Me ni fan wa rapcha lakini kiukweli hii battle hawezani,dizasta ni mwamba kwa hiphop,nilikuwa namjua lakini after hii battle imefanya nimfuatilie serious,mob love from 254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kaka vani hii tribulation Yani ujaitendea hakii kabisa sjajua moja mizani ya dizasta imekuwa mikubwa kuliko uelewa wako au panch vina zimekufanya usiz kama unajihadithia mwenyewe daaaa apo umeboa
Dizasta ako vzuri zaidi ya Hip Hop artist wengi, sikuwai mjua ila sa ii niko na ngoma zake kama kumi kwa flash yangu, daily kwa laptop yangu lazima nimskize..
kuna kitu kigumu but chepesi achana na hawa,ila bongo have very greantes mc na tuelewe uwezo,asilimia100 dizasta uwezo wake haufanani na hawa mnaowafananisha nao,vani upo vizuri ila kuwa zaidi kwenye sanaaa,chambua mistari kama ilivyo weka uzito na mfundishe madogo na game inavyoelekezwa na kuaminishwa watu waamini,ila❤Good work tuwape mda wasanii wa hiphop jamii itajifunza zaidi ya ya hapo unajenga lako ila unapoteza wana kibao ,una nguvu kubwa itumie vizuri zaidi uokoe jamii
Van ..umeniangusha broo kwa hii part 2 axee au na ww umetishiwa kuchanwa na Dizasta au,boi mwambie cosmas,kwa ss 2liosoma kwa miaKa ya 2000 2najua maana ya cosmas ,kampoteza uyo yaani hajui hesab za cross multiplication,cjamalizia,school 2likuwa 2naita cosmas..
alisha sema chaguwa uchez au uweke mpila chin hakutaka sasa kamwonya tena atampoteza abaki stol kma kong 🔥hatumsikii tena😂😂😂😂😂😂Rapcha kaingia kichakan😂kakutan na sidii kubwa kachokoza nyuki halafu kakimbiliya ndan😂nyoko bahat yake wakusany na waliyo kuandikia wape salam kuwa mwamba huyo hapo
Bro dizasta nimusanii tofauti na malapa unao wajua hapa bongo Rapucha amuwezi dizasta kama lapucha anatafuta Kiki basi atakuja kuonekana kwa mashabi Kua ajui lapucha uwezo mudogo hataweza bato
Me ni fan wa rapcha lakini kiukweli hii battle hawezani,dizasta ni mwamba kwa hiphop,nilikuwa namjua lakini after hii battle imefanya nimfuatilie serious,mob love from 254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Uko sahihi Dizasta ni 🔥wa kuotea mbali
Dizasta mkali sana usipime yani 🔥 Rapcha mdogo sana kwa Dizasta badooo
Best reaction ever
Atamzaba makofi😂
Kaka vani hii tribulation Yani ujaitendea hakii kabisa sjajua moja mizani ya dizasta imekuwa mikubwa kuliko uelewa wako au panch vina zimekufanya usiz kama unajihadithia mwenyewe daaaa apo umeboa
#RestInPeace [RIP.]_Rapcha
Alishakufa kitambo saaaaaaana
Hatorudigatena kimusic wa râpé n'a Dizasta
Disaster on fireeeeee
Kibabu na binti vanyyy 🔥🔥🔥🔥
Van tupe more reaction nyingine za dizasta kama nobody is safe ya 3 na 4 kali kinoma 🔥🔥🔥
🎉🎉🎉legacy is better thing ... dizasta
Always dizasta vina ni best rapa wa bongo nzima kama yupo mzma alete battle watafel wote kuna mtu anaweza akatolewa albam kabisa
Dizasta ako vzuri zaidi ya Hip Hop artist wengi, sikuwai mjua ila sa ii niko na ngoma zake kama kumi kwa flash yangu, daily kwa laptop yangu lazima nimskize..
Kaka fanya reaction kibabu na binti ya dizasta uone matusi ya huyu mzee dizasta🙌🙌
Tusapoti watu wa kweli, DIZASTA VINA ni "kipaji halisi" TAKATAKA tu zitupe kule
Vanny boy Dizasta Vina kaachia '' kibabu na binti'' tazama ushairi wa huyu genius hphp ni motooooo
Ya kitambo tu🤣🤣🤗🤗🤗
Hiyo ya kitambo sana aiseee sema video mpya
Hii ngoma ni album mzima ya Rapcha
kuna kitu kigumu but chepesi achana na hawa,ila bongo have very greantes mc na tuelewe uwezo,asilimia100 dizasta uwezo wake haufanani na hawa mnaowafananisha nao,vani upo vizuri ila kuwa zaidi kwenye sanaaa,chambua mistari kama ilivyo weka uzito na mfundishe madogo na game inavyoelekezwa na kuaminishwa watu waamini,ila❤Good work tuwape mda wasanii wa hiphop jamii itajifunza zaidi ya ya hapo unajenga lako ila unapoteza wana kibao ,una nguvu kubwa itumie vizuri zaidi uokoe jamii
Shwaaa!
Dizasta usipompenda basi ujue unamatatizo ya akili
Van ..umeniangusha broo kwa hii part 2 axee au na ww umetishiwa kuchanwa na Dizasta au,boi mwambie cosmas,kwa ss 2liosoma kwa miaKa ya 2000 2najua maana ya cosmas ,kampoteza uyo yaani hajui hesab za cross multiplication,cjamalizia,school 2likuwa 2naita cosmas..
Kaka mm sikuelewi ujue
Naona unaongeaongea tu huelewek
Mengi yanakupita
Ni woow, woow, woow
Au naww humuelew Dizasta kama mm
Inahitajika KAMUSI
React Dizasta- kibabu na binti
Shwaaaaaaaaaaa tribulation
Uyooo ndo vina mkali anajua mpaka kelo
Hahahaha yuko pekeake yuko juu sanaaa kwamaana yy ni tai huyo kunguru hawezi kumbato dizasta vina
Izooo izooo✌✌✌✌
Fireeee
Ningekua rapcha ningeacha kabisa hata kuchana ningeimba maana kuna wanaochana ndo hawa APA sio powaaaaaa
🔥🔥🔥
raptcha hawezi kurudi tena
Disasta atengwe hapa bongo jana wa kubattle nae
#HUMO_HUMO
Jamaa🔥
alisha sema chaguwa uchez au uweke mpila chin hakutaka sasa kamwonya tena atampoteza abaki stol kma kong 🔥hatumsikii tena😂😂😂😂😂😂Rapcha kaingia kichakan😂kakutan na sidii kubwa kachokoza nyuki halafu kakimbiliya ndan😂nyoko bahat yake wakusany na waliyo kuandikia wape salam kuwa mwamba huyo hapo
Van isihaka vina katisha
Dizstar ni 🔥🔥
Dizasta kauwa m'mbu kwa kutumia shoka mzee.
Tushamuwa Rapcha akirudi tena twamzika
Sasa uyo Rapch anatoa nguvu za kumdis genius
Please react kwenye nyimbo ya dizasta na vina mpya kibabu na binti ni 🔥🔥🔥🔥
Ya kitambo tu
Dizasta kwetu ni staa kuliko hao mnaowapa airtime kila Leo
Rapcha inua mapanga juu omba amani tu hili jamaa litakuua bure
Dogo katrend baada ya star ngwea kufa
Umepitwa na lines mingi sana broh,next time try to analyse and understand the lines proper,anyway mob love from kenya kanairo
Mtoto ameyakanyaga asee mpka namuonea uhuruma yani apo dizasta bado kabisa uwezo wake hata nusu kwenye kuandika
Dizasta is Disaster which has caused tribulations in the jurisdiction of 99
Bro dizasta nimusanii tofauti na malapa unao wajua hapa bongo Rapucha amuwezi dizasta kama lapucha anatafuta Kiki basi atakuja kuonekana kwa mashabi Kua ajui lapucha uwezo mudogo hataweza bato
B-face burundi ft chef187 zambia please
Mwepesi kam table ya pili au bao lakwanza dizasta mtu mbaya saba
Hii ndo hiphop
bro nayikubali kaziyaku nikiwa nahasira unanifanya nacheke +243🇨🇩🇨🇩🇨🇩
kaka hili limeisha na matokeo ni 10 - 2 utachagua ww nani kashinda hahahaahaaa
Hip hop waambie machizi ukweli
Usinipime kwa tuzo niko certified kwetu/mtaan niko verified so I'm very fine thank you
Nimeshukuru credit za #sns ulizozitoa tangu part1,
Nilianzia huko so one love to the act
Kimakeke maana yake ajizamishe dole kistyle apendazo bro..
Kk tu ambiya ile maneno y’a anglais mu kishwahiliiii
Broo huyo ndo nusu mtu nusu rap-machine ni kumbe wa mwisho wa toleo la aina yake.
Bro Kuna nyimbo mbili za Femi one huja fanya reaction .... Heshima. Na pewa
Fireeee