UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 569

  • @hilarynjau895
    @hilarynjau895 4 місяці тому +1

    I tap into this anointing testimony in Jesus' Name. Amen

  • @gracekakore293
    @gracekakore293 5 місяців тому +55

    Ushuhuda wako kama wakwangu I was once like you and everyone was telling me that i have to serve God lakini nilikua mkaidi sana ilifika wakati Mungu aliblock kila kitu kwenye maisha yangu hapo ndipo niliamua kumrejelea Mungu nikafunga na kuomba seven days baada ya hapo Mungu aliniambia kuwa sitakiwi kumtegemea yoyote yule isipokuwa yeye tu tangu hapo Mungu alianza ku repair maisha yangu kidogo kidogo and am growing na ninamtumikia Mungu na kumtumikia Mungu haimanishi kuwa lazima uwe mchungaji nabii au muinjilisti lakini unaweza kumtumikia Mungu kwenye eneo lolote lililo halali na kila mtu aliyempa Yesu maisha ni mtumishi mtangaze Yesu dada Irene kumjua Yesu ndo ujanja sasa yani hapo ndo umekua mjanja

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c 5 місяців тому +16

    Baada ya kusikiliza nimetambua Irene is truly a Living Testimony. Mungu wa Mbinguni azidi kukuinua viwango vya juu zaidi dada

  • @veeJesus
    @veeJesus 5 місяців тому +48

    Pastor Tony is a blessing to Many of us. Mungu amtunze sana

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 місяців тому +48

    Hongera sana Irene Uwoya, MUNGU ameamua kukuchagua usiache njia hiyo ni sahihi! Keep it up💌

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 5 місяців тому +93

    Mungu aliyekuonekania kwenye maisha yako akaonekane na kwangu Amen 🙏♥️

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 5 місяців тому +22

    Daaah mpk nimetoa machozi, hongera sana Irene, kwa kweli umeupiga mwingi, nakutamani sanaa❤

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 5 місяців тому +6

    KWAKWELI NMEKUPENDA BURE IRENE WANGU.ALLAH AKUONGOZE.MIMI NI MWISLAM NINA IMAN YANGU LKN NMEKUSIKILIZA KWA MAKINI WW NI MKRISTO ULIOSHIBA YA DUNIA.UENDELEE KUKINAI YA DUNIANI.MANA DUNIA NI MAPITO.UBAKI KUMTUMIKIA MUNGU.NI KWELI TUMELETWA ILI TUMUABUDU MUNGU ❤. MUNGU AKUTUNZE❤❤❤❤❤POLE KWA MAPITO.HUJACHELEWA

  • @eliadamwandumbya734
    @eliadamwandumbya734 5 місяців тому +28

    Limeinuliwa jina lake Yesu 🙌 Halellujah
    Hakika wew ni ushuhuda tosha kwa ajili ya ufalme wa Mungu. Na hii ndio maana ya kusema Mungu anawatu wengi sana hajawahi ishiwa🙌. Mungu aendelee kukutunza na ukafanyike baraka ya kuvuta watu wengi sana kwenye tasinia ya sanaa kupitia wew dada. And u will be among the richest women of God in Tanzania in Jesus name🙌

  • @EmmanuelChangula
    @EmmanuelChangula 4 місяці тому +2

    Heshima na utukufu wotee tumpe Bwana Yesu,Dada Irene ushuhuda wako umeniongezea nguvu sana ktk imani na kuendelea kunyenyekea sana mbele za Mungu

  • @noelaabbas
    @noelaabbas 5 місяців тому +18

    Hakika nimebarikiwa sana na huu ushuhuda!! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Ninatamani sisi tulio elewa huu ushuhuda tumuishi Yesu kwa aşılımia 💯 kuna raha na amani ndani ya Yesu!!

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 5 місяців тому +21

    Na Irene kweli umebadilika,yani umekuwa mzuri zaidi❤❤❤🙏

  • @Salamabarbie
    @Salamabarbie 5 місяців тому +30

    Hakuna neema kubwa kama hii aliopata irene neema na kusali kuomba kufunga na kua karibu na Mungu ni neema kubwa mnooo kuliko neema yoyote ile

  • @edwardnaanita
    @edwardnaanita 4 місяці тому +3

    Glory to God, Glory be to the most highest God forever and ever AMEN 🙏 🙏 🙏
    YESU azidi kukutunza na kukupa nguvu ya kumtumikia.❤

  • @winfreygodfrey4339
    @winfreygodfrey4339 3 місяці тому

    Kati ya wa sanii wa bongo move ambao nimewahi kuwapenda kutoka moyoni mwangu ni ww chakwanza ni hekima Yako ya kutojibishana mitandaoni nakufurahia sana Irene Mungu akubariki sana umenipa nguvu mpya safari Yako ya wokovu inafanya na yangu hata sasa nastrago kumrudia Mungu 100%

  • @mastajabufailasignorita633
    @mastajabufailasignorita633 5 місяців тому +5

    Jina la Yesu Christo liinuliwe milele na milele Amen 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 IRENE nakupenda kuanzia leo na Mungu atuimize katika safari ya kwenda mbinguni😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 5 місяців тому +19

    Umeongea maneno yamenigusa sana we dada 😭eeh Mungu tusamehe waja wako 🤲😭

  • @tagomshana4032
    @tagomshana4032 3 місяці тому

    Barikiwa dada erini ushuhuda wako umeniliza sana mungu anakupenda sana hakutaka akuache upotee umepata neema kubwa sana usiipoteze ata kidogo atazidi kukufungua❤️❤️

  • @neemalauwo1603
    @neemalauwo1603 4 місяці тому +1

    Mwenyezi Mungu azidi kukuinua Irene, ni maombi yangu kwa Mungu kwamba asikuache na wala usirudi nyuma, roho mtakatifu azidi kukuongoza uzidi kumtumikia, kupitia wewe Wengi wapate kumjua Mungu, Haleluya.

  • @blessed3726
    @blessed3726 5 місяців тому +18

    Waoh huyu ndo Mungu wangu naemjua , Mungu si wa watu fulani fulani bali ni wa wote anawaita unqualified na kuwa fanya qualified to His kingdom.hallelujah.i love you ❤

    • @Mchiwalalatz
      @Mchiwalalatz 5 місяців тому

      Kabisa huyu ndio Mungu wetu❤

  • @hawababy120
    @hawababy120 5 місяців тому +18

    Mungu Akuwezeshe sanaa Irene maana kama ni bata umelila lakutosha umepitia vikwazo vingi dunia tunapita dada kua na mwisho mwema ndo kizuri zaidi.🥰🥰

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 29 днів тому

    Irene mzuri iv halafu ameokoka,...mimi ni nani hata nisimtumikie Mungu,...Jehovah nisaidie nami hasa kimsimamo maana nalegalega mno. IJN Amen

  • @JanethManyangu
    @JanethManyangu 2 місяці тому

    Hongera sana umechagua fungu lililo jema yaani nimefurahi Mungu alikujua na alikuwa anajua Kuna majira yatafika utakuwa mtumishi wake Fanya kazi ya Mungu utalipwa na Mungu

  • @sylviadanford9138
    @sylviadanford9138 5 місяців тому +15

    Hakuna raha kama Mungu akikupenda jamn,its a honour in this universe, your blessed dia so blessed ,sijui kama unanielewa,Hongera n never give up n go back,keep moving Cz God will give u a backup

  • @NancyCMjema
    @NancyCMjema 5 місяців тому +11

    God bless you Irene❤️
    Uzidi kusonga mbele tupo tunaokutazama kuanzia leo 🙏🏾🙏🏾 He will never Leave you nor Forsake you🥰

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa 5 місяців тому +14

    Haleluyaa,yaani nakuonea wivu sana, MUNGU amekupendelea sana wewe ni chanzo cha wadada wengi kumrejea MUNGU ubarikiwe sana wewe na uzao wako kwa kusimama ktk nafasi aliokuitia Mungu,hakuna tena utumwa wala ukimbizi peperusha bendera. ya YESU matokeo yake ni makubwa mno,karibu sana kwenye fungu Jema, God protect you

  • @agnesNdonde
    @agnesNdonde 5 місяців тому +10

    Asante sana Irene wewe ni role model wa mabint wengi sana Mungu na azidi kukutumia kuokoa wengi. Ubarikiwe mno

  • @subisekelamwisa5275
    @subisekelamwisa5275 3 місяці тому

    ❤ Njia za Mungu hazichunguziki, honger San Dad Irene keep it up

  • @bonifacebwamahoro1733
    @bonifacebwamahoro1733 5 місяців тому +25

    Niko Burundi.Habari ya kuokoka kwa Irene Uwoya yanifurahisha mno.Kama ni Mungu aliyemwita aendelee kumtumia ili wengine mfano wake waokoke

  • @rosemaryshangali_
    @rosemaryshangali_ Місяць тому

    Mungu akutunze dada Irene...am happy for you. Jesus is always a real big deal and a permanent solution.

  • @jamilanyatuka4614
    @jamilanyatuka4614 5 місяців тому +85

    Neema iliyokushukia ni kubwa mno.Amani ya Bwana iwe rohoni mwako daima.Umechagua fungu lililo jema sanaaa.I really learn and proud of God for His chosen person Irene.Endelea kuwa mtendaji kwenye mavuno ndani ya shamba la Bwana.

    • @Hairbyfabiola
      @Hairbyfabiola 5 місяців тому

      Iyo nikweri

    • @mbisychristian2325
      @mbisychristian2325 5 місяців тому +1

      Mungu aliyekuita ana sababu kubwa na maisha yako Irene Uwoya
      Sifa na Utukufu kwa Mungu

    • @poshsmith4268
      @poshsmith4268 5 місяців тому

      Mungu akubariki Irene ,umenitia moyo sana

    • @isacktesha6659
      @isacktesha6659 5 місяців тому

      Hongera sana mtumishi, karibu kwenye ufalme wa Mungu aliye hai ,ushuhuda wako unagusa sana ,na Kwa ushuhuda huu wengi wataokoka ,hicho ndicho ulichitiwa

    • @MonicaSamson-q4j
      @MonicaSamson-q4j 5 місяців тому +1

      Endelea Mbele hajalishi kutakuwa na changamoto Gani ,hata Mungu alimwambia Musa awambie Wana wa Israel waendelee mbele wasitazame nyumba,najifunza vitu vingi sana inanifanya kumuona Mungu hatuwezi kumuweekea mipaka,yeye anauwezo wa kufanya chochote kama apendavyo,sisi ni vyombo vya Mungu anaweza kutumia chombo chochote akipendacho yeye,Ireni nakupenda sana

  • @abdullukindo2780
    @abdullukindo2780 4 місяці тому

    Spiritual Enlightenment at its height! 👏👏👏.

  • @elogeniyomwungere9114
    @elogeniyomwungere9114 5 місяців тому +33

    I'm from Burundi nafurahi sana kuskia testimony yako Irene umeichagua njia nzuri endelea kumtumikia Mungu 🎉🎉🎉🎉

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 5 місяців тому +4

    Yule mama aliyepiga kelele na safari ya Irene aje kusiliza huu ushuhuda wake ...kasema hana kanisa na yeye bado sio mchungaji lakini an kitu cha kuwaleta wengi kwa Kristo hasa mabinti...ana kitu cha kuwaambia na wakawa na ile hamu au hari ya kuja kwa Yesu ...Mungu ana njia zake za kuwafanya watu wamtumikie sio mpaka uoge uoshwe sijui ujitakase ndio utumike...Mungu anajua namna gani anavyorehemu amtakaye ili aweze kuwa wake..hongera sana Irene songa mbele mwanangu kwa ulichoamua ni cha thamani kuliko ulivyowahi kuvimiliki maishani kwako

  • @lightnessamson088
    @lightnessamson088 Місяць тому

    Naamini vijana tumejifunza mengi kupitia ww asante Mungu kupitia Irene 🙏🙏

  • @MercyLaurent-s7q
    @MercyLaurent-s7q 3 місяці тому

    Hongera Sana Irene Neema hiyo uliyoipata, naipokea Kwa Jina la yesu.

  • @DannyLabelle-l3l
    @DannyLabelle-l3l 5 місяців тому

    God is Good All the time nirikuwa nakupenda ivi sasa nakupenda zayidi na zayidi maman Krish wangu❤❤❤❤kuwa kwa Yesu ni raha sana

  • @joffrey238
    @joffrey238 4 місяці тому

    Glory to the most high God... Hakika Kwa hichi Mungu Atakuzidisha Sana, Maana this is how GOD Can Be Explain and be seen Kwa jamii... GodBlessYou🙏 SisIRENE, (WOMANOFGOD). #FRIENDSOFGOD💪

  • @JaneMugoya-k7u
    @JaneMugoya-k7u 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe Dada don't give up

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 5 місяців тому +3

    😭😭😭Your blessed ,Umebariki wengi kupitia huu Ushuhuda.Endelea Mbele Songa Mbele Mwenyezi Mungu hawezi kumuacha Mtumishi wake aibike,Endelea kumtumikia Mungu njia uliyochagua ndio nzuri kuliko vitu vyote Duniani.

  • @sarakasuga2938
    @sarakasuga2938 4 місяці тому

    Alellujah madam Irene mungu aliekuita kumtumikia nq Mimi aniweke katika nafasi hii kwa jina LA yesu mungu akuzidishe weww uwe mfano kwetu na kwa watoto wetu Amen❤❤🎉🙏🙏

  • @BetisebaLuoga
    @BetisebaLuoga 3 місяці тому

    Asantee sana dada irene umebadilisha maisha yangu sanaa mungu akubariki

  • @G.S985
    @G.S985 17 днів тому

    Yesu juu sana,ushuuda wako umesababisha nilie na nimpende Mungu tena,yani na mimi niliokoka kama wewe watu wakanipa mda ,walinicheka na marafiki waliniacha,Mungu akatutia ngivu sasa ni mwaka 16 na sitarudi nyuma.

  • @rosemaryluhwago
    @rosemaryluhwago 4 місяці тому

    Umenitia moyo sana dada Irene mungu azidi kukuinua sana katika huduma yako

  • @veronicaliana7274
    @veronicaliana7274 5 місяців тому

    😢😢😢 Bwana Yesu ni mzuri sanaaaa, Namemuona Mungu tena na tena kupitia huu ushuhuda. Bwana Yesu Asante Kwa haya matendo yako Makuu. Bwana Yesu aendelee kutukuzwa kwenye maisha yako mapya ya wokovu mwana wa Mungu

  • @MamyLily-f2i
    @MamyLily-f2i 5 місяців тому +30

    Ushuhuda huu unaenda kuokoa watu wengi mno ktk dhambi

    • @MariamKichawele
      @MariamKichawele 5 місяців тому

      Mm mweyewe najiona kama irene ntafuata moyo wng ktk kuwa mwema kwangu ,Wallah nimejiona mm kupitia huyu dada ,ngoja sasa nkatafute panadol nimeze mana si kwa kulia huku mwanzo hadi mwisho wa interview yk,Mungu atuongoze wote

    • @glorymamkwe4360
      @glorymamkwe4360 5 місяців тому +1

      Sana sanaa pamoja na mimi

  • @Officialeinothlekasio
    @Officialeinothlekasio 4 місяці тому

    Am blessed with your testimony,God is Soo loving jmn🥺🙌

  • @JacquelineJames-g3f
    @JacquelineJames-g3f 5 місяців тому +2

    Nimesikia kulia 😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤mungu akuongoze pia aniongoze nimjue kupitia ww najiona kabsa hata ninavyoishi

  • @doreenpondamali
    @doreenpondamali 5 місяців тому +2

    After so much crying, Point taken "Ni Mungu Tuu"

  • @gloryfungo9362
    @gloryfungo9362 4 місяці тому

    Dada irene mungu akubariki sanaa hata mm nilisha kuona sana kwenye ndoto nikawa nawaza nakupataje je utanielewa hatanikikuona lakini nashukuru mungu amekuokoa.andelee kukutetea.

  • @RahmaKhamissi-dh5ie
    @RahmaKhamissi-dh5ie 4 місяці тому

    Merci maman Mutumishi Wa Mungu Amen❤❤❤❤❤❤

  • @margarethernesto
    @margarethernesto 5 місяців тому +3

    Hongera Irene ,Mungu aendelee kukisimamia hakika umekuwa ushuhuda kwa wengi, nashauri uweke namba ya simu kwa ajili ya michango kwa watakaoguswa kuchangia huduma. Binafsi nimeguswa mno na ushuhuda wako na naamini Mungu aliyetenda kwako atatenda kwangu pia ,Amina.

  • @vickyitenyo.
    @vickyitenyo. 4 місяці тому

    Such a beautiful testimony Irene. Sending you love from Kenya❤❤❤ God's faithfulness is evident in your story. More grace to you Sis.

  • @JamilaAbdallah-nh5bp
    @JamilaAbdallah-nh5bp 2 місяці тому

    Mungu amemchagua iren kuja kutuokoa kwenye dhambi zetu na kupitia iren tutabadilika wengi sanaaaa

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 4 місяці тому

    🙌hongera sana sana sis Mungu akujalie kusonga mbele usirudi nyuma Mungu ni wa wote wenye mwili na humchagua yy amtakaye ili amtumikie songa mbele kazana umenivutia jambo limenigusa sana kweli Mungu hana special🥰🙏tuombe ndugu zako ktk Kristo🙏

  • @DivineIrera
    @DivineIrera 5 місяців тому +3

    Im from burundi🇧🇮nafurahi kumuona Irene mpya 😭😭😭❤❤❤Mungu azidi kukubariki sana dadangu Irene umenikumbusha upendo wa Mungu lakini testimony yako itawasaidia wengii ....Mungu azidi kukutia nguvu ya kumtumikia🙏

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 5 місяців тому +1

    I Love You Irene👏🏼Hongera sana kwa Kumtumikia Mwenyezi Mungu ushuhuda wako umezidi kunibariki sana sana sana your Blessed God Loves you so Much🙏🏿songa Mbele Endelea kusonga mbele

  • @JULIETOYARO
    @JULIETOYARO 5 місяців тому

    Hallelujah Hallelujah 🙌🙌🙌👏👏👏👏God bless you my sister 🙏

  • @DannyLabelle-l3l
    @DannyLabelle-l3l 5 місяців тому

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah

  • @pinaphilly2629
    @pinaphilly2629 4 місяці тому

    Dada Irene,ushuhuda huu mrefu,lakini nimeusikiliza..Mungu akusaidie Una kitu Cha kusaidia wengine,Fanya kama ulivyomaanisha,Bwana Yesu anatukuzwa.

  • @carolinetandaika8273
    @carolinetandaika8273 5 місяців тому

    Nyieee mwachen Mungu aitwe Mungu,nmelia machiz ya furaha na kujifunza meng kupitia hili, Mungu akutie nguvu usirud nyumaaa thanks God kwa ajili yako❤❤❤

  • @mercyesrom8618
    @mercyesrom8618 5 місяців тому +6

    God bless you Mtumishi Irene,with this na amini umegusa maisha ya wengi,Gods time is the best,God bless you

  • @neemaluge6114
    @neemaluge6114 5 місяців тому +2

    Wewe ni ushuhuda halisi wa Mungu anamchagua yeyote kwa kazi yake, na kila kitu kina kusudi kinapotokea kwenye maisha ya mtu,ulitengeneza njia ili na wengine tuzidi kuamini na tuache kujihukumu na tumuamini Mungu kwa ajili ya kazi yake. Hongera kwa kuwa taa ya mabinti wengi wanaotakiwa kutumika katika ufalme wa mbinguni, barikiwa sana mtumishi wa Mungu, keep pressing on.

  • @IvethaDeus
    @IvethaDeus 4 місяці тому

    Mungu akubariki sana yaan mm hata kwenda kanisani moyo wangu huwa mzito saaaana siwez sjui kwann yan roho yangu inaniuma sana sanaaa

  • @ibrahimukapaya4955
    @ibrahimukapaya4955 5 місяців тому +12

    Ongera sana huyo ndiyo Bwana Yesu anavyo badilisha watoto wake wependwao sana Dada keep moving on in life Christ in the way

  • @cristamelahashimu3679
    @cristamelahashimu3679 5 місяців тому +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah.

  • @nicolekibashimba558
    @nicolekibashimba558 4 місяці тому

    Mwenyezi Mungu akubariki na akuwezeshe uendele mbele

  • @pracksedachrispine5504
    @pracksedachrispine5504 5 місяців тому

    Hongera sana mtumwa wa Mungu,lipo kundi kubwa la vijana wataokoka kupitia wewe,,Mungu aendelee kukubadilisha uishi utakatifu wa ndani na nje,uwe natural natural kwa kila kitu.Mungu
    Akutie nguvu.

  • @jacquelinecharles4790
    @jacquelinecharles4790 4 місяці тому

    Am really blessed by your testimony na nakutamania.

  • @rolitakaswamila9152
    @rolitakaswamila9152 5 місяців тому

    Powerful testimony Irene,He that started a good work in you shall accomplish it for his own glory,keep soaring higher,Jesus is proud of you,Sisterhood is proud of you❤

  • @NdayikezaGyslaine
    @NdayikezaGyslaine 4 місяці тому

    Sifa kwa bwana Mungu nimelia😢😢 sn ushuhud nkuu sn umenijeng an niko Burundi ubarikiw na Mungu awenaw

  • @vickiemerere4056
    @vickiemerere4056 5 місяців тому +1

    Im happy for you Irene na umenipa nguvu ya kusonga mbele❤❤❤

  • @hopekhin8348
    @hopekhin8348 5 місяців тому

    Ireen umechagua jambo jema sana,sitamani hata kidogo urudie yakale uliyo yaishi kabla ya kuitwa na Mungu.Mungu akutunze sana asikuache hata hatua yako moja awe na wewe daima.Sijajuta kukusikiliza mtumishi wa Bwana.Barikiwa sana.

  • @mwalimuselemankasangani2074
    @mwalimuselemankasangani2074 4 місяці тому

    Mungu akutie nguvu iren uwoya na neema ya Mungu iwe juu yako daima❤ nimependa sana na ninafuraha kubwa sana kwa ajili yako

  • @mbaisiirene
    @mbaisiirene 5 місяців тому +1

    Its called restoration may the Lord of restoration continue restoring you in your entire journey Irene Uwoya blessing from 🇰🇪

  • @EstherLulah
    @EstherLulah 5 місяців тому +4

    Hongera kwa neema hongera kwa kuchaguliwa na Mungu hongera kwa ushindi hongera Irene Mungu ameshindaaa Ameeen

  • @christinanoel5554
    @christinanoel5554 5 місяців тому +4

    Thank you for saying YES to our LORD JESUS CHRIST ❤️❤️ we love you ireen and we are praying for you and the ministry

  • @GloriaFaizi
    @GloriaFaizi 4 місяці тому

    Mungu akubariki dd angu sijawai saidiwa na weye lakini kila siku nakuombea irene nakupenda kutokea congo

  • @graciesamuel7680
    @graciesamuel7680 5 місяців тому +2

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Wengi watakubeza, watakucheka, watakudharau, watakukashifu na mengi mengineyo. Ila njia uliyochagua ni njema na sahihi. Mungu aendelee kukutunza na mwisho wa siku tukutane paradiso

  • @veeJesus
    @veeJesus 5 місяців тому +6

    What an encounter 👏 Wow Glory to Jesus. You even had a chance to meet Prophettes Bebe Angel wow. Kwa kweli Mungu akimbiwi. Me ata ukianzisha kanisha sishangai. God can do all things

    • @olivemwamengonakilimombeya6951
      @olivemwamengonakilimombeya6951 5 місяців тому

      Bebe angel sijaelewa

    • @veeJesus
      @veeJesus 5 місяців тому

      @@olivemwamengonakilimombeya6951 Kuna mtumishi wa Mungu alikutana nae kipindi huyo mtumishi amekuja Dar

  • @mercymaganga774
    @mercymaganga774 5 місяців тому

    Mungu anisaidie niiasho maisha yankumpendeza Mungu....🙏

  • @SarafinaMuyinga
    @SarafinaMuyinga 4 місяці тому

    Nimebarokiwa sana naushuhuda wako Namuomba Mungu anitendee pia ubarikiwe ❤

  • @hildawahome6881
    @hildawahome6881 5 місяців тому +1

    To God be Glory 🙏🙌🙏🙌🙏

  • @Trudah77
    @Trudah77 5 місяців тому

    Asante kwa hii Mungu akubariki imenijenga 🙏🏻❤️

  • @neemapeter7779
    @neemapeter7779 5 місяців тому +5

    Glory to God, nimebarikiwa mno, nimeguswa

  • @pamellalyatuu915
    @pamellalyatuu915 5 місяців тому

    Ushuhuda wako da Irene umeniinua sana kiroho na mimi kama binti.Kumtumikia Mungu kuna faida kubwa sana.Mungu akubariki sana dada angu.

  • @ninayamat8213
    @ninayamat8213 5 місяців тому

    Irene huo ni wito mamii nakushauri ufate Mungu alichokuitia na utaona mengi makubwa na ziba masikio achana na wanaokukatisha tamaa juu ya hii safari uliyoanza. Congratulations mamii😊

  • @JamilaAbdallah-nh5bp
    @JamilaAbdallah-nh5bp 2 місяці тому +1

    Nimelia Ata Sijui nn kimenigusa,naipata sanaaaa sauti niache mambo ya ajabu nimludie Mungu ila shetani yuko mbele yangu naumia sanaaaaaa naikataaa sanaaaa hii nafsi chafu 😒😔

  • @chobamumba9441
    @chobamumba9441 5 місяців тому +9

    Irene Mungu akubariki sana, kupitia wewe uta okoa wengi mnoo, endelea na usirudi nyuma kabisa.

  • @twidikagejoel1892
    @twidikagejoel1892 5 місяців тому

    Can't stop crying while watching your testimony 😭,our God is a merciful one and there is no one like him, Endelea kumtumikia Kwa uaminifu

  • @mrsseanbrian4213
    @mrsseanbrian4213 5 місяців тому +18

    Irene mapenzi ya Mungu yatimizwe kwenye maisha yako.Amina

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 5 місяців тому +2

    Kuna vitu ambavyo ukiskia na kutokan na mtu mweny anatamka kile kitu inakupa kuamini na kukujengea amani kua kweli Mungu yupo na nimfinyanzi mzuri sana na hakun anacho kishindwa haswa pale anapo kua ameamuwa duh kweli Mungu yupo nikimuon Mama Krish a amini zaidi kua Mungu yupo love you Irene ❤❤❤❤❤❤❤

  • @nm2713-x8j
    @nm2713-x8j 4 місяці тому

    You are and have always been beautiful in and out. Keep your head high, you are a child of God. He loves you.

  • @Edencitytv81
    @Edencitytv81 5 місяців тому

    God bless you so much. This is very strong testimony.

  • @kaizajr8991
    @kaizajr8991 5 місяців тому +4

    Asante sana IRENE, ushuhuda wako umenisidia sana. Mungu akubariki na akupe haja ya moyo wako. ❤❤❤❤❤

  • @eversimon4196
    @eversimon4196 4 місяці тому

    Nimeskiliza nimeguswa na story yako Iren ,mungu akuongoze safari yako ya kumtumikia mungu

  • @shedrackngira
    @shedrackngira 5 місяців тому

    neema ya Mungu inatenda kaz sana dunian🙏🙏🙏 umenitoa sehemu mama IRENE 🙏🙏🙏sifa ni kwa Mungu

  • @berthamataba5489
    @berthamataba5489 4 місяці тому

    Hakika Irene umejua kunifurahisha. Mungu akuimarishe zaidi.

  • @Blessing32162
    @Blessing32162 5 місяців тому +9

    Karibu sana Irene Uwoya kwenye injili ya Yesu Kristo na nina wimbo mahususi inayogusa maisha ya watu natamani nikushirikishe wimbo unaitwa MY SERVIOR

  • @LyseBellaNISHIMWE
    @LyseBellaNISHIMWE 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana Irene