WAKILI MADELEKA ; KULIPA MSHAHARA WENZA WA VIONGOZI NI SHERIA YA KIBAGUZI "NI AIBU SANA "

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 124

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 Місяць тому

    Ahsante sana mheshimiwa Madeleka, sichoki kukusikiliza Mungu akubariki sana..❤️❤️❤️❤️❤️🙏

  • @emmanueljoseph3812
    @emmanueljoseph3812 11 місяців тому +15

    NCHI tumepigwa kizembe na pakuponea ni Watanzania kubadili mtazamo Tuwapeni WAPINZANI NCHI HII., INATOSHA

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 11 місяців тому +6

    Wakili Madeleka umeilemisha Jamii ya Wtz kwa kirefu sana.
    Asante sana

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 11 місяців тому +13

    Badala ya kuhangaikia umeme wanaenda kulipana pesa wakati wananchi wanabakia maskini...😭

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 11 місяців тому +7

    Yaani ni ubaguzi wa hali ya juu...
    Wakimbizeni hao🏃‍♀️🏃

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 11 місяців тому +7

    Hawa wabunge sijui wanafikiria kwa kurumia nini jamaniiii!!!! Hivi Mungu wetu unayaona haya????? Inaumiza sana

  • @liberatusmsasa7103
    @liberatusmsasa7103 11 місяців тому +6

    Nakukubali sana wakili Madeleka!

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 11 місяців тому +12

    Msomi Madeleka wewe na Mwabukusi Nawaombea kwa Mungu Mshiriki kwenye Bunge la Mwaka 25 ili kuendelea kulisaidia Taifa hili. Iwekwa kuchaguliwa au kuteuliwa.

  • @fletchermusukwa8432
    @fletchermusukwa8432 11 місяців тому +9

    Good analysis from learned lawyer Madeleka 🔥

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 11 місяців тому +2

      ❤Mume wa Mama Naye ameula.
      CCM Karagabao😂

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 11 місяців тому +4

    WELL SAID

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 10 місяців тому +2

    Wacha wajipangie tu jinsi ya kuwanyonya maskini walipa kodi.Mungu yupo..Madeleka Mungu akulinde..

  • @BernardPeniel
    @BernardPeniel 11 місяців тому +8

    Sisali watumishi wa kawaida na wastaafu
    Kikokotoo kinatutoa kamasi halafu wanatuletea Sheria ya kuwalipa wenza ! Katiba mpya ni muhimu Sana! Na tukutane kwenye uchaguzi ujao ! CCM haina huruma kabisa! Yarabi Kodi yangu miye!

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 11 місяців тому +10

    Huyu mwamba namkubal Sana,
    Nataman sku moja nipate fursa angalau ya kuonana naye nimpe mauwa yake

  • @antonyelias866
    @antonyelias866 11 місяців тому +7

    Ukweli mtupu

  • @insightsecure2819
    @insightsecure2819 11 місяців тому +6

    Na me nilipwe maana mke wangu ni Mwl,

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 11 місяців тому +4

    Wanapiga fedha bado hawarodhiki jamani hii Nchi bora Katiba zilekebishwe na Wabunge wasiwe watunga sheria yoyote ile iwe mwisho kwao

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 29 днів тому

    Kweli kabisaa. Kucheza kodi zetu. Mungu anaona

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 11 місяців тому +4

    Wananchi wengi watanzania hawajui sheria...
    Hii clip itembee kote watanzania wajue kinachoendelea nchini kwao....

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 11 місяців тому +5

    KATIBA MPYA...
    NI SASA....

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 11 місяців тому +2

    Ndio reality ya Tanzania.
    Kundi Fulani katika Kila aspect ya Society ndio wanakuwa re-cycled. Kwa mfano, mtu anashindwa huku anahamishiwa kule wakati Kuna watanzania wengi Wana uwezo zaidi wa kufanya Majukumu hayo. Ubaguzi upo, umetengenezwa na unazidi kushika Kasi.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 11 місяців тому +4

    Hapa ndio napata tabu kujuwa nchi yetu ina shida ya Katiba au shida ni UTEKELEZAJI na KUHESHIMIWA Katiba? Kwa sababu tukienda hivi hata Katiba Mpya tunayodai haitakuwa na maana yoyote.

  • @mandaruukali2374
    @mandaruukali2374 11 місяців тому +2

    Umezungimza vizur sana

  • @BenderaRulenge-er7wx
    @BenderaRulenge-er7wx 11 місяців тому +3

    Hivi kweri wanajadiri sheria na wanalipana pesa kwa ajili ya kulipana wake wa viongozi au waume wa viongozi wakati huduma za kijamii ni hafifu hospitalini kweri hiyo nisawa kabisa?

  • @CharlesMabroki
    @CharlesMabroki 11 місяців тому +3

    Matereka na mwabulikusi Ni wazalendo wa taifa hili hakuna haja ya wake wa Marais kulipwa mbona Wana marupulupu mengi Kuna watu wengine hata Panadol hawana

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 11 місяців тому +5

    mishahara wanalipwa,maji hawalipi,umeme bure,!!!!!!.

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 11 місяців тому +2

    Wakalipane wakati kikokotoo Kwa watumishi wa kawaida bado ni kitendawili

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 11 місяців тому +3

    Hii nchi apana tutakuja tufie barabarani wee subir

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 11 місяців тому +1

    Mungu tuhurumie watanzania

  • @emanuelmwakasungula3052
    @emanuelmwakasungula3052 2 місяці тому +1

    Hata Mimi mke wangu ni mtumishi wanipe Hera zangu

  • @paull8659
    @paull8659 11 місяців тому +2

    CCM inatafuna nyama mpaka mfupa pia. Hiyo ndiyo CCM ya mama Samia na bunge lake la kiharamia.

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 11 місяців тому +1

    BRAVO COMRADE MADELEKA.....ENYI WATANZANIA WOTE BILA KUJALI TOFAUTI ZETU TUING'OE CCM MADARAKANI....CHADEMA....CHAMA PEKEE MBADALA KWA TAIFA LETU.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 11 місяців тому +3

    Hapa leo nakuunga mkono 100+%.

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 11 місяців тому +1

      Ulikuwa bado humkubali tu?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 11 місяців тому

      @@ramadhanmahongole9293 Ni mara nyingi sana simkubali ushabiki anakuwa mshabiki zaidi.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 25 днів тому

      1:20 ​​@@hajihassan5433Unashida kichwani mwako, miongoni mwa wanasheria Wenye uelewa mzuri ni huyu bwana.Ila kwasababu wewe uko upande wa waonevu ndiyo maana uko bias

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому +2

    Hili bunge la ovyooo sana kuiba tu Mungu ingilia kati

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 11 місяців тому +3

    Kuchukua mali ya mtu bila kibali chake kwa siri ni kumuibia mtu huyo.Hii ni wizi.Tunafanya dhambi mbele za Mungu.Tutubu na tuache kabisa.

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 29 днів тому

    Hawatosheki na pesa kabisaa. Watoto wadogo chini ya miaka 5 hawapati huduma government hospital Kwa sababu Serikali inapata hasara.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 11 місяців тому +3

    Maccm yatuletee tume huru na hayo mabolice kazi Yao kutupiga tunapojaribu kuipigania haki zetu yamepewa nini sasa kikundi kinaendelea kutunyonya

    • @knight6757
      @knight6757 11 місяців тому

      Wataleta🤔👀?

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 10 місяців тому +1

    Mwamba nakuelewa vyema upepesi macho unatoa makavu safi

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому +2

    Yaani serikali hii inakera sana bunge la ovyoo sana wizi mtupu yaani hakuna kiongozi anayewafikiria wanyonge bali kuimarisha tabaka waliloliunda watanzania tumelala nchi inaendeshwa kihuni

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 9 днів тому

    Nilidhani hao wenza wangelipwa na vyama vyao kuliko kuiingiza serikali matatizoni. Walipa kodi wanaumia sana jamani.

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 11 місяців тому +1

    Hizo pesa za kuwalipa mishahara Waume/ Wake zao, wazipeleke kurekebisha/kutatua Tatizo la umeme

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому +1

    Wakili,mtaenda mahakama ipi.Angalia msije kupuyanga

  • @JamaliSalum-k8j
    @JamaliSalum-k8j 24 дні тому

    Ninashukuru kwa kutuelimisha wa tz Mungu akupe uhai mana ckwa uchovu tulionao

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 11 місяців тому +2

    Wabunge hawa wakirudi majimboni wasichaguliwe tena hawa wabunge....

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 11 місяців тому +1

    Wanatunga sheria kila siku kwa manufaa yao bila aibu, wametoka kwenye kuhongana mahekalu wanaongeza na wake tukinyamaza hawatakomea hapo .Wanataka kushibishwa mpaka watapike hawatosheki walafi wabinafsi hawana haya.Wanalipwa wanatunzwa na wakifariki wanatunzwa familia zao maisha yote yao bado wanataka tu nchi ya kibinafsi hii

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 11 місяців тому +1

    Serikali badala ya kupunguza matumiz wao ndo kwanza wanaongeza matumizi

  • @YussufNgome
    @YussufNgome 11 місяців тому

    Kama I hili Bunge linajadili masala ya wananchi au maslai yaviongozi mbona mnataaa sana hamtosheki duu

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 11 місяців тому +3

    Raisi akisaini muswada huu nitashangaa....

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 11 місяців тому

      Tutampinga kwa nguvu zote

    • @lilianvitus2488
      @lilianvitus2488 11 місяців тому

      Imeshapitishwa tayari ina wiki mbili sasa

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 11 місяців тому +4

    Serikali hii imeteka mifumo yote yavyombo vyadora kwakutumia hongo yaani wakubwa wote wanakula sahanimoja na watawala mafisadi kwahiyo ningumu kutatua ukifatilia hizivurugu zote zasheria chaguzi utendaji wakibabe chanzo nikuhongana kwamifumo yetu yakulinda haki,ili waendelee kuwalinda waendelee kutunyonya eemungu tusaidiye

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 11 місяців тому

    Blessed madeleka, hii awamu tunaongozwa na vipofu, RIP JPM

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 29 днів тому

    Bima za watoto zimefutwa eti wanapata hasara. Hawapati hasara kuwalupa wake wa Marais wastaafu? Hii ni kudhulumu kodi zetu.😢😢😢

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 11 місяців тому +1

    AIBU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA BUNGE LETU....KUPITISHA SHERIA YA OVYO NA YA KIFISADI KWA NCHI MASIKINI KAMA YETU.

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 місяці тому

    Hii CCM ifike wananchi tuseme inatosha hospital dawa hazitoshi vitanda wao wanaendelea kujinufaisha wenyewe na kodi zetu

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 11 місяців тому +1

    Sheria yoyote unayoiona inawasilishwa bungeni na kupitishwa ujue ni serikali imepeleka hivyo dada mkubwa anahusika.
    Kiukweli hii ni mojawapo ya sheria mbaya kuwahi kutokea hapa nchini sheria ya kibaguzi.
    Kwa maana hii watu waapply kuwa wake/waume wa maraisi na viongozi ili wakistaafu wapate mafao kisheria

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 місяців тому +5

    Ujinga wa bunge la Tanzania 🇹🇿

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 10 місяців тому

    Hawa wanafanya kazi Kwa ubabe wanaovunja Sheria Kwa makusudi tutawawajibisha Kwa kuandamana

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 10 місяців тому

    Wanasema umeme vijiji vyote.Ninachoona mie ni nguzo za umeme zenye nyaya ambazo zina umeme wa mgao usiokuwa na faida kwa wananchi

  • @talents7934
    @talents7934 10 місяців тому

    Tutapigwa Kama Ngoma 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому

    Hatuna watetezi hii nchi mungu anasikia.Mungu tunusuru.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 10 місяців тому

    Hivi hili bunge lipo tayari kupitisha hiyo sheria?au hilo bunge halioni mateso ya watanzania na maisha yao

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 11 місяців тому +2

    Hawa wabunge wanadanga kwamba wapo kwaniaba ya kutetea wanainchi huo ni uongo wao wapo bungen I Kwa masilahi Yao na chama Chao kilichoko madarakani

  • @JustinaKaronge
    @JustinaKaronge 11 місяців тому

    Wakili msomi mungu akupe Marsha marefu uendelee kutufumbua macho, ukweli happ wametukosea Sana wanalipwa mafao posho zanini

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 10 місяців тому

    Hakika unachozungumza ni ubaguzi haswaaa unaongelea

  • @SamwelKatabila
    @SamwelKatabila 10 місяців тому

    Nakuellewa sana wakilpitter

  • @reginas1832
    @reginas1832 11 місяців тому +1

    Duu! Hivi mbona hawa watu wamekuwa zaidi ya shetani? Yaani kodi za Watanzania kazi yao ni kulisha viongozi kweli? Wamemzidi hata shetani.

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Місяць тому

    Tunaomba mpereke mahakamani kupinga sheria kandamizi.

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 11 місяців тому +2

    😂 😂
    Yaani hapa wabunge hawa wamechemsha!
    >Ni sheria mbaya sana inayoonyesha ubinafsi uliopitiliza kwa wake au waume kulipwa kwa kigezo cha mmoja wao kuwa ktk uongozi!
    >Ni kulipwa mshahara na marupurupu pasipo kuvuja jasho!
    >Ni jambo lisilo na maslahi yoyote zaidi ya hasara kwa walipa kodi...wenye nchi..wananchi!

  • @talents7934
    @talents7934 10 місяців тому

    Aiseee kuweni Serious yani mnamaanisha Wenza Wa Viongozi Wapewe Mshahara? Mnaakili kweli Nyie Yani hatuna umeme maji madawa hospitals halafu tunawachagua mkatusemee bungeni kisha mnatunga Sheria za Kuwalipa Wenza Wenu?

  • @donaldmwita4227
    @donaldmwita4227 11 місяців тому

    WATANZANIA sikiza huyu wakili ana manzuri.

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 11 місяців тому +1

    Labda wenza wa madaktari na walimu walipwe pia

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому +1

    Viongozi wanatudharahu sana

  • @meshackmayenga969
    @meshackmayenga969 11 місяців тому +1

    Pamoja na hayo serkali iangalie kuongeza kiwango cha pensheni kwawanaolipwa 100000 kwa mwezi. Kwahali ilivyo kiwangohicho kwasasa hakitoshi hatakununulia fungu la nyanya na vitunguu.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 місяців тому

    Maajabu hayo wazazi wanakufa hovyo kwa sjili ya kukosa pesa za matibabu halafu wanawalipa familia za Marais ujinga gani huo bandari ziuzwe utawala gani huu wa mauzauza

  • @OscarBethel
    @OscarBethel Місяць тому

    Hayo ndio matokeo ya wabunge ambao hawakutokana na wananchi maamuzi Yao niyaovyoovyo

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 11 місяців тому +1

    Watu wa Saloon, Mama Lishe, mabucha ya nyama/samaki na Wafanyabiashara wengi wamefilisika kwa mali zao kuharibika na kuoza

  • @kisangageorgethomasi2830
    @kisangageorgethomasi2830 11 місяців тому

    Imepenya iyo sioni chawa wala kunguni wa kijani wakiunga mkono utopolo uu

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 11 місяців тому

    Lakini ni kweli hao Marais wakistaafu wanalipwa pesa nyingi na wanapewa marupurupu mengi tu na nyumba wanajengewa mpya ifike sehemu watu wawaoneee huruma wananchi wa kawaida

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 11 місяців тому

    Ndio ubatili wenyewe huu! Fedha batili zinaliwa na watu batili ili kusudi NENO litimie...

  • @hemedsabuni9965
    @hemedsabuni9965 11 місяців тому

    Hizo pesa kwa nini wasitulipe sisi walikokotoa pensheni zetu?

  • @fortunatashirima-mh2fx
    @fortunatashirima-mh2fx 11 місяців тому +1

    💐💐💐💐💐💐

  • @alfrediaugustino1026
    @alfrediaugustino1026 10 місяців тому

    💅 chukua ua lako Hilo maana ufafanua

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому

    Yaani viongozi tulionao wafikri njia kuwaibia watanzania tu hawatosheki fahamuni iko siku yatawatokea puani

  • @KwindaLaizer
    @KwindaLaizer 10 місяців тому

    Hii nayo ni ukweli

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому

    Mwaandishi hauelewi kabisa

  • @diegoshanga8184
    @diegoshanga8184 10 місяців тому

    Aise Wakili msomi umeongea poiti sana!! Madeleka!! Da!! Sikua najua kwamba hawa watu walikua wanalipwa!!!

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому

    Wanapeana nafasi kwa kujuana hapa ni ulaji tu

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru Місяць тому

    Uzuri anaijua katiba na anaongea kwa reference za kisheria huyu ni kutoka kwa MUNGU lakini Watanzania kwa ujinga wetu tutamdharau

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 11 місяців тому

    GOD forbid

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 11 місяців тому

    Umenifungua wakili

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому

    Hawasomi hiyo katiba.

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 11 місяців тому

    Wa-Tz wengi wanalala njaa na mateso makubwa ktk Mahospitali, wakati Mafisadi machache yanafaidi Madini, Misitu, Bahari, Maziwa, Mito na Mbuga za Wanyama

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 11 місяців тому

    Hiyo ni michongo inayotengenezwa kwa manufaa yao watanzania hakikisheni wabunge hawarudi bungeni

  • @AntonyDova
    @AntonyDova 11 місяців тому

    Tanzania 😢

  • @RoseKipimo-e4g
    @RoseKipimo-e4g 11 місяців тому

    NCHI INAENDESHWA KIPUMBAVU

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 6 місяців тому

    Tutakutananao 2025 ndio watajua

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 10 місяців тому

    Kodi zetu zinaliwa hivyo kweli jamani nyie wabunge. Watanzania wanashida wanakula kwa shida sehemu za kulala wengine hali mbaya

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 місяців тому

    Kuna walimu ambao ndiyo kila kitu,kuna madaktati.

  • @mjeshimlokole-us5xc
    @mjeshimlokole-us5xc 11 місяців тому

    Hata mishahara ya nchi hii hailipwi kulingana kazi anayofanya mtu, anayofanya kazi kubwa analipwa kidogo na anayefanya kazi kidogo ndiye analipwa Sana, ajabu kubwa nchi hii duu.

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 10 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣kweli hii serikali niya kimchongo mchogo Tz kuna Family ambozo wanakula chakula kwa kubaatisha alafu kuna watu ambao wako manyumbani hawafanyi kazi alafu wanalipwa

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Місяць тому

    Nyinyi wake za marais PDM

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 10 місяців тому

    Ni aibu Kwakwel