Kwnza kbsa interview Kali Sanaa ila kuna kelele kdgo wkt wa kufly in and out hyo logo.. 1. Mm n mfatiliaji Bora n mzur wa Interview za Tz hii n interview Bora kwngu nakiri hilo. 2. Host ana akili Mingu sana namna analeta swali next katka maongezi n Noma sana.. 3.Huyu host cmjui n hii media pia sina uelewa nayo Bt huyu host anafaa kuwa media kubwa sana n kuhost hip hop shows kwa media. 4.cjui if the host n age gani bt anatosha kbs kumrithiri Jabir Saleh anajua sanaa
Hawa vijana wanatakiwa katika kuijenga nchi yetu, ni chalii tu lakin ana mtazamo wa mbali sana, he actually think beyond the reality, huyu dogo ni mwanafalsa(philosopher) asilia kabisa, keep it up broo💯
Dizasta ni msanii Tanzania nzima mwenye deep knowledge ya mambo mengi na ufafanuzi wake uko on point..big up bro. People should listen ur lyrics to get valued info.. period
Inafurahisha kuona kuna Vijana wenye akili namna hii katika Sanaa ya Tanzania. What's so pathetic about it ni kwamba vijana kama huyu do not get enough Airtime ili waweze ku impact their society with Positive Thoughts na Inspiration. Where Do I get His Album (The Verteller, not certain with the name)... #DisastaVina is beyond genius..
Asante kwa kufuatilia.Ukiipenda please share na wengine waitazame📌
Kwnza kbsa interview Kali Sanaa ila kuna kelele kdgo wkt wa kufly in and out hyo logo..
1. Mm n mfatiliaji Bora n mzur wa Interview za Tz hii n interview Bora kwngu nakiri hilo.
2. Host ana akili Mingu sana namna analeta swali next katka maongezi n Noma sana..
3.Huyu host cmjui n hii media pia sina uelewa nayo Bt huyu host anafaa kuwa media kubwa sana n kuhost hip hop shows kwa media.
4.cjui if the host n age gani bt anatosha kbs kumrithiri Jabir Saleh anajua sanaa
binadamu ni hatari zaidi akiwa mtumwa wa uhuru wake kuliko akiwa mtumwa wa mtu
Hawa vijana wanatakiwa katika kuijenga nchi yetu, ni chalii tu lakin ana mtazamo wa mbali sana, he actually think beyond the reality, huyu dogo ni mwanafalsa(philosopher) asilia kabisa, keep it up broo💯
Naweza kusema Mimi ni shabiki Yako mkubwa kulioo Wote duniani💪💪
Madini Tu ✊🏿🖤
Aiseeeh hivi ndio interview inafaa kuwa buana jamaa anauliza maswali Yani unaona hvi ndio inafaa aiseeeh kwn hzi big media hazioni vtu km hzi
This is pure gem ...something special in him, tell the people to know
Vitoto vya buku 2,haviwezi kumuelewa huyu...vinampenda sana young kunya
Hizi ndo interviews acha na zile kelele za wendawazimu wengine, the interview is kind of educational based which is very good.
mkari zaidi yawakari apewi nafasi daah🥲🥲
Dizasta ni msanii Tanzania nzima mwenye deep knowledge ya mambo mengi na ufafanuzi wake uko on point..big up bro. People should listen ur lyrics to get valued info.. period
Inafurahisha kuona kuna Vijana wenye akili namna hii katika Sanaa ya Tanzania. What's so pathetic about it ni kwamba vijana kama huyu do not get enough Airtime ili waweze ku impact their society with Positive Thoughts na Inspiration. Where Do I get His Album (The Verteller, not certain with the name)... #DisastaVina is beyond genius..
A confession of mad man.. ni Ngoma yangu pendwa kutoka kwako
Sikiliza vizuri Kikioni,🎮over na Shahidi, Rudi nyumban🎯🎯🎯 apewe🧃🧃🧃
Jamii imeshiba sana ujinga that's the reason this Nicca is not famous
Uyu jamaa ni htr zaid , D vina the black maradona
Dizasta yuko competent sana.
Still 2024 make sense 🔥🔥🔥🙌🙌
Love him very much!! Anajuwa sana
Huyu jamaaaa n mbad sanaaa
Ngoma za hyu mwamba znahtaj akili kbwa San kuzielew, glow up kak💪💪💪💪💪
Umejua kumuhoji huyu jamaa wengi huwa wanashndwa hongeraaaa
Like i said ni lazima utulize kichwa yako kusikiliza hizi interviews
Really dizasta 🔥 like afanye collaboration na Mzee mbuz
Panorama 🎉🎉🎉
Dizasta ni genius mkubwa sana.
Living legend
Aisee mtafute Tena uyu jamaa afanye interview ya hatia sehem ya sita
Mwamba Yuko vizuri sana
🤝🤝🤝🤝🤝🔥🔥🔥🔥🔥
New living gene 🧬
Goat
🔥🔥
Genius
>>>Noma Sana Jamaa
hakuna mwanga wala mganga wa kuwanga hiki kichwa🔥🔥💥
Vyuo vikuu vimuite huyu bwana kwenye midahalo mbalimbali.
Mosta intellectuali dizasta vina🖤 still
Kaka gidion tuletee unju na albm yke mpya
Unimuelewa lazima uwe MTU mpya
Dizasta
Dizasta Akili kubwa,
vina
Wasomi wawili wakikutana
One sentence na analyze full chapter..badest man
Kichwa huyu jamaa
Huyu jamaa aandike kitabu mimi nitakuwa wakwanza kusikiliza
nomasana dizasit
No one like Dizasta vina in tz
hiyo back ground beat ni wimbo gani jamani
Duke touches
Hatia III
Mbona makele pembeni
Ngoma za hyu mwamba znahtaj akili kbwa San kuzielew, glow up kak💪💪💪💪💪
Dizasta