IRENE UWOYA: "NIKO TAYARI KWA NDOA YA 3, IDANCE, SIKUWAHI KUBADILI DINI, NILIONDOKA SIKU HIYOHIYO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 681

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 років тому +5

    Hongera sana Millard Ayo kwa maswali yako ya kina watu huwa wanafunguka sana hakuna kuficha hata kidogo nimependa sana interview hii Irene uwoya amefunguka sana leo hakuna no komenti.

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 5 років тому +161

    Kama umegundua wakitazamana macho yao yanaaibu km wanatamaniana hivi gonga like 😜😜😂😂😂

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 5 років тому +18

    Humble n fantastic interview, soo dope

  • @manyakuulaompondelo4419
    @manyakuulaompondelo4419 5 років тому +20

    Ila kuandaa movie ni kazi ngumu jamani dooh! Hongera Irene.
    Hongera zaidi Millard kwa kutuletea mahojiano haya.

  • @jamilaathumani7950
    @jamilaathumani7950 5 років тому +56

    Irene single maza like me,,wanaomkubali irene kama mim kwa harakati zake za malez mazuli na kaz nzuri,,tujuane mapemaaa

  • @TheGovernorOnlineTVKenya
    @TheGovernorOnlineTVKenya 4 роки тому +4

    I love the interview

  • @rentadelilah
    @rentadelilah 5 років тому +50

    Nampenda huyu dada jamani hata wamseme vipi mi nampenda 😘😍

    • @johnsonmwaura131
      @johnsonmwaura131 5 років тому

      Nipende Mimi

    • @claramkisi5268
      @claramkisi5268 5 років тому

      Mimi natamani tuongee nae Nipigie nae story napendag2 kumuon nshamuon

  • @aminalukotera5300
    @aminalukotera5300 5 років тому +27

    mm upande wangu sauti ya millad ayo inanikosha💓💓💓💘

  • @cutiethuma9931
    @cutiethuma9931 5 років тому +10

    Tuyaache ya Irene kwanza, huyu anaehoji jamani anajua...congrats

  • @fikedyngulwa190
    @fikedyngulwa190 5 років тому +16

    AAA pole yann gonga like

  • @edgarkapusi6283
    @edgarkapusi6283 5 років тому +4

    Millard Ayo unajua sana kuhoji Maswali 🤩🤩👏👏👏

  • @djungabahati1593
    @djungabahati1593 4 роки тому +1

    Ongera sana una fanya interview vizuriiiii sana na kukubaliiii

  • @elizabethvictor3057
    @elizabethvictor3057 5 років тому +35

    Napenda sauti ya Millard ayo

  • @asiajuma9905
    @asiajuma9905 5 років тому +33

    Mama krish nakupendaa sanaaa

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому +1

      Asia Juma jinsi ya kupika urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @servicespromotion7802
      @servicespromotion7802 4 роки тому

      asia naku zoom

  • @chocolatedrop3968
    @chocolatedrop3968 5 років тому +4

    She is beautiful leo ndio na muangalia vizuri especial akiwa simple

  • @Swagaboysentertainment
    @Swagaboysentertainment 5 років тому +3

    Mimi ni msanii toka KIGOMA jamani ninaomba sapoti yenu bila nyie siwezi fika popote usikose ku Subscribe ,like na ku comment Asante sana Tanzania 🇹🇿 forever Bongo Fleva forever 🇹🇿🙏🙏

  • @chadryarcel
    @chadryarcel 5 років тому +16

    Uwoya Love from🇧🇮

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 5 років тому +4

    Mpende mwanao mama ndio best friend wako...mtoto ni faraja🥰

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 5 років тому

    Ivi irene uwa naagalia watu wanomuhoji kujibu mbona anajuwa kujibu vizuri alijibu masaaki yote kwa zamarad na milad. Inakuwa vizuri au anajuwa na kujielewa. Safi sana.sio ile no comment. Rahaa ya.mawsali ni kujibu kutoka na.uwelewa wako .

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 5 років тому +18

    IRENE Uwoya mama krish krish ni mtoto mzuri sana handsome boy

  • @godfreymungwana935
    @godfreymungwana935 4 роки тому +2

    Naitwa Godfrey mungwana nacheza comedy nilikuwa naomba kutuma kwenye akaunti yako broo

  • @wamahorogloria8121
    @wamahorogloria8121 5 років тому +2

    Nakupenda mimi ni rwanda rakini nirigifunza swahili kwajyiri ya film zako

  • @theatushafamily4977
    @theatushafamily4977 5 років тому +17

    Smart girl. I learned a lot from the interview.

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 5 років тому +10

    Yaaaaah...!
    Yaaaaah....!
    Yaaaaah...!
    Who else tired with this yaaaah😩😩.... Chaiiii🙌🏽

  • @florencembithe2244
    @florencembithe2244 5 років тому +27

    Mama Krish cute momma love you unajipenda mbaya ila sometimes unaudhi 😍😍😍

  • @shikugitati3544
    @shikugitati3544 5 років тому +2

    @ MillardAyo una aibu ukionge na irene....😘😘😘😘😘😘

  • @gervas58
    @gervas58 4 роки тому +1

    Millard Ayo Tunaomba uende kumuhoji Sandra khan ...kuhusu maisha yake ya Gerezani

  • @bolingodominic
    @bolingodominic Рік тому

    Sema uwoya huwa anajitoa sana kwenye kuigiza. Nampenda Kwa kuwa anafanya Toka moyoni

  • @emanisamson5751
    @emanisamson5751 4 роки тому

    Saut nzuri milard saf san

  • @ntakirimanaetiennesimeon7048
    @ntakirimanaetiennesimeon7048 2 роки тому

    I like this

  • @scolanalle7503
    @scolanalle7503 4 роки тому +2

    Ilove you Irene

  • @vaibata7704
    @vaibata7704 5 років тому +2

    Umenyoosha maneno hatare😘💜

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 5 років тому +12

    ukweli wa zama hz utapatikana hapa👉Kutoka 20:1-17, ufunuo 18:1-3

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 5 років тому +1

    Elf 5 kwa wiki kwa miezi 2 ni elf 40. Mashaallah kakununulia saa ya elf 40 he is a good kid. Lucky to have him

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Saida Kasim mapishi ya visheti vikokoto amazing ua-cam.com/video/P2cXoTn6QwM/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Mapishi ya urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @Dalaman10
      @Dalaman10 5 років тому

      @@IlhaamMarshed umepata habibty nisha subscribe

  • @videlialabeka4899
    @videlialabeka4899 5 років тому +3

    All is well Irene...God will see you through

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      videlia labeka jinsi ya kupika urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

  • @mazingaradisppensary7109
    @mazingaradisppensary7109 4 роки тому

    Nakupenda sna we dada

  • @uwasedivine8703
    @uwasedivine8703 2 роки тому

    Namupenda sana

  • @freedomwirelesssolutions1388
    @freedomwirelesssolutions1388 4 роки тому

    Hakuna raha kwenye ustaa bila ndoa moja ya kudumu Irene.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +1

    Krish katisha sana, Mashallah.

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 5 років тому +47

    Nampenda uyu dada kila akiongea habari inamhusu mwanae lazima akaribie kulia kuna kitu najifunza kwake

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Jinsi ya kupika urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 5 років тому +1

      Zuu Saidi Bushiri Anampenda ndo mtu aliye upande

  • @ulricamakalla5565
    @ulricamakalla5565 5 років тому +4

    Nakupenda mnooo jmn rene...😘😘😘 Mungu akutunze kpnz

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 5 років тому +3

    pole lReNE inaonekana leo afya yako haiko poa

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 5 років тому +9

    Hii cover unayotumia ktk post zako kwa sasa iko 🔥,keep that One

  • @upendocastory1996
    @upendocastory1996 5 років тому +1

    Nakupenda sana Da uwoya jamani

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 років тому +1

    Mi nampenda Irene Sana kwa kweli

  • @zayleymar1689
    @zayleymar1689 5 років тому +3

    ❤❤❤ mama crish akeeeeee weweee

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 років тому +3

    Nakukubali sana irene tangia movie ya oprah mpk leo unafanya vizuri, ila umejitunza sana uko vile vile na uzuri wako uzeeki, Hongera Milard kwa maswali

  • @doristo2597
    @doristo2597 5 років тому +35

    Dada anajibu maswali vizuri sana,

  • @zenaicetarimo6861
    @zenaicetarimo6861 5 років тому +2

    Nakukubali Sana'a we dada

  • @joanitarita1568
    @joanitarita1568 5 років тому +15

    I love her so humble 🥰

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Joanita Rita jifunze kupika urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

  • @kenyalatelyupdatestv9770
    @kenyalatelyupdatestv9770 5 років тому +5

    Huyo mtoto nampenda sana, nipewe namba yake Irene akunje huku Kenya nimuoe

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 років тому +1

    Ndoa ni baraka irene wangu.leo nakuona uzur wako kama unaaza kupotea lkn nahic uchovu wa makaz..insh mungu atakujalia ndoa itakayodumu..ila utulie sasa ishafika jion.mwanamme akicheat wala haangalii uzur yy atizama TUNDU TU🤣🏃‍♂️uwe mzur,mbaya lzma uchetiwe muhm usionyweshwe.iwe kiheshma..ikiwa dhahir ujue hupendwi..ndoa na dogo, ndoa na ndkumana sasa 2020 utaolewaa na .....

  • @salmageorge6930
    @salmageorge6930 4 роки тому +1

    Nakubari milad ayo

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 5 років тому +16

    Irene ame improve sana yani story ya no comment ameacha 😍😍😍😍

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому +1

      Caroline Wanjiru mapishi ya Biryani rosti Nyama ua-cam.com/video/5BlG2k9FRQY/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому +1

      Caroline Wanjiru mapishi ya urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @nassirmohamed8492
      @nassirmohamed8492 5 років тому +1

      Roji ni nni

    • @jackjudy9182
      @jackjudy9182 5 років тому +2

      Inategemea na anayemuoji ukimuhoji kwa udaku majibu short yakutosha

    • @carolshiru4374
      @carolshiru4374 5 років тому

      Jack Judy 🤣🤣🤣hatari

  • @babujinga5819
    @babujinga5819 5 років тому +4

    Duh!! Ebwana eeee mpaka unamaliza kumuhoji hujataka hongera ayo

  • @lucaswilliams5761
    @lucaswilliams5761 5 років тому +2

    Nani hampendi Irene? Unawezaje!

  • @fei3668
    @fei3668 5 років тому +13

    love you woya wangu

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Frida Mbilinyi jinsi ya kupika urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @zittotv9972
      @zittotv9972 5 років тому

      Frida Mbilinyi hhhh

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Frida Mbilinyi mapishi ya Biryani rosti Nyama ua-cam.com/video/5BlG2k9FRQY/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

  • @zamzammeme3997
    @zamzammeme3997 3 роки тому

    It's true irene uzeeki

  • @ntakirimanaetiennesimeon7048
    @ntakirimanaetiennesimeon7048 3 роки тому

    Sauti yako jameni!!
    Ninaitaji number yake UWOYA can you please help me ?

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 5 років тому

    Dunia ya mwicho kabisa watto wanajuwa valantin???wazazi muwe munafundicha watto neno yamungu bingeryo habina faida👏🇧🇮

  • @thisisreeny292
    @thisisreeny292 5 років тому +11

    Millard acha uwongoooo.... eti majina ya Irene ni moto😂😂😂😂 ... hapa duh!!!! Vihoja mahakamani 🤣🤣🤣🤣

    • @ireneassey3685
      @ireneassey3685 5 років тому

      Kweli..

    • @respeacengaila6295
      @respeacengaila6295 5 років тому +2

      Sijawahi ona mdada anaitwa Irene akawa mbaya.......wanavisura flani ivi.

    • @maryamallyjum3229
      @maryamallyjum3229 5 років тому

      Nikwel

    • @Kivuruge255
      @Kivuruge255 5 років тому

      We mwenyew si unajiona ulivo moto😅😅😅kubal ukatae uo ndo ukweli🤩

    • @thisisreeny292
      @thisisreeny292 5 років тому

      Na nyie mnamsupport Millard kabisaaa 😂😂

  • @gracedamasi4545
    @gracedamasi4545 4 роки тому

    Nakupenda kwakwel mpaka sio vizur

  • @zamrathussen5367
    @zamrathussen5367 5 років тому +1

    i love her soo much

  • @kkkkftbbhgft9118
    @kkkkftbbhgft9118 5 років тому +33

    Piga kelele kwa mama krish weweeeee nakupend oprah

  • @mr.makorokocho4836
    @mr.makorokocho4836 5 років тому +1

    kwa vidio za comedy bonyeza link hii

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 роки тому

    Wanawake wenzangu najua kila mtu anajua kunyoa 🪒🪒🪒 ila ukitaka kujua zaidi au ninacho fanya tofauti tizama hii video 👇🏾ua-cam.com/video/qA4dXY0M7Hc/v-deo.html
    Ukijifunza kitu usisahau ku subscribe 🙏🏾😘😘

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 5 років тому +2

    good interview ila uzeee unaanza kuja 😘

  • @Nyar066
    @Nyar066 5 років тому +1

    I love your lips plus i love your show,keep it up dear

  • @lilyanmongi1946
    @lilyanmongi1946 5 років тому +2

    Ni kweli wanaume wakicheat hawangalii uzuri wa mtu aliyekuwa naye. Hata mm napenda mtu aniambie ukweli nitavumilia na nitasamehe kuliko akudanganye inapunguza sana mapenzi.

  • @danilaizer8410
    @danilaizer8410 3 роки тому

    Mm namukubali uyu dada ata museme nini namukubali sana tu sana

  • @rayakhatib2811
    @rayakhatib2811 5 років тому +1

    Krish noma hafanyi kazi bure

  • @jamilaathumani7950
    @jamilaathumani7950 5 років тому +9

    Walioona kama mimi millard ayo kamshobokea irene kwa kummpa tano tujuane

  • @guycalifat4426
    @guycalifat4426 5 років тому +5

    Millard ayo wew mwamba sana

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 5 років тому +3

    Irene maisha yake yamefanana na yangu

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 5 років тому +2

    Irene ukomurembo daaaaaah 🤔 nakupenda burrrrre 💕 🇫🇮 🇫🇮 🇫🇮

  • @kilungodionizi1865
    @kilungodionizi1865 5 років тому +3

    😘😘😘mama krish wanguuuuuuu

  • @didaamohsin6594
    @didaamohsin6594 5 років тому +1

    NAKUPENDAA buree irene..hiloo jithoo..jamanii

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 5 років тому +1

    Mwenyewe cazin wangu Irene wa moto hatarii 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому +1

    Uwoya mzuri mashallah

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 років тому +20

    Dadangu make sure umewalipa hao marehemu jasho lao..maana hakuna deni baya kama la mtu alokufa afu ukaficha kuwa hakudai...

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому +1

      Leylah Ley jinsi ya kupika jam nyumbani ua-cam.com/video/b8KcFiehPok/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @leylahley3542
      @leylahley3542 5 років тому +2

      @@IlhaamMarshed nishaangalia dear ahsante

    • @elizabethkisogole34
      @elizabethkisogole34 5 років тому

      Hulipwa chao mapemaaaaa

    • @elizabethkisogole34
      @elizabethkisogole34 5 років тому

      Hulipwa chao mapemaaaaa

    • @annamariamarcel9268
      @annamariamarcel9268 5 років тому

      Ulikuepo kwenye mkataba wao? Acha longolongo

  • @kulthumuhussen7963
    @kulthumuhussen7963 5 років тому +1

    Nakupenda Irene

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 5 років тому +1

    Jina ya movie mpya

  • @josephremigius652
    @josephremigius652 5 років тому +1

    Dogo janja hata ukifa leo hamna shida.....umekula aisee kinacholika!!!!! Fulll respect aiseee!!!!!!

  • @adolphinahaule8323
    @adolphinahaule8323 5 років тому

    Uwoya napendaga ukicheka 😘😘😘

  • @judithsalufu5688
    @judithsalufu5688 4 роки тому +1

    anacheka Kila anachoulizwa🙄🙄

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 5 років тому +1

    Amaizing interview

  • @maryflorenceinvestment7532
    @maryflorenceinvestment7532 5 років тому +13

    Dada hy mzuri, kwl mung alikupendelea

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      maryflorence investment mapishi ya urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Mapishi ya Biryani rosti Nyama ua-cam.com/video/5BlG2k9FRQY/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @annanmaramba4472
      @annanmaramba4472 4 роки тому

      Make up tu

  • @JeanetteMariamRafiki
    @JeanetteMariamRafiki 4 роки тому +1

    I like Millard Ayo 💓💓🙏🏼🙏🏼she's always serious 😂

  • @jamilaathumani7950
    @jamilaathumani7950 5 років тому +25

    Kwenye hii interview nimejifunza kwer kila mafanikio hayaji kirahisi inatufunza tupambane tusikate tamaa

  • @mohdomar3766
    @mohdomar3766 2 роки тому

    Hi

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 4 роки тому

    great

  • @stellalaurent1479
    @stellalaurent1479 5 років тому +28

    😆😆😆😆Millard bhana napenda maswali yako

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Mapishi ya urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe

    • @nicellylyimo6788
      @nicellylyimo6788 5 років тому

      Warumu

  • @asha-bo9sn
    @asha-bo9sn 5 років тому +2

    Nyie mastaa mnadanganya kiasi kwamba mnakuwa sio waongazaji wajamii tena mnapotesha sana watoto wanaokuwa!! Hata inafikia hatua mnasema ukweli hata mtangazaji akuamini!

  • @aminajuma5664
    @aminajuma5664 5 років тому +1

    Nakupendj Iren uwoya

  • @jeranibanzi2127
    @jeranibanzi2127 5 років тому +33

    Bonge la mwanamke sijui tatizo liko wapi

  • @rechobakary9398
    @rechobakary9398 4 роки тому

    Mh mie mampenda sana ayo ila ndo siwezi kuonana nae

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 років тому

    Nampenda Irene jamani umzur single mama nakupenda

  • @claudinenkurunziza2137
    @claudinenkurunziza2137 5 років тому +7

    First comment today like zenu jamani 🥰

    • @rukiaissah4990
      @rukiaissah4990 5 років тому +2

      Claudine Nkurunziza like faida yake nini😁

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Claudine Nkurunziza mapishi ya Biryani rosti Nyama ua-cam.com/video/5BlG2k9FRQY/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Mapishi ya urojo wa Zanzibar ua-cam.com/video/srcM8ssHPNE/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 5 років тому

      Mapishi ya cake ya chocolate kwa kutumia blender ua-cam.com/video/0JZLFdV-3Vs/v-deo.html naomba subscribe tafadhal

    • @agliventures
      @agliventures 5 років тому

      .

  • @najmandanshau3316
    @najmandanshau3316 5 років тому +3

    Ayo upo vzr

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 5 років тому +6

    Mm mwenyewe. Huwa nikipenda huwa nasahau km Kuna kuwachwa ila saiz sijui km ntakuja kupenda tena

    • @rosemarydeograthius7041
      @rosemarydeograthius7041 4 роки тому +1

      Tupo wengi,kweli mapenzi takataka 😁😁yaani unarelax hatari tena kujiaminisha kote siku yakikukuta ndo unakumbuka kumbe kuna kuachwa eh!😄😄😄

    • @jacklinamani7519
      @jacklinamani7519 4 роки тому

      @@rosemarydeograthius7041 yameshawai kunikuta sito sahau jamn

    • @rosemarydeograthius7041
      @rosemarydeograthius7041 4 роки тому

      @@jacklinamani7519 Mie mwenyewe yamenikuta tena wiki mbili tu Sasa nililia ka mtoto mdogo😀😀sitaki ht kusikia neno mapenzi

    • @jacklinamani7519
      @jacklinamani7519 4 роки тому

      @@rosemarydeograthius7041 tuko sawa tu shoga angu na mm week mbli hizo hizo na drip juu

    • @rosemarydeograthius7041
      @rosemarydeograthius7041 4 роки тому

      @@jacklinamani7519 🤔🤔na drip tena huhuhu Hali ilikuwa mbaya eh