Mzee mwinyi mm nimekuja na ombi langy kwako km baba wa waigizaji wa time pemba watt wako wa kike Naomba na wenzake wakitoka nje ya uigizaji wapemba wanavuka mikapa kukaa kichwa wazi na tamthilia ya mawiyo waangalie wasiendelee kupotoka wawe wanajistiri ss mashabiki zao tumewapenda km walivo wanao wachukuwa wawaachie uhalisia wao na km nimewakwaza mnisamehe
hawa wa pemba nawa unguja pia asili yao hawa niwabajuni(wagunya) walo hama zamani kutoka shungwaya huko Somalia ata lahaja zao zafanana sana nakibajuni at majina yao KOMBO, HAJI,FAKI namajina mangi ukiyataamali utaona nimajina yale yale yakibajuni yazamani
Mashaa Alllah 🙏 mwinyi mpeku upo vizuri Mungu Akubariki
Wallahi huku Sikufaulu Waislam nikupotea huku sikufaulu Kisha Mnamsifu
Kikojani na china ni kimoja, mashallall nimependa lahaja,na nyimbo❤❤❤
Hasaaa kikojani na kichina ni lg moja
Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh . MashaAllah Allah akuhifadh mzee wetu nikweli hukai tuu ukakusanya sandukuniiii
Mama yake alikuwa mzuri huyo kama muarabu na nywele singaa na dada zake mashallah jirani yetu huyo
enhe jirani yako wa wapi?
Ni shangazi yetu mama yake. Kwa hiyo mm ni kaka yangu damu
mashallah
Mashallah mzee mwinyi uko vizuri katika sanaa, nauliza baada ya ile filamu ya FUNGATE inakuja nyengine au bado kwanza❤❤❤🎉🎉
Nampenda sana Allah amzidishie afya njema mzee mwinyi mpeku
Fungate nilienda sana❤❤❤🎉🎉
Mjombaa wangu mwinyi mpeku wa peku la ungo
nakupenda snaa mwinyi
Nafurahi mzee Mwinyi akikutana na Kachara, mchezo unakuwa umetimia. 😊
NAMKIBALI SANA HIYU MZEE MWINUII🎉🎉🎉🎉❤❤
Masha Alla nimepechewa sana😂😂
Spend mm m2 akisem hvyo......et kun mkojan na mpemba...
Honger mzee mwinyi😂
Ana nifurahisha alicho act hasahau akumbuka yote
Mzee mwinyi mm nimekuja na ombi langy kwako km baba wa waigizaji wa time pemba watt wako wa kike Naomba na wenzake wakitoka nje ya uigizaji wapemba wanavuka mikapa kukaa kichwa wazi na tamthilia ya mawiyo waangalie wasiendelee kupotoka wawe wanajistiri ss mashabiki zao tumewapenda km walivo wanao wachukuwa wawaachie uhalisia wao na km nimewakwaza mnisamehe
Kweli kaka yule dada wa mawio ametudhalilisha vibaya mno anajifananisha na watu wa culture nyengine..Amewakosea wenzake sana yale sio maadili yetu
Mwinyi nakubali sana ningeomba wamfuate azam waigize
❤❤❤🎉🎉🎉
Good 🎉
hussen mwinyi mpeku😅😅😅😅😅
Azam ndio sehemu sahihi ya kuonesha kazi zenu
....pambaneni mpate nafasi ys kuonesha kaxi zenu azam
Assalam alaikum vp hali zenu? Mm swali langu nikutaka kujua hizo koo tano za asili ya watu wa kojani ni zipi na zinatokea wapi? Ahsante.
The legend lives, tuwaenzi wangali hai, zamu ya kachara na wengine kuhojiwa nayo lini?
Mombasa wapi kenya ama TZ vipi
kenya iyo,alisema badae alienda vanga pia ni kenya iyo.
Jamaaa anajuwa
Mzee mwinyi na kachara na kitatange ninoma sana wakikutana 😅😂
Endeleza lahaja Mwinyi
hawa wa pemba nawa unguja pia asili yao hawa niwabajuni(wagunya) walo hama zamani kutoka shungwaya huko Somalia ata lahaja zao zafanana sana nakibajuni at majina yao KOMBO, HAJI,FAKI namajina mangi ukiyataamali utaona nimajina yale yale yakibajuni yazamani
mwinyi kwa mashairi
Mjomba mvi unazo kidevu cheupe hicho mjomba wasema kweli au wapwaza sheli
Wapwaza sheli nini
😂 Mimi baadhi ya kiswahili yanipigichenga
Sema utafusiriwe wenyewe tupo
mwinyi mpeku haachi
Teneyiiiii
Hahahhaa mashallah😂
Mwinyi bahna 😂😂,
Mjomba mwinyi tunakua mini kaaa weyee kunkuchya😂
Shuwashaaaaaaa
Vanga na jasini umenikumbusha mbali
Huko ni tanga mpakani na kenya
Ufukweni wa bahari hindi
MWINYI MPEKU,OMBENI MUIGIZE KWENYE TV YA AZAM.
Mwinyi uko vizuri kimaelezo lakini hujasema kama muwachafu mwanya njiani wajinga
😂😂😂 waanza kuwachokoza me simo
❤❤❤❤❤
Mzee Acha Ujinga Hupungui Miaka 50 hapo una Endeleza Ujinga ndio Ina wasaidia nini Waislam hii