MCH. HANANJA ATOA SOMO KUHUSU SABATO YA JUMAMOSI AUNGANA NA USTADHI DANIEL KUMPA SOMO MCH. NDACHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • MAMBO YA SABATO NA JUDAISM HAPA MCHUNGAJI RICHARD HANANJA AMETUELEZA KWA KIREFU UMUHIMU WA SABATO NA JINSI ILIVYO NGUMU AFRICA KUWA MSABATO

КОМЕНТАРІ • 471

  • @ShijaPeter-fj6gk
    @ShijaPeter-fj6gk 4 дні тому +2

    Huyu mzee ukimsikiliza kwa making sanaaaa anaujua ukwel kabisa na sabato anaijua lakin anayajibu maswal kijanja sana kama mnaelewa ameulizwa kuhus Constantine ame lukaluka maana ndie ibadil sheria ya mungu na amri ya nne hajibu inavyo takiwa

  • @serongawangwejr4916
    @serongawangwejr4916 3 дні тому +2

    Mchungaji Hananja anajibu kijanja janja. Harejei maandiko!!!

  • @davidndyamukama3148
    @davidndyamukama3148 10 днів тому +5

    Yesu alienda hekaluni na kwenye masinagogi kwa ajili ya kufuata watu ili awafundishe. Hakuna sehemu Yesu alifundisha kushika sabato.

    • @zakayomwalongo9330
      @zakayomwalongo9330 9 днів тому +1

      soma vizur biblia yako ndugu yangu Yesu alizitunza sabato

    • @WAVELENGTH-tp1tm
      @WAVELENGTH-tp1tm 2 дні тому

      Vivyo hivyo hakutufunza tufanye usagaji, je kwa nini tuukemee ikiwa Yesu hakunena lolote kuhusu ushoga?

  • @rachelvictor1044
    @rachelvictor1044 3 дні тому +1

    Hio siku ya ushindi ingekuwa muhimu kuitukuza na kuishangilia basi na mitume wote wangetiana moyo kama unavyosema na kusali siku hio. Mungu akusaidie uione nuru ya kweli maana hata kwa akili ya kibinadamu tu sidhani kama mwanadamu anaruhusiwa kubadili siku ya ibada. Maana hakuna alie kama Mungu.

  • @fredlyimo1263
    @fredlyimo1263 14 днів тому +1

    Tunawahitaji sana wazee km hawa Mungu atujaalie neema hyo ishi sana na hekima nyingi mzee ananja.

  • @LilianMbangwa
    @LilianMbangwa 2 дні тому

    Ubarikiwe Baba Mchungaji umejibu yote vema uishi sanaa

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa5122 7 днів тому +2

    Ni ngumu sana kutetea uongo,
    Mungu anataka utii kwa hiyo tunfuata Mungu au maagizo ya binadamu

  • @sabatomafwele1495
    @sabatomafwele1495 18 днів тому +4

    Yes mwenyewe alipumzika siku ya Sabato, mitume hata baada ya ufufuo waliendelea kutunza Sabato wewe Nani alikuruhusu kubadili. Mathayo 5:17 Yesu alisema alitabadilishwa

    • @sospeterlaurent4428
      @sospeterlaurent4428 16 днів тому

      Hujaelewa wapi mbona kasema ushahidi wa maandiko

    • @charlesmpambwe5055
      @charlesmpambwe5055 9 днів тому

      Yesu aliuawa na washika Sabato... Sabato aliikuta na alienda kuwafuata huko ili kuwafundisha kweli na hakupumzika siku hiyo alufanyakazi kama kawaida ndio maana akaoneka siyo mtu wa Mungu kwa sababu hakuishika sabato...wakamuua...

    • @charlesmpambwe5055
      @charlesmpambwe5055 9 днів тому

      Soma Mathayo 12:1-2,5,10-12,21. Marko 1:21; 2:23,24; 3:2.... Injili zote ukizisoma kwa mtizamo wa kutaka kujifunza kwa msaada wa Roho Mtakatifu utaelewa... Pumzika siku yoyote utakatifu tu Katika Kristo Yesu ndo utakaokuokoa usiende katika ziwa la moto...

  • @timothykiptoo8166
    @timothykiptoo8166 5 днів тому

    Boiling pot of wisdom.listening from Kenya.

  • @isacklyanga5835
    @isacklyanga5835 10 днів тому +2

    Nzee huyu hajui Biblia,dhambi ni uasi wa sheria ya Mungu

  • @memorataedson7895
    @memorataedson7895 19 днів тому +2

    pastor asante kwa hekima ya kuelezea mambo magumu kwa namna inayoeleweka zaidi

  • @AbdallahMpwatile
    @AbdallahMpwatile 16 днів тому +2

    Nakuelewa sana mzee rich billionaire

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 20 днів тому +6

    Ukweli anasema bwana wetu YESU NDIYE BWANA wa sabato

  • @BoazJacob-y1t
    @BoazJacob-y1t 8 днів тому +1

    Kwenye maana kuhusu sabato, maelezo hayo umechemka pastor Mungu akusaidie uelewe tuu

  • @KOLASCLASSICDESIGNS
    @KOLASCLASSICDESIGNS 19 днів тому +6

    JAMANI AMRI ZIPO 10 WATU WAMEKAMATA SABATO TU KUJIFARIJI ILA WANAZINI WAO, WANATAMANI WAKE ZA WATU WAO ILA SABATO AAAAAAH

    • @user-wg6pg9bg8v
      @user-wg6pg9bg8v 18 днів тому +2

      Asa Kama Kuna mtu kazini japo anatunza sabato ndo wengine tuache amri ya Mungu kisa wanaoshika wanazini?

    • @zakayomwalongo9330
      @zakayomwalongo9330 9 днів тому +1

      angalia neno la Mungu linasemaje.
      pia usiangalie waumini wa kisabato angalia kanisa kama mfumo linasisitiza kuazishika amri zote

    • @danielmarwa5122
      @danielmarwa5122 7 днів тому +1

      Kwa hiyo wanaosali jumamosi wanafundisha kuvunja zingine

    • @MnadaMayonga
      @MnadaMayonga 2 дні тому

      Jamani kwa yeyote aende kwenye biblia kusoma ili kujua kinachosemwa kwenye biblia imekaa vipi. Ushahidi wa kujua ukweli ni biblia tu!

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 16 днів тому +3

    UBARIKIWE HANANJA,KWA ELIMU YA JUU,VICHWA MBOVU HAWEZI KUELEWA. Marko2:28.

    • @PASKALILUANDA
      @PASKALILUANDA 15 годин тому

      Habarii usipokee tuu , hii ifanyee Ni changamoto kwakoo, Nenda kafatilie kwa Kina Kila unachokisikia hizi Ni Nyakati za hatarii usuchukulie normal haya Mambo ukalidhika , sabato haikubadilika ipo pale pale , maana Kama imebadilika Basi Mungu Ni Mwongo, maana yeyee Ndiye aliyesema
      1/ Mimi so kigeugeu (Malaki3;6)
      2/ Sikuja kutangua (math 5:17)
      3/ Kristo Ni Yeye yule Jana ,leo, na hata Milele.
      4/Yeye si mtu aseme Uongo (Hes23;19).
      5/ Imani yetu kwake haivunji Sheria yake(Rumi3;31).
      6/ Sabato Ni ishara Kati ya Mungu na Mwanadamu.(Yer 20;12 ,20, pia (isay58;13)
      7/ Sabato limetokana na Neno Saba , sabato Ni siku ya Saba , inamaanisha Pumziko la siku ya Saba , Ni siku iliyobarikiwa na bwana, Kisha Akaamuru Watu wote wanaojiita Israeli ya Kirohoo kuitunza na Wengine wote wanaoitwa Wanadamu wanaojua wameumbwa na Mungu, pia aliitakasa yaani aliiweka wakfu kwaajiri ya Ibada na sio vinginevyo, ushadidi wa hili si Maneno Matupu Bali Mungu mwenyewe anasema haya yotee( Mwz2;2-3, pia kut20;8, isay 58:13).
      Sabato ikiwa Ni siku Yoyote Ni Uongo Maana kwa mfano sio rahisi kujitengea siku yako Yoyote na kuiita Jumapili watu watakushangaa, Na hiviNdivyo ilivyo hatuwezi kuhiita siku ya Saba Ni siku Yoyote ile Mbingu zinatushangaa Sana jinsi tunavyochanganywa na Mwovu kwenye haya Mambo.
      Mimi ukinambia nikushaurii, ntamwambia hili tu " wew Ni Mwanadamu na Mimi pia Kama wewe, Sina nnachoweza peke angu Wala wew peke Ako , Ila tu Tuombee , na kujinyenyekeza Mungu Atufundishe kutambua hila za huyu Shetani , BILA kurudi Magotini kwake kwa Unyenyekevu hatuwezi kufanikiwa Mimi Wala wewe Rafiki yangu,, Haya Ni Madogo Aliyopanga kuyafanya Shetani, Makubwa yanakuja ,yesu alishatuonya kwa ajili ya sikuzetu hizi, UKIPATA MDA ndugu soma math24 Yote, kwa tafakari na MAOMBI Mengi , Utagundua Uongo Mkubwa anaoutaka Shetani Ni kutudanganya Imani zetu ziende kando, Mungu ATUSAIDIE mpendwa, very pain nikifikilia anachokifanya Shetani, NI MUNGU TU, BILA YEYE MTIHANI NI MGUMU SANA .

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk 22 дні тому +23

    Naomba muweke mdahalo na mwalimu Ndacha sio unajificha kwa kichaka

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 21 день тому +5

      Huyo ndacha mwenyewe chizi Yani wakristo wote wamechanganyikiwa waisilamu wanaabudu kilasiku acheni kudanyanyana mbona mnaipenda uwongo sana kwani hamtuoni tukianda msikitini kilasiku yanikilakitu kweni niubishitu kitu mnakiona pia lakini bado tumtabusha yesu anasema yeye nimwana wa a damu nyinyi mnasema hapana wewe nimwana wa mungu kazi mnayo

    • @user-mw3oq4vz6k
      @user-mw3oq4vz6k 21 день тому +3

      Ndacha ndio unae mwamin sana kwamba yeye ndio anajua kula k2 acha izo ww

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 21 день тому +4

      Ndasha chiZi

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 21 день тому +1

      Ndacha anaijua kuran kwa msaada wa majini wema.

    • @user-wi8og3sv4j
      @user-wi8og3sv4j 20 днів тому

      @@zaidiissa3714 kasome vizuri bibilia

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 21 день тому +3

    Ubarkiwe mchungaji sana Mungu anasikia kila siku ya mungu

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc 8 днів тому

    Yes! Akili za mwanadamu haziwezi kuchunguza Mungu!

  • @ivanbusumbiro6429
    @ivanbusumbiro6429 15 днів тому +2

    Mchungaji unasema tunatakiwa tujue jambo moja tu,la kutubu dhambi . kwani dhambi ni nini? Najua dhambi ni uasi wa sheria 10 za Mungu kwenye sheria hizo IPO na sabato .kwanini useme kuiba ni dhambi.

  • @WAVELENGTH-tp1tm
    @WAVELENGTH-tp1tm 2 дні тому

    PAPA Kasha wapa waumini wake haki ya kuabudu hata ikiwa ni mashoga, ALAFU utasikia kauli zile zile za kidunia kwamba siku ya kupumzika haijalishi ni jumamosi ama jumapili. KWA hivyo ata mimi nafikiria wakatoleki waendelee na mambo yao ya ushoga huku wakimaanisha kwamba dhambi zote ni sawa.

  • @AlfaMwahasanga-j1q
    @AlfaMwahasanga-j1q 17 днів тому +2

    Lakini wengi wa watumishi leo wanashughuka na kuwatia moyo watu hata kama wanaendelea na dhambi

  • @mkoyitz2448
    @mkoyitz2448 21 день тому +4

    Umekwama pole acha kujitetea usijifanye kumsahihisha Mungu

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 20 днів тому +1

      Siku zote ni sawa Warumi 14:5 jibu Hilo hapo usitoke povu Kwa dhehebu lako kwenye ukristo hakuna sabato siku zote ni ibada

    • @aquinomsigwa6998
      @aquinomsigwa6998 20 днів тому

      Acha dhambi

    • @aquinomsigwa6998
      @aquinomsigwa6998 20 днів тому

      Iabudu siku

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 19 днів тому

      @@aquinomsigwa6998 hachana na kuabudu siku mfate Yesu uspotee ndiomaana mlimtuumu Bwana Yesu heti amevunja sabato kwaiyo tukisema katika ukristo hakuna wasabato tupo sawa tokeni huko Kwa wapinga kristo

    • @judithminja770
      @judithminja770 19 днів тому

      @@prochesernest5439 kuabudu siku tuu kuacha dhambi Aaaah

  • @ahz6907
    @ahz6907 16 днів тому +1

    Mtangazaji nakurekebisha: katika uislam hakuna siku maalum yakuabudu.tunaabudu sku zote.
    Ijumaa ni siku ya waislam kukusanyika pamoja na kukumbushwa au kufahamishwa mambo mbalimbali ya dini na jamii.

  • @Jonathankaghese
    @Jonathankaghese 21 день тому

    Mungu awabariki

  • @loycealex3475
    @loycealex3475 День тому

    Hata yeye anachokiamini na mapokeo 2 . lakin hujaagizwa na Yesu umeagizwa kostantino

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 16 днів тому +2

    Watu wanazingatia siku lakini ndani yao hawana wokovu ni kubishana tu

  • @abdallahhamisiiddi4513
    @abdallahhamisiiddi4513 8 днів тому +3

    Ukiona Mungu kapumzika ujuwe niwamchongo

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 2 дні тому

    Ver correct🤝 ananja

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w 21 день тому +1

    Amina

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 21 день тому +2

    Mch NDACHA ,tatizo la hao wahubiri feki ni shule -- Halafu wapo kwa ajili ya kutafuta kubishana --- " Hatuna muda wa kubishana " unaelewa anachosema Mch Hananja,kipokee kitakusaidia,hukielewi,kiache,endelea na msimamo wako --- Mungu ndiyo mhukumu wa haki.

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 20 днів тому +1

      Ndugu, sabato ni jumamosi. Hilo halina ubishi, achana na akina hananja na watumishi wote walio tayari kuusujudia utawala wa kirumi. Na ndio utakuta sikuhizi hakuna nabii wala mchungaji anaewekwa gerezani na kuuwawa kama akina Paul na Sila. Ni kwasababu wamekubali kuongea uongo ili kuufurahisha utawala wa kirumi uliokuja kubadli siku ya sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili.
      Siku ni muhimu mno, na ndio sababu Mungu ameagiza watu waikumbuke hio siku na waitakase. Kwanini? Kwa sababu Mungu alijua utatokea utawala utakaowaondoa watu kwenye sabato ya kweli.

    • @georgesamweli9852
      @georgesamweli9852 20 днів тому +2

      Mungu atakuhukumu kwa neno lake lililoandikwa yaani Biblia na wala siyo mawazo ya watu.

    • @solomonmugao4733
      @solomonmugao4733 18 днів тому

      Nmchungaji unapenda kutumia maandiko. Lakini umekataa Leo maandiko kabisa. Wasomee mathayi 24 sura nne kuteremka. Tena timotheo Wa pili 4 mstari Wa Kwanza hadi Tano. Lakini Leo umekataa Mada kabisa

    • @ahz6907
      @ahz6907 16 днів тому

      ​@@chillogeorge1383hawa wa zama hizi sio manabii....nabii wa mwisho alikuwa muhammad kwa waislam...na yesu kwa wakristo.

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 21 день тому +1

    Umepoteza wengi baz.

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc 8 днів тому

    Acheni Mungu aitwe Mungu. Waasisi wa Waadventista Wasabato Elen G. White na wenzake walitabiri Yesu kurudi miaka Mingi lakini utabiri wao ulikuwa batili. Kwahiyo tumtafute Mungu maadamu anapatikana. Kama uko kinyume na Mungu nafsi iliyoko ndani Yako itakuhukumu mara moja.

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa5122 7 днів тому +1

    Kwani dhambi maana yake nini,
    Biblia inasema dhambi ni uasi wa sheria.
    Hakuna fungu kwenye biblia linalosema kuhusu kurusha jiwe.

  • @AneckAdronico-p2k
    @AneckAdronico-p2k 19 днів тому +2

    Somo zuri mch.

  • @user-tr2mf3hp5s
    @user-tr2mf3hp5s 15 днів тому

    Nakubali Sana mzee wng

  • @user-ov6nq2wp6w
    @user-ov6nq2wp6w 14 днів тому

    Kabra ya kujua neno LA mungu jifunze kujua tabia za mungu la sivo tutanishana bule alisema usifanye sanamu lakin ktk sanduku la agano Kuna Sanam na nyoka wa Shaba aliagiza tule Kila mnyama mwanzo sula ya Tisa lakin badae akakaza. Kilajambo na wakat tujue kwanza tabia ya mungu.

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 21 день тому +2

    KWAIYO UMEAMUA KUVUNJA AMRI YA MUNGU? KWA NINI MSIVUNJE AMRI YA 5 YA WAESHIMU BABA NA MAMA ILI SIKU ZAKO ZIPATE KUONGEZEKA.
    HACHENI UPOTOSHAJI MZEE

    • @sospeterlaurent4428
      @sospeterlaurent4428 16 днів тому

      Hakuna amli iliyovunjwa ilabiblia imegawanyika ko jitaidi kumuelewa mzee

  • @nordiccomputers7565
    @nordiccomputers7565 3 дні тому

    Siku jumapili itakapolazimishwa kisheria ndo mtajua si ya Mungu

  • @RichardMachuki
    @RichardMachuki 17 днів тому +1

    Je, mnayoyasunguza mwayatoa katika maandiko gani? Sabato imeanzia juma la kwanza ya uumbaji. Ni amri aliyoitoa Maulana. Je, tutafuata maelezo yenu au ya Mungu. Mungu alitoa kielelezo tufuate.

    • @Mchitaman-vs1lc
      @Mchitaman-vs1lc 12 днів тому

      Hajawambia muach sabato ila je mnafat maandiko ya sabato ekewe kitu ndo ujibu

  • @user-ux7kg2bw9l
    @user-ux7kg2bw9l 12 днів тому +4

    MAELEZO YAKO YAMENIFANYA NIJUE SIKU YA SABATO NI JUMAMOSI AHSANTE

    • @obedkalinga9704
      @obedkalinga9704 5 днів тому

      Tumia Akili zako Juma mosi maana yake ni siku ya kwanza ya juma itakuwaje ni siku ya sabato?

    • @nelsonshillah6618
      @nelsonshillah6618 2 дні тому

      Wewe ndo hujui chochote hata hiyo jumapili huijui maana usingesherehekea jumapili kama isingekuwa siku ya kwanza​@@obedkalinga9704

    • @nelsonshillah6618
      @nelsonshillah6618 2 дні тому +1

      Jibu kwa kunukuu maandiko we mzee

    • @WAVELENGTH-tp1tm
      @WAVELENGTH-tp1tm 2 дні тому

      @@obedkalinga9704 🤣

    • @WAVELENGTH-tp1tm
      @WAVELENGTH-tp1tm 2 дні тому

      @@obedkalinga9704 hicho kichwa kina akili ama uji?

  • @MeshackMisungwi-w8q
    @MeshackMisungwi-w8q 17 днів тому

    Pole sana mzee somo gumu kwako

    • @ScardySangah
      @ScardySangah 12 днів тому

      @@MeshackMisungwi-w8q ni vigum kumuelewa mchungaji Hananja, ila ukimuelewa utauona ukweli wa hiki anachokizungumzia.

  • @user-px7qw3hs2h
    @user-px7qw3hs2h 16 днів тому

    Ni kweli kuhusu UTATU umejibu sawa kabisa Mungu ni mmoja ila kazi zake ndizo zinazomtambulisha katka huo utatu maana mara nyingi Mungu anjitambulisha katika wingi si Bible pekee bali hata Quran

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 21 день тому +1

    Amina sana

  • @EwalaSanga
    @EwalaSanga 4 години тому

    Wafundishe watu ukweli usibebe dhambi xawatu

  • @laickwilinerd5375
    @laickwilinerd5375 17 днів тому +1

    Akili yako ndoimeishia hapo omba uongezewe maalifa na mungu

  • @JohariLozano
    @JohariLozano 21 день тому +1

    Amekubari kuwa amri ya 4 ni halali kusari jumamosi ubarikiwe hananja Mambo ya kurusha jiwe yameandikwa kitabu gani acha porojo pastor Amri ziko 10 sio 9 hananja .

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 21 день тому

      Porojo ni kufuata dini ilioasisiwa juu ya msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya,dunia. Shetani ni Baba wauongo wote.
      1Wakorintho 15:14
      Kutoka 12:16:Unabii wa Siku ya kwanza ya juma.
      Mathayo 18:18. Jinsi unabii wa siku ya kwanza ya juma ulivyofunguliwa katika Agano Jipya. Wasaidie na wenzako kuwaeleza haya msiangamizwe na Helen White kwa kukosa maarifa Hosea 4:6a.

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 19 днів тому

      SIKU ZOTE NI SAWA MBELE ZA MUNGU KILA MMOJA AJULIKANE KWA MUNGU ANAYEMWABUDU.

  • @walterbhoke7935
    @walterbhoke7935 4 дні тому

    Unatetea chapati siku ya hukumu inakungoja biblia inasema sabato ni siku takatifu ya bwana na amesema tuitunze na kuitukuza isaya 58:13-14

  • @nelsonshillah6618
    @nelsonshillah6618 2 дні тому

    Mch unasema wasabato wasali sabato wakristo wasali siku ya ushindi,kwani wasabato siyo wakristo?

  • @PaulChambala
    @PaulChambala 20 днів тому

    Mchungaji kumbuka kua ile ni amri af tumia mandiko na si kwamtazamo wako mchungaji af mchungaji kumbuka silaha ya mkristo ni mandiko na Mungu tunamjua kupitia mandiko

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk 22 дні тому +2

    Mzee Bibilia haitaki kila mtu afute akilizake bali tufuate maandiko fanya mjadala nda ndacha sasa kama ni mapokei inakuwaje wote tunafuta Bibilia na iwe na maapokeo tofauti apo ujua lazima kuna wengine wanatumia maandiko vibaya

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 8 днів тому

    Amri kumi ndo kiooo sabato ni amri ya mwenyezi Mungu siku ya jpli ni siku ya kwanza ya juma hiyo ni Biblia

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 21 день тому +3

    Wewe potosha wenye hawajui maandiko

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 18 днів тому

      Haya twambie wewe unayesoma na kujua neno, mitume walisali sabato ipi na wapi baada ya BWANA kufufuka na kupaa mbinguni

  • @Ayyub_Semtawa
    @Ayyub_Semtawa 21 день тому +11

    Naamini majibu yako ndio akili yako ya mwisho kufikiria
    Ukiulizwa swali jibu kwa kujenga hoja yenye ushahidi wa maandiko

  • @lwezaurawilliam4498
    @lwezaurawilliam4498 20 днів тому +1

    Swala la sabato kwenye Agano jipya ni tofauti na Agano la kale,baada ya Yesu kufufuka,mwanadamu hawezi kumpendaza Mungu kwa kufuata siku,Kila wakati ni ibada
    WAKOLOSAI 2:18
    YOHANA 2:21-22
    YEREMIA 31:31-34.
    WAEBRANIA 10.

    • @pascopaul909
      @pascopaul909 16 днів тому

      nimekuelewa vizuri na umenisaidia sana natamani na wengine Yesu awafumbue akiri za wapate kuyaelewa na maandiko

    • @zakayomwalongo9330
      @zakayomwalongo9330 9 днів тому

      kiini cha ibada kwa Mungu ni siku ya sabato

    • @PASKALILUANDA
      @PASKALILUANDA 14 годин тому

      Mwanadamu yeyote Ni hekalu la Mungu, Yani Ni nyumba aliyojenga Mungu Mwenyewe, yaani alikuumba, hivyo ndio sababu Yeye hukaa ndani yetu, isipokuwa nyumba inaweza kukaliwa na asiye na Nyumba pia(mvamizi), Ambaye Ni Shetani, Sasa suala la Maamuzi juu ya Mwenye nyumba yapo juu yake mwenyewe, isipokuwa Mungu Amesema yeyote aharibuye nay humwaribu,
      Hivyo Basi
      1/ wew Ni hekalu, Kama Yesu tu alivyokua anajiongelea.
      2/ Hilo hekalu la Mungu linamsikiliza Mungu sio vinginevyo, yaani wewe unapaswa usikilize Mungu anataka Nini.
      PIA, Yer31;31 , inaongelea Agano sio AMRI za Mungu Ambazo zipo tangu kuumbwa Mwanadamu alipewa Kufuata sio Agano tu, sio hivyo tu , yeremia anaongelea Agano la upatanisho wa Dhambi zetu, mfano Tulipaswa kuchinja now hatufanyi hivyo isipokuwa kwa Damu ya Yesu imekua Agano jipya la kutupatanisha na Mungu tunapovunja Amri za Mungu( yaani tunapotenda ndambi, maana "Mshahata wa dhambi Ni Mauti".
      Hakumaanisha "kitabu Cha Agano jipya yaani New testament Ila Anaongelea Agano yaani convenant" hivi Ni vitu viwili tofauti,,
      KUMBUKA TU; kitabu Cha Agano jipya na la kale Vyote kwa pamoja vinalengo Moja Vyote Ni Neno la Mungu tu la Milele, Maana Mungu Ni Mmoja na sio Kigeugeu ajigeuke Mwenyewe.
      Tusiache kuomba lakini tutaelewa tu mpendwaa usikate tamaa ndio safari yetu ilivyo Wala so Tambarare.

  • @joseaugust2805
    @joseaugust2805 21 день тому

    Hesabu 15:32-36
    Mathayo 12:1-21
    Wagalatia 2:1-21
    Kwasababu ukimpa ndacha maandiko ya Yesu mwenyewe alieponya siku ya sabato atakujibu kwa andiko kuwa Yesu ndo bwana wa sabato ndo maana anamamlaka hayo , na atakuuliza wewe ni Yesu ?, Sasa hayo maandiko hapo juu ukisoma inagisia wanafunzi wa yesu ,. Na yesu alipokuwa ana paa akasema mkawafanye wote kuwa wanafunzi wangu ,.
    Kwahiyo wafuasi wa Yesu ni wanafunzi wa yesu ,
    Wanaotaka maandiko , sijawahi sikia mchungaji ndacha akagusa yaha maandiko , anajua tuu akiyagusa kwa namna moja au nyingine , anajua mtu akijenga hoja kwa kwa haya maandiko mchungaji mdacha hana cha kujibia haya maandiko labda hayakatae kuwa hayapo kwenye biblia

  • @AudaxNgarama
    @AudaxNgarama 7 днів тому +1

    Hapo ni kusali Kila siku

  • @mabulageorge7942
    @mabulageorge7942 3 дні тому

    Huyu mzee anaujua ukweli ila hataki kujulikana.

  • @georgesamweli9852
    @georgesamweli9852 20 днів тому

    Tofauti kati ya watu wa Mungu na wasio watu wa Mungu inabainishwa na kutii neno la Mungu au kutotii neno la Mungu. Na kutotii neno la Mungu ndio dhambi yenyewe.

  • @nelsonshillah6618
    @nelsonshillah6618 2 дні тому

    Wasabato wameng'ang'ani jumamosi mbona nawewe umeng'ang'ania jumapili

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on 17 днів тому

    Nakuelewa sana

  • @DavidMujimba
    @DavidMujimba 20 днів тому

    uko sawa mchungaji

  • @emmanuelpeter6742
    @emmanuelpeter6742 20 днів тому

    Yesu ni mwana wa Mungu, Yesu anachanzo na ndio Mzaliwa wa kwanza

    • @emmanuelpeter6742
      @emmanuelpeter6742 20 днів тому

      Imeandikwa usimukumu mtu Kwa Siku chakula, mwandamo wa mwezi Wala Sabato

  • @petermwasakibinga9284
    @petermwasakibinga9284 11 годин тому

    jehova elohim,elshadai ; jire etc

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 9 днів тому

    Waislam WANASWALI au WANAABUDU kila Siku na sio Ijumaa tu....
    Ijumaa ni Siku kubwa tu ya Ibada..

  • @BenardPaul-t4x
    @BenardPaul-t4x 20 днів тому +3

    Mungu akubali mch hananja

  • @magrethyoseph3034
    @magrethyoseph3034 5 днів тому

    Siyo

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 21 день тому +1

    Sasa hapo inabidi ujiulize wakati yesu yupo hai amri na sheria alizitii nyinyi shangwe baada ya kufufuka aingii akilini

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 21 день тому +3

    Shida huna andiko

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 21 день тому +1

    Waislamu wanaabudu majini na Allah ni Giza sisi ni Nuru ijumaa ni yao sisi haitihusu

    • @user-wi8og3sv4j
      @user-wi8og3sv4j 21 день тому

      Ni giza kwa lugha gani?

    • @ashrafnuru6402
      @ashrafnuru6402 21 день тому

      Kafiri ni kafiri tu ndo maaana anaenda chooni na makaratasi,

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 20 днів тому

      Hata ukitawaza kwa dawa na kupiga perfume kinyeo chako..bado kitazikwa ardhini.. dini ni imani,usafi wa roho yako ndo muhimu ​@@ashrafnuru6402

  • @rahma6189
    @rahma6189 19 днів тому +2

    Asante kwakutufungua Mungu akubariki

    • @PASKALILUANDA
      @PASKALILUANDA 14 годин тому

      Samahani, shituka haya Mafundisho hayakufumbui entirely, yanakufanya uwe kipofu kabisa , usiamin kachunguze Nawe pia Kama Ni kweli au laa! , Maana Shetani hutumia watu Wenye hekima wa Dunia hii wanaoaminika kuchafua jina la Bwana , Amri za Mungu Ni za Milele sio za Jana tu, Ni za Leo na kesho pia hata Milele zote

  • @charlesmaina-t4m
    @charlesmaina-t4m 7 днів тому

    Hananja uwasomee akolosai 2:16 wajue hamna sabato YESU ndiye sabato.

    • @godwinisengo5657
      @godwinisengo5657 6 днів тому

      Jua mkutadha wa fungu wakolosai 2:16 inahusu kutokuhukumu na nini maana ya kuhukumu,ni toa adhabu tusichanganye kuhukumu na kufundisha ikiwa wachungaji wanakemea watu kuacha dhambi tutasema wanahukumu ? Kwa mujibu wa wakolosai? Hapana tunaposoma maandiko tujue lengo lilikuwa nini.

  • @DerickMotondi-cr7fq
    @DerickMotondi-cr7fq 6 днів тому

    Exactly

  • @davidndyamukama3148
    @davidndyamukama3148 10 днів тому

    Kasema: Utawala wa kidunia una nafasi katika mambo ya Mungu. Kataja baadhi ya mambo ya ki Mungu.

  • @user-gg9xo8lf8w
    @user-gg9xo8lf8w 11 днів тому

    Hatari, ati anasema wakati mwingine utawala wa dunia una nguvu kuliko utawala wa Mungu. Watu wa Mungu tuwe makinieeee.

    • @davidndyamukama3148
      @davidndyamukama3148 10 днів тому

      Amesema, utawala wa kidunia una nafasi katika mambo ya Mungu

    • @WAVELENGTH-tp1tm
      @WAVELENGTH-tp1tm 2 дні тому

      @@davidndyamukama3148 Sasa tuwe wasagaji kwa kuwa udunia una nafasi katika mambo ya mungu?

  • @JeremiahMtaki-u5t
    @JeremiahMtaki-u5t 8 днів тому

    Mungu siyo kigeugeu, malaki 3:6, yesu hakuja kutangua torati mathayo 5:17

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m 21 день тому

    Ubalikiwe mtumishi

  • @MaryBuzingo
    @MaryBuzingo 21 день тому +1

    Mzee umechemka,hiyo amri inasema mungu alistarehe,aliibariki,Sasa mbona unapingana naye,Rudi kwenye maandikoa.

    • @josykogei7647
      @josykogei7647 20 днів тому

      Usimpinge hananja maandiko Inatuambia yesu NDIYE BWANA wa sabato Sasa kila siku ni siku ya MUNGU

    • @josykogei7647
      @josykogei7647 20 днів тому

      Anasema ROHO ni Moja ila utendaji ni tofauti amen amen

    • @m.m.tvmbebamaono
      @m.m.tvmbebamaono 20 днів тому

      Wasabato wamechemka .

    • @m.m.tvmbebamaono
      @m.m.tvmbebamaono 20 днів тому

      ​@@josykogei7647wasabato wote ni vichwa maji ,

  • @user13375
    @user13375 21 день тому

    😮

  • @JohnMashamba
    @JohnMashamba 16 днів тому

    Huyo anachenga za mwili,na anaelimu ya Dunia na huyo Mungu wake tumbo.

  • @labanmjunajr3977
    @labanmjunajr3977 5 днів тому

    Swali la uungu wa YESU mbona jepesi Mchungaji sema hamsomi Biblia tu mnashikilia vifungu vichache, siku nyingine kasome Waebrania sura ya 1 MUNGU Baba anamuita YESU Mungu hapo utata unaisha. Uwe unasoma Biblia kwa kina usije ukabananishwa ukashindwa kutetea hoja,

  • @joseaugust2805
    @joseaugust2805 21 день тому

    Alafu ukisoma mathayo 5 yote , utagundua Yesu kuna baadhi ya amri alikuwa anaziondoa kistyle yake ,
    Sasa kama torati imesema jino kwa jino , yeye Yesu anakuja kutuambia mtu akikupiga shavu ili mgeusie na shavu lingine akupige maana yake nini kama sio kuondoa hiyo amri ya jino kwa jino ki style ,
    Ndo maana. Ukisoma agano la kale lote na jipya lote , utagundua MUNGU kuna namna aliwachukulia watu wa kale wa agano la kale na kuna namna pia aliwachukulia watu wa agano jipya ,.
    Ila ukibaki na kukariri maandiko bila kielewa ndo unashikilia nira ngumu ya kale ,. Ndo maana Yesu alisema nira yake ni laini

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc 8 днів тому

    Nimekuelewa kabisa mchungaji Hananja.

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 8 днів тому

    Tufuate Biblia inavyosema,Ni kweli kabisa Sabato haimpeleki mtu mbinguni,lakini Mungu aliweka Sabato kwa ajili Wanadamu,Yesu alipumzika cku ya Sabato,mitume wote,waliingia katika sinagogi cku ya Saba,Hananja anajifaliji tu tu

  • @JosphatMuriungi-ol3fp
    @JosphatMuriungi-ol3fp 6 днів тому

    Jumapili ni siku ya kuabudu ama ni siku y KAZI kuligana na maadiko matakatifu ww poster n muongo sana soma mafungu juu uko mbari

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 21 день тому

    Mchungaji hananja kwa mengine uko sahihi na ndio imani yetu sisi waisilamu na hio iko sawa kabisa

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa5122 7 днів тому

    Hilo fungu la kurusha jiwe lipo kitabu gani,
    Na dhambi maana yaje ni uvunjifu wa sheria amri ya nne ni sawa na amri ya sita iweje useme huwezi kwenda jehanamu kwa kutoitii amri ya nne ila ukivunja ya sita dhambi, mzee anajichanganya. Sababu nyingi ukweli upo pale pale

  • @KelvinOmbeniMathew
    @KelvinOmbeniMathew 14 днів тому +2

    Pole mchungaji kwa kupotosha, k2 kama hukijui acha kujiaibisha sabato inaanzia mwanzo hadi ufunuo we utajificha chaka la wap ,ufunuo 14,12

    • @ibrahimwigina
      @ibrahimwigina 14 днів тому

      @@KelvinOmbeniMathew Kaka, usidokoe dokoe baadhi ya vifungu na kuvisimamia hivyo tu. Hakikisha unasoma Biblia yoyote, soma pia na WAKOLOSAI 2:16

    • @ibrahimwigina
      @ibrahimwigina 14 днів тому

      Ndugu soma Biblia yote.
      WAKOLOSAI 2:16

    • @lwiticomwalukumba4148
      @lwiticomwalukumba4148 9 днів тому

      amesema sawa sali unapojisikia

  • @AlexMungathia
    @AlexMungathia 17 днів тому

    Tuewe na imani moja na ubatinzo mmoja ili tuwe na mwili wa yesu

  • @Abudulungazah-zf8ii
    @Abudulungazah-zf8ii 15 днів тому +1

    Watu wangu watapotea kw kukosa maarifa

  • @user-rk6wu2gw1n
    @user-rk6wu2gw1n 21 день тому +1

    This one is a believer of sun worship(shetani)....

  • @yailoelieza7904
    @yailoelieza7904 7 днів тому

    Unakuta mtu anasema yupo Timamu anakazana na Siku ya kusali Jumamosi au jumapil alaf anafanya matukio ya ajabu.

  • @williamgabrielmassawe3654
    @williamgabrielmassawe3654 22 дні тому +1

    Mchungaji Hananja ni Mgodi unaoishi

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp 15 днів тому

    Hivi alieagiza amri ya kukumbuka siku ya Sabato ninani?
    Na amri kumi zipo kwaajili ya nani?

  • @ELIASFELIX-bq2nc
    @ELIASFELIX-bq2nc 8 днів тому

    Mmmmmmh sasa naelewa mitume na manabii hawa wanajitafutia utukufu wao.

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 20 днів тому

    Hapana umekosea mwanadam hatakiwi kufuata yakwake bali mwanadam afuate alichosema mungu kama mwanadam anafuata cha kwake smpotea na ibade yake ni bure mathayo 15:8_9

  • @isaacwafula7792
    @isaacwafula7792 21 день тому

    siku sio siku tu Bali kunasiku imebarikiwa kuliko zote na ni jumanozi uwezi jiwekea siku kwani ni yako mungu aeshimiwe na Sheria zifuatwe ,huyu mchungaji tunamtaka Kwa mdhalo 19-16yesu anasema ukitaka kuenda binguni lazima ushike amri,na yakobo 2,10 ukivunja Moja umezivunja zote

  • @ramahzedon6688
    @ramahzedon6688 16 днів тому

    Kanisa Katolic wanasema Sunday is mark of our authority je Kuna uhusiano gani kati ya siku ya jumapil na ukatoriki?

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 21 день тому

    Kwa mara ya kwanza naona mzee wetu anapanic 😂, mzee umenikata leo😢

  • @MageniDaniel-jl5nh
    @MageniDaniel-jl5nh 21 день тому

    Et siku bora kwako ni ipi siku ya ushindi swali ni maelekezo ya Mungu??