SIRI NZITO ZA MANABII WA UONGO ZA FICHULIWA WAIBIKA HAZARANI EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #call0688199370 #0766998994 #watsp_status #0788871769#

КОМЕНТАРІ • 529

  • @MussaJulius-vy9ks
    @MussaJulius-vy9ks 3 місяці тому +3

    Pastor pascal naamini unacho kiubiri ni ukweli mtupu ila wasio amini uongeacho ni wenye akili ndogo sana ila naamn upo kwenye wakati wa kututoa kwenye njia mbaya unatuelekeza njia iliyo streat line naamn ktk nguvu ya mwenyezi Mungu ww ni mtu wa kipekee sana ktk uso wa anga la dunia watu kama ww ni nadra sana kutokea duniani ama kwel ❤❤ mwenyezi Mungu yupo upande wako pia hawezi kukutupa, ila sisi wanadamu ndiyo inatakiwa tuelewe ni wakat ambao ni finyu sana kwa sasa pia Mwenyezi Mungu akujalie awe nawe🙏🙏🙏🙏

  • @mercymamuya7844
    @mercymamuya7844 10 місяців тому +6

    Mungu akutunze, akulinde . Sema kweli na kweli itakuweka
    Huru. Hiyo ni sauti ya mtu aliye nyikani, tengenezeni njia ya Bwana.,hallelujah ❤huwa nabarikiwa sana kila Nikikusikiliza.. Barkiwa zaidi.

  • @benithomligo9074
    @benithomligo9074 Рік тому +6

    Amen mtumishi wa MUNGU,, Naamini MUNGU Yuko upande wako. Lakin MUNGU amekuzingila kwa moto pande zote, Shetani anapigana na wewe koto kote uendako akitafuta namna ya kkuangamiza, lakin MUNGU Yuko pamoja nawe,. Usiogopee maneno Yao na vitisho vyao ,, nilazima iwe hivyo, tangu zaman za manabii na mitume ilikua hivyo, lakin hawakujari maisha Yao hata kufa ,, walimtazamia MUNGU pekee ,, wapo mitume na manabii wa kweli. Ila hawapo bado ila ipo siku MUNGU atawainu hakika ni heri tukanena ya kua wewe ni nabi au mtume kuliko hao wanao jiita manabii na mitume, paza sauti usinyamaze mtumishi,, Sauti ya mtu aliaye nyikani

  • @CelestinoAntonio-jv7ch
    @CelestinoAntonio-jv7ch 11 місяців тому +4

    Nipo Moçambique laki sijuwi vizury kishuaili laki mungu anasaidia sana nakupenda pastor pascoal Cassiano jina lako nimeadika kwenye kireno

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому +4

    Glory to God.
    Ev. Pascal, Mungu yehova akubariki sana. Hali ni mbaya, nyakati hizi ni za mwisho brethren. Bila neno la Mungu kujaza mioyo yetu katika hekima yote hatuwezi kushinda. Tunashida kwa damu ya Yesu na neno la ushuhuda.
    Biblia inasema, maana kila kilichopo duniani yaani tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi cha uzima hivyo havitokani na Baba, bali na dunia. Hawa manabii wa uongo wana viburi sana.

  • @cristianoprincegabrielles3951
    @cristianoprincegabrielles3951 Рік тому +4

    Ubiri Kabisa Man Of God Cassian.... Ukweli utawaeka Watu wa Mungu Huru...
    Nae Bwana Mungu Wa Majeshi atakupigania

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 Рік тому +3

    Amina kengele ya Bwana Yesu kristo aliye hai Mungu anayo sababu yakukuokowa mtumishi damu ya Yesu kristo ikufunike .

  • @MaryMnjamche
    @MaryMnjamche 2 місяці тому

    Mtumishi wa
    Mungu hakubariki sana Kwa kuhubiri kweli ya neno la
    Mungu bila hofu yoyote

  • @roselyneezekiel
    @roselyneezekiel 4 місяці тому

    This massage is so powerful..... Nimekutana na haya lkn kukuskiza Kuna nisaidia Sanaa,,, barikiwa sana mtumishi 🙏

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 3 місяці тому

    Wewemtumishi waMungu Enjiliyako inafikanakupita kwenye nyikazenye nyokawenyesumu kalizenyemiti yenyemiibanawanyamawote hatari amakweli umesimama kinyume nagizanene linalowapeleka kwenye aanguko lakuzimu. UBARIKIWE SANA.MTUMISHI WAMUNGU WAKWELI. HALELUYA.

  • @njunisamweli2410
    @njunisamweli2410 Рік тому +2

    Mungu akubaliki Sana na azidi kuku ongezea ulizi wa kiroho azidi kuku tia nguvu pasipo uwepo wa Mungu hiyo kazi ni ngum

  • @TryphoneGotham
    @TryphoneGotham 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu unanipa nguvu sana

  • @fredymghamba535
    @fredymghamba535 Рік тому +5

    God bless you mtumish , sasa waambie na wale wanaowabatiza watoto

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Рік тому

    Sema kweli Paschal, yaani wakinamama tutaangamia sana, tunataka miugiza tunamkataa mwenye miujiza amaye ni YESU. Utasikia mimi ni mfuasi wa nabii Dev, mara mi niwamwamposa lakin si wa YESU. Jamani tunaangamia kwa kukosa maarifa.

  • @Ezammwakisambwe
    @Ezammwakisambwe Рік тому

    Amina mtumishi wa bwana yesu real ihubiri ilekweli napia ituweke huru na yesu akulinde sana mtumishi Mana umeamua kuubeba msalaba wako.Mungu awafungue macho vipofu wafungwa waliopotea wanao abudu Wanadam wakidhani ni Mungu wa kweli kwaajili ya ubatili wa tamaa zao Niko Makin my fellow brethren May the real blood of Jesus Christ protect you brother.Amen

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Рік тому

    Watumushi wengine wa Mungu huwa wanawasema hawa juu juu tu na hawawataji majina. Kutowataja majina hao Manabii feki ni kuwafanya waendelee kustawi kwa kudanganya watu. Cassian anafanya vizuri kuwataja ili kila mtu awajue na watakaomwamini Mungu kwa Neema wasiende huko. Asante sana Mtumishi wa Mungu. Tutaendelea kukuombea na kukusapoti ili injili hii ya kweli ya Mungu iendelee Taifa letu lipone.

  • @jeanbaptistesony
    @jeanbaptistesony Рік тому +1

    Mungu aku bariki Mtumishi wa mungu God bless you man of god living from Democratic Republic of Congo

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 Рік тому +2

    Ameeeen ameeeen MTUMISHI WA MUNGU!!Big up!!!MAY THE BLOOD OF JESUS PROTECT YOU FOREVER,!!!AMEEN!

  • @saidibaraka931
    @saidibaraka931 Рік тому +1

    mungu akubariki sana tu mtumishi na wote ambao wana jitolea kusapoti kazi ya mungu tuna kuhombea sana tu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JanetMachuma
    @JanetMachuma 4 місяці тому

    Amen lord anakupenda sana na ninaipenda jinzi unavyo hupiri na nyimbo sako amen song nikulipe nni mungu wangu kwa yaleyode umenidenda

  • @milcentachando1142
    @milcentachando1142 Рік тому +39

    Akuna silaha itakayo inuka kenyume chako itakayo faulu,Cassian🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakueka kw maombi mungu akufunike kw damu yake,keep telling the truth ata wakikuchukia n sawa unamungu

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому +2

      Unajiingiza kwenye LAANA bilà kujua , Pascal Ni muongo kabisa,haujui Maandiko,anatumiwa na shetani kuwashambulia watumishi wa MUNGU,

    • @fatumaekabe8678
      @fatumaekabe8678 Рік тому +1

      Kamasio wakweli basi tufanyeje?kamamimi na sumbuliwana hugonjwa wa presha natakanikimbilie hukokwao .sababu natakakupona.

    • @fatumaekabe8678
      @fatumaekabe8678 Рік тому +1

      Nahomba msahadawako wamahombi,ilinifunguliwe kwahugonjwa huhu unaho nisumbua.

    • @barakayekonia7468
      @barakayekonia7468 Рік тому +2

      @@patsonkyando1732 au na wewe ni mmojawapo ya manabii wa uongo nini,mbona uneguswa na huu ujumbe ndugu yangu

    • @milcentachando1142
      @milcentachando1142 Рік тому +2

      @@patsonkyando1732 kaka pole sana kama haya mafunzo yajakugusa sehemu,kwngu Cassian amekua mwalimu wangu kupitia mafundishow yake,akika mm na mmoja wa wale tumefunga safari canani lazima tufiki

  • @annijulius4953
    @annijulius4953 Рік тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu mwenye masikio na asikie Neno ambalo Roho WA Mungu awaambia watu.

  • @JohanessJoseph-mq7um
    @JohanessJoseph-mq7um 10 місяців тому

    Ev. MUNGU. Akubariki sana tupo ktk uwanja mmoja tunahubiri injili ya kunawa mikono tusiwe na hatia kwa mda tuliopewa na mungu nakuombea Mungu akurinde.

  • @lilianwanjala8728
    @lilianwanjala8728 Рік тому +1

    Ameen barikiwa mtumishi kwa kutufumbua macho tumekua tukitembea ilihali SS..n..vipofu wanapona..na..visiwi wnaosikia

  • @SteveIlunga-qx8wi
    @SteveIlunga-qx8wi 4 місяці тому

    Am jambon mtumishi wa mungu mkubwa aliye dju, Niko katika intchi ya Congo, nime penda saana mafundisho Yako mungu akulinde umalize kazi zake asante saana .

  • @mosessilvester7962
    @mosessilvester7962 Рік тому +1

    Pascal MUNGU akuhariki nakuelewa Sana jamaa yangu sijawahi kuona mtumishi anae huburi ukweli Kama huu wengi ni wapiga diri barikiwa mno

  • @adophine1063
    @adophine1063 Рік тому +8

    Amen, Mungu anaonekana ata nyumbani kwako uki amini tu yesu kuwa bwana na mokozi wa maisha yako yote ya nawezekana, na maombi mazuri ni ya wewe mwenyewe.

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      For your understanding Not Bible says that, chanzo Cha Imani Ni kusikia, na kusikia huja kwa Neno la Kristo, hapo lazima uhubiriwe,uongozwe kumpokea Yesu Moyoni,na. Kufundishwa kuishi katika wokovu na Neno la Kristo

    • @jenipherobwolo6735
      @jenipherobwolo6735 Рік тому

      Amen, be blessed pastor

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      No lazima uwe na Spiritual father

    • @andrewmmassy5204
      @andrewmmassy5204 Рік тому

      But how,baba wa vipi?uwe na uhakika kwamba ni mungu amekuongoza kwamba huyo ndie exactly spiritual father

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      @@andrewmmassy5204 Watu wengi wanafanya Mambo kwa mihemko Yao halafu wanasema Ni Mungu,Wengine wanajiita watumishi wa MUNGU halafu wanatukana na kuwashambulia watumishi Wengine eti kisa Ni matajiri,Ni vizuri kuongozwa na Roho wa MUNGU siyo kuenda kimwili au kidini

  • @laurentbulabo5002
    @laurentbulabo5002 3 місяці тому

    Roho ya nambii Eliya mmoja wa manambii wa kale,Mungu ameijaza ndani ya mtumishi huyu. Ee Mungu wape macho ya rohoni Watanzani na dunia kwa ujumla wamwelewe mtumishi wako.

  • @ChristopherShirima-r5c
    @ChristopherShirima-r5c 4 місяці тому

    Mungu akulinde mtumish maana unatuambia ambayo hatuyajui ubarikiwe Sanaa the man of god

  • @fnono4368
    @fnono4368 Рік тому +2

    Hallelujah hallelujah mungu akubariki mutumishi wamungu tunakupenda Sana 🙏🙏🙏🎺🎺🎺

  • @mosimasatu8942
    @mosimasatu8942 Рік тому

    sema kweli baba. kwani manabii wa sasa hawasemi kweli na kukemea uovu bali kutabiri fedha na kuuza vitu vinavyohusianishwa na imani katika Kristo Yesu Bwana wetu. Mungu akulinde unapotekeleza wajibu huo

  • @winnyakoth8431
    @winnyakoth8431 Рік тому +4

    Mungu akubariki sana akufunike nadamu ya YESU

  • @JoyceRichard-h2g
    @JoyceRichard-h2g Рік тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Bwana ni kwel kabisa Mungu akulinde na akupiganie na akufunike kwa damu yke wasipate nafasi kufanya chochote

  • @risperkerubo5184
    @risperkerubo5184 24 дні тому

    AMEN watakao sikia na kuokoka watamuoma mungu amen

  • @pascalmubalama9767
    @pascalmubalama9767 Рік тому +3

    Hongera sana mtumishi wa Mungu nakupenda saaaana

  • @clasclass
    @clasclass Рік тому +8

    May God strengthen you, I always believe in every word that comes out of your mouth

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 Рік тому +6

    Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone 🙏🙏🙏

  • @StellaEmanuel-mu5vv
    @StellaEmanuel-mu5vv Рік тому

    Ameen Mtumishi wa Bwana sema kweli ya Mungu aliye hai usidaiwe damu ya zao hawasikii wanataka muujiza tuu kuliko kusoma neno Wajue Mungu anatakaje yaani inauma sana😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Akinyisafi
    @Akinyisafi Рік тому +1

    AMEN AMEN AND AMEN 🙏 🙌 HAPO NI UKWELI BROTHER WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAHARIFA BADALA WATU WATAFUTE MUNGU WANATAFUTA MIUJIZA ENDELEA KUTUFUNUA MACHO BROTHER MUNGU AZIDI KUKUTUMIA ZAIDI KWA KUENEZA NENO LAKE LA KWELI AMENA🙏🙏🙏🦶

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      Huwezi kumtafuta na kumpokea Yesu bilà miujiza,Miujiza mkubwa kuliko yote Ni kumpata Yesu

  • @sandrasandrine3027
    @sandrasandrine3027 Рік тому +6

    Mtu atakaye ku chukiya wewe ajui uchungu wa injili ya kweli. Lakini kama aidhivyo Mungu uta ishi maisha marefu paka pale ata penda Mungu .

  • @phenymanga949
    @phenymanga949 Рік тому

    amen man of God.umesema ukweli mtupu.Mungu akubariki sana kwa kusimama na ukweli na kufungua watu wa Mungu macho.may God uplift yuo more en more man of God

  • @estermataro3961
    @estermataro3961 Рік тому +1

    MUNGU akubariki sana mtumishi uko sahihi kabisa 💯

  • @fabianshigela9315
    @fabianshigela9315 Рік тому

    Natamani MUNGU aseme nao hao wanaojiita manabii na wanashududiwa mm natamani jambo litokee sema Namshukuru MUNGU kwa ajili yako unawafikishia ujumbe Nakupenda sana nachukia sana mtu anaye chukua cheo Cha MUNGU aliye Hai anajiita baba kwa watumishi wa MUNGU

  • @pascasiehabiyaremye
    @pascasiehabiyaremye Рік тому +1

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana .Nilitaka kukukosoa kidogo kwamba Bushiri siyo raia wa Nigeria Bali ni raia wa nchi ya Malawi

  • @Mariamseify
    @Mariamseify Рік тому +2

    Amen amen amen 🙏 from Kenya

  • @BarakaMerere
    @BarakaMerere 4 місяці тому

    Amina kakaangu nakupenda sana mtumishi wa Mungu Mungu atawaumbua mchana kweupe hao manabii feck yesu yupo na wewe mwanzo hadi mwisho songea mbele kak tunakuombea sana😅

    • @BarakaMerere
      @BarakaMerere 4 місяці тому

      Natamani sana nije kaka cassian tuwe pamoja nakupendasa ila kilanikikusikiliza natoa machozi nashindwa kuelezea Huyu Mungu wa mbinguni akufunike kwa kina yesumnazareti aliye hai uishi milele kaka ilantafurahisana sikunikikuona najua Mungu kuna jambo atafanya kwenye maisha yangu damuyayesu ikufunike

  • @bienvenuelepelerin
    @bienvenuelepelerin 4 місяці тому

    Amen nduku yangu Cassian mungu akulinde zaidi ,nimimi nduku yako bienvenue kutokapale Congo

  • @mchekesimwangundo496
    @mchekesimwangundo496 Рік тому +1

    Cassian Mungu azidi kukutetea umenifunza mengi sana God bless you man of God.

  • @andrewmmassy5204
    @andrewmmassy5204 Рік тому

    Amen nabii wa mungu Niko nyuma Yako kwenye behewa Moja kwenye safari ya kuurithi ufalme wa kristo.

  • @anethswilla7563
    @anethswilla7563 Рік тому +2

    MUNGU ni mkuu Wala usiwe na Shaka tupo tunaosikia na kupona kwa hayo unayotufundisha BARIKIWA SANA!!🙏🙏

  • @SinyinzaMicheal
    @SinyinzaMicheal 3 місяці тому

    Greetings thank God for you, you are right hundred percent. There is a pastor in America his name is Gino Jennings, he preach also what you are preaching.

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Рік тому

    Asante Yesu kwa mambo makuu unayo yafunua kwetu kupitia mtumishi wako

  • @theresiakashumba3826
    @theresiakashumba3826 Рік тому

    Sema man of God tupone Mungu kakuleta maksudi usaidie watu waMungu usiogope una ulinzi kutoka mbinguni

  • @abdusheriffsheriff8557
    @abdusheriffsheriff8557 Рік тому +1

    Mungu yuko mlele na milele, watakutafute wakitumia kila mbinu zozote ila hawana nguvu kmulko Mungu🙏🙏🙏🙏

  • @AironBlaston
    @AironBlaston Рік тому

    mungu akubariki mtumishi wa mungu endlea kuongea ukwel na tutazidi kukuombea sana kutokana na vita unayokumbana nayo na pia tutazidi kuwaasa wenzetu ukwel waliofunikwa na imani hizo ili jina la bwana lihimidiwe milele

  • @kefamsafiri1028
    @kefamsafiri1028 Рік тому +6

    Endelea kutangaza ukweli na Mungu azidi kukuinua tunakusapoti 100/ nashetani ashindwe kwa damu ya yesu Amen, niko marekani

    • @patsonkyando1732
      @patsonkyando1732 Рік тому

      Unasapoti ujinga wa Pascal kuwashambulia watumishi wa MUNGU,Pole sana

    • @andrewmmassy5204
      @andrewmmassy5204 Рік тому

      Mbona wewe ndio wa kupewa pole!!!!???mana hapa ashambulii watumishi. Ngoja nikufundishe kushambulia ni vile kama angewaongelea vibaya kama kuwatukana lakini hapa anahubiri neno kupitia neno la mungu na anasoma vifungu vya neno la mungu ina maana hata kama Kuna nabii ambae alikuwa anatumiwa na shetani bila kujua akisikiliza anabadilika na pia wale waumini ambao wamekamatwa na shetani kupitia manabii wa uongo wakisikia wanafunguka na kuchukua hatua.

  • @safimwanvua5739
    @safimwanvua5739 Рік тому

    Mutumishi wa Mungu ubarikiwe saana Na mafundisho ya nyakati za mwuisho, iZi mafundisho aziikalaka ndani ya makanisa, tuna hubiriwa peke Yake mibaraka ijapokua chetani yeye ha Lali Na watumishi wake kwaku zimisha kanisa la kristo yesu.

  • @christalgrandberry9283
    @christalgrandberry9283 Рік тому

    Tupo pamoja mchungaji ubarikiwe
    sana sana bwana yesu asifiwe na watu wote waseme Amina

  • @rosekemunto660
    @rosekemunto660 Рік тому

    Amen mtumishi wa Mungu akulinde. Sana watched from Kenya.

  • @geofleyfreenwelluka
    @geofleyfreenwelluka Рік тому

    Mtumishi kweli mungu akulinde alafu uyo bushili saizi yako Malawi aliludi kutoka south Africa yupo anatikisa Malawi 🇲🇼 🇲🇼 watu wanamwabudu adi njiani wanapiga magoti kiukweli mungu akutie nguvu atakapo wema ukweli mungu akubaliki sana mtumishi wa bwana sema ukweli tupone

  • @MusaChipigo
    @MusaChipigo 9 місяців тому

    Mungu akupandishe zaid kwasababu kweli ya mungu inaongelewa sana ila watumishi weng ni waoga wanaogopa kuisema kweli

  • @nicenaomi8459
    @nicenaomi8459 Рік тому

    Ubarikiwe sana mutumishi Kwa kutupa mafundisho mazuri, kweli Mungu akupe nguvu

  • @emmanuelmilimo8324
    @emmanuelmilimo8324 Рік тому

    Mtumishi paschal unanikumbusha mtume paulo..yale aliopitia ni sawia tu na ya kwako..mungu akutie nguvu

  • @Lithanatural
    @Lithanatural 3 місяці тому

    Yesu uliyejuu mbinguni hili ni ombi langu mpatie maisha marefu sana huyu mtumishi wako kwa ajili ya neno lako na kazi Yako uliyompatia mlinde dhidi ya ubaya na mitego ya adui

  • @MasokaMwembe-vl2wf
    @MasokaMwembe-vl2wf Місяць тому

    Jambo iyo ni kweli nikuomba Mungu atufunulie juu ni wengi sana

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 Рік тому

    Mwamposa oyeeeeeeeeee💃💃💃💃💃Kama bado manabii na mitume hakuna tz zaa wa kwako awe nabii na mtume,majungu tu ndo unajua na tunajua Kama unatumwa kuropoka na unalipwa wewe .huko Freemason inaonekana ulikunywa sana damu za watu na kula nyama mbichi za binadamu ndo maana zimekuathiri kila mahali sio kosa lako wakati mwingine tumuombee tu

  • @danielrwimo8751
    @danielrwimo8751 Рік тому +1

    Kama niwauwongo basi muaciye Mungu peke yake, nakama kweli awo niwakala wa shetani basi kazi zao hazitadumu. Ila unaposema kuhusu pesa nimesikiya piya nawewe ukiomba wakuku suport, minawaza kuwa kutowa nikwamtu binafsi tena ku suport kazi ya Mungu nilazima sana kwakuwa hata ivyo vyombo munavyotumiya binaomba pesa bwana. Mungu akubariki

    • @liuu282
      @liuu282 Рік тому

      Nimependa you're fact ajitambui

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 Рік тому +2

    Mungu Baba aendelee kukulinda maana Injili isiyogoshiwa lazima ihubiriwe nyakati hizi za mwisho ili mwenye sikio asikie apone.

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 місяці тому

    ❤❤❤❤Müñgu akulinde akubariki nabarikiwa mnoo unavofichua zambi

  • @ThomasFabian-it3ij
    @ThomasFabian-it3ij 3 місяці тому

    Hakika vyote vinapita ila neno LA mungu utimia kwa ktk nyanza tofauti

  • @kimsi682
    @kimsi682 Рік тому

    Endela kusema kweli bila kujali wanasema nini. Mungakulwe riki zaidi na akulinde. Mungu akutie guvu zaidi!

  • @annbrendanalech7429
    @annbrendanalech7429 Рік тому +1

    Amen and amen mungu akubariki nabii wa mungu

  • @elizabethfatuma9053
    @elizabethfatuma9053 Рік тому +1

    Amen Mtumishi wa Mungu Sema ukweli na Ukweli itakuweka uru

  • @edsonkumenya5626
    @edsonkumenya5626 Рік тому +2

    Cassian! Jambo moja ambalo nimejifunza baada ya kukusikiliza ni kwamba humuulizi Mungu kwa habari ya uhari wa watumishi wengine mbele za Mungu. Ungekuwa unamuuliza Mungu usingekuwa na ujasiri wa kusema kwamba bado hatujawa na manabii wa kweli wa Mungu duniani;
    Kiukweli wako manabii wengi wa kweli wa Mungu,
    kwa mfano;
    Nabii VC ZITTA wa South Africa, marehemu T. B. Joshua wa Nigeria, etc.
    Hawa ni wachache tu, Kati ya wengi(maelfu elfu), na wewe bila kujua unawatukana. Uwe makini.
    Usipojifunza kumuuliza Mungu, utajikuta unagombana na Mungu bila kujua, na shetani anaweza kutumia wewe bila kujua. Uwe makini.

    • @stephenkomolo1085
      @stephenkomolo1085 Рік тому

      Funguka macho wewe ndugu

    • @sharonwalubengo9507
      @sharonwalubengo9507 Рік тому

      Nani alikwambia TB alikua wa kweli 😢😢 Mungu akufungue macho ndugu funga kwa maombi uliza Mungu kuhusu mtumishi yeyote atakufunulia utalia hautawai fuata mtu yeyote hii dunia

    • @RebecaMaloda-xx2qm
      @RebecaMaloda-xx2qm 8 місяців тому

      Kweli

  • @AlbertAnjelo
    @AlbertAnjelo 8 місяців тому

    Tunajifunza Mtumishi , Mungu akutie nguvu ya Roho Mtakatifu.

  • @bintmwambapa7734
    @bintmwambapa7734 Рік тому

    Damu ya YESU inenayo mema ikufunike Mtumishi wa MUNGU alie hai, Tena akupe maisha malefu uzidi kutufunulia kweri ya YESU Kristo.

  • @TuaircachimoNantola-po7oo
    @TuaircachimoNantola-po7oo Рік тому

    Amém Deus te abençoe sempre; Amina mungu akubariki kila siku.

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 Рік тому +3

    Amen man of God we are togather..be blessed

  • @helenamandele6711
    @helenamandele6711 Рік тому

    Mungu akuwezeshe zaidi na zaidi. Mungu akuponye na kukulinda

  • @orestamkingakwamitandaoyot5309
    @orestamkingakwamitandaoyot5309 6 місяців тому

    Mungu akulinde cku zoter nitajuaje hili ni kanisa la mungu

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia Рік тому +1

    Pascal hujui unachokiongea naona unabwabwaja tu na kuvuja jasho la buree ww si juzi ndo umetoka kuokoka halaf unajifanya saa hv mtumishi watu wako kwenye huduma miaka na wana ROHO MTAKATIFU halisi na hawajawahi kumsema mtu yoyotw mm sijamwelewa huyo roho wako anaktma uwaseme vibaya watumishi halisi waliokuzidi, yani wamekuzidi kifedha, kimali, hata kiroho wamekuzidi sana yan unapingana na andiko yakwamba usiwaguse masihi wangu wala usiwashuru manabii, kweli nimeamn andiko lisemalo watu wabaya wameandaliwa kwa ajili ya nyakat mbaya hz ndo nyakat ambazo watumishi wa kweli wa YESU KRISTO wanasemwa na washamba au watu wabaya kama pascal unajifanya unawajua watumishi wa YESU KRISTO kulikonwewe, wewe ndo uliewapa agizo au kuingia nao maagano ya utumishi mbona unateseka sana wewe, kinachokuuma ni nini mpk unavuja jasho mpka mishipa inakusimama kwa kuwachamba waliokuzidi huwez ukashindana nao, na utaadhirika wewe hapo wala sio wao

  • @furahagiselle1235
    @furahagiselle1235 Рік тому

    Asante mtumishi Mungu akubariki🙏🙏🙏🙏

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, manabii na mitume wamejaa zaidi sana inchi ya Congo 🇨🇩 wanatapeli watu sana.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      Na Tanzania pia

    • @davidedwardmwaisulumwakisu28
      @davidedwardmwaisulumwakisu28 Рік тому

      Hanna kitu hapo nenda bible ,wanaokufadhili nakuambia hivi wawe hapa tz wawe ulaya,hawatazuia mpango was mungu ktk Africa naTz mungu anainua wengine tunawasubili soon so polojo zako

  • @eldakadima-tb2iy
    @eldakadima-tb2iy Рік тому

    God bless you my brother,. Eldah kadima

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 9 місяців тому

    Ulimwengu wa roho hutekwa na wenye nguvu! Sasaivi Tunateseka na watoto na jamii nzima UNIOMBEE mtumishi Pascal.

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 Рік тому

    Amina mtumishi,,ubarikiwe na MUNGU

  • @fatemajohn3195
    @fatemajohn3195 Рік тому +1

    Ameen Ameen MUNGU akulide baba tu maana unasema kweli kabisa

  • @williamchina6355
    @williamchina6355 Рік тому +1

    Amina Mungu akutie Nguvu mtumishi

  • @stellamutembei7567
    @stellamutembei7567 Рік тому

    Nakupenda sana mtumishi kulingana vile unaweka maneno wazi

  • @salimarosematrida8399
    @salimarosematrida8399 Рік тому

    Barikiwa saana vraiment tuko PAMOJA sema neno MPaka kieleweke

  • @DavidKatembo-vs3ve
    @DavidKatembo-vs3ve 9 місяців тому

    Amen, 🙏 Baba.mungu akupe hanja moyowako

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 Рік тому

    Mungu akulinde na akupiganie endelea kusema ukweli tuko nyuma yako muinjilisti paschal

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 10 місяців тому

    Uko vizuri Mtumishi ila YESU SIO MUNGU KWASABABU ALIOMBA CHAKULA TOKA MBINGUNI, ALISINZIA,ALITESWA NA KUVULIWA NGUO ILA MUNGU HAJAWAHI TESWA NA KUVULIWA NGUO, ALIKUFA ILA MUNGU HAJAWAHI KUFA NA HATAKUFA MILELE, ALIZALIWA ILA MUNGU HAJAZALIWA, YESU ALIKUTA ARDHI NA MBINGU VIMESHAUMBWA, ALIFUFUA WAFU NA KUUMBA UDONGO KWA MFANO WA NDEGE NA KUUPULIZA KUWA NDEGE ILA NI KWA IDHINI YA MUNGU SIO YEYE.

  • @marcos377
    @marcos377 Рік тому

    Amina mtumishi, Mwenyezi Mungu ni mkuu atabaki kuwa mkuu je, aonapo watu wake wanateseka na kuhangaika hawezi kumtumia shetani kuwasaidia hao watu?

  • @petermathias8097
    @petermathias8097 Рік тому

    Ahsante mungu akubariki mtumishi wa mungu hakika tuendelee kuusema ukweli wa mungu

  • @saumumbetsa4223
    @saumumbetsa4223 Рік тому

    Mm nimefurahia mafundisho yako mungu wa mbingu akulinde Niko Saudi Arabia tuko pamoja

  • @valentinechari1546
    @valentinechari1546 Рік тому

    ubarikiwe mtumishi napenda nyimbo unazoimba,mahubiri pia. Mungu azidi kukulinda

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 Рік тому +2

    Napenda injili yako ila wakristo hatujui Mungu tunayemtumikia hata ukiuliza mlokole Yesu ni nani na Mungu ni nani hana mwao

  • @KenedyButita
    @KenedyButita 4 місяці тому

    Nikweli baba mungu aktie nguvu kuisema kweliyake.

  • @BedoniSanga
    @BedoniSanga Місяць тому

    Amina mtumishi