Asante Sana mtumishi hi ndo injili iliyotelekezwa na baadhi ya watumishi wengi haipo tunahubiriwa baraka tu ,kumbe tunahitaji na injili hi kizipata hizo baraka 🙏🙏👏👏
He is really a man of God, we really need men of God like him in our today's church, who teaches us the true and really will of God.. I have have been blessed ever since I started watching this channel ..may almighty God continue anointing you apostle.
As the word of God says "flowers wither and fade away b't the word of God will stand forever" this message is one year ago b't it is blessing me fresh, fresh, fresh I salute you apostle GOD BLESS YOU.
I remember this powerfull message. It did much in my life. I am now blessed because of your preaches. Tanzanians,listen to this man of God.I love you from Goma RDC
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa neno la ukombozi ktk maisha yetu. Unachosema ni kweli kabisa, mimi huwa mkalimu sana kwa watu nisio wajua naongea nao kwa Heshima, na wengi wao wamefanyika baraka kwangu mara nyingi.ni vizuri kuheshimu watu wa aina zote 👏🏽👏🏽🇹🇿
Barikiwa apostle kwa ufunuo mat 11:29 mungu akubariki nawaombea hao wana mungu waelewe kiwango hicho ni chakipekee mno we are to gather any daytime ishall come to your church be blessing
Apostle Asante Kwa somo nzuri Mungu akusaidie akupe maono mengi na mengi zaidi utuondoe tuliogizani some limenifungua kichwa ubarikiwe papaa Maisha marefu kwako
Asante sana Apostle. Ee Mungu naomba unisamehe 🙌🏻🙌🏻 kwa kufukuza baraka zangu, naomba unisaidie niishi na watu vizuri na asante kwa kuwa nimejifunza. This is very powerful 💪🏻.
Amen.powerful massage I have learned how to entertain stranger and to show respect coz might be angels.God bless you as God continued strengthen you to ministering the word of God.
Amen nimebalikiwa.sana mchunaji mungu akubaliki na akupe maisha maref apa dunian uzidi kuwabariki mung namim nisamehe nimetenda maov sana.naomba unisamehe unipe balakazako na uniondolee loho yadharau baba amen
Amen mchungaji wa dada wa kazi wanadharauliwa Sana na kutegwa kwenye chakula upo vzr na wengine wanadharau wengine wenye shida wanataka waonekane mungu mtu mafundisho yako mazuri watu wajifunze toka kwako ubarkiwe
Sikupata ujumbe huu kwa bahati mbaya to God be the glory asante Mungu kwa kunipa moyo wa humble kuheshimu watu wote baba Mungu naomba unipe moyo wa kuheshimu wote da asante Baba kwa ujumbe huu amina
Hili in exavata jipya Tanzania hii LA kuchakata kokoto wenye shida ya kujenga magorofa ya mioyo wameshatajirika God still bless Tanzania from moses kolela times. His mentor is major1 From Malawi I'm very blessed with him
Ondoa ujinga kichwani wewe huwezi kua kama mwingine wewe ni wewe ni huyu ni huyu kila mtu Mungu kamuwekea kitu chake ndani yake ni wewe kukifanyia kazi
Asante Sana mtumishi hi ndo injili iliyotelekezwa na baadhi ya watumishi wengi haipo tunahubiriwa baraka tu ,kumbe tunahitaji na injili hi kizipata hizo baraka 🙏🙏👏👏
Hallelujah sema tupone mtumishi
@@chinnermwanamtwa4889 hakika
Apostle nabarikiwa sana na maubili yko munkini namm nna kivywa kichafu Mungu anisamehe na akanifanye niwe mwema kati ya wema
He is really a man of God, we really need men of God like him in our today's church, who teaches us the true and really will of God.. I have have been blessed ever since I started watching this channel ..may almighty God continue anointing you apostle.
Ameen Apostle ubarkiwe Sana masomo yako yananibariki
Man of god naomba utengeneze niko tayari kununua daines Majani from Kenya.
Am much blessed servant nimejutia dhambi ya kuwachukulia poa wanyonge eeh Mungu nisaidie kuishi na watu wote vizuri🙏🙏
Yan jumbe kama hizi zinakufanya utubu na kulia mbele za Mungu ukiomba msamaha daaah.... Blessed
Mungu akubariki sana nimefunguliwa
Mungu wang since nimeanza kumuon huyu pasta sikujua Kama God his working through him now am blessed God keep you aposto
Nakuelewa Pasta
100 %
As the word of God says "flowers wither and fade away b't the word of God will stand forever" this message is one year ago b't it is blessing me fresh, fresh, fresh I salute you apostle GOD BLESS YOU.
Amina barikiwa nimepona be kwa fundidho hili
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
I remember this powerfull message. It did much in my life. I am now blessed because of your preaches. Tanzanians,listen to this man of God.I love you from Goma RDC
Asante sana mtumishi wa Mungu kwa neno la ukombozi ktk maisha yetu. Unachosema ni kweli kabisa, mimi huwa mkalimu sana kwa watu nisio wajua naongea nao kwa Heshima, na wengi wao wamefanyika baraka kwangu mara nyingi.ni vizuri kuheshimu watu wa aina zote 👏🏽👏🏽🇹🇿
Huyu pasta mungu amzidishie baraka amenigusa Sana anaujumbe mzuri kutoka kwa mungu mafundisho yake yamenifanza vyema....Amen
Barikiwa apostle kwa ufunuo mat 11:29 mungu akubariki nawaombea hao wana mungu waelewe kiwango hicho ni chakipekee mno we are to gather any daytime ishall come to your church be blessing
Nakupenda bro mafundisho unayofundisha kweli ndo yanatakiwa kwakipindi ichi kilicho potoka
❤kweli wewe no mtumishi was Mungu naomba no ya mawasilano angalau kupata maombi Barikiwa sana
Apostle Asante Kwa somo nzuri Mungu akusaidie akupe maono mengi na mengi zaidi utuondoe tuliogizani some limenifungua kichwa ubarikiwe papaa Maisha marefu kwako
Asante sana Apostle. Ee Mungu naomba unisamehe 🙌🏻🙌🏻 kwa kufukuza baraka zangu, naomba unisaidie niishi na watu vizuri na asante kwa kuwa nimejifunza. This is very powerful 💪🏻.
Asant San chif kwa mafunz mazur... Emung Nisamehe kwa kufukuz barak zang
Mwenyezi Mungu nikinge na dharau kwa jina la YESU.
Very powerful and educative message be blessed pastor nafuatilia sana mahubiri Yako na nazidi kubarikiwa amen
Nabarikiwa sana na mafundisho yako chief na sitaacha kuyasikiliza na kuyafanyia kazi may the good lord bless you
Asante nilikua nasoma biblia na sielewi siku hizi nimeanza kuelewa na moyo wangu umeanza kua na hofu ya mwenyezi Mungu.
Ameeen. God be Glorified. have worried this sermon. not all preachers can preachers it. be Blessed man of God.
Be glorified God for this man of you
Nakuomba MUNGU wangu unisamehe na kunirehemu nkunitakasa popote nilipoenda kinyume na mapenzi yako katika jina la Yesu Amina
First time I'm listening to you.
I love the message.
I have learnt alot.
God bless you Apostle.
Thanx apostle ,God bless u.
Hallelujah God bless 💖🙏
powerful educative message! ubarikiwe sana mtumwa wa Yesu!
Wow powerful teaching Mungu akubariki sana I'm blessed 🙌 😇 🙏 💖
Amen.powerful massage I have learned how to entertain stranger and to show respect coz might be angels.God bless you as God continued strengthen you to ministering the word of God.
_Nilikuwa sifuatilii kwa umakin sama mahubiri yako, ila kwa hili nimeguswa sana. Ubarikiwe mtu wa Mungu_
Amen mtumishi wa mungu. Mungu akubariki kwa mafunzo mazuri from kenya. Nimepokea kwa jina la yesu.
Amen naziona baraka zinakuja kwa speed kwangu ubarikiwe apostle kwa mafunzo mazuri yenye nguvu ndani yake.
Nimesikiliza Ibada nzuri barikiwa mtumishi
Somo hili limenipa kazi nzuri. Samuel from Goma DRC
Am blessed,,,,I learned a lesson
Amina mtumishi mungu akubariki sana.masomo yako yananibariki sana
Am so blessed by ur preaching man of God turned in Qatar but from Kenya 🇰🇪🇶🇦
Amen
Amen mtumishi 🙏.Neno hili limenitoa mahali linanipeleka mahali👍. listening from Riyadh Saudi Arabia
Your teachings are really helpful, they are real.thank you man of God.
Asant Mungu kwakulituma neno lako nami nimepona.
Amen, nimebarikiwa sana na ujumbe huu, kabisa Mungu akubariki sana pastor.
Barikiwa mtu wa Mungu..ujumbe mzuri xana
Very powerful and educative message. God bless you evangelist.
Amen nimebalikiwa.sana mchunaji mungu akubaliki na akupe maisha maref apa dunian uzidi kuwabariki mung namim nisamehe nimetenda maov sana.naomba unisamehe unipe balakazako na uniondolee loho yadharau baba amen
Ameni sana
Nimejifunza
Kitu kikubwa sana
Na Mungu naomba unisaidie tabia yoyote mbaya
Ife kwa jina la Yesu
Amen Amen tangu Leo naenda kutafuta wanyonge kwabjina la yesu barikiwa mtumishi wa Mungu
Nimefunguliwa masikio ya roho na ya mwilini.Asante Pastor Mungu akubariki
Asante Sana apostle nmepokea funzo,Mungu anisamehe kwa yote nlitenda kwa kutojua.
Amen baba nifunze kusimama kwa heshima kinywa changu kidondoke unyenyekevu kila siku
Asante Mungu kwa kunionyesha huyu Mtumishi wako 👏ninabarikiwa sana na Mafundisho yake 🙏🙏🙏
Oooh Yesu wangu nisaidie kuwaheshimu watu pasipo kujali cheo wala mwonekano
GOB already blessed you ila akubariki tena na tena
Amen Amen Amen Asante kwa mafundisho mungu akubariki mtumishi mungu akuzidishie kibali hicho zaidi
Wow a very powerful message, I'm really blessed following you from Kenya mombasa.
Amen ubarikiwe pastor Mungu azidi kufunulia watu wake kupitia kwako
Amen pastor
Ahsante sana baba mlezi kwa mafunzo mengi yenye kutujenga. Ubarikiwe, Uhifadhiwe na Ulindwe zaidi Mtume wa Mungu.
Mahubiri matamu zaidi,nasikiza nikiwa kenya,mungu akupe ufunubo zaidi
@@marychege1473 1111111¹1111111111111
Amen mchungaji wa dada wa kazi wanadharauliwa Sana na kutegwa kwenye chakula upo vzr na wengine wanadharau wengine wenye shida wanataka waonekane mungu mtu mafundisho yako mazuri watu wajifunze toka kwako ubarkiwe
Thankyou for your insightful sermon may God continue using you as his vessel.
Thanks so much apostle,, you have taught me More about life may Almighty God bless you.this is very powerful
That you for touching me have lesen more from you Godbless you somuch
Thank you
Powerful message👏👏👏👏👏.B blessed frm kenay🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mafundisho Yako tuu Mtumishi yananijenga sana,,,Mungu akuongezee miaka duniani
Ahsante MUNGU akubariki nashukuru sana kukupata
Ooooh Lord have mercy
This is so powerful my life wl never be the same again , l seriously 😳😳😳🤔🤔🤔 need this God is speaking to me.
Barikiwa sana mtumishi massage is powerful
Very powerful message man of God , keep it up!!!!!!!!
May God add more years to live pastor.I love your preach.
So blessed! Teachings that we should hear every day. Be blessed Apostle.
Thanks listening from Saud as a house keeper Mungu atutende mema
Wow God bless you man of God...the word really touched my heart and changed my thinking, alot...watching from Saudi Arabia (I'm kenyan)
Ubarikiwe sana mtumishi,,nimejifunza vitu vingi.
Sikupata ujumbe huu kwa bahati mbaya to God be the glory asante Mungu kwa kunipa moyo wa humble kuheshimu watu wote baba Mungu naomba unipe moyo wa kuheshimu wote da asante Baba kwa ujumbe huu amina
Hili in exavata jipya Tanzania hii LA kuchakata kokoto wenye shida ya kujenga magorofa ya mioyo wameshatajirika God still bless Tanzania from moses kolela times. His mentor is major1 From Malawi I'm very blessed with him
mungu akubariki muchungaji neno nzuri
Apostle mtelemwa ubarikiwe sana kwa mafunzo mazuri sio wote wahubirio ukweli wazi wazi asnte sana ❤️
Aminaa kwa neno la hekima
NI kweli tunaangalia wageni wa kuwaakaribisha Mungu atubadilishe. Ubarikiwe sana.
Amen Apostle nimefunguka sana ufahamu
Ooh yes!asante mungu asante yesu kwa fundisho na maubiri ya leo!!mungu nipe maharifa,ufahamu na hekima ya kuishi na binadamu wenzangu!🙏
Apostle Mtalemwa Nimebarikiwa Sana na ujumbe wako hakika Mungu azidi kukutumia Sana katika kuhubiri neno lake 🙏
Amina, ujumbe mzuri
Nakumbuka ujumbe mzito huu nikiwa chuo kikuu Cha Arusha, Mungu katenda makubwa juu yangu..Amina nazidi kubarikiwa
Asante kwa mafundisho mazuri.. wengi hawapendi kusema ukweli huu. Mungu nipe hekima.
Naitwa Irene Samwel kwa kweli nmekupata sana na mungu akubariki kwa kunena.naomba namba ya cm hapo sioni vizuri.asante.
Mungu akubariki sana baba,tangu nmeanza kufatilia mafundisho naona nabadiliko kubwa.
Blessed teaching pastor..God bless u
Thanks for the word
God bless you apostle
Nmchanuka
Amen mungu akubarki mtumishi kwa mafundusho mazur
Amina Sana MUNGU akubaliki sana fundisha kemea usiogope na MUNGU akutie nguvu
ubalikiwe mchungaji nimekuelewa mungu akubaliki sana
Amen I receive from Kenya may lord intervene in my life
Asante kaka kwa mafundisho makubwa
Powerful,b bless man of God
Message well delivered may God bless you 🙏 watching you from gulf but am a 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
God bless you apostle
Amina barikiwa sana Mchungaji Mungu alikuumba kwa kusudi
Apostle karibu zanzibar utupe neno najua na wewe hujawahi kuwaza kuja zanzibar tunahtaji neno lako livee welcome baba nabii
Groria mambo
Iam really touched with this man of God and through him l confess lam blessed.
Amen, all glory be to God, wonderful message I tap on it all days of my life in the name of Jesus ❤🙏
Amen,,, amen
Asate sana PST mafunzo yako nimanzuri,inahonyesha njiha
Amen pst.
Pongezi sana
Mungu akufungulie malango ya mbinguni na akumwagie baraka tele
Ameeeeeeeeen amen amen
Pure gospel for this generation, we are full of the who's before we welcome.
Nabarikiwa na mahubili yako baba! Napenda kuhubiri kama wewe unavyohubili!! Mungu Nisaidie 🙏🙏
Ondoa ujinga kichwani wewe huwezi kua kama mwingine wewe ni wewe ni huyu ni huyu kila mtu Mungu kamuwekea kitu chake ndani yake ni wewe kukifanyia kazi
@@hawalufingo9983 🙏🙏🙏
Asante Baba mchungaji kwa neno la uzima neno limeufariji sana moyo wangu Mungu akubariki pamoja na uzao wako Amina🙏🙏🙏
Apostle be blessed sana maana mafundisho yako yamenikomboa sana kiroho.