Daaah, yani kama kweli vile. Eeh Mwenyezi Mungu, nakuomba mja wako uniepushe na balaa na mikosi za kila siku, nisitiri chini uvuli wa ukingo wako na uninusurishe na kila baya maishani. Amiin🤲🙏😭😭
Yaani hii movie imeniliza mwishoni daaa hongera sana Irene mungu akuongoze inshallah pambana haijalishi nimangapi imepitia zote nichangamoto za kidunia
Daaah... 😪Ule Msemo Wa Fikiri Kabla Ya Kutenda Ndio Umedhihirika Kwenye Hii Sinema...😭😭😭 HONGERENI WAIGIZAJI WOTE " NURU NI 🎥📺🇹🇿SINEMA NZURI SANA " 👋👋👋👋
Kofi la funzo MashaAllah!! Wallah mtanzania mtunzi mkubwa na mwenye kipaji aina yake haki!! Nimelia sana!! Hongeri mtunzi na waigizaji 👏🏿 uwoya umetisha balaa ❤️
short film nzuri sana,story nzuri location kali,,waigizaji wamevaa uhusika nimependa hongera sana dada ila kuna uzembe kwenye shot kadhaa hakikisha aujirudii ur the legend🔥
samwel's innocent eyes.... reflecting what is struggling to archieve for his wife and coming baby... lost hope andd fear of what is going to happen. #great love to you all
😭😭😭😭😭 sio siri naisi kuliya duuuh ww mkali mpaka uwaze hivi ilikuwaje?? Duuuh kuna Watu wanavipaji na mawazo nayo nikipaji 😭🙏 Asante sana kwa ujumbe duuuh umenigusa sana unaweza aiseee tupo watoto mpak hivi tunakukubali #irene_uwoya the boss lady
Dah!! Yakikubwa zaidiiiii.... Wanao Taman iwe na mwendelezo gonga like
Nimeupenda Irene Kaz nzuri
Zaid ya sanaaa
@@halimazahir1053 Zaid ya sana
Naitaka sana jaman
da lakin mutakuwaeiza san
Hongeren sana ni kubwa kuliko hongera maa @Ireneuwoya
Likes zangu, love from Kenya 🇰🇪
Hamadi wa watu umetisha sana
Kipaji hakizeeki wala hakiishi umeuwa dada Irene
Daaah, yani kama kweli vile.
Eeh Mwenyezi Mungu, nakuomba mja wako uniepushe na balaa na mikosi za kila siku, nisitiri chini uvuli wa ukingo wako na uninusurishe na kila baya maishani.
Amiin🤲🙏😭😭
Amen 🙏
Amen🙏
Allahuma ameen 🤲
Amen🙏🏿
💖💖💖💖
Daaah Yani mpaka nimetoa machozi @irine owoya Fanya ulete mwendekezo kwangu Mimi hii ndio kazi yako Bora tangu nimeanza kukufatilia
Walio lia kwenye hi movei naomba like zenu
Uwoya umeweza🙌🙌🙌piga kazi shosti...achana na mambo ya kiki na show off mitandaoni
Daaa😭😭Bonge la story alafu tamu... congratulations wahusikia Irene Uwoya , Hamadi Kikala na wengine
Mwendelezo jmn uko vizr dadaake
Jamani muendelezo imenitowa machozi daa hongera sana
Yaani hii movie imeniliza mwishoni daaa hongera sana Irene mungu akuongoze inshallah pambana haijalishi nimangapi imepitia zote nichangamoto za kidunia
Dah hii imeniuma kwa kweli,pia hongera sana Dada Irene hizi ndo move za kitanzania zenye kuelimisha tunazozitaka
Duhhhh Ayo maisha wapo watu wanapitia Asante dada etu kwa kutufumbua jambo
Naomba iyendeleye huku burundi nawafwata 100/100.
Ee Mungu tupe mwsho mwema🙏..!
Tuondolee bahati mbaya duniani.
Irene🎉🎉🎉❤❤❤❤
😢😢😢😢😢daaaah nime lia sana ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤
Weee dada 🙌 story inaumiza sana metokwa machozi
Daaah😭😭 inahuzunisha kwa kweli 😭. more love from Kenya 🇰🇪
Mwendelezooo tafadhariii daaaa😢😢😢
IRENE fanya mpango tuione kweny Azam inagusa sana na itawagusa wengi mno. Na watataman isiishie kweny shortfilm
Woooooi yaaaani nimelia Kama co move vile Ila kila kitu kipo katika mizunguko ya maisha yetu daaah😭😭😭😭
Mwendelezo jamn😍😍
Dah!! Movie nzuri sana jitahidi tuwekee mwendelezo wake
Waooo kweli umetisha kabisa
This is the difference btn legend and underground. Much respect to u Irene uwoya 👍👍👍👍
Kweli dada inasisimuwa natamani kuona mwendelezo
exactly
Ivi sasa ume n prove kama unajua🎊🎊🎊🎊👌👌👌👍👍
Soo good 👨👨👧👧❤️🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👑👑 Uwoya nakuelewa Sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥💣
Nimeipenda 🔥🔥 kipande Cha pili lini
Daaah... 😪Ule Msemo Wa Fikiri Kabla Ya Kutenda Ndio Umedhihirika Kwenye Hii Sinema...😭😭😭 HONGERENI WAIGIZAJI WOTE " NURU NI 🎥📺🇹🇿SINEMA NZURI SANA " 👋👋👋👋
wamejua kuitendea haki
Congratuation to you uwoya
Tunaomba muendelezo wake jamani nimeipenda ❤️❤️❤️❤️❤️
Kazi nzuri sana ya kikubwa zaid
Hongera umepangilia story na imeeleweka vyema. Natamani ingekuwa na muendelezo ila kwa kuwa ni Short Film hongera nimeipenda
hii ni series so wait for ep 2
Dada irene natamani huyu kaka angekua mumeo kweli😘😘😘💞
🤣🤣
Filamu nzuri Sana ina mafunzo nimeumia kwakweli😭😭😭😭😭😭😭💔💔pole Sana ddngu Mungu akutie nguvu
Tulimiss mambo mazur kma haya #ireneuwoya dem't kipaji akipotei umevaa uhalisia 100% Nuru.
Nimeipenda short film ni nzuri sana Big up Sister Irene Uwoya
Big short movies 🎬 good job my super sweet
Dada Hii Story Hakika Ni 💥 💥
Nzuri. Inauzunisha sana
UWOYA 🙌🙌💥💥💥 this shortfilm DAH 💔💔💔
Kazi nzuri irene uwoya love you .nimejikuta naliya tuh
Kofi la funzo MashaAllah!! Wallah mtanzania mtunzi mkubwa na mwenye kipaji aina yake haki!! Nimelia sana!! Hongeri mtunzi na waigizaji 👏🏿 uwoya umetisha balaa ❤️
Bosslady ,,umetisha
Like zangu ;from Burundi🇧🇮
Lyly bt
@@kekeclaire5177 ni sw
❤️❤️👏 Kuna haja ya kuendelea kutoa hizi short films 🎥 nafikiri ni nzuri na watu wengi nowadays wanafatilia sana UA-cam🔥🔥👏👏
Dah uwoya 🤝❤️🤗🤲
Nzuri sana...plz next of this
Nzurii sanaa inafundisho kubwa sanaa mwendelezo plz
short film nzuri sana,story nzuri location kali,,waigizaji wamevaa uhusika nimependa hongera sana dada ila kuna uzembe kwenye shot kadhaa hakikisha aujirudii ur the legend🔥
Nime ipenda kweli 👌👌
Laa Yaarab 💔😰 Mungu Tupe Uchamungu Ndani Yetu 😭😭😭 Love From Saudia 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
Mji gani
@@ramadhansalum6800 Riyadh AL Hamra
Shida Haina muendelezo
Ila huyu mkaka na Irene wamependezana kwakweli maana mpaka nimetamani iwe kweli mtu na mmewe 😍😍😍😍
Filamu nzuri sana Irene, keep it up!
Daaah...
Touching story...
Very painful
Very painful kumpoteza mtu ambae unampenda I can't say anything aseeee😭
Mbna fupi jamani ,,much love from Kenya♥️♥️
Movi zur saan oger saan dada uyoya
Nzuri sana inasisimua .. inaliza..😭😭
Mmmmh duh pole sana nuru
I cried while watching this movie it’s so emotional we hope for more films like this love from Dubai 🇦🇪
Same Here Aminaaa
Humu ndani ni fire kabisa nasubilia muendelezo wake
Dada tupe mwendelezo movie hii ni kali sanaa sanaaa
Hii Kali sana MY Blood brother JOHN go brother goooo kwani hamuwez kuifanya ikawa move ndefu aise mbona Huku kihome home raia wameikubali mno
Mwendelezo adi leo miaka miwili imepita 🙌
Kazi kubwa sana kwa kweli....
Dah ebwna aya mambo yanatokeaga tu mtu akiwa na bahati mbaya, shout out Irene kwa kazi nzuri
From Burundi Tu nakupenda dada yetu Big Job
Bonge moja la filamu umeupiga mwingi sana
Daaah... Hongera Sana aisee kazi nzuri sana. Big up Boneka
Bonge moja la movie IRENE, congratulations kwako
samwel's innocent eyes.... reflecting what is struggling to archieve for his wife and coming baby... lost hope andd fear of what is going to happen. #great love to you all
Dah mwendlez wap duh Irene owoya umeitndea haki
Umetisha saana mama Krish...bonge la movie aiseeh..so incredible..good job👌 the content also so pure,emotional.lovs it
Nzuli sanaa dada owoya umetishaaaa
This is so 🔥🔥🔥 Aunt Zee umeua. Congrats Tinny for this 🥰
Nakutafuta adelaide gwido
Wallah unajua mpaka unajua tena
This deserve to be in Netflix kabisa
mmmmh aiseee sijui nuru ataliaje maana kama namuona
Dada unajua unajua mpka unajua tena walah hii funga mwaka🙌
Daah..Short film with a strong message...hongera Uwoya..👍Your the bests
Uko vizuri sana Kipenz changu
jaman hadi melia😭😭so touchable
Dada uko poa sana nakubali kabisa
It's Dope Story...
U made it Uwoya💕
Dah yaani 👌👌👌
Uwoya the voice😍🥰
Kali sanaaa madam
Much love from Jenny usa 🇺🇸❤️🙌🏾
Always fact
Muendelezoo jmn mbn kama nimecubirii sanaa😭😭😭
Likes from Burundi 🇧🇮
Mimi pia
boss mbaya sana, tabia yake yaroho mbaya imemfanya amfanyie mwenziwe tukio laajabu
Love from 🇧🇮🇧🇮 movie nzuli sana
Wow,!! So gorgeous 🔥🔥💖💖
Irene toa mwendelezo please movie iko sawa MashaAllah
Like zangu from Burundi 🇧🇮
Mama nakupenda umeumwaaa sanaaaaaaaa umepiga hatua mnooo
😭😭😭😭😭 sio siri naisi kuliya duuuh ww mkali mpaka uwaze hivi ilikuwaje?? Duuuh kuna Watu wanavipaji na mawazo nayo nikipaji 😭🙏 Asante sana kwa ujumbe duuuh umenigusa sana unaweza aiseee tupo watoto mpak hivi tunakukubali #irene_uwoya the boss lady
Kazi nzuri
First to watch🤣🤣
Kaz nzur,mwendelezo tafadhali ..
Uyu mkaka nampenda tangia kwenye kombolela
Yan haunifikii mimi
Hunizd mim
Na Amnizidi mimi
🤣🤣🤣🤣🤣Jamani mbona kama amzidiani mpo sawa😅😂😂😂😂😂
@@sarahomary3615 🤣🤣🤣kwakweli
Wauuuuu thank wauuuuu I love ire.