Ustadh Shafii Amfundisha Daniel Mkemwa Utume wa Muhammad Ambabanisha na Bibilia Yake

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 220

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 2 місяці тому +20

    Yaaani mpk raha Shekhe Shafi kawafunika ile mbaya Alhamdulilaah mada usha maliza Shekhe wetu❤❤❤ Nakupenda Shekhe kwajili ya ALLAH. Akhyiii

  • @saidishekalaghe3496
    @saidishekalaghe3496 2 місяці тому +12

    Ust.Shaffi Allah Akubariki kwa kweli umetufundisha kitu Kikubwa Sana.

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 2 місяці тому +10

    Mashallah ushindi daima...Haqi ikon wazi itaolea tu.

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 2 місяці тому +5

    MAA SHAA ALLAH SHEIKH SHAFII,ALLAH AKUZIDISHIE WINGI ELEMU WEWE NA WAHADHIRI WENZI WAKO, ILIMUENDELEE KUWAELIMISHA HAWA NDUGU ZETU WALIOPOTEZWA,NA KALAMU ZA WAANDISHI ZILIZOIFANYA KWELI KUWA UONGO!! WEWE NI UNAEWEZA KUMFUNDISHA YEYOTE NA AKAELEWA!! TUNAMUOMBA ALLAH AWALIPE KHERI NYINGI.

  • @mamawamuya
    @mamawamuya 2 місяці тому +6

    Kenya SHEIKH SHAFI

  • @ibrahimadab9151
    @ibrahimadab9151 2 місяці тому +3

    Allahu Akbar
    Allahu Akbar
    Allahu Akbar

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni 2 місяці тому +9

    Mashallah ustadh shafy unajitahid sana❤

  • @moureenkamau8697
    @moureenkamau8697 2 місяці тому +4

    Mungu akulipe sheik shafi ❤❤

  • @futakambaharuna764
    @futakambaharuna764 2 місяці тому +2

    M/mungu awape maisha marefu mashekhe wetu,sisi ni waumini tu katika dini hii ila elimu ya dini tunaipata kutoka kwenu

  • @khadijaiddi9422
    @khadijaiddi9422 2 місяці тому +5

    MashAllah Allah akuhifadhini wahadhiri wetu

  • @selemanendemangandemanga
    @selemanendemangandemanga 2 місяці тому +5

    Big proud Sheik Shafi Shomar Pango

  • @MiskiyaRoho
    @MiskiyaRoho 2 місяці тому +3

    Kaka shaffi uko vizuri sana, shida unaokopa kongo ningekuaĺika uje upige muhadhara wa kimataifa.

  • @shamamamalisa6513
    @shamamamalisa6513 2 місяці тому +13

    We ustadhi shafii Allah akupe pepo inshallah

    • @MimahMimah-b7k
      @MimahMimah-b7k 2 місяці тому +1

      Yan wakristo wana matatizo ya akili wanamkataa Muhammad kuwa c mtume lakin wanamkubali mwamposa kuwa ni mtume haya Muhammad c mtume kisa hana siri za mungu mwamposa anajua siri gan ya mungu?

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 місяці тому +2

      😂😂😂 umeonaee​@@MimahMimah-b7k

    • @MimahMimah-b7k
      @MimahMimah-b7k 2 місяці тому +2

      @@HanifaOman-oo4pl huu ni mtihani yan ni majanga kwa ndugu zetu Allah awaongoze

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      ​@@MimahMimah-b7k Vyovyote waweza kusema! Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi kuwa shahidi? Hapo Shafi anapiga ngojera

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому

      InshaAllaAamina😭😭😭😭MtumewetuMuhammadi swalallahu alyhi wassallam kiumbe oraKjlikoViumbevyooote Allahu Akbaru

  • @hassanlastborn2706
    @hassanlastborn2706 2 місяці тому +3

    Masha Allah may give you more wisdom

  • @nassorshaaban7295
    @nassorshaaban7295 2 місяці тому +3

    Masha'Allah hakaika Allah ana waja wake Shafi umetisha

  • @AbdulMangi-x4d
    @AbdulMangi-x4d 2 місяці тому +2

    Ustadhi Shafi Allah akujaze kheri akihifadhi, kifua chako ❤❤❤

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 2 місяці тому +1

    Masha allah usth shafii from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @saidchidy2735
    @saidchidy2735 Місяць тому

    Wallahi ustadh shafii mwenye enzi mungu amekupa hikma na ilmu allah akuzidishie

  • @MwalimJecha
    @MwalimJecha 2 місяці тому +9

    Hoja za makafiri ni za ubabaishaji,waislamu wawe macho na wasome.

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 2 місяці тому +1

    Jazakallah

  • @SuleimanSwidiq-fj5px
    @SuleimanSwidiq-fj5px 2 місяці тому

    ❤❤maashaallah Ostadh Shafi Allah akuekee uepesi n'a akuhifadh

  • @ShakurAKBAR
    @ShakurAKBAR 2 місяці тому +3

    MaashaAllah ustadh shafii yaani hadi raha alafu unafunza kwa unyenyekevu na utulivu huku ukiichambuwa hoja kwenye Maandiko vyema
    ALLAH Akulipe Kila lakheri ustadh hapa duniani na kesho akhera Allahumma Amin !

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliompeleka Muhammad ni akina nani na kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi?

    • @aasatt78
      @aasatt78 2 місяці тому

      @@paulmushi2428 Mwenyezi Mungu ndio kamtuma Muhammad na Mungu mwenyewe ndio shahidi

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 2 місяці тому +4

    Kweli ma Kristo hamjafahamu kama mndanganywa

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 2 місяці тому +5

    Ndacha hasubutu kusimama mbele ya sheikh shaffi

  • @mbwanasendaro4707
    @mbwanasendaro4707 2 місяці тому

    MashaAllah shekhe Mwenyezi Mungu akubariki

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e Місяць тому

    Mashallah sheikh shafi kiboko

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 2 місяці тому +6

    Ikiwa wapinza ni hawa.jaa ya wauma.jamani jaa itatutiya motoni.wa ilam kazi tunayo.wanake tukazeni kanga.wanaumu mukaze suruwali na ukanda zisianguke.mwenyezmgu ametupa mtihani.lakini ishaala atatupa wepesi nao.amin

  • @khatibumsekeni322
    @khatibumsekeni322 2 місяці тому +6

    Takbir

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 2 місяці тому +4

    Sheikh shafi unafirahi sana uwrpo wako.mbona naonaraha sana ni kisiliza mawaidha yako.nakupenda buree.sheikh wa pili ninae mpenda mazinge .nyinyi bwana mbona watu wangu sana.nawa kubali sanaaaaaaa

  • @abdallaharuna7874
    @abdallaharuna7874 2 місяці тому +1

    MashaAllah

  • @samxx411
    @samxx411 2 місяці тому +1

    Ustadhi Shafi jana umeuaaa sana umetoa shule ndefu sana ila kumbuka thummu bukmu.....ikisha ulikuwa kama imani petro (ALLAH ammrehemu, amjaalie pepo ya darja ya juu) unawaonea huruma kwelikweli......sheikh umeuaaa

  • @GcFd-s8t
    @GcFd-s8t Місяць тому

    Mashekhe wetu Kwa umoja tuanwapenda sana❤❤❤❤❤❤🎉

  • @maulidimanzi9964
    @maulidimanzi9964 2 місяці тому +3

    Wallah shekhe shafii sikutarajia kabsa ulichoenda kukifanya pale🎉🎉🎉🎉
    Alaf sasaa ule utulivu wako namna ulivyokatulia yaaaan somo linaendaa taratbu najua hata ndacha ilo swal lake kauliza kwasababu aliliandaa mda mref ila ulishajbu vzur nivle alkuwa anajifarij tuh ila mada iliwashnda mchana kweupe ukichanganya na yale mawe ya mtoto kautaa,,,,, ndo bas tena wallah allah akulipe kher shekh shafii

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu ni Shahid?😅😅😅

    • @bashirusalumbigapsana673
      @bashirusalumbigapsana673 2 місяці тому

      ​@@paulmushi2428Kwanza unajua maana ya nasi au unaropoka?

    • @bashirusalumbigapsana673
      @bashirusalumbigapsana673 2 місяці тому

      ​@@paulmushi2428ngoja nikufundishe wewe
      Nasi ni watu ambao Mungu alimtuma mtume muhamad ili aende kuwaongoza hao watu na mungu ni shahidi juu ya hilo

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      ​@@bashirusalumbigapsana673 😂😂😂 Sasa hapo unefundisha nini? Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Yaani Mwenyezi Mungu hapo hakuhusika Bali alikuwa shahidi yaani aliyeona tukio bila kuhusika😅😅

    • @zuenahassan8882
      @zuenahassan8882 2 місяці тому

      ​@@paulmushi2428malaika

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 2 місяці тому

    Mashallah

  • @SheikhTaymiyyah
    @SheikhTaymiyyah 2 місяці тому +2

    ALLAHUMA BAARIK ALAYHI

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 місяці тому +5

    Safi sana SHEHE shafii nimejifunza mengi Mungu akulipe ivi nani aliniambia nizaliwe Mkristo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @AmaniHepautwa
      @AmaniHepautwa 2 місяці тому

      Karibu kwenye uislam kusilim ni bure

    • @OscarGerald-vp9kx
      @OscarGerald-vp9kx 2 місяці тому +3

      we ulizaliwa ukiwa muislam ila wazazi wako ndo walikupeleka kwny ukristo, wote tunazaliwa waislam

    • @Num3er22
      @Num3er22 17 днів тому

      @@AmaniHepautwa uyo Mnaemkaribisha kwenye uislamu ni mpinga kristo mwenzio. AaAcheni kujitekenya wenyewe. Hakuna mkristo mwenye akili ataekubali kumfuata Muhamad makaburini, badala ya Yesu Masihi alie hai.

    • @Num3er22
      @Num3er22 17 днів тому

      @@OscarGerald-vp9kx uyo Mnaemkaribisha kwenye uislamu ni mpinga kristo mwenzio. Acheni kujitekenya wenyewe. Hakuna mkristo mwenye akili ataekubali kumfuata Muhamad makaburini, badala ya Yesu Masihi alie hai.

    • @Num3er22
      @Num3er22 17 днів тому

      Imani ya Wakristo ni imara sijawahi ona, yaani mtu anatumia jina la imani ya wakristo kuunga mkono uislamu ili iaminike yeye ni mkristo ilihali yeye mwenyewe anajijua fika ni myahudi mpinga kristo wa kiislamu. Muhamad amewapotosha kiasi kwamba sasa mnaanza kuchanganyikiwa. Na apo bado hamjaenda kunywa ile mito yenu ya pombe peponi na wale wanawake mabikra. Uwiii😂😂😂😂😂 Uzinzi tu.

  • @ibrahimnkurunziza8198
    @ibrahimnkurunziza8198 2 місяці тому +1

    Asante Sana UST Shaffi Kwa ilimu unayo

  • @ZulfahMuhammad
    @ZulfahMuhammad 2 місяці тому

    Allaah akubariki kwa Neema zake Ustadh Sheffi

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 2 місяці тому +5

    Yesu si Mungu . Hata kiama hajuwi ni lini. Na sasa hivi yuko mbinguni mkono wa kulia mwa baba yake

    • @IbrahimMarco
      @IbrahimMarco 2 місяці тому

      Manabii na mitume wote wako mbinguni Acha uwongo wewe 😂😂😂😂

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 2 місяці тому

      @@IbrahimMarco yesu si Mungu. Mungu atakosaje kujuwa kaima lini

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 2 місяці тому

      @@Annalisejg2ur Mshukuru sana mungu amekupa akili timamu ya kujifunza na kujiuliza maswali ya msingi katika kichwa chako na ukabaini ukweli. Siku ya kiama anaijua Mungu tu katka biblia Yesu kasema ajui na hata mtume ajui wala malaika awajui io cku. Kuna hadithi moja malaika jibril alishuka duniani kwa mwonekano wa binadam akawa anaongea na mtume (S.A.W) kwa kua alikua rafiki sana wa mtume wakat wa maongezi yao Jibril akawa ameshtuka ghafla kuona dunia inatikisika uku ametoa macho uku macho yake yanatazama juu ya anga, anatetemeka kwa uwoga. Baada ya dakika kadhaa malaika jibril akashusha pumzi kwa nguvu mtume akamuuliza Jibril kwanin alikua anaonekana ana hofu kubwa na uwoga ndipo jibril akamwambia mtume sababu ya yeye kushtuka na kuogopa alimwona malaika Israfiil ambaye ni malaika atayepuliza parapanda (baragumu) siku ya kiama amekuja katika uso wa dunia ndomana akaogopa alijua siku iyo ndio kihama kimefika maana malaika Israfiil hana kawaida ya kuja duniani mpaka ile siku ya kiama akipewa idhini na Mungu. Kama Malaika hana ata chembe ya dhambi na anaogopa cku ya kihama vp kwa sisi wenye dhambi. ila point yangu kuu ni Mungu pekee anayejua siku ya kihama sio malaika wake wala manabii au mitume yake

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 2 місяці тому

    Mashallah barakallah fik...❤

  • @bakari52
    @bakari52 2 місяці тому

    Waislamu wamesoma. Wakristo kaeni karibu nao mnufaike

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 2 місяці тому +1

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 2 місяці тому

    Masha allah usth shafii

  • @abubakar_nyangala
    @abubakar_nyangala 2 місяці тому +2

    Sheikh Shaffih Omar Pango
    Mungu akubali na masheikh wengine walioandaaa kongamano hili

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 2 місяці тому

    Masha Allah Sheikh Shafi

  • @MwitwaJonathanmwitwa
    @MwitwaJonathanmwitwa Місяць тому

    Mungu ni ni mungu wa Ibrahim na wa isaka na wa yakobo si mungu waisimaili

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 місяці тому +1

    Ustaadhi Shafi hamkujipanga katika video production,mbaya sana hatuoni hadhira wala reaction zozote apo ukumbini

  • @moddyfirrem6475
    @moddyfirrem6475 2 місяці тому +1

    Sheikh shafii huwezi kaka, Wafundishe hao

  • @SaviourKasekwa
    @SaviourKasekwa 2 місяці тому

    Yesu ni mwana wa Mungu hilo halina ubishi watu wote na waislam wote mnatakiwa kumwamini

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 2 місяці тому +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri 2 місяці тому

    MashaAllah❤❤❤❤🎉🎉🙏🙏🙏☝️

  • @Saitvonlinetz
    @Saitvonlinetz 2 місяці тому

    MashaAllah ❤❤❤

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 2 місяці тому +2

    Yaaani kama wakristo awaelewi na hapo basi tena yaaani, Shekhe Shafi umewabainishia haki kama ilivyo wazi wazi na pia mi nilisema akisimama huyu mwamba Shekhe Shafi akuna kinacho alibika biidhnillah, Najisikia raha sana Shekhe Shafi Allah akulipe khery Duniani na Akhera Amiiin na awaongoze kina ndacha na jopo lake wawe waislamu Allahumma Aamiin, daaaaah l'm so proud to be a Muslim: lndeed Islam is a great blessings, if Allah has onored us with the blessings of islam that guarantees genuine happiness in the wodly life and the hereafter, we should never take it for granted but has to be strive in wodly of Jannah.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Naona Shafi anapiga porojo akidhani eti kajibu 😂😂😂😂😂

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 2 місяці тому

      ​@@paulmushi2428hujielewi wewe. Mashatani ya kanisani yashakuchanganya

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      ​@@Annalisejg2ur Sina Shetani Wala jini Swali liko pale pale acha porojo Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi??😅😅😅😅 Hilo Swali halijibiki mpaka kiama😅😅😅😅😅😅

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 2 місяці тому +1

      @@paulmushi2428 una matatizo kweli mpaka huruma

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      ​@@Annalisejg2ur jibu Swali Qur'an 4: 79 hao akina NASI Waliompeleka Muhammad kuwa mtume Kwa watu ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Nipe jibu matatizo yangu yaishe😂😂😂😂😂😂

  • @ShahaMakame-ei2ri
    @ShahaMakame-ei2ri 2 місяці тому

    maashAllah

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 2 місяці тому

    Raha saaaaana al hando liliah

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 місяці тому

    ❤❤

  • @mahsneermohammed2107
    @mahsneermohammed2107 Місяць тому +1

    Shida yao hawataki kusoma ndio maana wengi wanadanganywa kwa kusomewa na mapasta kisha wanasherehekea uwongo

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 2 місяці тому

    Shafi bonge lakijana, hamumuwezi

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk Місяць тому

    Wenzetu waislamu hawana majini sahihi.

  • @bakari52
    @bakari52 2 місяці тому

    Shafi'i kiboko

  • @BoboManya
    @BoboManya 2 місяці тому

    Weye auko Saw soma ma adiko apana kukatala kitu Na bado auya soma wew majini ziko mu kishwa yako sana auwezi soma Ama kufata maneno ya yesu

  • @BoboManya
    @BoboManya 2 місяці тому

    Uyo shafi aujuwi kitu tuliya bakufuze maadiko wew

  • @MatikoJames-c8m
    @MatikoJames-c8m Місяць тому

    Mwalimu wa kislamu badala ya kujibu swali anfundisha lugha

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 2 місяці тому +3

    Wekeni na kipande cha KINYOGOLI HAPA JAMANI SIKIONI

  • @crescentvscross1132
    @crescentvscross1132 29 днів тому

    Watahangaika sana lkn dini ya kiisilamu ndio heshima ukweli na njia

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 2 місяці тому +3

    Wape elimu hao wakosa dini

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 2 місяці тому

    Sheikh shafii Elimu umewapa kazi kwao kuendelea ubishi wao kama kawaida yao lakin umejitoa kwenye lawama

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 2 місяці тому

    Apo kwa mwanzo Mungu alikuwa pamoja na mwanawe yesu kristo

  • @JuniorTz-s7x
    @JuniorTz-s7x 10 днів тому

    Islam raha sana jaman nipe namba zako kaka

  • @KalumeShabi
    @KalumeShabi 2 місяці тому +4

    😅😅😅 Oustaz Shafi nakupenda kwa ajili ya ALLAH na mtume wetu MOUHAMMAD ❤️
    ALLAH akuzidishie kila lakheri mwalimu, nataka niwe ata mwanafunzi wako ili nikuje ku fanya dawa uko kwetu D.R.C🇨🇩🇨🇩

    • @ustadhshafiionlinetv
      @ustadhshafiionlinetv  2 місяці тому +1

      Shukran

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 місяці тому

      ​​@@ustadhshafiionlinetv ndugu yangu nilitaka nikupigie simu kabla ya mdahalo huu kuna jambo nilitaka nikueleze lakini naona nilichokifikiria kumbe ndicho kilichokuwa akilini kwako. Naona unawanyoosha kweli kweli, Allah akuzidishie kila la kheri.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      ​@@ustadhshafiionlinetv acha maelezo ya janja Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad Mwarabu Maqureishi ni akina nani? Yaani hata ukeshe ukitoa maelezo huna jibu wewe

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому +1

      ​@@ustadhshafiionlinetv Waalimu Ndacha na Daniel 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Shafi hapo anapiga porojo akidhani eti kajibu😂😂😂😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому +1

      ​@@ustadhshafiionlinetv Swali liko pale pale Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani? Kisha wakamfanya Mwenyezi Mungu kuwa shahidi? Shafi acha porojo 😅😅

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 2 місяці тому

    Anasema ni kauli ya Mungu na sisi hatummwoni. Je wao wanasema Yesu ni Mungu, Yesu hakuonekana?

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 2 місяці тому +22

    Sheikh shafi apa kutokea USA 🇺🇸, Allah azidi kukulinda wake number yako ya sim niweze kukutunza inshaallah 🙌🏿

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому +1

      😂😂😂 hapo Shafi kapiga porojo tu Qur'an 4: 79 hao akina NASI waliomtuma Muhammad ni akina nani na wakamfanya Mwenyezi Mungu ni Shahid?😅😅😅

    • @sungitatv9887
      @sungitatv9887 2 місяці тому +2

      Namba yake ipo kwenye video

    • @mamawamuya
      @mamawamuya 2 місяці тому +2

      From kenya sheikh shafi balaa

    • @abdallahjuma2608
      @abdallahjuma2608 2 місяці тому

      @@paulmushi2428 huelewi kiswahili ametoa andiko kwenye bibilia inayo fafanua iyo

    • @SaleheKijazy
      @SaleheKijazy 2 місяці тому

      ​@@paulmushi2428WW na akili yako Ina changamoto kama hao walimu wako. Umesha ambiwa m/Mungu kutumia wingi ni kuonyesha utukufu wake na pia ni fumbo. Sasa ww una pata tabu wp hapo na tafsiri hiyo ime toka kwenye bibilia yenu. Yani wakristo kiswahili kina wasumbua Sana.

  • @MwitwaJonathanmwitwa
    @MwitwaJonathanmwitwa Місяць тому

    Bwana yesu asifiwe maana yake amani iwe nayi chafi acha ujaja apo ni chida kweli apo ni utatu kwa nini uweeliwi chafi

  • @HamadMbark
    @HamadMbark 2 місяці тому +1

    Muhammad sio mtume lakini Bado mwatumia Quran ya Muhammad

  • @GideonLangat-j2v
    @GideonLangat-j2v 2 місяці тому

    Mnafiki shafi,unge weka full video,we umekata kipade ya kwako,potelea mbali

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 2 місяці тому

      Imekuchomaeeeeeeeeeeee! Polesana ndomambo

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 місяці тому

    😂😂😂 🤲 YAA ALLAH WAWEKE WALIMU WETU HAWA

  • @mariamally8548
    @mariamally8548 2 місяці тому

    Shafi nipe number yako

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 2 місяці тому

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah. Ndacha na Daniel 🔥💪🔥🔥💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому

      Wamotoni utawaona tu

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 2 місяці тому

      ​​@@SalmanMughal-lq5lt Wasujudia Al hajar Al aswad lililoko Makka ndiyo wa motoni!! Acha kusujudia kuelekea Makka unasujudia Jiwe jeusi bila kujitambua wewe Toka huko😢😢 karibu Kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 2 місяці тому

      ​@@paulmushi2428😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂naona unajaribu kujipa moyo😂😂😂😂😂😂

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 2 місяці тому +1

    Hoja za Daniel hamna kitu hoja zake hata mm tu namjibu ata jasho halitoki

  • @maulidharuna183
    @maulidharuna183 2 місяці тому

    Tuache utani haka kashekhe kanajua maandiko na kiswahili nilichogundua akina ndacha hawaelewi lugha vizur ndiyo maana wanapotea

  • @olivyechambikwa425
    @olivyechambikwa425 2 місяці тому

    Shaf wewe ninoma wew nishida hawkuwezi kabisa waende shurekwanza mungu akurinde

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 2 місяці тому

    Sijaona ona kwenywe bibilia Aya inaosema Mariamu, Zacaria na Yohana walikuwa wanaswali kumwomba Yesu. Ni upuuzi mtupu. Ukristo ni upagani tuu!

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 2 місяці тому

    Shafii muoga sana mkutano mkubwa kama huu wanapewa dakika 20?😂😂jebu mjiamini waislam

  • @BilalShingwa
    @BilalShingwa 2 місяці тому

    Pesa. Mnakala pekeyenu. Sisi tunabakia. Upambe tu. Acheni uchoyo tugawane pesa zinazopatikana. Katika majadiliano

  • @djumasuleimanisuleimani2724
    @djumasuleimanisuleimani2724 2 місяці тому

    Mimi niko congo ila nakukubali kweli

  • @SebastianKisokola
    @SebastianKisokola 2 місяці тому

    Majibu ya kihuni hawana majibu kwa wakristo

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 2 місяці тому

    HUYU SHAFI ANASHUSHA NYUNDO ZAMOTO SANA NA HUA ANAPIGA 👊 KWENYE MSHONO

  • @amraniLwimbi
    @amraniLwimbi 2 місяці тому

    Shafi usimpe Aya laisi utaumbuka.. ata ukimwuliza swali injee ya vitabu unajibiwa.. onyoo waklistu mazinge. Shafi sule watuawa mabingwa wa maswa sugu (onyoo)

  • @BilalShingwa
    @BilalShingwa 2 місяці тому

    Tugawane hizo pesa. Ndacha na shafii. Na sule. Mnakula pekeyenu. Acheni uchoyo. Mmeingiza milio 12

  • @Pablolookman
    @Pablolookman 2 місяці тому

    Wallahi nimeamini kwamba wakristo ni waongo ndo wamewoteza mchungaji mwenye Akili timamu huwez kusema eti biblia imeandikwa kabla ya Quran ndio maana wazungu wanazidi kusili wameshapata nuru

    • @samwelingasa1638
      @samwelingasa1638 2 місяці тому

      Sasa we ndugu yangu kabla Quran ni ya kwanza mbona injili ya Yesu imeandikwa kwenye Quran kwenye bible hamna hadithi za mtume

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 2 місяці тому

      Achaujinga ww Quran nyingine nahadithi nyingine

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 2 місяці тому

    Shekh shafi nabak tu nachek kwa Raha umejua kumfundisha mtot mdogo huyo akakojoe akalale😂😂

  • @allyjuma9287
    @allyjuma9287 2 місяці тому

    hapo ndo ninapokupendea she shafii we cheza na aya tu

  • @SebastianKisokola
    @SebastianKisokola 2 місяці тому

    Hatuwez kuelewa ujinga hapo mtaelewa ninyi sio sisi sisi tunaongozwa na roho wa mungu ninyi dini yenu ya kimwili wap na wap hata maandiko yenu huyaelewi unaelewa nini xx shafi tu hajatumwa na mungu hy

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 2 місяці тому

      Mngeongozwa na Rohomtakatifu mngekua mnatembea uchi barabarani mngekua mna tofautiana ktk imani yenu mnge sapoti uchoko mnge mwabudu kiumbe wapumbavu nyie hamna roho mtakatifu nyinyi niwatu waporojo siku zote hamna lolote zaidi ya porojo iyo Biblia yenyewe aitoki kwa Mungu nyie ndo muongozwe na Roho mtakatifu porojo zenu perekeni kanisani

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 2 місяці тому

      Diniyetu sisi pamoja nayesu tunamsujudia mungu wewe unamsujudia nani?

  • @Anonymous23216
    @Anonymous23216 2 місяці тому

    Amna muislamu yeyote mswahili anaejua maana ya neno Kafiri. Af wabishi sana hawa ma ma jamaa. Dini ya kibishi tu ila misingi ahhh!!

    • @AliNgurudu-i4r
      @AliNgurudu-i4r 2 місяці тому

      Endelea kuburuzwa nakupakwa mafuta nakuwatajirisha makafiri wezio kwasadaka

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 місяці тому

    Ndacha na Daniel ni chuki tu na wajuwa wazi mtume Muhammad ni mtume wa Mwenyezi ezzi mungu lakini chuki na tumbo lao tunaomba Mwenyezi Mungu awaongoze ikiwa ni kheri kwao

  • @BilalShingwa
    @BilalShingwa 2 місяці тому

    Sijaona. Elim bali niutetez wa kila mtu kwa upande wake. Mnapiga pesa tu. Hakuna kingine

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 2 місяці тому

    Ni fimbo kwa fimbo, hadi wanyooke

  • @leomika8473
    @leomika8473 2 місяці тому

    Shaf Amna kitu Apo waislam amutuwezi sisi wakiristo

    • @MasoudBanda
      @MasoudBanda 2 місяці тому

      POLE KIJANA AU MSICHANA, ENDELEEA KUPINGA WAKRISTO WANAENDELEA KUSILIMU

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 2 місяці тому

    Wape wape.waelewe quran.muhamed ninani mbele yamungu.watuachie mtume wetu

  • @leomika8473
    @leomika8473 2 місяці тому

    Yani waislam msipo batizwa mnayo yasali nibure naiyo misikiti yenu