God bless my apostle, I can clearly differentiate between trial and test, I have undergone both ,it wasn't easy but I glorify the name of God, for His grace has been sufficient unto me. I was encouraged through this verse" No temptation has overtaken you except what is common to mankind. And God is faithful; he will not let you be tempted beyond what you can bear.But when you are tempted, he will also provide a way out so that you can endure it." 1 Corinthians 10:13. May God that you serve increase you and enlarge your territory. You always encourage, rebuke, correct me through your teachings
Yehova Mungu akupe maisha marefu ili uendeleye kutujongeza Karibu na Mungu,na akupe chochote unacho muomba,abariki pia familia yako, kwajina la yesu krito amen
Mungu akubariki mtumishi ,kwa kweli mwenye masikio na asikie neno ambalo roho ayaambia makanisa , nimeelewa na namuomba Mungu anisaidie niyafanyie kazi niliyojifunza amen
Asante Mungu kwa kumpa mtumishi mafunuo haya...Nafahamu Mungu huwa unatoa ujumbe katikati ya maelfu..ili mtu mmoja tuu apone.Naye na mm..Asante mtume Mungu akuongezee miaka ya kuishi hapa duniani kwa utukufu wake..
Leo nimechomwa Sana moyo wangu huwa nafeli Mara nyingi sikubaligi kushindwa eeh Mungu nahitaji neema yako ili kushinda bila neema ya Mungu ni ngumu Sana apostle Mungu awe nawe nakufuatilia huwa napona mambo mengi Mungu akubariki saanaa amen🙏🏻
Mungu akubariki sana #ChiefApostle, nabarikiwa sana na mafundisho yako yaliyojaa mafunuo, hakika umeniinua sana kiroho namtukuza sana Mungu kwa ajili yako...live long my Mentor.
Apostle mtalemwa hakika Mungu azidi kukubariki na kukupa ufunuo.manake tangu tarehe 22.9.2020 nilipatwa na jaribu kubwa na mtihani mkubwa wa kifamilia ndani ya nyumba yangu,niliposhika simu yangu tu UA-cam yako yenye mafundisho haya yakanijia usoni mwangu na mpka Leo umeniponya na kunifanya nirejee upya na zaidi kumtumikia Mungu, Sasa kila siku na hata nusu saa haipiti bila kufungua ECG UA-cam kusikiliza mafundisho yako.Nimeamua kukoka na kumtumikia Mungu katka kweli na uwaminifu.Sasa nimejitenga kabisa kwa ajili ya kuita ufalme na mapenzi yake Mungu kwanza.Ahsante mtumishi wa Mungu.
Ameeen. God be Glorified. Let God Almighty help me change from this high temper am having, that makes me to be annoyed so easily, in the Mighty Name of Jesus.
Wisdom! Wisdom is a principle thing; in all your getting get understanding.... Thank you apostle, the God-sent for such a timely teaching. Sleep and dream more and take us deeper in the 🍖 🍖🍖🍖of God's word.❤️❤️❤️
Ameeen. God be Glorified. powerful sermon. Be blessed Apostle of the MOST HIGH God.
Mungu akubariki mno mtumishi wa Mungu aliye hai. Ujumbe huu umenivusha pakubwa. I am definitely proud of you man of God. Shukuru Sanga from Mbeya.
Amen and Amen and Amen barikiwa sana apostle
God bless you man of God and more grace from above
Nakuelewa sana we kaka ujue. Mungu akubariki.
Mungu akubariki Sana. Nimefaidika Sana.
Amen nimebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki mtumishi nimebarikiwa sana
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu , ujumbe huu unanijenga sana
God bless my apostle, I can clearly differentiate between trial and test, I have undergone both ,it wasn't easy but I glorify the name of God, for His grace has been sufficient unto me. I was encouraged through this verse" No temptation has overtaken you except what is common to mankind. And God is faithful; he will not let you be tempted beyond what you can bear.But when you are tempted, he will also provide a way out so that you can endure it." 1 Corinthians 10:13. May God that you serve increase you and enlarge your territory. You always encourage, rebuke, correct me through your teachings
Amen, Mungu akuongezee ufunuo na akupe nguvu zai.
Kweli umeokoka
Yehova Mungu akupe maisha marefu ili uendeleye kutujongeza Karibu na Mungu,na akupe chochote unacho muomba,abariki pia familia yako, kwajina la yesu krito amen
Upo sahii bro
Mungu aendelee kukuinua zaidi najifunza vitu vingi kupitia mafundisho yako.
Nimekukubali mtumishi wa Mungu Mtaremwa
Asante mchungaji nmejifunza mengi sana zidi kubarikiwa
God bless you Apostle haki kuna kitu najifunza tangu nilipoanza kukusikiliza mafundisho yako 🙏🙏🔥🔥
Mungu akubariki, umenitegulia kitendawili cha majaribu .
Mungu akubariki sana mtumishi Hakika nabarikiwa na mafundisho yako🙏🙏🙏🙏😇😇😇😇
Ameen mtumishi umenitoa Mahali nakunipeleka mahali
Mungu akubariki mtumishi ,kwa kweli mwenye masikio na asikie neno ambalo roho ayaambia makanisa , nimeelewa na namuomba Mungu anisaidie niyafanyie kazi niliyojifunza amen
Mungu akubariki kwa kuisema kweri yamungu na barikiwa Sananamahubiri yako
Asante Mungu kwa kumpa mtumishi mafunuo haya...Nafahamu Mungu huwa unatoa ujumbe katikati ya maelfu..ili mtu mmoja tuu apone.Naye na mm..Asante mtume Mungu akuongezee miaka ya kuishi hapa duniani kwa utukufu wake..
Amen chief napona sn na nondo zako
God bless you so much I have known my fault I pray hard to God to overcome both tests and trials .
Marvellous 😁🤗🤗🤗 Asante Sana Chief Nimejifunza vivyo!!!!! GOD OF MAJOR 1 BLESS YOU MY MENTOR MY MAN OF GOD!!!
Amen Chief Apostle. Asante kwa mafundisho haya..
Hakuna siku umenifurahisha km leo. Mungu akubariki
Leo nimechomwa Sana moyo wangu huwa nafeli Mara nyingi sikubaligi kushindwa eeh Mungu nahitaji neema yako ili kushinda bila neema ya Mungu ni ngumu Sana apostle Mungu awe nawe nakufuatilia huwa napona mambo mengi Mungu akubariki saanaa amen🙏🏻
AMINA, KUMBE TUKO WENGI!
Umesema na maisha yangu true God bless you Man of God
Mungu akubariki sana #ChiefApostle, nabarikiwa sana na mafundisho yako yaliyojaa mafunuo, hakika umeniinua sana kiroho namtukuza sana Mungu kwa ajili yako...live long my Mentor.
Amen be blessed man of God. Am blessed
Thanks chief nimeponà God of Major 1 bless you
Nimekuelewa Chief Apostle.
Ubarikiwe Sana kwa Somo.
Aimee be blessed chief
Amina Apostle mwenyezi Mungu akubariki
nikweli ubalikie sana mucungagi . mungu akubaliki
Apostle mtalemwa hakika Mungu azidi kukubariki na kukupa ufunuo.manake tangu tarehe 22.9.2020 nilipatwa na jaribu kubwa na mtihani mkubwa wa kifamilia ndani ya nyumba yangu,niliposhika simu yangu tu UA-cam yako yenye mafundisho haya yakanijia usoni mwangu na mpka Leo umeniponya na kunifanya nirejee upya na zaidi kumtumikia Mungu, Sasa kila siku na hata nusu saa haipiti bila kufungua ECG UA-cam kusikiliza mafundisho yako.Nimeamua kukoka na kumtumikia Mungu katka kweli na uwaminifu.Sasa nimejitenga kabisa kwa ajili ya kuita ufalme na mapenzi yake Mungu kwanza.Ahsante mtumishi wa Mungu.
asant baba kwa somo
Ameeen. God be Glorified. Let God Almighty help me change from this high temper am having, that makes me to be annoyed so easily, in the Mighty Name of Jesus.
Amina barikiwa sana
Mungu anisamehe nimefeli
Wisdom! Wisdom is a principle thing; in all your getting get understanding.... Thank you apostle, the God-sent for such a timely teaching. Sleep and dream more and take us deeper in the 🍖 🍖🍖🍖of God's word.❤️❤️❤️
Thank you so much papa . Today was my day 🙏🙏🙏
Upo safii bro
Amen you are an amazing man of God
Nakukubali mwalimu wangu wewe ndo chanzo cha kukua kwangu kiroho
Hello barikiwa sanaaa mnapatikana wapi
Asante sana na hakika Mungu akubariki
God bless you Man of God ,,naendelea kupona
Thank you..Apostle
Ameeen asante sana Mungu akubariki Kwa somo kubwa na zuri kama hili.
Amen ubarikiwe
Huwa tunakosea saaaana tunafelishwa na kinyongo,kiburi,dharau asante kwa kutufundishwa neno lili jema mioyoni mwetu
Nimebarikiwa sana. Mungu akubariki Ameen.
Amina nakupenda mtumishi kwa kusema kweli.nabarikiwa na mafundisho yako ubarikiwe sana.
Amina mtumish
Uko vizuri pastor somo hili ni fact
Nimekuelewa Sana mtumishi wa MUNGU .somo hili nalihitaji muno
Amen and Hallelujah Glory be to God
Thank you Apostle 🙏
Hallelujah
Amen amen
Amen Amen..
God bless you
Amin mtumish
Amen 🙏🙏🙏🙌🇰🇪
amen amen tuambie tuelewe
Balikiwa sna chif sichawahi chk kusikiliza mahubili yako mwnyz Mungu azdi kukuinua
Asante sana Apostle nimejifunza mengi leo 🙏
Balikiwaaa
Mtumishi kiukweli unagusa mioyo ya watu.Yesu kristo awe pamoja nawe katika kuifanya kazi yake.
I connect and i Receive with my family in JESUS name AMEN
ila appostle, mimi nkuelewa sana, zaidi ya mchungaji wewe ni mwalimu bora wa neno la Mungu
Yani unanushangaza mno ! Mshibhuka !! Hahahaa
Hawa watu wanadislike 120% wanamajini
Hakika umegusa maisha yangu
Thx dady
Nimepokea Man of god
Nimekuelewa mtumishi
Ameni
Wengi sana wameacha wokovu kwa sababu ya mke, mume au kazi!!!
Thank you so mach papa
Hakika nimebarikiwa mnooooo
Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus Jesus 🙌🙌🙌😭🙇♀️
Ameni pasta
Powerful Chief,umetupa ukweli wa Maisha yetu, Mungu akubariki na kukuinua kila iitwapo leo
Daah!asante Mungu kwa haya mafunuo ,nimejikuta natakiwa kuanza upya kabisaaa,Mungu akubariki sana chief.
Haleluyaaaa
AMEN.
bwana yesu asifiwe 🤲🤲🤲
Ameen Ameen Ameen Hallelujah Hallelujah
Amina !
bora wasije hao wakubwa wa dhambi
AMEEN
Unavyoo gea vyote niu kweli kabs
Mtumishi tunakuomba kwema wanawake wengi kanisani kwako wanavaa vimini Sana na ukumtandaoni wapo wachanga kiroho .
Ooh yes
Nikuelewa mtumishi
Amen
kweli tupu