WENGI HAWAFAHAMU KUHUSU JINI MAHABA ,PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 чер 2020
  • #SunbellaKyando #RealityofChrist #RocTv
    Somo hili linaelezea ni jinsi gani Jini mahaba linaweza kuharibu maisha yako kwa namna moja ama nyingine,pia watu wengi wamekuwa wakiishi na vifungo au jini mahaba pasipo wao kujua

КОМЕНТАРІ • 530

  • @lilianmrema6568
    @lilianmrema6568 2 роки тому +15

    Asante Yesu kwa kuniponya, wakati Mtumishi wa Mungu anaomba nimesikia kama moto kwenye tumbo la uzazi. Naamini Mungu katenda jambo kwenye maisha yangu.

    • @floramlewamlewa8147
      @floramlewamlewa8147 Рік тому

      Thanks u Jesus

    • @user-py3qf8ig7u
      @user-py3qf8ig7u 11 місяців тому

      Wakat mtumishi anaomba nilisikia mwili unatetemeka Asante yes najua kunakitu kimetendeka ubarikiwe Sana mtumishi ameen

    • @user-kb5zd9lw9z
      @user-kb5zd9lw9z 20 днів тому

      dawa please

  • @ElvinaDadu-hp2ib
    @ElvinaDadu-hp2ib 10 місяців тому +2

    Asante Mungu wangu kwa kuniweka huru siku hii ya leo, wakati mtumishi wako alipokua anaomba kuna kitu nmekihiss kwa mwili kimetoka kinapaa, pia nmevua pete zote na nmepiga nduru kupitia hayA maombi na imani nmekombolewa katika jina la yesu, jini mahaba hana nafasi tena katika mwili wangu🙏🙏🙏

  • @neemawilly1281
    @neemawilly1281 13 днів тому

    Asante Yesu kwa kuniponya na kuniweka huru tena 🙏.
    Wakati mtumishi wa Mungu anaomba nikiwa nimeshika kidole cha pete, nimeskia tumbo linacheza kisha nikakakamaa mwili kwa dk hv hlf ghafla nikarud kwenye hali yangu ya kawaida. Naamini nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.
    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏

  • @ngaghekamwelaikamwela9319
    @ngaghekamwelaikamwela9319 3 роки тому +9

    Wakat unaomba nimehisi kitu kinatoka kupitia mgongo .......asante Yesu nmekuwa huru sasa kwan mi ni binti wa miaka 20 nmekuwa nkisumbuliwa na hamu ya kuangalia ponography mara kwa mara na nikijaribu kujizuia nashindwa lakin kwa sasa nmepona na niko huru kwa jina la Yesu wa nazaleti aliye hai
    ...Amen

    • @pamelanyamko5293
      @pamelanyamko5293 3 роки тому

      Tangu niaze kukanyaga madhabah hii nimekutana na deliveries Zaid ya mbili now Niko ok Mungu amenifungua na soon naleta sadaka ya shukran na kusema vile nilikua na Sasa...

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 Рік тому

      @@pamelanyamko5293 panaitwaje nahitaji Kwenda

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 Рік тому

      @@pamelanyamko5293 Mtaa Gani

    • @neemaKyabona
      @neemaKyabona 3 місяці тому

      Nashukuru kipindi unaomba chuchu ilikuwa ikiwasha na kidole cha Pete kimewasha mpaka Sasa naamini nimepona Amina

  • @rahmahamisi7604
    @rahmahamisi7604 4 роки тому +8

    Mungu akubariki sana PASTOR tunapona kwakweli kupitia wewe maana tuko nchi za nje kanisa letu ni hili .

  • @patriciammbando5870
    @patriciammbando5870 Місяць тому

    Amina🙏Asante Mungu kwa kunikomboa na kunifungua!!!Asante Mtumishi wa Mungu kwa kunifanyia maombi🙏Sifa na utukufu ni kwako tu Bwana Yesu🙏
    Mtumishi wakati unatuombea Mungu kanitendea hao majini mahaba waliokua wakinitesa kwa mda mrefu wameniachia kabisa na wameteketea kwa damu ya Yesu katika Jina last Yesu sawasawa na ulivyoomba na ninajisikia kua mwepesi sana saga na mwenye amanita na furaha tofauti na mwanzo🙂Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏

  • @misnasma7875
    @misnasma7875 2 роки тому +4

    I feel fire all over my body and I trust that God has delivered me from these spirit husbands... glory be to God Almighty...Amen

  • @hanielmngodo8276
    @hanielmngodo8276 24 дні тому

    I felt a burning sensation in my chest. Thank you Jesus I'm free😊

  • @demarianiccky5812
    @demarianiccky5812 2 роки тому +6

    I feel instant healing all of my Body thank you God bless you abundantly.

  • @VailethGaudioza-ds9hd
    @VailethGaudioza-ds9hd 5 днів тому

    Asanteee nimefuguliwa maana vitu vilikuwa vinatoka vidoleni Bwana Yesu Apewe Sifa

  • @Blessed.Marion
    @Blessed.Marion Рік тому +1

    Nimesikia nguvu ya Mungu.. I declare that I am a free woman.. and blessed 🙏🏽

  • @elizabethtaylor6320
    @elizabethtaylor6320 2 роки тому +3

    Nimejisikia kuvurugika sana kwa mwili wote, nakutokwa machozi kulia kwa chini chini. Asante Mtumish kwa jina la BwanaYesu. Amen

  • @petsacademy4757
    @petsacademy4757 2 роки тому +1

    Naamini kuwa niko huru, na majini mahaba wameniachia, asante mtumishi wa Mungu sunbella kyando. Asante Mungu Baba kwa kuniokoa

  • @robertpropheticchild2941
    @robertpropheticchild2941 3 роки тому +6

    Asante yesu nimefunguliwa kwenye kifungo cha kuangalia ponography na kuwaingilia wengine kinyume cha maumbile

  • @charitywairimu4320
    @charitywairimu4320 2 роки тому +2

    Thank you man of God. I believe that I am free indeed in the Mighty name of Christ Jesus of Nazareth. God bless you and strengthen you in His ministry.

  • @lukaantony5360
    @lukaantony5360 3 роки тому +2

    Asante Yesu nimini nime funguliwa kupitia mt. Wako maana nime jikuta natetemeka sana na nime piga kama miayooo kisha nika kohoa sana alafu chamwisho nime toa ute mdomoni mwangu asnte sana Yesu kupitia Roho mtakatifu kwa mt. Wako Amen

  • @shijapastory3209
    @shijapastory3209 Місяць тому

    Asante Mungu,nimeenda chooni ule mzigo nilioutoa ni mkubwa sana naamini Mungu amenifungua

  • @lucymapunda4653
    @lucymapunda4653 2 роки тому

    Bless be upon you man of God..I testify today I connected on this prayer I have delivered from this bad spirit I have settled free by blood of JESUS.

  • @jacquelinerite3730
    @jacquelinerite3730 2 роки тому +1

    Mungu amenifungua kwa damu ya Yesu nimeuona mkono wa Mungu..Nimekohoa na kutetemeka wakati wa Maombi haya.Nakushukuru Mchungaki Namshukuru bwana Yesu kwa damu yake nimekombolewa.Amen

  • @irenesylvester6434
    @irenesylvester6434 2 роки тому

    Asante sana Bwana Yesu nimefunguliwa, nilisikia nguvu za ajabu kwenye kidole changu cha pete mpka nikavua pete yangu ya ndoa, nimepiga mihayo mingi sana na miguu imewasha sanaaa, namshkuru Mungu nimefunguliwa, ubarikiwe sana Pastor Sunbella. Asante sana.

  • @renaw1439
    @renaw1439 3 роки тому +1

    Heh nimefuguka katika jina la yesuuuuuu Amen!!! Kweli wewe You are a man of God and anointed.!!!! God bless your ministry 🙏

  • @floranicholaus3565
    @floranicholaus3565 4 місяці тому

    Asante Mungu nimefunguliwa wakat Mtumishi unaomba nimesikia vitu vinatembea kichawan na kuniachia. Asante yesu I’m free and competent delivered

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 2 роки тому +1

    Thank you for such an eye opening revelation

  • @Mr.Isayamaziku
    @Mr.Isayamaziku 8 днів тому

    Thank you Jesus for this delivery

  • @HappinessMmari-bq4hl
    @HappinessMmari-bq4hl Рік тому

    Wakati wa maombi nimelia Sana nilikuwa nasikia koo linauma nimetokwa jasho mno na kutema mate namshukuru Mungu nimefunguka

  • @annredy5482
    @annredy5482 2 роки тому

    From Kenya I feel relieved man of GOD am free thank you Jesus

  • @elvirastuder4492
    @elvirastuder4492 2 роки тому +1

    Mwili wangu umesisimka kwanzia juu mpka chini..alafu nikaanza kupiga miayo mingi,,, thank u Jesus I'm Free

  • @EmaOliva
    @EmaOliva Рік тому

    Amina Mtumishi Mungu akubariki nipo iringa mafinga nasumbuliwa sana nahaya madudu Bwana Yesu aniponye

  • @edinastephano402
    @edinastephano402 10 місяців тому

    Ninashukru saana mungu kwa maombi yako mtumishi maana wakati unaomba kuna kitu kilikuwa kinanikaba na mate mengi mazito yametoka naamini nimefunguliwa mungu akubariki.

  • @danielbeatpro9692
    @danielbeatpro9692 2 роки тому +1

    Amen amen. Naamini niko huru sasa Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @ramsomichael2250
    @ramsomichael2250 2 роки тому +1

    Thnx pastor, God bless you,by Ramso,manyoni,singida.

  • @Queen..113
    @Queen..113 3 роки тому +3

    Amina baba nimefunguliwa leo kwenye hiki kifungo hakika nimemwona Bwana akitenda kwangu

  • @gloryernest9028
    @gloryernest9028 Рік тому

    Nimewekwa huru wakati wa maombi nimesikia kitu kimeniachia na nikasikia uchangamfu na uhuru ndani yangu Asante YESU kwa ukombozi .MUNGU akubariki dady bella 🙏🙏🙏

  • @nurujeremia8942
    @nurujeremia8942 2 місяці тому

    Wakati wa maombi kifua kulikuwa kinabana, na nimetapika, namshukuru Mungu nimefunguliwa

  • @ericwanny5500
    @ericwanny5500 2 роки тому

    Asante kwanza kwa message yako mchungaji nahisi nimefunguliwa ,na nimeona maana nilikua kama kipofu na maombo yamevunja ngome ya wovu ambayo ilikua imeniteka nyara ,na hili liwe somo kwa wengi ,kwa kuwa yote ulioyazungumuza yamenipitia kila nikiota na lala nahuyu jini ,najua mambo hayaendi sawa na maranyingi imekua changamoto kwangu kwenye maswala ya mahusiano ,Asante mchungani kwafundisho lako Zuri Mungu akubariki saana

  • @fettyfrans5458
    @fettyfrans5458 2 роки тому

    Amen pastor I feel delivered be bless

  • @olivenyambu7735
    @olivenyambu7735 Рік тому

    Praise be to God.Thank you Mtumishi for the teachings and prayer

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 роки тому

    Asante sana Mungu Baba kuniweka huru kwa njia ya Yesu Kristo aliye hai. Wakati wa maombi nyayo zimewasha na nimepata wepesi sana. Barikiwa sana Mtu wa Mungu kwa huduma. Amina.

  • @Monica-fd2oc
    @Monica-fd2oc 2 роки тому +1

    Wakati wa maombi nimepiga sana miayo..naamini Mungu amenifungua.Amen 🙏

  • @violetmanyanga5926
    @violetmanyanga5926 4 роки тому +3

    Shallom baba nimeangali leo ila nimeriact nimepita sana kelele na nikawa nataka kukimbia nimepona kwajina la yesu kristo Amen asante sana baba

  • @JOHNKINDEGE
    @JOHNKINDEGE 5 днів тому

    Amina ubarikiwe mtumishi

  • @gracejoseph3372
    @gracejoseph3372 3 роки тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Nimetapika wakati unaomba. Asante Yesu🙏🙏

  • @nicerkenny4239
    @nicerkenny4239 Рік тому

    Amen nimefunguliwa kwa jina la Yesu Kristin... wakat mtumishi unaomba ulipofika hatua ya kuhesabu nimetetemeka mpk meno yakawa yanagongana nikaishiwa nguvu Mungu ametenda

  • @user-vf1un5be8d
    @user-vf1un5be8d 6 місяців тому

    Naitwa lulu namshukuru mungu mtumishi wa mungu alivokuwa anaomba nikawa nahisi Kuna vitu vinatoka mwilini.

  • @bertinailomo1230
    @bertinailomo1230 2 роки тому

    Asantee sana baba kwa huduma yako naamini nmepokea .maana nlishawahi kuota ndoto nafanya mapenzi nkiwa advance na sasa npo chuo.lakin ndoto haijawah jirudia tena.Mungu akubariki sana

  • @bachimabachi
    @bachimabachi Рік тому

    Pastor nlikuwa napiga miayo zaidi ya mara 2 nina Imani Mungu ameniweka huru katika jina la Yesu,amina

  • @joycebenedict6172
    @joycebenedict6172 2 роки тому +2

    Namshukuru Mungu nimefunguliwa nitaendelea kuangalia mpaka kieleweke

  • @florawanna8248
    @florawanna8248 2 роки тому

    Shaloom, wakati unaomba na kushika kidole nimepiga kelele, nimerusha mikono, mwili mzima umetetemeka...Mungu akubariki sana mtumishi Kyando.

  • @raykambo1010
    @raykambo1010 Рік тому

    Thank God . I feel healing Power

  • @florahchollah1092
    @florahchollah1092 3 роки тому +3

    Ufunuo 12:11. Napenda kumshukuru Mungu kwa kuwa mchana wa Leo nimefunguliwa kwa kusikiliza maombi haya kwa Imani.

    • @carolinamponji4294
      @carolinamponji4294 2 роки тому

      Mungu kaniponya nami wakati unaomba midomo yangu ilikua inacheza kwa namna ya ajabu na kidole changu cha pete nimekivuta san namshukuru Mungu wa madhabahu hii ni wakati wangu wa kupata mume nimetesek san na mandoto haya Mungu akutunze baba

  • @gracemakumbuli6251
    @gracemakumbuli6251 3 роки тому

    Asante,mtumishi wa mungu ,nimefunguliwa,ubarikiwe sana,kweli mungu ni mwema na hana umbali

  • @vanjelistdaud4770
    @vanjelistdaud4770 2 роки тому

    Amen nmekombolewa Sasa kupitia maombi haya naamini katoka jina la Yesu kirsti aliehai, kwa uwezo wa Mungu na maombi haya kunakitu kimetoka ndani kwangu mda anaomba pastor kunakitu kimetoka ndani kwangu.

  • @user-zg3do8uo8d
    @user-zg3do8uo8d Місяць тому

    Nimesikia baridi mwili mzima barikiwe sna mtumishi

  • @rockykoala3584
    @rockykoala3584 Рік тому

    I am derived in Jesus , thanks pastor

  • @brianbaraka4563
    @brianbaraka4563 2 роки тому

    Nimefunguliwa kwa jina la Yesu niko huru ahsante Yesu. Hakika Mungu amekutumia mtumishi wakati unaomba kuna vitu nimevisikia mwilini na nimetema mate. Ahsante Yesu kwa kuniweka huru.

  • @extramiletv4453
    @extramiletv4453 3 роки тому +1

    Amen I get delivered 🙏🙏

  • @user-py3qf8ig7u
    @user-py3qf8ig7u 11 місяців тому

    Wakati wa maombi nilijisikia kutetemeka mtume Asante mungu akubarik

  • @DominasRichard
    @DominasRichard 4 місяці тому

    Asante pasta katika Jina la yesu nimefunguliwa mm nilikua nikiota ndoto usiku nikiwa nafanya zinaa na mtuu ninae mjue au nisie mjua naamini katika Jina LA yesu nimeokolewa na pepo limetoka amini🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 3 роки тому +1

    Asante YESU kwakuniweka huru hyo roho imenisumbua kwa mda mrefu Sana huu mwaka wa saba nimepiga miaya Sana Hadi mafua yakawa yananichuruzika jama maji

  • @giselemurekatete6908
    @giselemurekatete6908 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi wamungu.nakufata kutoka Kigali Rwanda.ili nimeyagunduwa mengi kwa maisha yangu.ivi nitajitaidi kuja Tanzania nikuone ukaniombee nateseka saaaana.mungu akulinde tena

  • @jamilaausi7851
    @jamilaausi7851 Рік тому

    Asante mtumishi ulivyokuwa unaomba mwili ulikuwa unatikisika na kulia Sana naimani kubwa Sana huyu kiumbe hatofanya kwangu ndio makazi yake na kunitesa nimepokea uponyaji Amen

  • @norahkabutu
    @norahkabutu 7 місяців тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana nimefunguliwa Mimi nipo huru niliona kabisa mwili ukiangaika na pia nilivyo maliza kusali nimenena Kwa lugha na sijawahi neno Kwa lugha nikiwa nyumbani Mungu mwaminifu amenifungua ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @nyawanadonald2492
    @nyawanadonald2492 2 роки тому

    I got delivered....glory to God🙌

  • @flobad.mhubiri
    @flobad.mhubiri 2 місяці тому

    Jambo waamini wa BWANA. Miminilisikiya kidole cha pète kinawasha,na bas ventre na kiuno,asante papa pasteur.naamini nimefunguliwa kwa jina la YESU CHRISTO

  • @smgtvonline9294
    @smgtvonline9294 2 роки тому

    Amen UKWERI Ni kwamba Mungu amefungua yaliyo MENGI na kutenda miujiza SMG TV online nashukulu mtumishi wa mungu

  • @beatricetemu325
    @beatricetemu325 3 місяці тому

    Asantee Yesu na shukuru nimepokea na nimefunguliwa nimetengwa mbali kama mashariki ilivo mbali na magaribii jini mahaba halina nafasi Tena kwangu jina la Yesu limeinuliwa juu🙏🙏

  • @EmaOliva
    @EmaOliva Рік тому

    Nakufatilia sana Pasta nateseka nipo iringa mafinga natamani Mungu anisadie nifike dar tuonane

  • @rebeccaedward6363
    @rebeccaedward6363 3 роки тому

    Asante Mchungaji nimefunguliwa kwa damu ya YESU...ubarikiwe Sana.

  • @scollaboniface4940
    @scollaboniface4940 2 роки тому

    Namshukulu Mungu kipindi unaomba mwili wangu ulipata joto sana na jasho kunitoka ubarikiwe nimepokea na nimefunguliwa,Amen.

  • @MariamMbuguni-wl6se
    @MariamMbuguni-wl6se Рік тому

    Asante mtumishi wa Mungu wakati unaomba Mimi nimepiga Sana miayo naamini Mungu amenifungua..Mungu akubariki

  • @amoha2010
    @amoha2010 3 роки тому

    Amina nimepokea uponaji ..Asante Yesu

  • @user-py3qf8ig7u
    @user-py3qf8ig7u 11 місяців тому

    Asante mtumishi mungu akubarik Sana Kwa maombi

  • @estherkisanga8187
    @estherkisanga8187 3 роки тому +1

    Namshukuru Mungu kupitia maombi haya nimeona nguvu kubwa ya Mwenyenzi Mungu imenishukia Naamini nimefunguliwa Kwa Jina la Yesu Kristo wa nazareti alie Hai

  • @shagarbycash9549
    @shagarbycash9549 2 роки тому +1

    amen thanks

  • @scholasticamrango6871
    @scholasticamrango6871 3 місяці тому

    Nilisikia tumbo limenibana na nilikuwa nahema kwa haraka sana naamin mungu amenifungua na nimepona kwa jina la yesu amina

  • @jenifakihwele5964
    @jenifakihwele5964 3 роки тому +1

    Ninambariki Mungu WA mbinguni katika jina la YESU Kristo wa Nazareth ulipokua unaomba nimefunguliwa...pia Mungu akubariki Sana Kwa sababu huku you tube hakuna mafundisho ya namna hii ambayo yatafungua watu wengi zaidi Mungu akubariki Sana

  • @omegalyimo8023
    @omegalyimo8023 Рік тому +1

    Mtumishi Bwana Yesu asifiwe,wakati napita kwenye UA-cam nkakuta na somo ulilofundisha kuhusu jini mahaba,nmefuatilia somo kwa makini na dalili ulizozitaja mojawapo ninayo...na pia nmemaliza chuo miaka 13 iliyopta nkiapply kazi naitwa kwenye intervw lakn cjawah kuvuka had leo nmeolewa,wakati wa maombi nmepiga miayo naamin Mungu amenifungua kwenye hcho kifungo na ntaenda kupata kazi,barikiwa sana mtumishi.

  • @syliviakaigarula1250
    @syliviakaigarula1250 2 роки тому

    Amen, Asante Yesu wangu kwa KUNIFUNGUA!!!, kiukweli najiskia kama kitu kimeachia mwili wangu kabsaa, na wakati wa maombi nimetapika na pia kuna mda yalikuwa yanaongea kusema ntaolewa yakasema hadi wakati na mwezi

  • @user-qh5yr3yx5b
    @user-qh5yr3yx5b 5 місяців тому

    Asante kwa kufunguliwa mtumishi

  • @colethaemmanuel7782
    @colethaemmanuel7782 3 роки тому

    Asante Bwana Yesu Kristo. Naamini nimefunguliwa sasa. Wakati ukiomba, nilihisi msisimko Wa mwili mzima.

  • @EdnahHassan-js5cl
    @EdnahHassan-js5cl Рік тому

    Asante Sana pastor hakika wakati unaomba sauti kubwa imetoka na pia nimeeza kusikia nikama naona Giza asante Sana aki

  • @aquillarnguma
    @aquillarnguma 7 місяців тому

    Asante Yesu umeniokoa nimetetemeka sana kudondoka wakati mtumishi wa Mungu anaomba kwa imani nimefunguliwa thankyu Jesus

  • @VanillaMungure
    @VanillaMungure Місяць тому

    Amen naamin mungu aliehai amenifungua na mm leo

  • @grolyjosephat8263
    @grolyjosephat8263 2 роки тому

    Asante Yesu kwa kuniokoa,asante Yesu kwa kuniokoa Nimeokolewa na kufunguliwa leoo Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @saradeviaalexander2097
    @saradeviaalexander2097 9 місяців тому

    Asante Yesu namshukuru Mungu wakati mtumishi akiomba nimehisi kuishiwa nguvu na kulegea kabisa nina imani Mungu amenifungua ahsante sana mtumishi

  • @reginasanga2322
    @reginasanga2322 2 роки тому

    Asante Kwa maombi mtumishi...nimefunguliwa Kwa jina la YESU kristu.Amina

  • @magretheugen8760
    @magretheugen8760 2 роки тому

    Amen, I'm free now

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 3 місяці тому

    Nimefunguliwa katika jina la Yesu Kristo

  • @OswardDaisoni-vl8pc
    @OswardDaisoni-vl8pc Рік тому

    Amina niwakati wangu wakumshukuru MUNGU alie nisaidia kupitia mtumishi wake wakati wamaombi nimeponywa nimeteemeka,nimepumuwakwa mhemo,nimeanguka, mungu amenisaidia ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @lemmychai9139
    @lemmychai9139 Рік тому

    Asante pasta niko huru usiku huu waleo nilikuwa nikisumbuliwa na huyo jini na amenisumbua zaid ya miaka saba nawakati ulipo sema nishike kidole changu cha pete ulipo anza kuomba nilihisi nguvu zamungu ndani yangu

  • @lightnessmbaga7013
    @lightnessmbaga7013 3 роки тому

    Praise the lord am free dady nmejikuta kama navua pete uku natetemeka pia wakati naanza kuangalia hii clip tumbo lilinkamata nkaenda kuharisha Mungu ni mwema

  • @juliethdionise6448
    @juliethdionise6448 3 місяці тому

    Asante kwa kila jambo🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @user-kj1xy8qn2u
    @user-kj1xy8qn2u 3 місяці тому

    Asante Mungu nimefunguka kabisa hiyo ndoto imenisumbua sana

  • @mariaurrasa5796
    @mariaurrasa5796 8 місяців тому

    Asante mtumishi wa Mungu najisikia huru

  • @marrynaftali7969
    @marrynaftali7969 2 роки тому

    Asante Yesu kwa kunifungua na kuniweka huru,wakati unaomba nimesikia Hali ya kushushwa mzigo mzito na baada ya hapo kusikia wepesi,Mungu akubariki mtumishi

  • @gigiesube8899
    @gigiesube8899 2 роки тому

    Amen 🙏 amen 🙏 amen 🙏 Nimesikiya ufungulivu kabisa Asante Asante YESU
    Ulipokuwa ukihomba nilisikiya moto ndani ya mwili wangu na tumbo kama vitu vinanihachiya Amen amen 🙏 amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @omanoman1371
    @omanoman1371 3 роки тому

    Ameeen ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @apostlejohnNganga6008
    @apostlejohnNganga6008 2 роки тому +1

    Am free from every evil spirit from tonight I'm Jesus name.Amen.

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 Рік тому +1

    Ameeeeen 🙏 napokea uponyaji mtumishi

  • @granceneema772
    @granceneema772 2 роки тому

    Very true
    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu