Asant baba Mungu akubariki sana kweli you are mane of God umekuja kufundisha ili tuokolewe libarikiwe tumbo la mwanamke alie lia kwa uchungu kukuleta dunia
Mungu akutunze akupe zaid ujasili wa kuihubili injili yake tena kwa wivu mkali, binafsi nimebarikiwa sana na mfumo wa injili yako, BABA yangu wa Mbinguni akubaliki
Ths is powerful SERMON, and I'm eagerly waiting for second part of this continuation. ALLAH protect u and give u more vision to utter. But many have died without knowing this. What punishment then in heavens!@ MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2021,.PASTOR MUTALEMWA AND FAMILIES..AMEEN.
Kipekee kabisa nimshukuru Mungu kwa ajili ya ufunuo huu. Lakini nazidi kutoa uhitaji wa somo linalo fuata ili tuweze kusaidiana na jamii inayo tuzunguka. Ni vema tukipewa title ya somo linalofuata la kuvunja maagano
❤❤❤ pasta Mimi Niko na shida niko na babab mtt nasielewani naya neno amejaribu kuniambia kwamba nikienda kuoleka mahali ingine sintawahi kumzalia huyo mwanaume mpaka nilale nae please help me
mafundisho yako pastor ni tofauti sana... Umewekeza kuwajenga na kuwapa majukumu wakristo
Amen 🙌🙌 nimebarikia na Somo Dady, Mungu wa Mbinguni asikupungukie azidi kukutumia siku zote 🙏
Power,
Baba uliongea kitu ambacho kinatesa vijana wengi bila kujua, ufunuo huu umebadilisha maisha yangu... Son of major 1
Apostle Siku moja uubiri kuusu wanawake kuvaa suruali na minywele Badia🤣🤣ipo Siku mungu atakuuliza watu wake walio poteya .
Duh Apostle... hata hatukuyajua haya. Mungu atukuzwe kwa ajili ya neema hii.
Watching out for Part II 🙌🙌
Mungu akubariki apostle ,maan nabalikiwa na masomo unayotoa
👏👏👏👏👏
Tumesikia tumeelewa tumepokea ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ohoo asantee Yesu wengi twajifunza kweli wazaz wengi wanachangia sana kuhalibu watoto
Ahsante baba. Ulindwe mkuu. Great Sermon indeed. Thank you Apostle.
Very powerful somo wallah Mungu akuweke Apostle uendelee kutufunza vyema
Apostle Mtalemwa.... I learn more things from u.. I rejoice ur presence
Our creator bring you long years on ur menial
Ameeen!! MUNGU nisaidie 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
YESU Akutunze sana Chief
My beloved Pastor Frank Warren😍😍👌, We love you dad.
Great
Amen sana baba msumari unatuingia taratibu lakin tutapona tyu🤭🤭
Wise advice ang great teachings👏👏👏👏👏 .B blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
You bless me from Kenya papa thank you so much,am guided
Asante chief mafundisho mazuriiiii kwa tuliopo mbaliii tumepokea
Amen pia ubarikiwe baba na mlez wangu wa kiroho nimejifunza mengi kupitia ww
Ubarikiwa Sana kwa hakika nmebarikiwa xna na nmejifunza kuwa mzazi mwema . Actually u are a chosen man of God.
Chief Apostle haya yote sikuyajua Nashukuru Mungu kwajili yako. Endelea kutufundisha 🙏
It's true indeed, man of God,am going alot because mistake of the past
Msumari wa moto inch 6 unauma Ila wengi tutapona, asante chief
Sisi ambao tuliachwa na baba kabla ya kueneza myaka 10 akafariki
Asant baba Mungu akubariki sana kweli you are mane of God umekuja kufundisha ili tuokolewe libarikiwe tumbo la mwanamke alie lia kwa uchungu kukuleta dunia
Thanks for your help may God Almighty bless you forever
Mungu akutunze akupe zaid ujasili wa kuihubili injili yake tena kwa wivu mkali, binafsi nimebarikiwa sana na mfumo wa injili yako, BABA yangu wa Mbinguni akubaliki
It's true man Of God 👏👏
Powerful 🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks alot pastor kwa mafundisho mazuri. Be blessed
Asante kwa mafundisho mazuri... sikuzote huwa nabrkiwa n mfndisho yko baba🙏🙏🙏
Somo zuriiii sanaaaa...pia lina nguvu ya Neno la Mungu(maandiko mengi ya kutosha)...ubarikiwe mtumishi....
Very true and powerful message lndeed,, be blessed man of God,,mch blessings from Kenyan
Ahsante Mom Umenifunda Ubarikiwe Mom
Asaaaaante baba kw sindano hiii
Very Powerful Chief Apostle.Thank you🙏
Amen tumejifunza mengi
Ahsante Apostle umeongea vyema aliye na masikio na asikie....... Muendelezo Wa maombi tafadhali. Uinuliwe zaidi Apostle.
god bless u man of god so amaizing
Asante Sana Mtumishi umeponya nafsi yangu.
asante mchungaji kwa maonyo haya.Pst.Justus-Kenya
Very informative message. I wish I could get the second part .
asante chief kwa masomo mazuri barikiwa
Asante chief , barikiwa sana nimeelewa somo na jirani zangu hapa🙏
Ubarikiwe sana chief na wachungaji wote wa ECG
Barikiwa baba ndio maana nayapenda mafundisho yako
Ubarikiwe kabisa apostle
Asante Mtumishi wa Mungu. Tunangoja hilo somo la kuvunja magano
Amina mchungaji naomba muendelezo wa hili somo party2 ili nijenge msingi imara
Amen pastor, barikiwa Sana mtumishi
Ameeen. Asante sana Apostle nimebarikiwa. Mwenye sikio na asikie.
Asante kwa hili mzuri ubarikiwe sana
Wow it's was so amazing sermon and teaching people 🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Ubarikiwe sana Apostle, Part 2 ya hili somo nataman kulipata au linaitwaje huku youtube kama umelipandisha
Apo kwenye kupenda kwanza ndo najua leo, eeeeeeeeem Mungu baba unisaidie
Once again thank you
Amen kwa somo nzur sana
Barikiwa Sana mtumishi
Mtumishi Mungu akubaliki Sana
Nimeipenda mafundisho mchungaji
Ths is powerful SERMON, and I'm eagerly waiting for second part of this continuation.
ALLAH protect u and give u more vision to utter. But many have died without knowing this. What punishment then in heavens!@
MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2021,.PASTOR MUTALEMWA AND FAMILIES..AMEEN.
Mwenye masikio na asikie
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimekuelewa Sana Chief mtalemwa, ila sasa hapo pakuwaambia waumini waiseme hiyo zaburi ndio Palin nitoa machoz
Amena dady unanifuza sanaaa
Power and Authority from man of God
Ni kweli mtumishi was mungu hili soma limenigusa sana maana Nina mfano hai katika safari ya ndoa sasa kwa somo Hilo nimeanza kuelewa
Mungu akupiganie uendelee na huduma una mafundisho ya ukweli
Amen Amen Amen
Kipekee kabisa nimshukuru Mungu kwa ajili ya ufunuo huu.
Lakini nazidi kutoa uhitaji wa somo linalo fuata ili tuweze kusaidiana na jamii inayo tuzunguka.
Ni vema tukipewa title ya somo linalofuata la kuvunja maagano
Ukilipata naomba unitag Plz
Asante Chief Nimekuelewa.
Mungu tusaidie vijana hapa wengi tumekwama
Asante Apostle kwa mafundusho mazuri
❤❤❤ pasta Mimi Niko na shida niko na babab mtt nasielewani naya neno amejaribu kuniambia kwamba nikienda kuoleka mahali ingine sintawahi kumzalia huyo mwanaume mpaka nilale nae please help me
Amina baba ubarikiwe sana unaniponya daima!!?
Mungu akubariki sana umefungua akili yangu 🙏🙏
Wakuchukie ukweli ndio huu mbele kwa mbele
That's powerful
With you am blessed daddy
Thank you for the message may God continue preaching I'm waiting for the next massage
Amina bab
Hataree saana yaana hapa baba ulitach vijana kwa wazaz
Msaada wanamba zako priease Kuna kitu nataka nimuhulize mchungaji
Amen Apostle nimeelewa kitu
Mchungaji hapo , kuna wanaume wanatoa mifuniko ya wanawake zaidi na 20 inakuaje hapo
Unasema ukweri
Amina baba true ubarikiwa
Plz Passy,pin mwendelezo wa hii seminor nataka kulikata agano la kale bana eeh🤗
Asante kwamafundisho mazuri
Mwita Pastor Hapana
Nimepata hii chief Ameen
Haya mafundisho lazima uzibuke akili
Amen and amen
Asante kwa msaada mkubwa
Nakupataje mtumishi
Upo wapi? Tunapatika makongo juu kituo mashine.
Kweli mtumishi twambie tufanyeje
Part 2 jameni
Asante baba
Amen
Naomba kama kuna MTU ana link ya Kesho yake yaani jinsi ya kuvunja maagano anitumie maana siioni humu,
Mtumishi unasema ukweli, ila mm niliuzwa bila kujua ,nikaondolewa kifuniko, kuanzia siku hiyo, sina upendo na mwanaume
Amen🙏🙏🙏🙏