Dizasta Vina - Best Friend |REACTION

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 2 роки тому +16

    Yooooh buddaaah we still puppin dizasta he is the best rapper no 1 can deny it.

  • @aziziabdulrahman3914
    @aziziabdulrahman3914 2 роки тому +15

    Dizasta n sayar nyingine jaman nmeshasema ambao wamemuona dizasta alipiga akapela kiskul huko kigoma secondary huyo mwana shidaaa jamaaan atar

  • @calebkilonzo6320
    @calebkilonzo6320 2 роки тому +5

    Noma sana,,,dizasta balaaa

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 2 роки тому +11

    #vani ukitaka kujuwa Nini kamaanisha jamaa.nenda #SimuliziNaSauti bro wameifafanuwa vizuri.hata ya #Rapcha nayenyewe ipo.
    Nando utajuwa kama wote wajali Ila vina ni🔥🔥 💪🇧🇮

    • @dizzobusiness3042
      @dizzobusiness3042 2 роки тому

      Hamna namna dogo akitaka ushindan ujue kaaapun mapema

  • @isihakamahawi7793
    @isihakamahawi7793 2 роки тому +13

    Finally nimecheki video wa kwanza UA-cam.

  • @Damiantuby
    @Damiantuby 2 роки тому +9

    Dizasta anaishi kwenye Dimension ambayo miungu tu ndo Ina sattle 🙌🏾

  • @iam_INGWEE
    @iam_INGWEE Рік тому +2

    Dizasta Vina anaelewa context mwanangu 🙌✔️💯

  • @sevystaronedancer1785
    @sevystaronedancer1785 Рік тому +1

    Dizasta vina number one rapper Tanzania

  • @musicworldwide2625
    @musicworldwide2625 2 роки тому +9

    Rapcha ameyakanyaga 😂😂😂❤❤

  • @princechaplineofficial9942
    @princechaplineofficial9942 Рік тому +3

    Siwezi skiza Ngoma Hadi uifanyie reaction... you always made my day Van..... from+254

  • @chibalevicent822
    @chibalevicent822 2 роки тому +1

    I like the way you love your job, so good

  • @footballtime1021
    @footballtime1021 Рік тому +2

    Nangoma zake zote yaan uyu mbwa ni fundi wa dunia

  • @paticotz2513
    @paticotz2513 2 роки тому +7

    Uyu dizasta ni jini sio mtu shkamoo dizasta

  • @mussamussa9746
    @mussamussa9746 Рік тому +3

    Yani jamaa anacho kifanya ni kumchapa mtoto uku anamlambisha pipi 😂😂😂😂

  • @ebramaarifa203
    @ebramaarifa203 2 роки тому +6

    Professor

  • @simonsoghonatv
    @simonsoghonatv 2 роки тому +7

    Rap noma much love from 254

  • @musicworldwide2625
    @musicworldwide2625 2 роки тому +4

    Mi wa kwanza

  • @lucasanthon5273
    @lucasanthon5273 Рік тому +1

    Dizasta vina noma sana rapcha bado sana kinda sana jamini

  • @zombiiUpdates
    @zombiiUpdates 2 роки тому +5

    Van sisakaa

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 2 роки тому +10

    “Typo" Means MISTAKES or ERROR.
    TYPO
    a mistake (such as a misspelled word) in typed or printed text. Also Typo can occur in your text even if you're expert (You'll discover Typo after printing text or typing something).
    UKINZANI ni Kupinga. Katika Game Ushindani unaruhusiwa ila UKINZANI/UPINZANI ndio hauruhusiwi.
    Ukiwa unamsikiliza DIZASTA anakuwaga anarumia Maneno Magumu kidogo kwahiyo unatakiwa upambane kuelewa.
    EDITED
    Anamuacha anasafa ni Uwanja mpana, kwani miaka 3 bado rapcha yupo palepale. Tulitegemea kwakuwa Yupo kwa Majani basi angeendelea kwenda Mbaliii Kimataifa zaidi Ikiwa Afrika, lakini cha ajabu bado anasikika Tz na Afrika Mashariki hususani Kenya. Kwahiyo ni kama bado anasafa tu.

  • @Flacinumz
    @Flacinumz Рік тому +2

    Typo is a mistake , huu dogo kichwa ni dictionary 12:41

  • @ceasarj6761
    @ceasarj6761 2 роки тому +9

    Typo ni typing error! Nadhan he meant to mean that Ile like ilikuwa ni typo yani typing error. It just happened without his knowledge.

  • @bablonbizy7267
    @bablonbizy7267 4 місяці тому

    Sina usemi kuhusu huyu jamaa anajua sanaaaaaaa huuu upandeee

  • @agreywilbert272
    @agreywilbert272 2 роки тому +2

    Jamaaa anajua saana

  • @Damiantuby
    @Damiantuby 2 роки тому +2

    Usisahau reaction za Confession of a Mad Philosopher 🔥🔥

  • @happyfoya546
    @happyfoya546 Рік тому +2

    Dizasta line is entire rapcha album

  • @elizeusupunda2050
    @elizeusupunda2050 2 роки тому +4

    Brother usisahau nyimbo ya dizaster NOBODY IS SAFE...

  • @karimchindema9823
    @karimchindema9823 2 роки тому +23

    Van,, huyu dizasta ni mtu mwingine bro! Ni Moja kati ya watu hatar sana,, umefanya Cha maana sana kucheki ngoma zake,,, hakuna siku inapita sjacheki ngoma zake,,,

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 Рік тому

      Alaf kuna jamaa mwingine anaitwa Songa sijui unamfahamu

  • @rajabuSaid-hj7fm
    @rajabuSaid-hj7fm 5 місяців тому

    Huyu jamaa ni 🔥 🔥🔥

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 2 роки тому +10

    Dizasta Vina never disappoint in Rap Game!🔥🙌✊

  • @musanjalua2967
    @musanjalua2967 2 роки тому +3

    Ukinzani == resistance
    Upinzani == Opposition

  • @realnine..
    @realnine.. Рік тому +2

    Nipeni subscription jaman.....na mimi nijifeel jamani

  • @totojinga2795
    @totojinga2795 Рік тому +1

    Dizasta amemchafua ...Rapcha vibaya na anasema hiyo sio distrac.😂😂

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 2 роки тому +2

    Rapcha yupo geto anaskiza hii ngoma tangu juzi haielewi

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 Рік тому +1

    Oooyaaa Rapcha kajibu kitu fireeeee

  • @anordlaurent8751
    @anordlaurent8751 2 роки тому +4

    Aiseee dizaster ni moto san rapture hamuwezi huyu mtu

  • @braceletdee254
    @braceletdee254 2 роки тому +2

    Van 🔥🔥🔥

  • @josephsamwel6511
    @josephsamwel6511 Рік тому

    Kweny hii ngoma Dizasta ni kam anajishusha kuomb amani kwasabab anafaham dogo hawezi battle
    Anywas dizasta yupo kwenye anga za Hyu asee

  • @reubenbaraka6869
    @reubenbaraka6869 2 роки тому +3

    Shukuru kakako nipo so the school is free🤣🤣🤣 uyu jamaa anafaa kufungwa jela

  • @realnine..
    @realnine.. Рік тому +4

    Napenda sana reactions hata kama nishasikia ngoma lazima nipete kwa #vanisikaka

  • @ekicrevomnyanyi862
    @ekicrevomnyanyi862 2 роки тому +2

    Vina🔥🔥🔥

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 Рік тому

    Ohoooooo oooooyaa weeeeeee

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 Рік тому +1

    Oooooooyaaaaaaa react basi mimi Nasubiri sana Rapcha ka reply

  • @sahidymassoudysahidy8776
    @sahidymassoudysahidy8776 2 роки тому +7

    Tamaduni akuna rap mbovu ww

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Рік тому

    One nikiwa Rais wa wasanii, Rapcha nitampa tuzo ya mtunzi bora, na rapper bora wa mda wote.

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz Рік тому

    oi oi ooi oi , we still need yuh bro...

  • @joshuakiptanui254
    @joshuakiptanui254 2 роки тому

    Vanis kaka react ngoma ya boutross Angela ni Kali sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lumierembilizi966
    @lumierembilizi966 2 роки тому +4

    Typo inamaanisha "typing error" ama kuandika kitu vibaya bila kujua.

  • @emanuellawrence7462
    @emanuellawrence7462 Рік тому +2

    Ilianza issue kwenye ngoma ya dizasta sikumbuki ipi ila ya mda ambapo alisema yeye ndo ka inspire the culture the man goes the shoulins the raptcha the nacha the killer ..... Tafta iyo ngoma

    • @givenmgaya8889
      @givenmgaya8889 Рік тому

      Ile ni NO BODY IS SAFE 4..Lakin aliitoa baada ya rapcha kudiss

    • @engmanyaki_charles9871
      @engmanyaki_charles9871 3 місяці тому

      CJAONA KOSA APO .. HMN ATA MMOJA ANAE MUWEZ D.VINA

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s Рік тому

    Dizasta is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @sulemohammed7820
    @sulemohammed7820 Рік тому

    jamaa anajua sana huyo rapcha hamuwezi hata kidogo

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 Рік тому

    Nimekuelewa broo

  • @timeomary2962
    @timeomary2962 Рік тому

    Mungu warapu uyo

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому

    @34:00 umezingua..... Unamuongelea Young Lunya ikiwa the dis inaenda kwa Rapcha

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  Рік тому +1

      Unatakanu uniwekee mipaka ya kuongea😂😂 take it easy ..isaa reaction mzeee.....chazo cha hayo yote kimetoka na post ya lunya , na diz ya lunya na kubrag ....hata dizasta ali like kwenye post ya lunya...so acha itikadi enjoy the challenge

  • @slimmychowder2820
    @slimmychowder2820 2 роки тому

    femi one ako na ngoma mpya kali 🔥🔥

  • @sahimm4767
    @sahimm4767 Рік тому

    Kukinzana ni kutoelewana kwa jambo, kuwa na maana tofauti na mwenzako.

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 2 роки тому +5

    Dizasta vina 💥💥💥

  • @DatBoyKujo8656
    @DatBoyKujo8656 2 роки тому

    You never miss 😂😂😂😂

  • @salumurehani4026
    @salumurehani4026 Рік тому +1

    Rapcha kayakanyaga mamaaaaqeee

  • @beckamohamed469
    @beckamohamed469 2 роки тому +4

    Dizasta mung warap

  • @kevinnyasaka872
    @kevinnyasaka872 2 роки тому +1

    Unafaa kufanya reaction ya nyimbo zote za Dizasta

  • @hotstories6195
    @hotstories6195 2 роки тому +11

    KILL SHOT YA EMMINEM
    IMEKUJQ KULIPWA LEO 😂😂 RAPCHA QTQJINYONGA NA HII SIO DISS NI WARNING ⚠️ SIPATI PICHA DISS ITAKUWAJE 😄

  • @ajitlolam5717
    @ajitlolam5717 2 роки тому

    TYPO a small mistake in a text made when it was typed or printed

  • @franktom667
    @franktom667 Рік тому

    Oya we jamaa unajua😅🙌

  • @rostaduccibilly9046
    @rostaduccibilly9046 2 роки тому +1

    Typo from the word type soo when he say ukiona tusi ujue ni typo amemaanisha ni typing (error)

  • @isaaclemaiyan1455
    @isaaclemaiyan1455 2 роки тому

    Yoh master do for Maandy and Mejja ni wetu

  • @MahuveJackson
    @MahuveJackson 2 роки тому

    unyama sana kwa huyu mwamba ni noumaaaaaaaaaa dadeq

  • @nahyambiduka8580
    @nahyambiduka8580 2 роки тому

    Wuuuuuuuuuu ni noma joh.....

  • @tamimumzamilu2726
    @tamimumzamilu2726 Рік тому

    Asee van hii reaction umeipatia maana umetugusa maniqqa dizasta ni mwanetu.... Tunaomba ufanye reaction ya gomba ake ya siku mbaya utakuwa umetisha braaa

  • @gmdmwai4642
    @gmdmwai4642 2 роки тому +1

    Fanya reaction nyimbo ya Maarifa ACHA NIPEPE

  • @paticotz2513
    @paticotz2513 2 роки тому +1

    Van umetisha sana lakini utatisha zaidi kama ukifanya ya dizasta vina ngoma inaitwa "hatia iv"

  • @edwardmwavita4766
    @edwardmwavita4766 2 роки тому +2

    Typo means typing error

  • @salumamiri
    @salumamiri Рік тому

    uyu jamaa taifa limuweke kwenye kumbukumbu wa tapa bora kuwah kutokea

  • @yusuphdotto6799
    @yusuphdotto6799 Рік тому

    Uyo mzee wa salam kansa wako mpendwa katka bwana ni👹zomb rapcha bado sna

  • @MRBAEBA-jc8vj
    @MRBAEBA-jc8vj 5 місяців тому

    Ni tishioo

  • @JeronimoSimon65
    @JeronimoSimon65 Рік тому

    Kuna bomu la nyukilia hukooooo

  • @kuki1476
    @kuki1476 2 роки тому

    From burundi tupatiye MADAMU reaction ya DRAMA T

  • @hassanmakweto6299
    @hassanmakweto6299 2 роки тому

    Huyu Dizasta ni mtu kutoka dunia nyingine afu huyu Rapcha bado sana akaendelee kujifunza

  • @imba7352
    @imba7352 8 місяців тому

    🎉🎉

  • @faustinewilliam4908
    @faustinewilliam4908 2 роки тому

    Nadhani Rapcha alipo Mpaka sasa Anatetemeka tuu 🤣🤣🤣🤣

  • @bablonbizy7267
    @bablonbizy7267 4 місяці тому

    Dizasta ni mnyama kimistari sio mtu wa kawaida mm nakubali kila song yake yaani

  • @zombiiUpdates
    @zombiiUpdates 2 роки тому +2

    Ukinzani ni mtizamo

  • @Ccmyetufahariyetu
    @Ccmyetufahariyetu 2 роки тому +1

    Typo .. means typing error

  • @realnine..
    @realnine.. Рік тому +1

    #Vanisikaka
    Rapcha ashajibu

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe Рік тому +1

    Typo = Typing Error

  • @hebeye
    @hebeye Рік тому

    Majani kashamkataa dogo kwamba anampotezea time kiufupi hamuuingizii pesa now yuko chini ya toka beat

  • @sadiquemajuto6435
    @sadiquemajuto6435 Рік тому

    Leta na response ya Rapcha nyu’ clear story

  • @erickotieno2187
    @erickotieno2187 2 роки тому

    Tuma kitu remix--- tricks tafadhali

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 2 роки тому +1

    Me nahisi hapo kwenye TYPO anamaanisha TYPE WRONG 🤔🤔🤔

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 4 місяці тому

    Bro reaction za ngoma za dizasta huziwezi unaitaji muda mrefu kutuliza akili kwanza vitu vingi hufumbui jitaid kuwa unafumbua mafumbo hayo sikukosoi nakushauli coz mi ni fans wako

    • @Vanisikaka
      @Vanisikaka  4 місяці тому

      Uwezo wangu umeishia hapo , lengo kuu nyimbo kuitambulisha kwa watu , watu watajitahidi kuielewa kwa uwezo wao......SIO MZURI KUTAFSIRI ni mzuri kwenye kureact, present, editing, filming and photograph as creator....

  • @erickotieno2187
    @erickotieno2187 2 роки тому

    Tuna ngojea ya femi one -pewa

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 Рік тому

    Mpka Apo Dizasta Won 🤝

  • @Damiantuby
    @Damiantuby 2 роки тому +2

    Godfather alikuwa na uwezo wa kumwambia asitoe hio ngoma sema kamuacha dogo aanguke
    "Kaza ndonga now una deal na ma-senior"
    Hapa ana maanisha Rapcha saiz anadeal na kina tale ambao kweny huu mziki ni ma-senior 😂

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 Рік тому

    Rapcha katoa kituuuuuuu

  • @mediatertanganyikaboy9919
    @mediatertanganyikaboy9919 2 роки тому

    Diza vina mnyama van react kanisa nayo

  • @bablonbizy7267
    @bablonbizy7267 4 місяці тому

    Typo ni kma uandishi flani ivi wa utani

  • @davidichaly7483
    @davidichaly7483 Рік тому

    Ukovzr kaka

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 2 роки тому +2

    #HUMO_HUMO Dizasta kaamua kuleta #Disaster

  • @imnald0967
    @imnald0967 Рік тому

    Van react tribulation

  • @yalala3557
    @yalala3557 2 роки тому

    React BOKOKO by Roga Roga😇😇😇😇😇😇