UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 456

  • @SOSPETERTHEARTISTGUITARISTMUSI
    @SOSPETERTHEARTISTGUITARISTMUSI 26 днів тому

    Hakika kwa Sasa umekuwa mtu wa tofauti sana dadaangu mzur Irene Mungu atuunze Maisha Yako

  • @RoseMpiluka
    @RoseMpiluka 5 місяців тому +24

    Mambo ya Mungu ni magumu sana kuyaelewa ambaye yupo nje ya wokovu anawezaa asikuelewe ilaa your the chosen one go

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 5 місяців тому +3

    Glory to be our Lord Jesus, Usjrudi nyuma dada,na usitake kuongozwa na watu .Bali mda mwingi msikilize Roho mtakatifu anachokuelekeza,pia ujifunze kumtii roho mtakatifu ,kunyekekea na kuzidi kuutafuta uso wa Mungu

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 5 місяців тому +3

    Mungu abariki huduma unayofanya Irene🙏🙏🙏❤️❤️. Shikilia ulicho nacho, ya dunia yasi kuyumbishe 🙏🙏

  • @joffrey238
    @joffrey238 4 місяці тому

    Glory to the most high God... Hakika Kwa hichi Mungu Atakuzidisha Sana, Maana this is how GOD Can Be Explain and be seen Kwa jamii... GodBlessYou🙏 SisIRENE, (WOMANOFGOD). #FRIENDSOFGOD💪

  • @esterwayesu
    @esterwayesu 5 місяців тому +3

    Waoooh powerful this is our amazing God 🎉🎉🎉

  • @robertjoseph8968
    @robertjoseph8968 2 місяці тому

    Wooow GOD BLESS YOU IRENE UWOYA

  • @esternyanda
    @esternyanda 4 місяці тому

    You are that lioness God has lifted in the end times..Just FOCUS!Forget the past..for Jesus did not come for the perfect..but to perfect the imperfect..Go my Sister..❤

  • @winfridapatrickmayengo2588
    @winfridapatrickmayengo2588 5 місяців тому +133

    I understand what your saying. Watakao kuelewa vizuri ni watu ambao wamekutana na encounter kama yako. What I can say, sister Irene. I call you sister because we are one on Christ. Stand strong. Safari ya utumishi inamengi sana lakini katika yote tunashinda ndani ya Kristo. I love you and am happy to see you in ministry. Kabla hujaanza huduma kuna mtumishi alitabiri kuwa Mungu anaenda kuinua watu Aina yako. So nilipokuona unaanza huduma niliona ni utimilizo wa unabii. Hongera sana. Kuna wengi sana watainuka na kumtumikia Mungu.

    • @veeJesus
      @veeJesus 5 місяців тому +3

      Revival is here. Huuuuuu Amazing. One Man of God said God is going to turn celebreties towards him.

    • @sweetyjanne255
      @sweetyjanne255 5 місяців тому +22

      Kweli Kabisaa mimi namuelewa sababu nimepita kwenye situation kama hiyoo....I remember niliwahi kuumwa na nilikuwa nashtuka saa 8 usiku naliaaa sanaaa sanaaa the only thing Nilikuwa Nasema was MUNGU wangu popote nilipokosea naomba msamaha....Niliapa kuwa nikipona i will change my ways nikapona nikaachana na kila ujinga mpaka kazi nikaacha maisha yalinipigaaa mpakaaaaa,Siku moja ilikuwa mkesha wa Mwaka mpyaa nikaenda kukesha Kijitonyama KKKT wakati narudi kwangu nikasikia kitu kinaniambia unatakiwa ufunge 30days kuomba toba nikafunga kuanzia tarehe 2 mpaka 31.....Shetani ni mbaya akaniangusha tena dhambinii😭😭😭😭Nikaendelea kusaliii kuomba toba na mengineyo now sijasimama kiuchumi kama nilivyokuwa but atleast nimeweza kusimama kuikwepa dhambi iliyokuwa inaniangushaa kila maraa😭😭😭😭😭Nasali sijafikia viwango vikuu but namshukuru Mungu hapa nilipo najua with time nitasimama.
      Vijana wamrudie Mungu tuu tuache kutumika kwa shetani.

    • @GraceT0611
      @GraceT0611 5 місяців тому

      @@sweetyjanne255amen

    • @SweeetJing
      @SweeetJing 5 місяців тому +1

      TRUE 💯

    • @FloraSlivester
      @FloraSlivester 5 місяців тому +1

      Bibi alikuombea sana neema imekuzukia

  • @hawamohamednambwaja1313
    @hawamohamednambwaja1313 5 місяців тому +5

    Irene you have a power in your life.upo hivyo ulivyo ni ushuhuda.Wewe sio mtu wa kawaida ni muujiza unaotembea.kwasasa watu hawawezi kukuelewa lkn Shakuru Mungu akikuelewa Yeye inatosha

  • @monaonsare3967
    @monaonsare3967 4 місяці тому

    Proud proud proud of you Irene 🙏.....an example of God's glory

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu 5 місяців тому +2

    Mungu akushindanie kwa kweli kwa iyo hatuwa kubwa ume kamata Da Irène Mungu akuwezeshe usongembele

  • @sophiakayumba5974
    @sophiakayumba5974 5 місяців тому +53

    Wafilipi 1:6....."Basi nina hakika ya kwamba, yeye aliyeianzisha kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya kristo Yesu"

  • @MedrineMorgane
    @MedrineMorgane 5 місяців тому +5

    Hujachelewa dada irene kuishi ndani ya kristo Raha sana ❤️

  • @FaustinaElieza
    @FaustinaElieza 4 місяці тому

    Daah pole sana dada na hongera sana kwakumtumikia mungu dada yngu stor Yako inafanana sana na ya mama yangu nae anamtumikia mungu japokuwa anapitia mapito mengi sana lakin aangalii watu wanasema Nini yeye yupo na mungu tu anatamani akutane na wewe au apate ata namba Yako dada

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk 5 місяців тому +23

    Maisha ya kumtumikia mungu ni mazuri sana mungu yupo na sisi anatusikia na anatujibu naaamini dada iren mungu azidi kukuongoza na kukusimami

  • @Imran-p6l
    @Imran-p6l 5 місяців тому

    God bless you sana Irene. Hakika ni jambo jema kumgeukia mungu, hii Dunia tunayoishi ni ya dakika chache tu ndugu. Asante kumheshimu mungu na kujitoa ktk maovu ya kidunia

  • @lornasheila
    @lornasheila 5 місяців тому +3

    Be strong in the Lord my sister Irene. God will use you mightly for his glory. Be blessed ❤

  • @gracecairo1293
    @gracecairo1293 5 місяців тому +3

    HE pick messes and turn it into message! 🤗

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 5 місяців тому +10

    Glory to God endelea kumtumikia Mungu na yeye hatokuacha milele hata milele huu ndio wakati sahihi kabisa.God bless you

  • @ZaytoonaKarama
    @ZaytoonaKarama 2 місяці тому

    Nakupongeza sn na mungu azidi kukuongoza na akulinde umechagua njia sahihi kabisa

  • @NeemaAthumani-x1p
    @NeemaAthumani-x1p 4 місяці тому +1

    Hongera dada angu hakika usikate tamaa usongembele katika kumtumikia MUNGU kuna milima na mabonde vyote uvishinde kwa jina la Yesu

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 4 місяці тому

    Dadangu umeshika mamuzi sahihi na usikate tamaa nawatu songa mbere ❤❤❤ afu nakupenda saaana from Hollande

  • @niymaedwin4297
    @niymaedwin4297 5 місяців тому +35

    You are the Chosen da Inene usiogope bila roho mtakatifu mtu hawezi kuelewa hiki kitu unachoongea Mungu azidi kujitukuza ndani yako 🎉🙏

    • @elibarikieliudi2322
      @elibarikieliudi2322 5 місяців тому

      Sorry iv waeza nisaidia nini maana ya roho mtakatifu?

    • @graceisrael5274
      @graceisrael5274 5 місяців тому

      Roho Mtakatifu ni Roho ya Mungu,Yesu alipoondoka alituachia Roho Mtakatifu ndiye msaidizi wetu soma zaidi biblia au mafundisho sikiliza youtube kuhusu Roho Mtakatifu utaelewa zaidi​@@elibarikieliudi2322

    • @elizabethmhanga1079
      @elizabethmhanga1079 4 місяці тому +1

      ​@@elibarikieliudi2322
      Roho Mtakatifu ni nafsi ya tatu ya Mungu. Inafanya kazi ya kuongoza, kufunua upeo na maono kwa akili na mtazamo wa ki-Mungu.

  • @SilyviaFabian
    @SilyviaFabian 5 місяців тому +20

    Dada irene nakumbuka nilikutana na wewe mlima duluti arusha mwaka jana na mwaka huu mwezi wa sita asee namna ulivyo kuwa unaomba na kunyenyekea kwa MUNGU niliogopa hakika MUNGU ni tajiri na MUNGU anao watuu hongera sanaa keep pushing

  • @mbwanangare3233
    @mbwanangare3233 2 місяці тому

    Mshukuru mungu. Sana. Kukupokea. Katika. Njia. Ilo bora. Usivunjike moyo. Endelea. Kuzikiza. Unachoambiwa. Mungu. Akubariki

  • @vansclassic2131
    @vansclassic2131 4 місяці тому +1

    Bem vindo na casa do Senhor Qui Deus tiabencoe From 🇲🇿

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 5 місяців тому +7

    Yesu akutunze dada Irene, wewe Ni mtumishi wa Mungu🙌

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Місяць тому

    Nakupenda sana binti, ni nani mama atakaecha kumpenda mwanae amtafutae Mungu kwa bidii? limebarikiwa tumbo lililokubeba na mikono iliyokulea.

  • @kamikazishilah4649
    @kamikazishilah4649 3 місяці тому

    Mungu nimwema Dada Irena. Nakupenda sana

  • @Innocent-Km-z8z
    @Innocent-Km-z8z 5 місяців тому +3

    Mimi nakuelewa sana sana kwani , nimeona nguvu ya Mungu,ukisimama na Mungu hata ungekua na tabia Gani utabadilika TU mimi nishuhuda neno la Mungu linanguvu sana ,Yani ninafuraha sana kumtumikia Mungu,hakika Yesu ananguvu sana Leo nimekua naiogopa dhambi hakika sifa na utukufu kwa Mungu,guys nawahakikishia furaha ya kweli IPO katika kumtumikia Mungu na kutembea katika njia zimpendezazo Mungu.
    Tusali sana
    Tusaidiane wanadamu
    Tupendane na kutendeana mema
    Gusa Yatima ,wajane ,wahitaji ,wagonjwa.
    Nakuelewa sana Irene IPO amani ,furaha katika kumtumikia Mungu.ukiwa kwa SHETANI unaweza ona kama ndiyo maisha ila Amini nawaambia ukirudi kwa Mungu na kuishi katika njia Sahihi Kuna furaha ,amani yakweli.

  • @lucychari7301
    @lucychari7301 4 місяці тому

    Dada irene mungu akutie nguvu maana safari sio rahisi ila mungu anawezesha mtumishi wake anapomchagua umtumikie kuna vita vingi katika hii safari lakin nakusihi mshikilie huyu yesu ni wa thamani sana. Mob love from kenya🇰🇪

  • @zainabsevuri5856
    @zainabsevuri5856 4 місяці тому

    Glory to the Living God!
    Njia za Mungu ni thabiti na hazichunguziki

  • @jacquelinealexkombo3383
    @jacquelinealexkombo3383 5 місяців тому +15

    My dear maisha ya wokovu sio rahisi my dear. MUNGU akutie nguvu na kukupa kibali zaidi kumtumikia na kumjua. Usiabudu pesa tenaaaa my dear, ila uwe na moyo wa ibada kwa MUNGU 🙏🏻

  • @Happie14
    @Happie14 5 місяців тому

    Glory to God,, Mungu aendelee kukuinua viwango hata viwango ktk kumtumikia Yeye.

  • @UmuhozaFrancoise-bl3he
    @UmuhozaFrancoise-bl3he 5 місяців тому

    You are now even more beautiful the Glory is on you wow I am so happy God

  • @florasingano5859
    @florasingano5859 5 місяців тому

    Ni kweli nakuelewa Irene,Mungu anawaita watu wasiokudhania kabisa..Mungu azidi kukukuza na ukamtumikie ktk viwango vya juu

  • @mimiprowess
    @mimiprowess 5 місяців тому +9

    Believe me your testimony will hit different.
    I am amazed of God grace true proof that God exist

  • @fredrickmkuvandenga
    @fredrickmkuvandenga 5 місяців тому

    Irine nakutia moyo, kwamba njia za kumtumikia Mungu ni nyingi, unahitaji zaidi kuwa karibu na Mungu na washauli wakomavu wanao mjua Mungu vizuri, ubarikiwe sanaa

  • @adventinabusisi5560
    @adventinabusisi5560 4 місяці тому

    Yesu akusimamie na akutetee dada,hapo umetangaza vita na shetani hachoki kukutembelea ili kukuangusha ki Imani.omba asbuh,omba mchana na jioni.Mungu anawajua walio wake.

  • @Dolly-6
    @Dolly-6 5 місяців тому +4

    Dada Irene Naomba niseme jambo maana ushuhuda wako kidogo ufanane na wako,Kuhusu mwakasege Mungu kakuonyesha kweli mwakasege ni mtumishi wa kweli wa Mungu miezi kadhaa iliyopita Mungu alinionyesha kuhusu Mwakasege Kama vile wewe unavyosema uliota ndoto na me niliota na kusikia sauti na Mungu akanionyesha Kuwait mwakasege ni mtumishi wake na anamuita mtoto wake na anampenda sana. Mungu pia alinionyesha mtumishi mwingine mkubwa tu na Mungu aliniambia huyo siyo mtumishi wa Mungu ni fake na hasira ya Mungu imewaka juu yake. Umepata neema mwakasege ni mpakwa mafuta Tanzania Tanzania tutumieni nafasi ya mtumishi wa Mungu mwakasege ingali tupo nae,ni neema kubwa sana pia uwe unasikiliza sana mahubiri yake mwakasege ametumika kama njia ya kukumbusha umrudie Mungu usijali maneno ya watu wewe simama katika neno ❤

  • @kagamemanziofficial3728
    @kagamemanziofficial3728 5 місяців тому +1

    Glory be to God for your being born again, you won't regret coz his name is Almighty God
    Rwanda we are supporting your choice❤❤❤❤❤💯💯💯💯💯💯💯

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 місяців тому +1

    Hongera sana Irene Uwoya, MUNGU ameamua kukuchagua usiache njia hiyo ni sahihi! Keep it up

  • @ireneisaac1704
    @ireneisaac1704 4 місяці тому

    Hongera Irene songa mbele dada kwa utii fanya kazi ya Mungu kwa bidii

  • @SherryEverest
    @SherryEverest 5 місяців тому +1

    Nimejikuta nalia sana hakika safari ya wokovu ni ngumu mnoo ina milima makorongo na mabonde utakutana mengi mnooo hila Mungu aliyekuita umtumikie akutie nguvu akuinue kila utakapoanguka Damu ya Yesu ikufunike
    Mbeba maono afi mpaka atimize kusudi aliloitiwa.
    Mungu akubariki Irene

  • @pelagiakabuhaya4668
    @pelagiakabuhaya4668 5 місяців тому +1

    Mungu akubariki Irene,hakika Mungu akimtaka mtu hata awe maarufu kiasi gani ni lazima ampate tu, hakuna jambo la ajabu Irene kuokoka ni wakati wa Bwana umefika kumtoa Irene katika maisha ya dhambi, hata wewe unayeshangaa kuokoka kwa Irene Mungu akikutaka huwezi kukwepa. HAKIKA MUNGU SI MWANADAMU. IRENE MUNGU AKUTUNZE.

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 Місяць тому

    Hongera sana Irene

  • @Isabella-ww8ks
    @Isabella-ww8ks 5 місяців тому +5

    Aiseee ushuhuda wako unasisimua sana Hongera kwakumpokea Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako Mungu akuimalishe zaidi ya hapo🙏🏽

  • @OG_20
    @OG_20 5 місяців тому

    Amen! Mungu abariki maisha yako ukafanyike chombo chake kwa namna apendavyo yeye. Bless you!

  • @HellenMonace
    @HellenMonace 4 місяці тому +2

    Namna hii sijaona namna hii..kila goti litapigwa kwa Mungu aliye hai.

  • @missdaniel9810
    @missdaniel9810 5 місяців тому +34

    Jina la Bwana litukuzwe👏👏👏🙌🙌

  • @gracekakore293
    @gracekakore293 5 місяців тому

    Yesu atukuzwe Mungu alikukusudia kabisa my sister namfurahia sana Yesu kwa alichofanya kwenye maisha yako walete watu kwa Yesu Mungu hajakupa hiyo nafasi bure many will be saved through you in Jesus name hallelujah

  • @JudithCasmir-d7y
    @JudithCasmir-d7y 5 місяців тому +1

    Wooow😭😭When is so intentional with your life🙌🏼🙌🏼
    Endelea kumtumikia Mungu umechagua fungu jema❤️🙏🏽Neema ya Mungu ikawe nawe❤️🙏🏽

  • @missdaniel9810
    @missdaniel9810 5 місяців тому +64

    dada Irene, mwalimu Mwakasege ni mtumishi wa Mungu mzuri sana ukipata neema ya kukochiwa na yeye, utafaidika sanaaaa, ila kochiwa na Mungu kwanza.

    • @daltonpaul5838
      @daltonpaul5838 5 місяців тому

      ​@@bettymwigune8150issue ni kwamba kila mmoja ana cha kwake alichobeba yule ni mwalimu cha msingi awe amebeba tu cha MUNGU na sio swala la yeye kufika mbali ni swala la MUNGU wa kweli ndani yake maana dunia ya sasa duh 😮

    • @nurumwita9034
      @nurumwita9034 5 місяців тому +17

      Mambo ya kiroho hayapo hivyo ndugu anatakiwa amuulize Roho Mtakatifu anatakiwa awe chini ya mtumishi yupo Sio kufata akili za kibinadamu.

    • @philipojr9687
      @philipojr9687 5 місяців тому

      Mhuu!!

    • @EuphrasiaNtawatawa
      @EuphrasiaNtawatawa 5 місяців тому +2

      ​@@nurumwita9034 ni kweli kabisa lazima aongozwe na Roho Mtakatifu,siyo kukuripuka tu

    • @herieclara5652
      @herieclara5652 5 місяців тому

      ​@@nurumwita90340

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 5 місяців тому +2

    Amin wengi hawatakuelewa pia wanasahau Mungu anamajira yake akitaka kukutumia pambana kuutafuta uso wake wataelewa tu

  • @halimasanga3830
    @halimasanga3830 5 місяців тому

    Hongera sana kwa kupendwa na Mungu. Hakika Mungu anatupenda haangalii njia zetu. Naamini wengi watavutwa kwa Mungu kupitia wewe.

  • @success-deborahicimanizany203
    @success-deborahicimanizany203 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana kwakuamua kumtumikia Mungu hutowai kufezeeka hata sekunde Moja Mimi nishabiki wako Toka zamani nilikuwa natamani sana uokoke Uwe unavaa vizuli kama Ivo Pia uache pombe ila UBARIKIWE San na safari yako itakuwa nzuli zaidi ningekuwa Tanzania ningekuwa miongoni mwawatu wako kwenye Ministry yako nakupenda san

  • @ConnieJohn-ts9rp
    @ConnieJohn-ts9rp 5 місяців тому

    Hongera Hailin Mungu kakuchagua endelea kumtumikia mama usikate tamaa na wale wanaokuvunja moyo

  • @ANGELA-oz1vi
    @ANGELA-oz1vi 5 місяців тому +13

    MUNGU AMEKUOKOA KWAAJIRI YA WENGI AND WEWE SIO MTU WA KAWAIDA UTAFIKA MBALI SANA NEVER GIVE UP.

  • @JeanneMmbale
    @JeanneMmbale 5 місяців тому

    to God be the glory🙌🏾🙏Mungu azidi kukuinua dada I’m so proud of you kwa haya maamuzi uliyochukua.

  • @Alan-g2t
    @Alan-g2t 4 місяці тому

    Safi Sana, kwa kusikia wito huo, Mungu akubariki sana, na atimize kusudi lake.

  • @fadhilinsemwa2687
    @fadhilinsemwa2687 5 місяців тому

    God's grace is immesuarable, I will always exalt him🙌

  • @ebonybhoke5321
    @ebonybhoke5321 5 місяців тому

    Hongera SABA Irene,wakati wa Mungu ni wakati sahihi! Umefanya vzr sana kuelezea haya yote,imerahisisha waliokuwa na maswali mengi

  • @MugeniLiliane
    @MugeniLiliane 5 місяців тому +2

    Mungu akuwezesha nakupenda sana

  • @ElietMagogo
    @ElietMagogo 5 місяців тому

    Very happy to see this..Glory be to God! May the Lord God continue to guide and strengthen you. In all things, we are more than conquerors. We love you, welcome to the greatest life of all❤

  • @furahaloishiye8315
    @furahaloishiye8315 5 місяців тому

    Binafsi naelewa sanaa pale ambapo mtu anaamua kubadilishwaa na Mungu
    Kuna namna Mungu anaamua kumbadilisha mtu ila mtu anashupaza shingi mfano mzuri ni sauli lakin Mungu alipoamua jambo lake litimie alimpofusha ili aweze kuonesha ukuu wake kwa sauli
    Nashukuru Mungu kwako imekuwa rahisi na unyenyekevu🥰🥰🥰🥰

  • @LEO01-t2y
    @LEO01-t2y 5 місяців тому +1

    Nakuelewa dada Irene Mungu aendelee kukuinua na kukuonesha na uweze kuifanya kaz yake ktk roho na kwel

  • @rowenalilie993
    @rowenalilie993 5 місяців тому

    Ubarikiwe sana Irene. Hata mimi nimeona nikiomba kuwa wewe ni mtumishi wa Mungu na nikawa nawaambia watu. Na nina mzigo pia wa kukuombea. Ni kweli Bwana anataka umtumikie da Irene ila ni katika roho na kweli. Uachane na ukatoliki na mapambo na kila udunia. Bwana anakupenda sana

  • @petromanyama-se6ce
    @petromanyama-se6ce 4 місяці тому

    Barikiwa sanaa dada iren tupo tayri kuwa Tyr kuhudumiwa

  • @pkerengy
    @pkerengy 5 місяців тому

    I understand you so much sister and you have choose the right path,

  • @VeryniceClement
    @VeryniceClement 5 місяців тому

    Bwana MUNGU akubariki my sister, looope you so much ❤️❤️

  • @furahaclaudineofficial2318
    @furahaclaudineofficial2318 5 місяців тому +7

    Bwanayesu aendeleye kukujaza nguvu zake Nakupenda sana mwanangu haja yamoyo wangu nikuona. Unaendelea kuwa. Rafiki. WaMungu na nitazidi kukuombea

  • @LuciaNicolaus
    @LuciaNicolaus 2 місяці тому

    Mungu wa mbingun akutunze kumtumikia Mungu kuna faida

  • @She-m3p
    @She-m3p 5 місяців тому

    Hongera mtumishi wa Mungu,..hakika umeteuliwa na Mungu 🎉

  • @gracehakizimana6850
    @gracehakizimana6850 5 місяців тому

    Welcome to the family 🥰❤️❤️🎉🎉🎉🎉 congratulations 👏 Neema ya YESU izidii 🙌 love you ❤❤❤

  • @سنتياالشهري
    @سنتياالشهري 5 місяців тому +1

    Shalom2 nafurahi sana sana kwakuwa Mumgu amekufunuwa majo yakiroho ukasikoye sauti yawe ,illa Uombe sana Mungu akupe kumuelwwa suizo tatu uzifute Mungu ni Mkubwa sana

  • @Spark8Technoo
    @Spark8Technoo 4 місяці тому +1

    Mungu Yuko kazini tena Mungu Yuko kazini kwa Kasi Sana mimi nimemchaguwa Mungu najuwa ni vigumu sana namimi historia yangu ni Kama Yako niliambiwa Mara nyingi ila nikawa nakubali ila narudilia tena mambo yangu ya uovu ila kwa Sasa najiskia kumpenda Mungu najikuta kuchukia bahazi ya vitu visivyo mpendeza Mungu mpaka Sasa nipo njiani nakubali wito Mimi macho yangu huwa nahona mambo Fulani nisiyo ya helewa Ila Dada yangu ww ni Mtu muhimu sana katika ulimwengu wa Roho nakushahuri pambana na Mimi nipo nyuma Yako na pambana kumpendeza Mungu

  • @gladyemmanuel4588
    @gladyemmanuel4588 5 місяців тому

    Mungu atukuzwe milele na milele jina la bwana lihimidiwe hongera sana my twin

  • @penuelypetro109
    @penuelypetro109 5 місяців тому

    Nakupongeza sana Kwa maamzi uliyochukua songa mbele na Mungu akutie nguvu usisikilize maneno ya watu

  • @esperancetegurugoli1841
    @esperancetegurugoli1841 5 місяців тому

    Barikiwa sana dada Yangu Irene! Mtumikie mungu hutakita hata siku moja❤❤

  • @blessed3726
    @blessed3726 5 місяців тому

    Oooh hongera sana kwa kukubali kuokoka, Mungu anawapenda watu woote hanamwita kila mtu kwa namna yake,na wakukufindisha ni njia gani uifate ni Roho Mt.isaya 30:21

  • @JamesLudovic
    @JamesLudovic 5 місяців тому +3

    Nakupenda Sana IRENE ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NéllyCecileNIZIGIYIMANA
    @NéllyCecileNIZIGIYIMANA Місяць тому

    Mungu nimkubwa Siku zote

  • @RealitySaanane
    @RealitySaanane 5 місяців тому +2

    God bless you and take you to more levels you have been a wonderful woman to christ and community as well

  • @ishimwekessylove1223
    @ishimwekessylove1223 4 місяці тому +2

    ABAZI UBWENGE BASHAKE UMWAMI YESU BUGISHOBOKA KUKO ABONWA..KANDI YITEGUYE KUBAKIRA ABAMUSHAKA KANDI BAMUSHAKISHE GUKORA IBYIZA BADAHAGARA.. WE RWANDANS ..WE ARE PRAISING THE HEAVENLY FATHER FOR SALVATIONS OF OUR DAUGHTER IN LAW

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 5 місяців тому

    Mungu hana mipaka anamchagua ampendaye hongera dada endelea nakupenda❤

  • @rosedavid2461
    @rosedavid2461 5 місяців тому +1

    Tumezaliwa tareh moja Irene ubarikiwe sana

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 4 місяці тому

    Mungu akutunze dada yangu Mungu akiweka kitu ndani yako utake usitake utamutumikia hate kwa fimbo na ukikaidi utavunwa Mungu akutetee

  • @bettysalama2531
    @bettysalama2531 5 місяців тому

    I love u gal....let that fire of God keep on burning in u. 🔥❤ blessings always.

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya 5 місяців тому +16

    Irene songa mbelee. Iliandikwa lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho na wengi walio wa mwisho watakuwa wa kwanza. Kwahiyo irene mpende Yesu. Wokovu sio special kwa watu fulani ni kwa wote

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 4 місяці тому

    Utukufu kwa Mungu alie juu sana ❤

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 4 місяці тому

    Mungu akubariki na atakuwezesha Hesabu 23:19. Ninakupenda. Mungu ni mwaminifu sana sana wala hutajita.

  • @lymsannouncement2321
    @lymsannouncement2321 5 місяців тому

    Hongera sana kwakutii wito dada
    Naomba uwavute wengi kumjua MUNGU alie hai

  • @FarajaRaphael
    @FarajaRaphael 5 місяців тому

    Hongera sana dada mi nimefurahi sana❤❤

  • @saratimoth4734
    @saratimoth4734 5 місяців тому +1

    Mungu akulinde na akutangulie ktk.huduma ya Mungu aliyo.kuitia

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 5 місяців тому +2

    Hongera Irene Mungu anakupenda sana usimuache Yesu

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 4 місяці тому

    Natamn nikuone kwa macho yangu dada irene❤

  • @irenekemunto9658
    @irenekemunto9658 5 місяців тому

    My role model ❤❤❤❤from. Kenya

  • @Jessybyella
    @Jessybyella 5 місяців тому

    Mungu ni mkuu. Hakuna kama wewe. Mungu atusaidie wanadamu woote duniani tubadilke tumjue Mungu na tuishi katika misingi ya kumpendeza Mungu. EH MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE.

  • @EmileLugendo
    @EmileLugendo 5 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi na nimekuelewa mnooo, hngr kw kumtumikia Mungu