reo mapema😂😂😂😂😂
Mashimba simpendi
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Achia bax mbona inaganda sasa
Jamani kwani hii ntemi haishitu mbona tumechoka
Nyanjige kapotelea wapi jamani
Nteni punguza marofu kwa mama nyajinge😂😂
Dah Kila mara naangalia ntemi na haijaaachiwa dah mnatukalisha sna kusubr one ep jamani ningeomba ntemi hata walau itoke kwa siku ep moja
Alipona jele
Ntemii
Nipen namba za zena make huyu dada ananikosha kweri mimi dah 🌹🌹
🎉
❤❤❤❤
😮😮
Nyanjige yuko wap?.
😂😂😂😂😂😂😂
Na maana mashinde mahindi bado mabichi Kweli AU ni movie tu
Hii movie waliicheza wakat wakilimo kaka, kwo tunakukaribisha sana mshinde
Sy movie hayo ni mahind ya wapili
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉