MCHUNGAJI HANANJA AWAJIA JUU WAUMINI WANAOTAPELIWA NA WACHUNGAJI NA MANABII KAMA MACKENZIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 201

  • @davcodavid8651
    @davcodavid8651 Рік тому +8

    Mungu akubariki Mchungaji Hananja

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +13

    Napendaga mafundicho yako baba 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @reonardchatanda6371
    @reonardchatanda6371 Рік тому

    Hananja uko vizur sana Mtumishi wa Mungu. Mwenyezi Mungu akuongezee nguvu na ujasiri wakuongea ukweli kwa wakristo wanaoudhalilisha ukristo duniani

  • @sultanalnaamani2156
    @sultanalnaamani2156 Рік тому +4

    Wewe nakukubali msema kweli Mungu akulinde akupe afya njema na umri mrefu

  • @YudaMaongezi-kx2on
    @YudaMaongezi-kx2on Рік тому +18

    Sikuizi wanawake Wanawaheshimu zaidi wachungaji kuliko Waume zao!! . Namkubali sana Uyu mzee

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Рік тому +3

      Wengi wamevunja ndoa zao ,na mali zimechukuliwa zote na hao wachungaji fake 😂😂

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 Рік тому +4

      Wengine wanawapikia kabisaaa mwisho wa siku wanaliwa🤣🤣🤣🤣

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Рік тому

      Wanawake wanakuwa wanaenda kufutiwa zambi huko kanisani

  • @thomasmwachambi1024
    @thomasmwachambi1024 Рік тому

    Hongera mchungaji Hananja kwa kueleza UKWELI kuhusu watumishi waliojaa wakiniita Manabii na Watume kwa ajili ya masilahi Yao. UKWELI unauma ila waupokee.

  • @rizikivincent5255
    @rizikivincent5255 Рік тому

    Mzee wetu Mwenyezi Mungu akuzidishie mibaraka kwa mafundisho yako mazuri wengine wanapindua mwaandiko na mafundisho ukristo umebaki kama historia na si kielelezo kwa waliosimama kupindua ukristo na utu na ukuu wa wakristo ukristo umekuwa wa bandia

  • @felixthuranira7995
    @felixthuranira7995 Рік тому +8

    Nakupenda bure mchungaji wa mungu

  • @CosterAugust
    @CosterAugust 11 місяців тому

    Eee mungu lisaidie kanisa lako na watu wako ubarikiwe sana pastor

  • @Nurjan847
    @Nurjan847 10 місяців тому

    Nakupenda sana baba mchungaji mungu akuweke sana 🙏🙏

  • @OscarDzombo
    @OscarDzombo 11 місяців тому

    Mungu akubariki mchungaji ,mafundisho yako yatia moyo yaan ukweli mtupu

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Рік тому +4

    Inaelekea kweli ya Mungu inaanza kufunguliwa,
    Mchungaji Mungu aendelee kukupa Hekima.

  • @evamkala9952
    @evamkala9952 9 місяців тому +1

    Wisdom at it best....wish all preachers could reason like you....God bless you man of God

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 Рік тому +2

    Hallelujah 🔥 Moto mtu wanguvu 👏👏💪.

  • @Hassanimatimbwa-s8o
    @Hassanimatimbwa-s8o Рік тому

    Mungu akupe maisha marefu
    Real pastor

  • @UfunuoJapheth
    @UfunuoJapheth 4 місяці тому

    Pastor Hananja Mungu akubariki sana

  • @EmanuelBenard-w6y
    @EmanuelBenard-w6y Рік тому

    Asante Sana Mtumishi Hananja barikiwa Baba

  • @SikituMkamba
    @SikituMkamba Рік тому +1

    Safi sana mchungaji uko vzr

  • @ZitolucianoLuciano
    @ZitolucianoLuciano 10 місяців тому

    Nakufuatilia vizuri sana, tufundishe na MUNGU akubariki sana.

  • @morrismkuba5755
    @morrismkuba5755 Рік тому

    Roho pelekea Mungu sisi tunaona mapaja yako tufunikie mjinga wewe, umenimaliza babaa, mi kutoka 🇰🇪🇰🇪 twakupenda bure 🙏💪👍

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 Рік тому +1

    Hongela sana mzeee mw MUNGU akubariki sana mzeee wangu.

    • @IginasSwai
      @IginasSwai Рік тому

      Saf mzee Wetu ananja kweli

  • @innocentprosper6384
    @innocentprosper6384 5 місяців тому

    Ubarikiwe mzee .... barikiwa sana

  • @sogoramwinshekhe1464
    @sogoramwinshekhe1464 Рік тому +2

    Hongera sanaa nimekuelewa sana

  • @neema8110
    @neema8110 Рік тому +2

    Wow safy sana 😂utoto utumwa ujana maswali uzee ugonjwa🤝🤝☺️🙌🏿

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 Рік тому

    Mimi ni Muislam ,lkn nakupenda saaaana ,wewe nimtu unaakili ,nasema Masha Allah , unasema ya Akili sana ❤❤❤

  • @rahma6189
    @rahma6189 Рік тому +3

    Safi sana baba nakukubali

  • @godfreymuhavi4861
    @godfreymuhavi4861 Рік тому +2

    Napenda mafundisho Yako,nikiwa Nairobi Kenya

  • @EDWINMUTAYOBA-je2bu
    @EDWINMUTAYOBA-je2bu Рік тому +1

    Napenda Sana kukusikiliza mchungaji unatuponya Kwa mafundisho Yako baba tunakuelewa

  • @KantonaErick
    @KantonaErick Рік тому

    Hongera sana mchungaji ukweli mtupu

  • @saiditwalibu5244
    @saiditwalibu5244 Рік тому +1

    Haloo!!! We Mzee uko vizuri,

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому

    HAHAHA Mzee naendelea kukubali wanamuamini mchunhaji kuliko M/MUNGU hongera sana

  • @SiliverySixbeth
    @SiliverySixbeth Рік тому +3

    Maisha marefu mtumishi🤲🤲

  • @GodlistenAlen
    @GodlistenAlen 6 місяців тому +1

    I like the way he speaks his mindi.

  • @nicolausmollel6212
    @nicolausmollel6212 Рік тому +1

    Nakubali sanaaa mafundisho yako barikiwa sanaaaa

  • @genevievesunday
    @genevievesunday Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi kazi yako ni njema

  • @jumaomari3842
    @jumaomari3842 Рік тому +1

    Wajua.ananja.yuko.vizuri.sana.naakushukuru.kwa.kuwaelewesha.watu.wa.mungu.duualimanjunu.fununu

  • @PantaleoKimath-l2n
    @PantaleoKimath-l2n Місяць тому

    Umesema ukweli umenifungua Asante baba

  • @HezbonBakiliye-cx6cj
    @HezbonBakiliye-cx6cj Рік тому

    ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @JosephRuhusa-xt7wt
    @JosephRuhusa-xt7wt 5 місяців тому

    I like, you.God bless you

  • @Hassanimatimbwa-s8o
    @Hassanimatimbwa-s8o Рік тому

    😂😅😅Nimecheka hapo njion ya leo
    Nakutemea maik 😂😂😂🤣🤣🤣 Nakukibali sana

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 Рік тому +3

    Ubarikiwe kwa kuwafungua watu macho japo waliofungwa hawatakuelewa

  • @EmanuelBenard-w6y
    @EmanuelBenard-w6y Рік тому

    Asante Sana mtumishi wa Mungu, Mungu akupe maisha marefu ya kuishi hapa Duniani.

  • @AlexMtenga
    @AlexMtenga Рік тому +3

    Hananja mungu akubariki sana

  • @Georgemorisiamani-oy3hf
    @Georgemorisiamani-oy3hf Рік тому +1

    Ubalikiwe sana baba

  • @FrenkLemigius
    @FrenkLemigius 9 місяців тому

    Ubarikiwe sana baba

  • @johnmpemba3057
    @johnmpemba3057 Рік тому +2

    Hananja a real pastor❤

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +9

    NI kweli kabisa Hananja, unaongea Ukweli mtupu

    • @annambogela5442
      @annambogela5442 4 місяці тому

      @@gracekagoma3231 Hongera pastor MUNGU akubariki tunafaidika na kujifinza mengi ya kutujenga tupone

  • @petermguluchuma
    @petermguluchuma Рік тому +4

    😂 jioni ya reooooo😂😂😂

  • @neema8110
    @neema8110 Рік тому +6

    Eti jioni ya leo😂😂😂😂😂😂😂

  • @KassimJabu
    @KassimJabu 2 місяці тому

    Hapo sawa hananja

  • @monicambuya-sq9ms
    @monicambuya-sq9ms Рік тому +5

    Kweli kabisa mchungaji tunaangamia kwa kukosa maarifa

  • @MariaMpongwe
    @MariaMpongwe 4 місяці тому

    Barikiws sana baba

  • @judynekesa8682
    @judynekesa8682 Рік тому +1

    Mbavuu zangu jamani TZ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 this round akuna kumpumua

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому

    Isaya 56
    10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia
    hawana maarifa; wote ni mbwa walio
    bubu, hawawezi kulia; huota ndoto
    hulala, hupenda usingizi,
    11 Naam, mbwa hao wana choyo
    sana, hawashibi kamwe; na hao ni
    wachungaji wasioweza kufahamu
    neno; wote pia wamegeuka upande
    wazifuate njia zao wenyewe, kila
    mmoja kwa faida yake, toka pande
    zote.
    12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na
    tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa
    kama leo, Sikukuu kupita kiasi

  • @ahmedymasimba1096
    @ahmedymasimba1096 Рік тому

    Mzee uko vizuri sana huna mbamba

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Рік тому +2

    Jioni yaleo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JoaquimEduardo-j5x
    @JoaquimEduardo-j5x Рік тому

    Nakukubali mchungaji..!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +20

    Siku zote nitaenda kusali Roman Catholic, Lutheran na Anglican.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Рік тому +2

      Uko sawa
      Mimi Anglican hadi mwisho

    • @ninahmbonea6248
      @ninahmbonea6248 Рік тому +3

      Kwani hayo madhehebu mnayo yataja Roman, Lutheran, Anglican yametajwa katika biblia gani? na Yesu alisemaje kuhusu kuabudu? Zehebu siyo ndiyo suluhisho suluhisho ni kulijua neno, someni Yohana 4;23 na Mathayo 18;20.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 Рік тому +2

      @@ninahmbonea6248 hayo ni maoni yake na uchaguzi wa mtu binafsi

    • @archadbaltazar5358
      @archadbaltazar5358 Рік тому

      😂

    • @yohanamorisi1802
      @yohanamorisi1802 Рік тому

      @@ninahmbonea6248 Mungu akubariki

  • @davidmghanga8502
    @davidmghanga8502 Рік тому +1

    Nakubali

  • @isayatippe6409
    @isayatippe6409 Рік тому +1

    Mtumishi Hananja, kwa asilimia kubwa nakukubali kabisa, lazima kufuata UTARATIBU unaotakiwa!!!

  • @AdenshaluMwameri-nl2dm
    @AdenshaluMwameri-nl2dm Рік тому +2

    Yani kukija asubuhi jamani mm ndio baba leoo, mm ni muislamu ila namkubali huyu pastor.

  • @GidionYusuph
    @GidionYusuph Рік тому

    Mchugaji uko vizuri

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Рік тому +5

    Hakika kichaka cha matapeli ni ndani ya madhehebu yanayojiita makania ya maombezi.

    • @kadrikimaro1889
      @kadrikimaro1889 Рік тому

      Mzee wewe ndo ulitakiwa uwe kiongozi mkuu wa makanisa yote

  • @hanifaoman2972
    @hanifaoman2972 Рік тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂ukweli

  • @ApolinaryFrancis-w8d
    @ApolinaryFrancis-w8d 3 місяці тому

    Mtumishi uko sawa wamama wanateswa na wachungaji wanatamanishwa utajiri kupitia maji,mafuta,n.k serikari ilione hilo ndoa zinavunjika

  • @expeditenow3664
    @expeditenow3664 5 місяців тому

    Very good

  • @christsndushondi51
    @christsndushondi51 Рік тому +1

    Baba nakupenda bure

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    Unasema sawa Lakini Unaposema Wanaowaua hawana Makosa? Ni hivi Walioua Ni Wahalifu Pia

  • @khadijaali9861
    @khadijaali9861 Рік тому +1

    Yaani wafurahisha mchungaji wasema ukweli

  • @JAPHETMWATUJOBE-nj4hc
    @JAPHETMWATUJOBE-nj4hc Рік тому

    Sure yupo sahihii

  • @jwakoofficial1560
    @jwakoofficial1560 Рік тому

    Nakubari sana

  • @raphaelkomba364
    @raphaelkomba364 10 місяців тому

    Mmmh ukweli mtupu

  • @suzanalucasemanuel7006
    @suzanalucasemanuel7006 Рік тому +2

    😂😂😂😂 amen mchungaji

  • @kastoriooko7157
    @kastoriooko7157 Рік тому

    Malango ya kuzimu ni : madhehebu, pesa , umaarufu na wanawake . Nikisema wanawake ni wote isipokuwa binti za Mungu.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Рік тому +4

    Katika wachingaji wenye ukweli huyu Yuko vizuri sana

  • @Estherm309
    @Estherm309 Рік тому

    😂😂😂😂 makenzi wooooi wakristo wameaibishwa kabisa jamani YESU KRISTO pekeyake atagulie Kwa MAISHA yetu 🤔🙏🙌🙌

  • @geofreyg.mtensa4559
    @geofreyg.mtensa4559 Рік тому +4

    Jmn naomba MAMA SAMIA SULUHU HASSAN...kuanzia leo piga marufuku kwa mtu yyte kujiita Nabii au Mtume, yaani awa wasenge wanaudhalilisha ukristo sana, ...

    • @monicambuya-sq9ms
      @monicambuya-sq9ms Рік тому +1

      Tatizo uhuru wa kuabudu

    • @geofreyg.mtensa4559
      @geofreyg.mtensa4559 Рік тому +1

      @@monicambuya-sq9ms daaah...!! inaniumiza sana yan,

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 Рік тому

      ​@@monicambuya-sq9msHilo la uhuru wa kuabudu waliliweka wenye akili kwavile Mungu mwenyewe amewapa watu kuchagua watakaemtumikia wewe ni nani umzuie mtu kutumikia anachokiamini je siku utawala wa inchi ukiwa na rais mwanga na akawa na nguvu kama Nebkadreza alasimamisha sanamu lake ninani atapimpinga

  • @janethstephen7869
    @janethstephen7869 Рік тому +1

    Kweli kabisa waaibisha ukristo jmn

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Рік тому

    Nikweli kabisaaa

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh Рік тому

    Amiin🤲🤲🤲‬‏

  • @happsamwita7381
    @happsamwita7381 Рік тому +1

    Amina Baba umefoka sana....waamini tue na akili

  • @MaryTango-e1o
    @MaryTango-e1o 8 місяців тому

    Mchungaji nakupongeza ni kweli wanawake wanasahau familia zao wanashinda kanisani masaa 24 kuwa wameokoka warudi kwenye mstari Sala zina mipaka

  • @alexmgusi2534
    @alexmgusi2534 Рік тому +2

    Saut ya kufokaa😂😂

  • @amosziro7054
    @amosziro7054 Рік тому

    Hapo hananja

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Рік тому

    Waliokufa Ni Wapumbavu, Waliowapeleka Waumini Kwenye Mauti Ni Wahalifu na Machinja Chinja Utasemaje Hawana Makosa?

  • @MecksanChale
    @MecksanChale 21 день тому

    JIONI YA LEOOOOO.... BHWAAAANAAAAAA ANATEMEA MATE MAIKI🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 Рік тому +2

    Hahahahah mungu aitwe Mungu

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому

    Kweli mchungaji kwa kwaeleza ukweli na ungeniambia pia ukristo sio dini

  • @Washington465
    @Washington465 11 місяців тому

    Nakupenda mushunganji lakini sikukujuwi

  • @andrew29468
    @andrew29468 Рік тому +1

    Tuna watu wa ajabu sanaa Africa. HAPO KWENYE AKILI

  • @jacobshao1260
    @jacobshao1260 6 місяців тому

    Je unajua kukaanga kibua😂😂😂

  • @elishaskazoza8268
    @elishaskazoza8268 Рік тому

    Mzee unatakiwa uwe mwenyekiti cptc Tanzania

  • @MaryTango-e1o
    @MaryTango-e1o 8 місяців тому

    Wape ukweli wabadike mchunaji umetufungua

  • @salomepastory-kn1kh
    @salomepastory-kn1kh Рік тому

    Jioni reooooo 😂😂😂😂😂😂

  • @jofreysikomele7056
    @jofreysikomele7056 11 місяців тому

    mimi nakuelewa sana las wewe ni Las pece las

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 Рік тому

    😂😂😂😂😂 nimecheka hadi machozi yanatoka

  • @VicentEdward-z4e
    @VicentEdward-z4e Рік тому

    Kweli akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndg...hawa ndo kina ayubu mtu mwenye akili kubwa hata dunia ikipita wakati gan atasimama katika nafas yake....nawaza dunia yaleo mtu akipitia aliyo pitia ayubu ataenda kwamitume wote mpaka atakapo enda kufia.

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 Рік тому +1

    Hananja we ni shida umeongea mambo mengi na yote yako sawa kabisa.

  • @LilianMushi-ho8qf
    @LilianMushi-ho8qf 4 місяці тому

    Baba Mchungaji mauwa yako

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому

    mchungaji hananja mumini akitaka gari anaombewaa mchungaji akitaka gari anaombewaa Kunananini??