Baada ya Kimya Kijana Mozes(Mussa )Akubali Ukiristo Sio Dini na Imeletwa na Watu Tu -Sheikh Shafii

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 184

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 2 місяці тому +1

    Alhamdulillah kwa neema ya kuwa muislamu ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 місяці тому +2

    UstAdh shafii.... Takbriiiiiiiii.. Allahu Akbar ❤❤❤

    • @hythamhashiem4458
      @hythamhashiem4458 2 місяці тому

      الله أكبر كبيرا والحمد لله كثيرا وسبحان الله بكرة واصيلا

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 2 місяці тому +3

    Ustadh Shafiy Wallahi ni mwalimu unaeeleweka Alla akupe nguvu na afya njema niko znz nakufuatilia sana

  • @ADIMUSALUMU-ko6zp
    @ADIMUSALUMU-ko6zp 2 місяці тому +5

    ALLAH akuzidishie juud shekh shafii

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 місяці тому

    ❤❤ wa'alaykum salam warahmatullah wabarakat kipenx Cha Allah.. UstAdh shafii

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 2 місяці тому +3

    Ust. Shafi Allah akupe Afya Njema Kuna kitu nimejifunza hapo.

  • @Asiya-g3o
    @Asiya-g3o Місяць тому

    Mashallah shekhe shafii Allah akupe afya njem nipo Oman lakn nakufwatilia San ❤❤ upo vzr shekh unatufundhsh Allah akulinde

  • @ChidyAbdy
    @ChidyAbdy 2 місяці тому +4

    Mashallah Allah akulinde na akupambe kw afya.

  • @AbdillahiMselem-ig2dm
    @AbdillahiMselem-ig2dm 2 місяці тому

    Mashallhaa shafi takbri

  • @josemu870
    @josemu870 2 місяці тому

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu

  • @OmarAme-hd3fd
    @OmarAme-hd3fd 2 місяці тому +1

    Mashallah Jazakallah Khair

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 2 місяці тому +3

    Hivi nyinyi wakristo munamuelewa ustadh shafiy mukiskiliza musiwe na ushabiki sikilizeni muelewe au kama nyinyi mna andiko toweni

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 місяці тому

    UstAdh shafii...mm nashangaa sana hawa wakrusto ...wao wanasema wanamfuata ..Nabii lssa ..A.S..
    (Yesu) Sasa huyu Nabii lssa alifanya lbada za kuimba kwayaaa.???....lnna lillah wainna illaih Rajiun namshukur Allah kuzaliwa ktk uislam Alhamdulillah,🤲

  • @AliJuma-go4rc
    @AliJuma-go4rc 2 місяці тому +1

    Mashallah jazakallah khair

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 Місяць тому

    MashaAllah

  • @Ismailmusa-y6b
    @Ismailmusa-y6b 2 місяці тому

    mashaAllah

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 місяці тому

    Uislam ni Dini ilio toka kwa M/Mungu (s.w.t) ....c kwa wanaadam... Mussa

  • @samxx411
    @samxx411 2 місяці тому +1

    Sheikh Shafi safi sana ila nakushauri tu ikiwezekana upate mic zile ndogo ambazo ni nyepesi ama unabandika katika nguo kuliko huo ni mzigo na wakati mwengine hata anaehojiwa anataka kuikamata

  • @AliHassanAli-jd9ru
    @AliHassanAli-jd9ru 2 місяці тому +1

    mashallah Allah Akbar

  • @costantineevarist5110
    @costantineevarist5110 Місяць тому

    Uyo muhamadi Alikua anatetea uislam wake sio mungu

  • @costantineevarist5110
    @costantineevarist5110 Місяць тому

    Uislam ni msiba.. Anapotosha tu Apo

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 2 місяці тому

    Musa ako sahihi mungu ampe hekima zaidi,shafi niwakuchanganya watu

  • @NuhuM-s1x
    @NuhuM-s1x 2 місяці тому

    Huyu kijana musa yupo tofaut na vijana wengi wa kikristo kwa nini anasoma sana bibilia wakristo wengi awasomi bibilia wanafuata ushabiki tu ndio maana kila siku kuna makanisa ya maombez yaupako sio kushika bibilia ukifika kanisani msomeshwe mjue niupako mafuta someni bibilia

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz Місяць тому

    Hawa wanaigiza yale ya mwaposa kwaheli pambaneni kimwili mimi simo mambo yakimwili

  • @ronaldmatimbo9691
    @ronaldmatimbo9691 2 місяці тому +2

    Dini ni njia na Yesu mwenyewe kasema yeyse ndiye NJIA na UKWELI na UZIMA
    Halafu Yesu akasema hajitukuzi yeye kwa utukufu wake Bali Mwenyezi Mungu ndiye anamtukza
    With that said,na Yesu akiwa yeye ndiye njia (Dini) pekee inatukuzwa na Mungu.
    Uislam unajitukuza

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 2 місяці тому +2

      @@ronaldmatimbo9691 Wewe hujuwi kitu huna elimu Yohana 17-3 na uzima wa milele ndiyo huu wakujue wewe Mungu wa kweli na wapekee na Yesu Kristo ulie MTUMA

    • @engineerjuma9876
      @engineerjuma9876 2 місяці тому +1

      Itakua njia ya kwenda Ifakara hiyo

    • @samxx411
      @samxx411 2 місяці тому

      Heeeeeee yesu ndie dini??? Hiyo kiboko kabla ya yesu, Mussa alikuwa dini gani, Ibrahim dini gani 😂😂😂is

    • @ronaldmatimbo9691
      @ronaldmatimbo9691 2 місяці тому

      @@samxx411 Musa au Abraham walikuwa wakiongozwa na Neno au Roho Wa Mungu.Yesu ndiye Neno.
      If Abraham and Musa were Muslims show me any instance where they were praying facing Mecca or walking 7times around the black stone or kissing the black stone.😄

  • @salisali3738
    @salisali3738 2 місяці тому

    Ila musa ana sura ya upole sana na ana ongea kwa upole

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 2 місяці тому

    WEWE andiko linalosema ukristo Dini hata kama kaandika Padre likowapi? ✍️✍️✍️ Jifunze kitu acha Matusi wakati hujui. Wenzako TUMETOKA huko muda mrefu baada ya kujua haki. 🎉🎉

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 2 місяці тому

    Shafi toa and ikon mungu mwenyewe anasema dini yangu ni Islam toa acha kudanganya ww shafi,Muhammad mwenyewe ndie anajipiga kifua anacema dini ya haki ni Islam mungu hajawai Cema nimuhamadi tu,

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 2 місяці тому +2

      @@JohnOuya-w7j Tatizo lako huna elimu wakristo wote ni bendera fuata upepo ilibidi ukaechini usome ujue Quruan imetoka wapi sio kuongea maneno yasiyokuwa na msingi

  • @shabanimadobe972
    @shabanimadobe972 2 місяці тому

    Mm mwislam lkn kwaizi dini tumepigwa na kitu kizito waarabu, na wazungu aisee waliiweza afrika

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 2 місяці тому

    Habari ndugu zangu unajua wee nickson unafikiria kuwa eti mambo ya kidini nisawa na iliyokuwa serikali ya warumi zamani kuwadanganya watu na athari zinaonekana Hadi Leo. Waache wasomi wadadavue uone UKWELI uko WAPI. Hawa wanatusomea maandiko tuchague wenyewe Kwa akili zetu. Usilete Maneno yasiyofaa dhidi ya watu wa dini nyingine. Kama unataka faida usiende hivyo fikiria chukua maamuzi.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 2 місяці тому

    Kijana ako sawa maana yesu ndie njia na jia ndo dini ,

  • @ibraheemqassim3018
    @ibraheemqassim3018 2 місяці тому

    Tatzo la ukristo unaweza ukashupaza shingo kuutetea alafu ukienda kwenye biblia unakuta inakusuta😂😂

  • @husseinkombo779
    @husseinkombo779 2 місяці тому

    Acha uvivu wa kusoma wewe nickson soma usibebe imani bila akili 😂😂😂😂😂

  • @IddySimba-fp2cc
    @IddySimba-fp2cc 2 місяці тому

    Kuna msaani huku kasema biblia ilikuwepo tangia miaka 5000

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 2 місяці тому

    Kana vitu vinanitamanisha sana nikutane na Ustadh Shafii
    Mimi sio msomi sana wa dini
    Ila kuna maswali najiuliza sana kuhusu hizi dini
    1. Kwann kama Yesu (Nabii Issah) ni mtume wa Mwenyezi Mungu kuna sehem ya kitabu tukufu cha Quan kinampinga. Mfano Yesu alisema Yeye ndio njia kweli ya uzima.
    Pia alisema wabatuzeni kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu
    Pia Yesu Alikufa msalabani lakini waislam wanasema walibadilishiwa mtu
    Pia kwann baada ya yote ndo Kitabu Kitakatifu cha Quan ndo kije kusema dini ya haki ni Uislam wakati mnasema hakuna dini nyingine. Sasa Quan inapingana na dini ipi ambayo imejitangaza kuwa ni dini
    Kabla ya Quan Manabii waliopita walikuwa dini gani na ninaomba maandiko sio kusema matendo yao. Maana dini yeyote lazima Isemwe na Allah.

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 2 місяці тому +1

      dini ni muongozo ila dini ni nyingi hadi za shetani ila dini ya uislamu ni muongozo wakumjua mungu wa pekee alieumba kila kitu kilichoko ndani ya dunia hii na nje yake

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 2 місяці тому

      @@thekingdragon8358 dini hzo ni zipi? Maana dini lazima iainishwe sehem. Kama nimemuelewa vizuri Islam ni dini iliyotamkwa na Allah kwenye Quan sasa hzo zingine zimesemwa wapi ili tujue kwann Quan iseme kuwa Islam ndio dini sahihi. Samahan lakini natamani kujua ili nipime Imani yangu na mimi. Maana ninamaswali kibao ambayo sipati majibu tu maishani mwangu

  • @AndersonNketa
    @AndersonNketa 2 місяці тому

    Shafi acha ujinga umesoma wewe kwa nini unamchanganya musa ukisema dini neno dini ni kwa lugha ya kiarabu ikiwa na maana ya njia kiswahili je neno njia haipo kwenye biblia? Masheikh mambugila mbugila ndiyo akina Shaffih

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 2 місяці тому

    kama lslam ni dini ya Mungu kwa nini masheikh wengine wa pake ndevu rangi wakati Mungu ka kataa!

    • @JosephGodfrey-jv8hz
      @JosephGodfrey-jv8hz 2 місяці тому +2

      Ni wapi Mungu kakataza kuparangi ndevu, kwa maana izo ni shutuma inabidi uelezee kosalikowapi.

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 2 місяці тому +1

      @@JosephGodfrey-jv8hz shida munasilimu bila kusoma nakuelewa uislamu ni nini apo utabisha tu mtu mzima anajiita sheikh anapaka ndevu rangi hatari sana iyo dini ya waarabu itawapoteza sana!

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 місяці тому +1

      Wapi mungu kasema usipake rangi. Lete andiko

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 місяці тому +1

      ​@@JeanMuzaliwa-bs6qhwapi imekatazwa kupaka rangi

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 місяці тому +3

      Wewe ni dini ya wazungu wanao idhinisha ushoga makanisani ,na wewe huko ukanisani unakoenda hivi karibuni mchungani wako anawahubiria kuwa dini yenu imeruhusu ndoa ya jinsia moja mwanaume kwa wanaume atakwambia amepata ufunuo kutoka kwa Mungu na nyinyi mutasema aaaaameee. Mwana Yesu asifiwe,wenye akili timamu watasema hii sio dini ya Mungu watashituka .kama unavyoambiwa sasa hivi unabisha huko mbele kam a utaamua kutafakari kwa kina utagundua haya unayoelezwa.

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 місяці тому +2

    Wewe Shafi Qur'an 3: 19 hapo hasemi Mungu Bali ni mtu anasema au jini ndiyo linasema dini ya Haki mbele ya Mwenyezi Mungu!! Nipe Aya ndani ya Qur'an inayosema MIMI MWENYEZI MUNGU DINI MBELE YANGU ni Uislamu acha kubabaisha watu😅

    • @JosephGodfrey-jv8hz
      @JosephGodfrey-jv8hz 2 місяці тому

      Kwani iyo 3-19 umeitoa kwenye biblia

    • @ashrafnuru6402
      @ashrafnuru6402 2 місяці тому

      Pole sana

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 2 місяці тому +1

      Wewe waijuaje Qur'an...Qur'an sio bibilia....wewe mamini bibilia ya paulo achana na Qur'an

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 2 місяці тому +3

      Mnafahamu fika kwamba quran ni maneno ya Mwenyezi Mungu lakini shetani anawachezea na kuwapotezea muda wenu badala ya kuiamini haki mnapoteza muda kubishana hali ya kuwa mnafahamu haki.
      (Sema): “Je, nitafute hakimu ghairi ya Allaah na hali Yeye Ndiye Ambaye Aliyekuteremshieni Kitabu kilichofasiliwa?” Na wale Tuliowapa Kitabu (kabla) wanajua kwamba kimeteremshwa kutoka kwa Rabb wako kwa haki. Basi usijekuwa miongoni mwa wanaotia shaka. [Al-An’aam: 114]

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 2 місяці тому +1

      Wewe umekula kwel mpaka unaongea maneno hayo

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 2 місяці тому +2

    sasa mbona watu tumekuwa wajinga kiasi eti ukristo umeletwa sasa uislamu umetoka wapi?niulize je Mungu ni muarabu juu quran iwe ya kiarabu?pili katika dunia iyi yani taifa ni moja tu juu quran iwe ya kiarabu?waona silimu wote ni wajinga awajasoma!

    • @JosephGodfrey-jv8hz
      @JosephGodfrey-jv8hz 2 місяці тому +2

      Kwani yesu alivyo kuja alikua anazungumza kiswahili, jibu hapana kama hapana basi tujiulize mbona Kuna biblia imeandikwa kiswahili nasio kwenye ile lugha iliokuja naye yesu.

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 2 місяці тому +2

      Wewe ndiyo mjinga kwa sababu unaakili lakin hujuwi kuzitumia aliekuambia Ukristo ni dini ni nani

    • @ashrafnuru6402
      @ashrafnuru6402 2 місяці тому +2

      Hoja yako haina mashiko, Injiri imeshuka kwa Lugha ya Kiaramu,(aramaic) kwahiyo mungu ni Muisrael

    • @JosephGodfrey-jv8hz
      @JosephGodfrey-jv8hz 2 місяці тому +5

      Ukristo umeanzishwa na Paulo pale antokya Tena baada ya yesu kuondoka hapa duniani soma matendo ya mitume 11-25

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 2 місяці тому +2

      Yani paulo ame walisha mavi mpaka mumu kua wajinga wakutupwa

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 2 місяці тому +2

    Acheni usanii ,Mohamad kawadanganya na kuwapa dini ya Mila ya kikureish mnahangaika kwa kua hamjui mfanyeje ,unauliza maswali yasio na akili kwani wewe Adamu alikua dini Gani ,Ibrahim ,Isaya ,Musa ,Haroon , Elia ,Daud,suleimann ,walikua dini Gani?? Quran imekuja juzi karne ya 6 ilhali Biblia imekuwepo miaka 5000 nk Hadi Sasa ,kwanza Quran 2:97 Mohamad alipewa kitabu na adui we ulitegemea kitaeleza Nini zaidi ya upinzani na kupinga injili ,zaburi ,na torat ,kwani yote Mungu aliosema Quran na ninyi mnakanusha mkijiona mko Huru Kumbe watumwa , tangia Dunia kuumbwa Mungu hajawahi kutoa au kuleta dini duniani , Mungu aliingiza utakatifu ndani ya watu aliowakusudia wakamcha kwa viwango alivopenda Mungu ,na ndio maana anaabudiwa kupitia YESU KRISTO,na YESU ndie Njia kweli na uzima wa Milele,kwa hiyo huyo ndugu Yuko sawa yeye mfuasi wa YESU hilo ndio jibu sahihi, mambo ya dini Gani yanahusu usajili ktk serekali za kidunia Ili kutofautisha baina ,siku ukitoka kwenye mwili ndio utajua umepoteaga kabisa na Kumbe uliabudu wafu na kiumbe badala ya Mungu wa kweli ,Dini yoyote ya kweli ni Ile ambayo kiongozi wake Yuko hai kwani hairuhusiwi kuwaombea wafu rehema ukiisha kufa hata kama ulidanganywa na shetani ndio imeisha hiyo,Leo utaona waanzilishi wanaombewa rehema na walishakufa tangia kale kama yeye hakuweza utakatifu na nikiongozi wewe muumini wake utaweza wapi??,mpe YESU maisha yako upata msamaha kwa kutokufahamu kwako.

    • @IssaMsalama-k6x
      @IssaMsalama-k6x 2 місяці тому +1

      Kwa hiyo na nyie mletewa msanii mnamchonga,na kumuhabudu,mnamuweka ndani mnampigia magoti,Bikila Malia awaombee msamehewe zambi,nyie ndio mmefungwa amsikii Wala amuoni,

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 місяці тому +3

      Jifunze kuhusu mambo ya dini ,utagundua ukweli upo wapi ,mambo kuhusu imani za kidini yanahitaji kujifunza na kujiuliza maswali magumu kuhusu hizi imani. 1.Kwanini binadamu tunatofautiana dini ulimwenguni?.2 Je Mungu hakuwa na mfumo aliouweka ili wanaadamu waishi ulimwenguni kwa kufuata mfumo wa maisha katika kuishi kwao . 3. Je Mwenyezi Mungu aliye Muumba mwanadamu anayejiita Muislamu na anaye jiita Mkiristo ndio Mungu huyo huyo ana ni Mungu tofauti .kama ni Mungu ni mmoja aliyewaumba ,swali kwa nini watofautiane katika mfumo ya ufanyaji ibada duniani .ukikaa chini ukitafakari utagundua kuna mmoja yupo sahihi na mwengine hayopo sahihi ,kubwa ni kujifunza na kutafuta usahihi upo wapi ?.bila ya kujali dini yako ni ipi .

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 2 місяці тому +2

      ww mkata mauono hauwezi elewa kitu hadi siku ukishaondoka ulimwengu huu ndo utajua ukweli mana unaropoka kwa ushabiki sio kiusomi wala hauna maandiko yakupinga wapinga kwa akili zako za kukata mauno makanisani

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 місяці тому

      Pole kijana kasome vizuri ukristo na uyahudi ni uislam. Wewe umewahi kusoma mahali popote ndani ya biblia kuwa ukristo ni dini? Jee YESU aliwahi kusali kanisani? Jee nabii gani wakale toka ADAM mpaka Yohana alie wahi kuwa mkristo? Unajitetea Sana wakati biblia unayo lakini husomi na ukisoma biblia hupati andiko hilo. Kristo ni cheo cha Yesu ambacho maana yake ni mpakwa mafuta na MUNGU. Wewe umewahi ona wapi Yesu akisali Kama mnavyo sali ninyi wakristo wa sasa? Kwanza wakristo ndio mpinga kristo wenyewe maana hawafuati mafundisho yake YESU badala yake mnafuata mafundisho ya PAUL na sio injili ya YESU mwenyewe upo kijana. Soma maandiko vizuri utaona yote hayo.

    • @Thabitilubunani
      @Thabitilubunani 2 місяці тому

      Kasome wewe huujuwi ukirsto wala uislamu ingekuwa usilamu nimla za kikurayishi asingepngana na waqurayishi