NDACHA NA DANIEL-WEWE NI SHETANI /WEWE SIO MWALIM-BAADA KUWASHINDA DIBETI WATIFUANA WENYEWE-UTATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 лис 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL HII

КОМЕНТАРІ • 349

  • @MandeJumanne
    @MandeJumanne 2 дні тому

    Serikali ya mbinguni yaani Baba,mwana na roho mtakatifu inaitwa Mungu. Ndacha soma maandiko vizuri na uyaelewe.

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 27 днів тому

    We ni hoi kabisaaaaa. Bora ndacha tumemuelewa

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai Місяць тому

    Yesu Kristo ni Mungu,alipofanyika neno na akazaliwa duniani,akawa mwana wa Mungu,Yesu Kristo alipopaa mbinguni alisema atamtuma roho mtakatifu awe nasi milele.mungu katika roho ni roho mtakatifu.🙏Mungu atusaidie sana.😢

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon 4 дні тому

    Ndacha uko sawa Bado kusilimu tu mungu ni Moja bbla

  • @jacksule7557
    @jacksule7557 Місяць тому

    Ndacha haukan uungu katika utatu yaan yesu ni Mungu roho ktakatifu ni Mungu na mungu baba ni Mungu bali anadai utimilifu wa mungu kwa kila nafsi ndo anaelezea yaani hatuna miungu watatu tu mungu mmoja tu sema watu wamemezeshwa fundisho hili kwa kila aina ya tafasr

  • @JoachimMario-sp3pk
    @JoachimMario-sp3pk Місяць тому

    Uyu mtumishi yuko sahihi Kabisa kwamba Mungu ni mmoja tu maana yule jehova wa agano la kale ndiye Bwana yesu Kristo wa agano jipya Ndiyo kusema yule Mungu logos au nguzo ya moto mungu aliyekuwa katika hali ya roho sasa akachukua mwili katika tumbo la mariamu akauzaa ule mwili alafu yule Mungu asiye na mwili akaja kukaa katika mwili SASA yule Mungu akiwa roho ni KRISTO alafu ule mwili mariamu aliyouzaa Ukaitwa YESU sasa anaitwa YESU KRISTO hapa hakuna miungu wawili wala watatu

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 27 днів тому

    Loho mtakatifu pia nisaijizi hutujulieha yesu alisema atawajilia kwenu loho mtakatifu

  • @Laysonmwakajila
    @Laysonmwakajila 27 днів тому

    Ndacha n mchungaji mzur sana na namfuatilia sana but anafel kidogo tu

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 27 днів тому

    Wasabato hawelewi ubishi mungu nimoja katika utendaji amegawanyika wasabato nishida hawajui lolote

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Kusema Mungu baba ni sawa na Yesu na Roho mtakatifu ni uvivu wa wakristo wenzengu kusoma maandiko lakini pia ni mapokeo yanawasumbua

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому +1

    Utatu mtakatifu upo lakini SI kama wanavyotafusiri.Huko ni kushusha Mungu hazi ya kusema Yesu na Roho ni sawa na Mungu mwenyezi.

  • @muriziramazani
    @muriziramazani Місяць тому

    Hakuna miungu watatu Mungu ni mumoja miungu watatu ni mafundisho ya uongo ya mashetani

  • @muriziramazani
    @muriziramazani Місяць тому

    Mungu ni mumoja Na hakuna Mungu baba Mung mwana Mungu Rohomutakatifu

    • @muriziramazani
      @muriziramazani Місяць тому

      Magundisho ya utatu niya ibilisi

    • @muriziramazani
      @muriziramazani Місяць тому

      Mimi naunda ndacha mukono saana naniko upande wake

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t Місяць тому

    Kwa nini Yesu alisisitiza kuwa.aliyemuona Yesu sawanakuwa amemuonaMungu unamaana.weweMuchungaji Ndacha bado hujatafakaritu hapo kwahiyo unataka.kutulazimisha kuwa Yesu naye aliumbwa,..wakati hajaumbwa alikuwepotangu mwanzo.

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Lazima wajue Mungu alikuwa na neno nafsini mwake kabla ya kulitumia katika kazi zote .

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 2 місяці тому +2

    Najivunia uslam wangu, wendacha na mwenzio mupokwaku danganyana mujekwausla uwafundishe madahiya

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 2 місяці тому

    Wewe Ndacha unajisikia kweli eti Yesu ni Mungu. ana Mungu mwenzake tena Mungu ni Mumoja.umechanga nyikiwa wewe.

  • @omariSaidmoon
    @omariSaidmoon 4 дні тому

    Nalaika alie tu mwa na mungu kwa Mariam ili azaliwe yesu halafu awe sawa nà mungu

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому +1

    Mimi ni mkristo.Ndacha yuku sawa.Mungu ni mmoja.

    • @DamasMhiche
      @DamasMhiche Місяць тому

      Hayuko sahihi anahitaji ufunuo wa Roho wa Mungu kuelewa maandiko. Anatafsiri biblia kimwili

  • @SharonOguda-u7b
    @SharonOguda-u7b 13 днів тому

    Hakuna mungu hila Yesu tuuuu, Tatizo wakristo wengi bado hawaelewi yesu ninani?

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 2 місяці тому +1

    Daniel accha kumkufuru
    Mungu
    Mungu mmoja tu yesu ni mwana na roho mtakatif ni nguvu ya
    Mungu Wala haonekani hukaa ndani ya mwanadamu kasome tena

  • @musam.gwankanya4839
    @musam.gwankanya4839 Місяць тому

    Ndacha soma maandiko uyaelewe vizuri. Maana Mungu ni mmoja ktk utatu. Hivyo ili kuondoa mabishano, ni vyema kupata tafsili ya neno Mungu. Tafsili ya neno Mungu, itakusaidia kuondokana na mabishano ya uungu wa nafsi ya Baba, ya Mwana, na ya Roho Mtakatifu

    • @jacksule7557
      @jacksule7557 Місяць тому

      Ndacha ajakana ila anawaelekeza mungu hawapo watatu lkn kuna kati ya utatu katka uungu

  • @gabrielsaelie8091
    @gabrielsaelie8091 Місяць тому

    Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa a ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD.
    Uwongo huo ni wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu. UWONGO huu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
    "MAKANISA" ya kibabeli yanayoendesha IBADA kwa Mungu katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Kupitia nabii Ezekiel alituambia ibada hizi za kikuzimu zimeshamfanya Mungu wa Mbinguni kuyakimbia makanisa yao. Soma Ezekiel 8: 4-16

  • @Saidmohammed-o3u
    @Saidmohammed-o3u 23 дні тому

    Sasa yesu ni mungu ama ni mtoto wa mungu? Maana mungu hakuzaa Wala kuzaliwa na haja fanana na kitu chochote hapa duniani

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому +12

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bora niwe mlevi kuliko kua mkristo masha'allah najivunia kuwa muislam 🎉

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 2 місяці тому

      😂😂mlevi bado ni jambo kubwa bora niwe shoga kuliko kuwa na imani hii ya hawa jamaaa 😂 alhamdulillah kwa neema ya uislam 😍

    • @kimanzingei109
      @kimanzingei109 2 місяці тому +2

      HATA SHETANI ANAJIVUNIA KUWA MUISLAAMU. SHIDA NI VILE ANAJUA ANANGOJA MOTO PAMOJA NA MAJINI WAKE NA WATU WA DINI YAKE NA UNAIJUA MWENYEWE SABABU WEWE NI MSHIRIKA

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 2 місяці тому

      Ninyi mlipotezwa endelea kulewa

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 2 місяці тому

      ​@@murtalla2826uislm hauwezi kujadiriwa popote ulimwenguni sababu Mungu hausiki na huo

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 2 місяці тому

      Alhamdulillah ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 2 місяці тому +7

    Alhamdulillah kwa neema ya Nuru ya Uislamu ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @gidionileonardi4959
    @gidionileonardi4959 Місяць тому

    Matendo ya Mitume 5 : 3 -- 4 .....kwa nini shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu 4 Hukumwambia mwanadamu uongo bali Mungu ; maandiko haya yanatuonyesha kuwa Roho Mtakatifu ni Mungu maana ndiye aliyeambiwa uongo Waefeso 4 : 30 wala msimhuzunishe Roho Mtakatifu....anayehunika ni nafsi halisi Isaya 63 : 10 Wakamhuzunisha Roho Mtakatifu akageuka akapigana nao .... Roho Mtakatifu ni nafsi na ni Mungu ..... Yohana 16 : 14 Roho Mtakatifu anamtukuza Yesu Mwana Yohana 17: 1 Baba mtukuze Mwanao .... Yohana 17 : 14 -- 15 Mimi nimekutukuza duniani ..... 5 Na sasa Baba unitukuze mimi .... Ukisoma vizuri Biblia na Roho Mtakatifu akakuongoza utagundua kuwa Mungu ni mmoja katika nafsi tatu ndiyo maana Baba anamtukuza Mwana na Roho Mtakatifu anamtukuza Mwana na Mwana anamtukuza Baba ni lazima tujue hata katika uumbaji Baba Mwana na Roho Mtakatifu walihusika Mwanzo 1 : 2 Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji Mungu akasema na iwe nuru ikawa..... utatu wa Mungu ni halisi Baba ni Mungu Mwana ni Mungu Roho Mtakatifu ni Mungu katika ukamilifu wa Mungu ni 777 ndiyo maana hata shetani naye anajaribu kuigiza utatu maana yupo ibilisi yaani joka na mnyama yaani mpinga kristo na nabii wa uongo hawa ndiyo 666

  • @JamesKabodo
    @JamesKabodo Місяць тому

    Ndacha usichanganywe nakuchanganyikiwa Yesu alisema kwa jina la Baba na mwana na Roho mtakatifu

    • @jacksule7557
      @jacksule7557 Місяць тому

      Nyie wakristo hamsom mkaelewa ndacha hajakana kaz ya utatu katika uungu bali amekata mungu watatu

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Yesu anasema nae ambae mwanae apenda kumfunulia ndiye atakayejua kuwa Mungu ni Baba yake.

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Ndacha ,hao ni mapokeo yanawasumbua

  • @jamesjames-y3k
    @jamesjames-y3k 13 днів тому

    umekosea wewe mwalimu wa ki-islamu kama roho ya mungu ndio iliumba job hiyo ni roho ya mungu si mungu roho ,kama job angesema mungu roho ndiye ameniumba hapo ndio ungeeleweka

  • @josephkirimi5453
    @josephkirimi5453 Місяць тому

    Ndacha ni mutu ametumwa na shetani amupelekee watu hili wachomwe pamoja. Muulizeni Ndacha aliwekelewa mikono na nani hawe mutumishi wa Mungu. Ndacha tayari amemkufuru roho wa Mungu, na hawezi kusamehewa tena. Ataishi kukanganya watu waendelee kuingia kwa shetani.

  • @jumamitamba6029
    @jumamitamba6029 Місяць тому

    Alhamudu llahahi mm nijuwa tuu mberenii mtakujaa kushindanaa kwakifup achenii kupoteza mdaa njonii kwenyee dini yahak aliyoo swalii yesu yesuu alikuwa mwislam mnakataa naipo skuu mtajuwa ukwelii zaidi kuwa yesuu alikuwa mwislam ndioo mtaslim naipo skuu mtakubalii tuu kuwa yesuu alikuwa mwislam niwambieenii kituu semenii ukwelii atakamaa ukwelii unauma unachoo kataa nini acheni biashalaa nyiee njonii muwee waslam

  • @mirzah117
    @mirzah117 Місяць тому

    Kwaakili zako ..rohobya Mungu imeniumba ndio unaona ni point kua kuna mungu roho

  • @AzizaHamisi-o6z
    @AzizaHamisi-o6z Місяць тому

    Toweni ukweli ndani ya nafsi mnao ukweli utabaki pale pale mungu ni Moja tu

  • @IndalesioHenery
    @IndalesioHenery Місяць тому

    Ndacha pole sana Leo umeonyesha udhaifu mkubwa sana

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 2 місяці тому +5

    Bado watajichanganya mpaka kifo kiwakute! Hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu Kwa mapagani

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 2 місяці тому

      😅kabisa kabisa na moto ndio makazi yao

    • @JackieMichael-q7x
      @JackieMichael-q7x Місяць тому

      tukifika huko ndio tutajua nani mkweli kila mmoja akazane kumtafuta Mungu anayemuamini

  • @HamzaMakobanice
    @HamzaMakobanice 2 місяці тому +26

    Muislam popote ulipo sema alihamdulila kwamafundisho haya ukafiri wawazi kabisa mungu ni mmoja hana ushirika na yeyote.wote wanafundisha mafundisho ya shetani.sio ndacha wala daniel.wote wanafundisha mafundisho ya shetani

    • @BobgIsmail
      @BobgIsmail 2 місяці тому +2

      Alhmdllah

    • @BobgIsmail
      @BobgIsmail 2 місяці тому +1

      Wanajichanganya

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 2 місяці тому

      Alhamdulillah 🎉

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 2 місяці тому

      ​@@murtalla2826alhamdulilah

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 2 місяці тому +2

      Nyie mna miungu mingi mia300 Muhammad kasanya kaeka kuwa moja meka

  • @HamzaAdam-z3c
    @HamzaAdam-z3c 10 днів тому

    wakristo amna mungu

  • @vinreyal5627
    @vinreyal5627 Місяць тому

    Roho ya mungu ni mungu

  • @GEOFREYABISI
    @GEOFREYABISI Місяць тому

    Ndugu usitamani sana asiyenaRoho akubari Rohoo

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu Місяць тому

    Hahahaaaa roho mtakatifu ni malaika jibrili ambaye alikuwa anapeleka wahai tu kutoka kwa mungu vipi naye pia ni mungu wenu kaaa poleni Allah awasaidiye mutoke makuchani mwa wazungu

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 2 місяці тому

    Muooombeeeyeee mwenyezimnguu Amuongoweee huyu Allaah Atamuongozaaaa mshindani muacheeni hamnah hajaaa kushindaanaaa nayeee ….

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 2 місяці тому

    Siku zote nawaambia wakristo hawajui Mungu wa kweli ni yupi ni yesu au ni yupi

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Sekretalieti kuu ya mbinguni ni Baba au Mungu ambae ndiye chanzo Cha Kila kitu Kisha alikuwa na Neno nafsini mwake ambalo kwa mapenzi yake alilifanya kuwa mzaliwa wake wa kwanza na Roho yake kuwa sehemu ya nguvu zake hivyo kwa matakwa yake alitumia neno lake kuumba Kila kitu pamoja na Roho yake kama sehemu ya nguvu zake.

  • @cleverommy5706
    @cleverommy5706 Місяць тому

    Ndacha kwenye midahalo anasema yesu ni mungu leo anasema yesu sio mungu mwana wala si mungu

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 2 місяці тому +12

    Mungu ni mmoja tu tena wa pekee pia hafanani na chochote naye ndiye ALLAH Mungu wa kila kitu

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 2 місяці тому

      Alah siyo Mungu wa wakristo

    • @HabibuUrasa
      @HabibuUrasa 2 місяці тому +1

      @@MchungajiNzelani hata ukimkataa lakini yy yesu anamtambua hata yesu km mnavyodai alivyobanwa pale msalabani alimwiita ALLAH aje amsaidie

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu Місяць тому

      Ni wa kila kiumbe sema hamunuamini tu na hio ni hiari ya mtu​@@MchungajiNzelani

    • @AareMjungu
      @AareMjungu Місяць тому

      allah ana mikono na yote mikono iko upande mmoja

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu Місяць тому

      @@AareMjungu nyoo mkono wa zumaridi huo na kiboko ya wachawi na p didy bwana wenu Allah hajafanana na chochote huyo ulomuona ni hao zumaridi mungu wenu mwengine

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Watu wanashindwa kujua kuwa kilichozaliwa au kufanywa na Mungu ni kitakatifu.Iweni watakatifu kama ye aliyewaita alivyo mtakatifu.Lakini Yesu akitakaswa na Mungu juu ya kazi zote na Roho akafanya kazi zote ndiyo useme Yesu na Roho ni sawa na Mungu.Lazima ujue kuwa Baba amemzaa Yesu Tena kwa neno lake na SI Yesu aliyemzaa Baba au Mungu.Pia lazima ujue kuwa Baba au Mungu anayetoa Roho mtakatifu kama apendavyo na SI Roho ndiye anayetoa Baba au Mungu.

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    1Yohana5:5-9 Mungu amemshuhudia mwanae kwa mbinguni kuwa Baba,Neno na Roho mtakatifu wamethibitisha Hilo na Dunian Bado Roho mtakatifu,maji na damu vimethibitisha Hilo.

  • @josphatmunuve8941
    @josphatmunuve8941 2 місяці тому

    Ndugu yangu uko sawa ,uliza Ndacha kama Yesu ni mhongo alipothibitisha. Utatu aliposema ; ' Nendeni mkawafundishe na kuwabatiza Kwa jina la Baba ,la Mwana na la Roho Mtakatibu (Mat 28:18-20

  • @AGUSTINOEMILL
    @AGUSTINOEMILL Місяць тому

    YESU ni MUNGU asilimia mia we unaeamini majini na mhamadi endelea hivohivo ila siku utakapo Agadunia ndipo utakapojua kua Ulichelewa tubuni mwache kuabudu majini mkaokolewe sikuyamwisho YESU anarudi mdanchache mtalia na mtakumbuka wakristo wanayo yasema

    • @Baharia92
      @Baharia92 Місяць тому

      We chizi sio bure

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk Місяць тому

    Ndacha ndiye mwenye matatizo anang'ang'ana kusema Mungu watatu na hali Daniel anafundisha kuwa ni mmoja katika nafasi tatu Baba katika uumbaji, mwana katika kutwaa mwili na kuona kuwa Mungu si kitu cha kushikamana nacho na akaja Duniani kupitia tumbo la Mariamu lengo kutukomboa sisi na alipo paa akasema sitawaacha pekee yenu bali nita waachia roho mtakatifu kwa maana yakuendelea kutenda kazi za Mungu na kuwa muombezi wetu kwa Baba.

  • @GhalibHassan-xs1is
    @GhalibHassan-xs1is Місяць тому

    Nashukuru Mungu kua mwisilam,

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 Місяць тому +1

    Ndacha anafundisha ukweli wa biblia na Mungu hakuna Mungu Baba, Mungu mwana,na Mungu Roho mtakatifu bali Mungu ni mmoja tu.Yesu Kristo ni mwana wa Mungu.Lazima Daniel ajue kuwa Kanisa limejengwa juu ya ukiri wa Petro full stop.,Baada ya Yesu kuondoka duniani ndipo nyongeza hizi za maneno haya mapya yakatokea. Daniel achana na kuunga unga vifungu vya Biblia.kanisa limejengwa juu ya Ukiri wa Petro usiturudishe nyuma kutaka kuharalisha maneno yako.Je wewe na Yesu tumwamini nani? Ukiri wa Petro ndio ulimfanya Petro kuwa mwangalizi wa Kanisa kwa kibali cha Kristo mwenyewe. Wengine husema Petro ndiye Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Kristo.Alipataje nafasi hiyo kwa kujibu tu swali waliloshindwa wengine kujibu waliokuwa wanababaika babaika kama Daniel anavyofanya sasa. Petro akajibu bila mashaka yoyote akasema "Wewe ni Kristo Mwana wa Mungu alive Hai" Yesu akampa credit akasema wewe Petro umepatia nakukabidhi usimamizi wa Kanisa langu.Petro hakusema wewe ndiwe, Mungu Mwana. Nataka nimwambie Daniel siku zote waionao njia ya uzima huwa kundi dogo. Mungu hatembei na wingi wa watu wasio na faida kwake yeye hutembea na kundi dogo linalomwelewa ndio maana Yesu akasema "njia ya upotevuni ni pana inameza wengi bali njia ya uzima ninyembamba waionayo ni wachache.sasa hivi kundi linaloamini Mungu watatu (Mungu Baba, Mungu mwana na Mungu Roho Mtakatifu) ni kubwa sana kuliko kundi linaloamini Kuna Mungu Mmoja.Njia yao pana iko wazi machoni pao wataangamia.

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu Місяць тому

    Haya weeeee ipo siku mutatuelewa

  • @AgnesKasayaMigiro
    @AgnesKasayaMigiro 2 місяці тому +1

    Huyu mzee aache kudanganya watu wa Mungu

  • @OscarJr-yu9so
    @OscarJr-yu9so 2 місяці тому

    Mashallah kwa nini wasifanye dbet hawa mayahud Allah ambaliki mtume Muhammad aliko ubalikiwe pia ustadh shafii

    • @mwesi527
      @mwesi527 2 місяці тому

      MTU akifa anawezaje kubarikiwa ?duh hii mpya ,haya endeleeni kumswalia mtume wenu Muhammad muone kama mtabadilisha kitu.

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n Місяць тому

      ​@@mwesi527Jibu hoja uko au umekosa hoja tunataka tujue wewe upo kwa ndacha au daniel

  • @PeterSegire
    @PeterSegire Місяць тому

    Hakuna mungu watatu

  • @hakimjuda
    @hakimjuda Місяць тому

    Hamna dini yeyote wakristo

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 2 місяці тому +1

    Mungu nimja hakuzaa wala hakuzaliwa muache kudanganyana hakunamkweli kati yandacha na mwenzio

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 2 місяці тому

      Hiyo imani yenu mlitoa kwa majini Q72:1-14

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 місяці тому

      Wewe mbona unafosi sana mambo ya majini kwani majini walitoka wapi kama hawajaumbwa na mungu kunakitu hapa Duniani hajaumbwa na mungu?? Nakama walimbwaba namungu ili wamfanyie Nini kama sio kumuabudu na kumsujudia

    • @JackieMichael-q7x
      @JackieMichael-q7x Місяць тому

      @@zaidiissa3714 majini hayawezi kumuabudu Mungu, kwa kuwa yalishaondolewa na kutupwa pamoja na shetani

  • @EliusKisiery
    @EliusKisiery Місяць тому

    Ndacha nakukubaliga Kwa mandiko lkn Hilo somo umefal vbaya

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan Місяць тому

    Mimi nashangaa kweli mungu anayo mtoto daa tuamke wanda mungu katuletea muokozi jamani wakilisto wenzangu

  • @musam.gwankanya4839
    @musam.gwankanya4839 Місяць тому

    Ukisoma 1Yohana.5:8, Waebrania.1:1-2, Yohana.1:18. Vifungu hivi vinaonyesha nafsi tatu lakini zote ni ushirika wa uungu mmoja. Kwa hivyo, huwezi kumtenganisha Yesu kuwa sio Mungu wala Roho Mtakatifu. Wote nafsi tatu ni ushirika wa Mungu mmoja. Kwa hivyo,Nafsi ya Baba ni Mungu, nafsi ya Yesu ni Mungu, na nafsi ya Roho Mtakatifu ni Mungu ktk ummoja wa ushirika wao

  • @PaschalCharlesLunemhya
    @PaschalCharlesLunemhya Місяць тому

    Ni rahisi kumpoteza asiyesoma maandiko na kuyaelewa!! Endeleeni kuwachanganya watu kama mlivyofanikiwa kuwachanya kwenye siku ya Saba..!

  • @waimani5550
    @waimani5550 Місяць тому

    Utatu upo ndani ya biblia sema tatizo ni aina ya utatu, sasa unaposema Baba, Mwana na Roho Mtakatifu si utatu huu? na ukiokoka Baba na Mwana na Roho takatifu wote watatu wanakuja kukaa ndani ya mtu aliye okoka, sasa kupinga kwamba utatau haupo ni jambo la kushangaza sana, ningemwelewa kama wanatofautiana kwenye aina ya utatu lakini kusema kwamba haupo, inashangaza kabisa,
    lakini wakati huo anasema Baba yupo, Mwana yupo na Roho Mtakatifu yupo, halafu hapo hapo unasema utatau haupo, ifike mahali tuache tu kukalili tu vifungu vya biblia pia na tuelewe na maandiko, wakati Yesu anabatizwa wote watatu walikuwe;po, Yesu Mwana wa Mungu, Roho Mtakatifu na Mungu Baba, lengo hapa nikuonyweshwa utatu na jinsi unavyofanya kazi.

  • @DonaldMachendule-qu8zl
    @DonaldMachendule-qu8zl Місяць тому

    Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha .Yesu alikuwa anamdanganya nani? Au kusema baba yake ni mkuu kuliko yeye alikuwa anamdanganya nani? Au Mungu kusema huyu ni mwanangu ninayependezwa nae alikuwa anamdanganya nani? Au Yesu anasema baba yangu ni baba yenu na Mungu wangu ni Mungu wenu katika ufunuo wa Yohana anamdanganya nani?

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 місяці тому +1

    Ndacha Badoo! Ndacha Mungu anazaa

    • @husseinshadhily
      @husseinshadhily 2 місяці тому

      😂wana gombana wenyewe wakristo. Kwa wakristo,,,njoon katika uislamu jamani token huko ukristo sio din

  • @rajabmpamwa9051
    @rajabmpamwa9051 2 місяці тому +1

    Kwhy mungu yesu ana mungu wake😂😂😂😂😂 na sio mungu mwenzake😂😂

  • @felixmuasya6601
    @felixmuasya6601 Місяць тому

    Hii ndio hoja iliyozaa uislamu....

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 місяці тому +3

    Haya ndio malipo wanayoanzwa kulipwa duniani tukia tunaona..Kitabu kimoja Yesu mmoja lakini hamuelewani kama paka na panya.Alhamdulillah kwa neema ya Uislam.

    • @kabialomsn
      @kabialomsn 2 місяці тому

      Hata waislamu wapo madhehebu mengi na wanaamini tofauti, sio kwa Wakristo tu. Kwa mfano wengine wanakubali Muhamad alipasuliwa mara 3 akatolewa shetani, wengine wanakataa

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 2 місяці тому

      @@kabialomsn Hicho ni kitabu kilichoandikwa na mtu kama wewe.Toa andiko Qur,an imesema MTUME wetu KIPENZ kapasuliwa na kutolewa shetan.Mpaka kuabudu mnatofautiana kwa ukafir wenu

    • @KhamisJuma-ni1vk
      @KhamisJuma-ni1vk 2 місяці тому

      Swadakta

    • @krizofrancisco5310
      @krizofrancisco5310 Місяць тому

      😂😂😂Fanya uchunguzi achana na maneno ya kijiweni uislamu umelamilika Haina shaka ndani yake​@@kabialomsn

  • @antonymwangi5446
    @antonymwangi5446 2 місяці тому

    Je huwa twaelewa kuwa yesu ni nani kwani yesu ni mwana abaye hakuzaliwa kwa mwili kwa sababu neno la mungu ndilo mwanawe

  • @DimaDaro-ts1kq
    @DimaDaro-ts1kq 2 місяці тому

    Walimu Hawa wameshinda kuelewa maana ya mwana iliyotumika katika maandiko wangejifunza kwa ustadh mazinge,profesa

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 Місяць тому

    NDACHA kuita yesu ni Mungu Mwana sio kukana imani bali ni andiko Yoh 1:18 HAKUNA ALIYEWAHI KUMWONA MUNGU ISIPOKUWA MUNGU MWANA PEKEE AMBAYE YEYE MWENYEWE NI MUNGU sasa unasemaje kwamba kuita Yesu Mungu mwana ni kukana imani? Usitafsri maandiko kwa tafsri sisisi

    • @methodemmanuel4658
      @methodemmanuel4658 Місяць тому

      Hakuna Mungu mwana, kasome Version ya Kingereza imeandikwa mwana wa Mungu ila walio tafsiri ndio waliteleza.

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 2 місяці тому +5

    Daniel ndacha ni wanayumba hawana msimamo moto unawasubiri

    • @AsiaSiraji-ud9ju
      @AsiaSiraji-ud9ju 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @kimanzingei109
      @kimanzingei109 2 місяці тому

      stop consolling yourself in lies and the end time utaingia na shetani mungu wenu

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 2 місяці тому

      Unaongea upunbavu ili kuhalalisha imani yako mbovu??😢fikiria vizuri kisha fanya maamuzi,acha kukaza fuvu​@@kimanzingei109

  • @SalmaMsangi-n2m
    @SalmaMsangi-n2m 2 місяці тому +10

    Watu wa Allah taqibir

  • @thomasemmanuel4818
    @thomasemmanuel4818 2 місяці тому

    Ndacha kwny somo lautatu sikusikilizi. Unamkataa roho mtakatifu unakufuru. Wkt unajua kuna baba,mwana na roho mtakatifu

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 2 місяці тому +2

    Hawa wote njaa ndio inawasumbua na shetani kawapa khof ya ufakiri endapo watauacha ukristo.

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 Місяць тому

    Fedheha hio🎉

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 2 місяці тому +5

    NYINYI NYOTE NI MASHETWANI MUNGU HANA MTOTO

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 2 місяці тому

      😂😂😂 mashetani tuu hawa

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 2 місяці тому +1

      Uisilamu ni ustaarabu Wala usiwatukane
      Khatima Yao Ina ALLAH ata kama ni fi-nar usiwatukane

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 Місяць тому

    Kwahiyo yesu ingawa anaitwa Mungu ana Mungu wake MAELEZO YA NDACHA Hivyo anakubali Yesu ni Mungu Ila ana Mungu wake . Neno Mungu maana yake Muumbaji kwahiyo ndacha anamanisha kwamba muumbaji ana muumbaji wake . Ufafanuzi huu una yamkini ya kukosewa

  • @Swaleh-px1ug
    @Swaleh-px1ug Місяць тому

    Ndacha Hana lakusema bali analazimishatu

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg 2 місяці тому

    Wewe
    Daniel hujui kitu kabisa ndacha yupp saw

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e Місяць тому

    Ukristo ni dini ya mas lah ya duniani tu sio akhera

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 2 місяці тому +1

    Kuliko kua mkristo bora kubak tu kienyej,yaan mungu wawakristo alikamatwa na upwuuru akajipatia zake mtoto😢

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 2 місяці тому

      Unasema hiyo mungu wa biblia wamesema atakuja kufanya ukahaba

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 2 місяці тому

      😂😂😂😂 upwiru kama upwiru

  • @pepchallanga3626
    @pepchallanga3626 Місяць тому

    kukutana kwa wasiojua
    wote wanajadili na kubishana juu ya wasiyojajua

  • @antonymwangi5446
    @antonymwangi5446 2 місяці тому

    Inamaana daniel hamnjui yesu kutoka mwazo bali anamnjua alipokunja kwA wana waislaeri kwasababu yesu alikuwa tangu mwanzo

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Місяць тому

      Hata mm na ww tulikuepo tokea mwanzo lkn tulijuilikana baada ya kuzaliwa.

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 2 місяці тому

    Waislamu nanyi mna miungu mia tatu sanamu muhamadi kafanya iwe sanamu moja na ndio alla mumoja alla ni sanamu pale macca ndio munaabudu nyote mkiangalia kwa jiwe jeusi shetani

    • @SaidiMazaila
      @SaidiMazaila 2 місяці тому

      Acha kujivuna adharan kwa kumkufuru mungu ili kusudi uwafuraishe watu, soma vitabu tafuta mwenyewe kwa Nia ya kujua dini ya haki. We uoni walevi wenzio hao hawajui wamesoma biblia gan!!?😅😅😅. Ila dini ya Haq ni lugha Moja Dunia nziiiiiiimaaaaaa. Inshallah mungu akujalie akiri ya kutambua kufuru zako na kuijua haki

    • @issamwembe4245
      @issamwembe4245 2 місяці тому

      Hapo ni ninyi kwa ninyi

    • @GhjggjGhhjj
      @GhjggjGhhjj Місяць тому

      Kakojoe ukalale huna jipya

    • @KhalidHashim-y4n
      @KhalidHashim-y4n Місяць тому

      Tuambie upo kwa ndacha au kwa mwenetu dany tuambie sisi apo hatupo ila ukitaka elimu tupo tayari

    • @krizofrancisco5310
      @krizofrancisco5310 Місяць тому

      😂😂😂punguza chuki dhidi ya uislamu kama chini soma kitabu Cha dini yako acha chuki

  • @AliJussa
    @AliJussa 2 місяці тому

    Ndacha ukweli karibu atauona

  • @frankmataka7185
    @frankmataka7185 Місяць тому

    Huyu mchungaji aumpiga mpiga porojo naomba afungue mwanzo halafu fungua matayo wakati anajaribiwa jangwani nenda fungua yohana mojA nenda yohana kumi na nne 😅😅😅

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 27 днів тому

    Allaaaaaah, hukakbar. Sasa wanakuja kundini

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 2 місяці тому

    Mwalimu Mwaikemwa,umesema roho wa mungu ameniumba ni kweri,sasa swali kwanini haikusema mungu roho ameniumba?

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 2 місяці тому +1

    Wachungaji waanza kupigana 😂😂😂wenyewe hawajuwi kinachoendeleye

    • @murtalla2826
      @murtalla2826 2 місяці тому

      😂wapo kwenye giza hawaelewi 😂

  • @Mutua-h9r
    @Mutua-h9r Місяць тому

    Unachanganya Daniel kweli shafii 😂😂😂

  • @HappyClogShoes-hp9ho
    @HappyClogShoes-hp9ho 2 місяці тому

    Itafahamika tu twende pole pole

  • @jumamitamba6029
    @jumamitamba6029 Місяць тому

    Nijuwatuu kuwaa kitaumana mda siyoo mlefuu tuliwambiaa dini ni wislam mkakataa sasa mnaonaa ayoo majibuu yakee

    • @JackieMichael-q7x
      @JackieMichael-q7x Місяць тому

      bora nibaki na ukristo wangu hadi kiyama kuliko uislam.

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 27 днів тому

    Neno la Mungu tatizo niuelewa tu mdogo Mungu ni

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 2 місяці тому +3

    Wanajichangany san

  • @rajabmpamwa9051
    @rajabmpamwa9051 2 місяці тому

    Mwana wa mungu, mungu mwana 😂😂😂😂😂😂 wanajichanganya wenyewe😂.

  • @MohamedHalfan-k8n
    @MohamedHalfan-k8n Місяць тому

    Jaman horo anaye zungumzwa ni malaika jibril ata Kwa Quran katajwa Kwa jina la Roho

  • @JofryDaud-kc2du
    @JofryDaud-kc2du Місяць тому

    Wewe Hakuna utatu shida sijuwi nini