🔴LIVE: Rais TLS Wakili Mwabukusi Kwenye Mahojiano Maalum 'Maandamano Yatajwa'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @tatizojoseph8702
    @tatizojoseph8702 3 дні тому

    Jambo TV great Job !!!! You guys are doing great Job!! Mwandishi au Mtangazaji wa jambo TV nakukubali Kabisa!!! You are the Best 💖💖!!! Keep it bro!! Naona shule ipo hapo!! Best Team right there!! Give us more debate like these!! Frequently.. Odemba pamoja sana!! Team yenu hapo imekamilika!!

  • @DicksonJeremiah-u9b
    @DicksonJeremiah-u9b 3 дні тому +1

    Hongera sana Mh Raisi Kiukweli umejibu vzr sana kilaswali ila kwa swala la Mpira hapa bongo nihatari yan Watu wakobize sana na mambo yasiyo yamuhimu kuliko Mambo yanayohusu maishayao (siasa) Daaah nibalaa

  • @salehali976
    @salehali976 4 дні тому +1

    Best interview ever

  • @abdallahsaidkanani3561
    @abdallahsaidkanani3561 4 дні тому +3

    Alhamdulilah rabillamin sasa tumepata rais wa TLS hongera sana Mwambukusi mwenyezi mungu akubariki kwa kila hatua unayo pita

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 4 дні тому +3

    Mwandishi cheusi mwezangu, unafikili hao wsnaosema kuwa watashughulikia haya mambo? Kwa ukimya huo unahisi wanalifanyia kazi?

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 3 дні тому +1

    Mwambukusi kuna wakati mwingine unasema kweli.

  • @zakariapaulowiliamuwiliamu1840
    @zakariapaulowiliamuwiliamu1840 3 дні тому +1

    Nimemwelewa vizur Rais wangu TLS

  • @focusshirima3755
    @focusshirima3755 4 дні тому

    Hakika jambo tv mnastahili pongezi kubwa sana ya kuwaelimisha watanzania MUNGU awabariki sana hakika uwazi na ukweli umetamalaki hongereni sana Mh Raisi wa Tls anastahili pongezi za kipekee mno Nchi imekosa maono wapishi nafasi

  • @facef5577
    @facef5577 4 дні тому +2

    😂😂 Wanachuo mnackia lakini

  • @wiza2309
    @wiza2309 3 дні тому

    Ena Ndaghq Nkamu gwangu, ujobile sya naloli, Kyala tufigwe

  • @salumntulo1589
    @salumntulo1589 4 дні тому +1

    Mwabukusi kuhusu watanzania kuwa waoga hilo liko wazi ni waoga mno lkn kuleta mfano kuwa tulipigana na Uganda huo ni mfano mfu kama Kuna kitu mtanzania anaogopa ni ku m-face police wa Tanzania hilo hatutoboi tulishajengewa uoga kuhusu polisi, pili mifumo ya haki yote ipo chini ya CCM kwa hiyo hata polisi akikufanya chochote huna kwa kumpeleka. Lkn siku polisi akija kuwa upande wa wananchi ni dk mbili tu kufanya maamuzi wanayoona wanaonewa

    • @asiliyetuonlinetv5063
      @asiliyetuonlinetv5063 4 дні тому

      Ndo ujue sasa watanzania sio waoga ila mifumo ndo haiko sawa mbona kipindi cha kikwete watz waliandamana tens mpaka taasisi ziliandamana na kutangaza migomo eg.,walimu,madaktari and etc

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 3 дні тому

    Mwabukusi madeleka mungu anawatumia

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 дні тому

    Nimependa majibu ya wakili Mwambukusi Kwa wadishi wa habari

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 3 дні тому

    Jobha gwa ngalamu.

  • @RajabShayo
    @RajabShayo 4 дні тому +3

    Ninyi wahun tu,mmepangana

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 4 дні тому +2

      Baki hvo hvo hadi siku utakapopata akili au yakukute kwenye familia yko

    • @asiliyetuonlinetv5063
      @asiliyetuonlinetv5063 4 дні тому

      ​unasumbuka na kizazi cha chino na akina jaiva hawawezi kukuelewa hao kizazi cha hovyo sana hichi.

    • @asiliyetuonlinetv5063
      @asiliyetuonlinetv5063 4 дні тому

      ​unasumbuka na kizazi cha chino na akina jaiva hawawezi kukuelewa hao kizazi cha hovyo sana hichi.

    • @asiliyetuonlinetv5063
      @asiliyetuonlinetv5063 4 дні тому

      ​unasumbuka na kizazi cha chino na akina jaiva hawawezi kukuelewa hao kizazi cha hovyo sana hichi.

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 3 дні тому

    Huyu mwandishi gani anashawishi nchi iwe kama kenya? Kumbe ana agenda ya kiovu hafai kabisa.

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 3 дні тому +1

    Kama freeman mbowe miaka yote ni huyohuyo tu.

  • @samadoushujaa7028
    @samadoushujaa7028 4 дні тому +2

    Mr.President

  • @mwllzrmihayo
    @mwllzrmihayo 3 дні тому

    Nifahamuvyo mie. Wasimamizi wa serikali ndiyo wenye mamlaka ya kuwatangazia wakuu wa polisi mikoa, kuwa...IKITOKEA MKOA FULANI MTU KATEKWA AU KUUAWA NA WASIOJULIKA , ATASHITAKIWA NA KUTUMIKIA JELA.

  • @isaacmwaseba9972
    @isaacmwaseba9972 8 хвилин тому

    Hii imepangwa odemba huwa haulizi maswali hivi

  • @wiza2309
    @wiza2309 3 дні тому

    MUNGU akuweke kaka yangu, kwakweli watu wana Apa kuilinda na kuitetea Katiba ya Nchi lakini kiuhalisia kila Mtanzania anaona jinsi mambo yalivyo

  • @TakasiSulle
    @TakasiSulle 3 дні тому

    Wamepangana na nani kunajambo la uongo hapo ambaye unaweza kusema siyo kweli Acha ushabiki mm ni mwana ccm lakini tufanye siasa za kiustarabu sisi wote ni watanzania

  • @SimonIsaay-w3i
    @SimonIsaay-w3i 4 дні тому +1

    Hivi polisi wanajua nin maana ya katiba?

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 3 дні тому

    Wabongo ubishan TU usimba na uyanga taifa linaangamia majitu ya ajabu sn nchi hii mengine yakipewa elf kum kum yanabuluzwa tu mafisad yanaiba TU ila wabogo da

  • @peterkitima4383
    @peterkitima4383 4 дні тому

    Upele umekuta mkunaji, Marwa na Odemba naona mnaenjoy anapouliza maswali na mnajibiwa hakuna ile "no coment" wala nn!!!