MTIFUANO WA NDACHA NA DANIEL SHEIKH SHAFII AMALIZA UTATA INSHU YA UTATU-NAMSUBIRI NDACHA NIMFYATUE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i Місяць тому +3

    Safi sana ustaz Shafi Allah akuifadhi.

  • @BrowntheloyalTheloyal
    @BrowntheloyalTheloyal Місяць тому +3

    Allah akulinde ndigu yetu

  • @BrowntheloyalTheloyal
    @BrowntheloyalTheloyal Місяць тому +2

    Allah akulinde ndugu yetu shafii

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Місяць тому

    Shekh shafi dacha afanya kazi.ili mkono wende kinywani.hafanyi kazi ya mungu

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 Місяць тому +2

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
    Barakallahu Feek

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Місяць тому +4

    Shafii akili kubwa hiyo kwa wakristo hapo hawawezi kuelewa ila mwenye akili atayafanyia kazi😂😂😂😂😂

  • @MohamedHaji-s4e
    @MohamedHaji-s4e Місяць тому +3

    Nyie Wakirsto mmepotea biblia Haina ugumu wa kutoeleweka wahubiri wenu wanaemdelea kuwapotosha Kila ukicha poleni sana rudini kwenye dini ya kweli nyinyi

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Місяць тому

      @@MohamedHaji-s4e wakristo Hawana haja ya dini Wana haja na YESU tuu Ndie kiongozi mwanzo -mwisho , msipookoka na kumwamini YESU mmeisha ,kwani hata Mtume Bado anaombewa rehema Hadi Leo japo alianzisha dini lakini alimaliza tofauti ndio maana ana swaliwa ,jambo ambalo halijawahi kutokea kwa manabii wowote kuombewa rehema ni Mtume Mohamad tuu inashangaza Sana ,kama kiongozi mwanzilishi mnamuombea msamaha kwa Mungu ninyi wafuasi inakaaje?? Mtafika kweli ,kwanza kitabu chenyewe kapewa na adui wa jubril, Quran 2 :97 Kisha dini waliompa utume wanadai kua Mungu ni shahidi Quran 4: 79, .mnadanganya wakristo waje kwenye dini mpya ya fumbo Ili wapotee kama ninyi ?YESU alisema tushike Sana tulicho nacho asije mtu aku tunyang'anya kwani kumwamini YESU ni Taji ya utukufu wa pekee Sana .

  • @HaliaKheri
    @HaliaKheri Місяць тому +1

    ❤❤❤👌👌🙏🏼🙏🏼

  • @hamisiabdallah8398
    @hamisiabdallah8398 Місяць тому +1

    Huo uvuvio ndo maana mnauliwa::: SHAKAHOLA,,,

  • @HamissiSelemani-i3g
    @HamissiSelemani-i3g Місяць тому +2

    Nakuahulu muumba kwa kuniumba muislam

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 Місяць тому +3

    Unajua wakristo wamepotoshwa na wazungu alafu muyahudi mwenyewe haujui ukristo na hata yesu haujui ukristo huoni kwamba hawa ni kampuni ya shetani

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Місяць тому

      @@pwezapwezafelix7222 huo uongo endelezeni huko kwenye majumba yenu ,nani kakwambia kua wayahudi hawajui ukristo?? Ujue tuu kua hakuna nchi duniani isiokua na wakristo ,Israel Kuna makanisa kibao sijui mnapata wapi hadithi chafu kisasi hicho ,nani kawaloga ,Eti YESU hajui ukristo kama si upumbavu ni Nini? Wewe hujui kua YESU ndie KRISTO mwenyewe ?? Yaani yeye Ndie ukristo wenyewe .siku ya hukumu ikifika ndugu au utakapo toka kwenye mwili ndio utajua kua YESU ndio mwokozi wa kweli na ulipaswa kuamini na kumkubali ,kitakacho kushangaza zaidi utastaajabu kuona pia anamhukumu na nabii wako na hutakua na nafasi Tena Milele ,itakua fihnal jehanam abadaan

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Місяць тому

      nyie mumepotezwa na marehemu muarabu Muhammad!

    • @danielmwakimi2416
      @danielmwakimi2416 Місяць тому +1

      Jiwe jeusi pale maka

    • @Khalidmwangwai4651
      @Khalidmwangwai4651 Місяць тому

      Hee marehemu kama sisi wanadamu lazima tumfwate kaburini

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Місяць тому

      @@Khalidmwangwai4651 unamfuata ukamwambie Nini ,utabeba furushi lako mwenyewe ,hata yeye alisema hajui atakavo fanywa Wala ninyi mtakavyofanywa

  • @نجمهجمعه-غ8ق
    @نجمهجمعه-غ8ق Місяць тому

    Ustadh wetu sio kua hawajui bibilia ila wako kwa maslahi

  • @PasserbyMan-ju8ky
    @PasserbyMan-ju8ky Місяць тому +1

    Wakristo cheo cha uungu wanagawana kama pipi,kila mtu mungu kwenye bibilia
    Acheni tamaa ya vyeo musivyo
    Stahili.
    Hamuoni aibu au?

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Місяць тому

      @@PasserbyMan-ju8ky tatizo ufahamu ,YESU njia ,kweli na uzima wa Milele ,kama hupiti hapo hufiki Pepo ,waacheni wakristo tumtukuze Mungu wetu kupitia YESU mwanae , YESU ndio Dini ya wakristo na Kila atakae Amini , kiongozi wa wakristo Yuko hai milele na atarudi kiama kuchukua walioamini ,unakaribishwa kwa YESU KRISTO hapo utakua na akili za kumjua yeye vinginevyo utakua unapigia debe dini na viongozi waliokufa .

    • @adinanimzimbiri
      @adinanimzimbiri Місяць тому

      😂

  • @samxx411
    @samxx411 Місяць тому +1

    Shafi unajuwa na unajuwa kufunza mtu akaelewa

  • @louisejeanne8306
    @louisejeanne8306 Місяць тому +1

    Shafii ivi unajielewaga unaposema Kweli? Mbona ukweli unaujuwa kwamba kwa kupenda kwake Mungu ametuzaa sisi kwa neno la Kweli, ayo makufuru mnayosemaga kwamba Mungu hana mke, hakuzaa wala hakuzaliwa mnayasemeaga nini? Na kama unaamini Yohana:1:1, na iyo iyo tafsiri unavyo tafsiri, basi soma tena apo apo Yohana:1:14, matendo:20:28, alafu ukiyaelewa vizuri ayo maandiko karibu kwenye ukristo. Na wewe si wa kwanza Shafii kujidai kwamba umesoma na kuyaelewa maandiko Kama unavyojiona, walikuwepo wengi na mda wa Mungu ulipowafikia leo hii ni wakristo na elimu zao zote, Yohana:14:6, Mimi ndimi njia, Kweli na uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi, maombi yangu ni siku moja Mungu akushike kama alivyomshika Paulo 🙏🙏🙏

    • @SELEMANITEKETEKE
      @SELEMANITEKETEKE Місяць тому +1

      UKIFA Hali ya kuwa mkristo mnaswala mpagani wewe ni motoni mabwana dini ya kweli mbele za Allah ni UISLAM

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh Місяць тому +2

    shaffi kwenye mdahalo ww na mwalimu francis-ndacha umekimbia unabakiza kuboronga nyumbani kwako kwenye mitandao bure sana ww shaffi!

    • @samxx411
      @samxx411 Місяць тому +2

      kwenye mdahalo uliofanyika umetosha kuwa Shafi uwezo mkubwa sana kwa Ndacha kila mtu ameshuhudia, Shafi alifundisha vizuri na alifahamika tuache emotion zetu

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Місяць тому +2

      @@samxx411 mashabiki ndio walishuudia maana katika uislamu mashabiki ndio ila lslam niuongo mtupu!

    • @samxx411
      @samxx411 Місяць тому +2

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh Sasa kama uislamu ni uongo tupe andiko katika biblia ukristo ni dini ili na mie niwe mkristo isitoshe na wewe dini yako tuamini ni mkristo

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh Місяць тому +2

      @@samxx411 soma kwanza kitabu chako quran uelewe kisha njoo kwenye biblia uwezi jump step maana mm najuwa uelewi ata kidogo quran yako!

    • @samxx411
      @samxx411 Місяць тому +1

      @@JeanMuzaliwa-bs6qh sijauliza hivyo, nimesema andiko katika biblia...ikisha wewe hujui qurani unasoma tafsiri ya Quran...kafiri wachache wanasoma Quran lkn tafsiri hata wewe unasoma na Hilo ni kosa, soma kwanza qurani ndipo tafsiri..wakristo wamepotea kwa sababu wameacha kusoma injili original ya yesu ambayo ilikuwa aramaic Lg wamebaki wanasoma tafsiri likitokea kosa hawana original reference

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Місяць тому

    Shida wakristo hawatumii akili zao vyema. Mfano kama nafsi zote ni moja Mana yake ikifa moja zimekufa zote

  • @ahmadahamo6627
    @ahmadahamo6627 Місяць тому

    Wakirto mtoto wa nyoka ni nyoka, mtoto wa simba ni simba na mtoto wa Mriamu ni..........

  • @SELEMANITEKETEKE
    @SELEMANITEKETEKE Місяць тому

    UKIFA Hali ya kuwa mkristo mnaswala mpagani wewe ni motoni mabwana dini ya kweli mbele za Allah ni UISLAM

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Місяць тому

    Wakristo ukiwauliza yai na kuku cha kwanza nini? Kwa akili zao watasema yai 😂😂 mungu awaongoze

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky Місяць тому

      Umeua kaka🤣🤣🤣

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Місяць тому +1

      @@abdulnasuma9729 heri huyo atakae SEMA yai ,kuliko Allah wenu aliumba kalamu na magari na meli , ,kiroja hata mchina amemshinda

    • @krizofrancisco5310
      @krizofrancisco5310 Місяць тому

      Toa andiko acha porojo wakristo kama misikule hailewi ndo maana inatemewa mate makanisani eti ni baraka, makafiri somesheni watoto wenu dini msisubiri kusomewa na matapeli wenu​@@nicksonlyimo1562

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Місяць тому

    Na.atakataa mpaka kesho kiama

  • @AmmarSadik-x5u
    @AmmarSadik-x5u Місяць тому +1

    Shafii wewe ni mwanafunz bado unatakiwa uende shule

    • @HassaniFakhi
      @HassaniFakhi Місяць тому

      Acha bangi

    • @AmmarSadik-x5u
      @AmmarSadik-x5u Місяць тому

      @@HassaniFakhi acha bangi kijana,hiz din za waarabu zakubusu mawe ndio zinakutoa roho

    • @khalifambweha2284
      @khalifambweha2284 Місяць тому

      ​@@AmmarSadik-x5uwewe bwabwa tu huna elimu unabwabwaja tu kaka😂😂😂

    • @AmmarSadik-x5u
      @AmmarSadik-x5u Місяць тому

      @@khalifambweha2284 ungejielewa usinge ongea pumba hana jipya huyo pamoja na wewe mwenyewe ni mbuz tu

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 Місяць тому +3

    Shaffi haya mafundisho ya kikristo ni mlima mkubwa Sana ,Biblia bila uvuvio huwezi elewa chochote ,utarusha mate lakini itakua Bure tuu ,Kujua maandiko ni lazima upate uvuvio wa Roho Mtakatifu , Shaffi YESU anakuita na Muda si mwingi Sana utaokoka na utashangaa unamhubiri KRISTO ,kawaida ya wabishi wote wakiislamu wameokoka wewe uko njiani ,utashangaa Sana na utawashangaza wenzio.

    • @mohamedmtahiyatu9113
      @mohamedmtahiyatu9113 Місяць тому +1

      Biblia kupikia kuni kujidai tu ata magazeti linaiva

    • @SalumMbaya
      @SalumMbaya Місяць тому +1

      Aje kwenye dini ya matapeli au

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 Місяць тому +1

      @@SalumMbaya dini yoyote Haina issue ,aje kwa YESU ndio kweli na uzima ,dini ambayo mwanzilishi wake hayuko hai haifai.

    • @AshaAshim-gy6jm
      @AshaAshim-gy6jm Місяць тому

      Ww ndohuna akil wala elim xema nn wakrixto mmelogwa na hamjielew na hamuelew biblia inamaanixha nin xabu biblia yenyew inawakataen xabu hamuendi vile biblia inataka

    • @issaabdallah7660
      @issaabdallah7660 Місяць тому

      Hivyo ndivyo mnavyoishia kudanganywa eti kuelewa bibilia hadi ushukiwe na roho mungu hawezi leta kitabu chenye lengo la kuwaongoza watu halafu kiwe hakieleweki kiuhalisia bibilia ni kitabu cha kubumba bumba tu ndio maana kimeitwa bibilia