Ndacha Apigwa na Butwaa Mbele ya Ustadh Shafii Apawe Kibano Kabla ya Hata Dibeti Kuanza tarehe 23

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 163

  • @taufiqis-haq536
    @taufiqis-haq536 2 місяці тому +11

    Ewe Allah tuongoze vema katika Debet Hii na Uwatie Nguvu wanaotuwakilisha waislamu , 🙏 Hakika Yako Allah ñi mwingi wa Rehma,. Allahumma Aamin 🙏

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 2 місяці тому +1

      Aamiyn Yaa Rabb

    • @jafarmohd5217
      @jafarmohd5217 2 місяці тому +1

      Amiin rabil alamin

    • @abduliashiru9394
      @abduliashiru9394 2 місяці тому +2

      Yaaani mimi binafsi sina mashaka na ustadh shafi uyu mwamba yuko vizuli anajua nini anachokifanya biidhnillah, napia namuombea sana dua ALLAH azidi kumpa maalifa mpaka kisimshinde chochote na waadhilli wengine wa kiislamu na nnaamini biidhnillah akuna kitakacho shindikana, Allah awaongoze waalimu wetu imamu shafi na jopo lake, na ajalie katika huuu mkutano watu waujue uislamu na waufate. AMIIN

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 2 місяці тому

    Hongera Sana ndugu Ndacha Yesu kristo akutie nguvu, Amina

  • @mussamtimbinya
    @mussamtimbinya 2 місяці тому +4

    Allah jaalia ktk mkutano huo waingie waisilam wengi ambayo kabla walikuwa ni wakristo Inshalah amiin

  • @ommyranking1060
    @ommyranking1060 2 місяці тому +2

    Sheikh Shafii Allah akuzidishie elm,kwa ulichokiongea hapa umemfunza tayari Ndacha umeongea vitu vya kueleweka.

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k Місяць тому

    Ustadh shafi Allah akutie nguvu sikua iyo nawenginea ustadhi pia tunawapenda mashekh wetu

  • @abdisalammohamed3691
    @abdisalammohamed3691 2 місяці тому

    Mashalla Sheikh .... nakupenda Kwa sababu y Allah

  • @saidmbarak8083
    @saidmbarak8083 2 місяці тому +1

    ALLAHhiBarikFikum. Ustadh Shafi na maustadh. ALLAH awape kila nguvu za 3lmu muweze kuiElimisha Dunya ya Rabb. Amiin Amiin thum'ma Amiin.

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 2 місяці тому

    MashaAllah Alhamdulillah I'm a Muslim ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @Ummy-vd6tm
    @Ummy-vd6tm 2 місяці тому

    Allah akupe nguvu, uendeshe mudahalo vizuri na uepehoja zakutosha

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 2 місяці тому +2

    Niko znz nakufuatilia ustadh Shafiyy Alla,akupe nguvu na afya njema uislamu uko juu wala hautaliwa juu

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 2 місяці тому

    Subhanallah

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 2 місяці тому

    Maashaallah SHAFII namkubali.natamani sana ningekuwepo

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 2 місяці тому

    Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awatie hekima na.ujasiri mueze kushinda kaumu ya makafiri inshaAllah tuko pamoja na dua kuwaombea amiim dhumaa amiin

  • @NxhfiNtjfif
    @NxhfiNtjfif 2 місяці тому

    Mashaa Allah tabaraka Allah, uislam ni dini ya haki

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 2 місяці тому

    Grande shekhe shafim shomar você é o melhor eu acredito em você.

  • @khatibumsekeni322
    @khatibumsekeni322 2 місяці тому +1

    MASHALLAH sheikh shafii.

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 2 місяці тому

    Na imani kamili ju ya.hii debata waisilamu ujuzi tunao kutoka.kwa Allah mjuzi huyu ndacha kupendua maandiko ndio kazi yake lakini Hatu hofu Allah yuko mbele yenu inshaAllah ❤❤

  • @MrishoIddi-ry5fz
    @MrishoIddi-ry5fz 2 місяці тому

    Inshallah allah awafanyie wepesi kwenye dibet na atupe ushindi Amin

  • @kiumbekiumbe4711
    @kiumbekiumbe4711 2 місяці тому

    Im proud to be Christian❤

  • @ZulaikisMohd-hx4xw
    @ZulaikisMohd-hx4xw 2 місяці тому +2

    Allah itie nguvu dini ya haki na waislamu naidhalilishe shirk na washirikina

  • @isihakajarika2668
    @isihakajarika2668 2 місяці тому +10

    Kama Allah atajaalia comment yangu kusomwa na walimu wetu wakiislam mim nashauri kwamba kueni makini saaana na ndacha
    Ni muhuni wa maandiko anaunganisha sana tafsiri zake kutetea imani yake kwaio wahadhiri mzingatie mna kazi mbili kwanza kurekebisha tafsiri za ndacha hasa kwenye qurani na hadithi hajui chochote lakin anakazana kufundishia aya za qurani na kazi ya pili kuwafundisha wakristo wauelewe uislam vyema Asanteni Allah awasimamie in shaa allah

    • @ejensonjohnson5209
      @ejensonjohnson5209 2 місяці тому

      Uhuni upi kaka maandiko yanasomwa hadharani,kama akipotosha walimu watamrekebisha

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 місяці тому +1

      @@ejensonjohnson5209 Kweli Kabisa tuwape mda kesho sio mbali Inshaaa Allah ukweli utadhihirika uko wapi.

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 2 місяці тому +10

    Said Juma kinyogori ni mfasaha sana ,napenda anavojenga hoja

  • @AbubakarKi
    @AbubakarKi 2 місяці тому

    Allah akuzidishie kaka ,

  • @zuenahassan8882
    @zuenahassan8882 2 місяці тому

    Inshaallah ndacha atasilimu kupitia elmu ya muhadhir shafii

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 2 місяці тому +3

    I love you pastor Ndacha

  • @rajabusira400
    @rajabusira400 2 місяці тому

    Nakukubali ustadhi wangu Shaffiii

  • @MwajumaShafii
    @MwajumaShafii 2 місяці тому

    Matendo ya Mitume 3:26
    [26]Mungu, akiisha kumfufua mtumishi wake Yesu, alimtuma kwenu ninyi kwanza, ili kuwabarikia kwa kumwepusha kila mmoja wenu na maovu yake.
    Unto you first God, having raised up his Son Jesus, sent him to bless you, in turning away every one of you from his iniquities.

  • @habibukalema3127
    @habibukalema3127 2 місяці тому +1

    Napenda mada kama hizi na mashekhe zetu nawapenda sana kwa kujenga hoja imara

  • @Khadidjaomari-pf7yy
    @Khadidjaomari-pf7yy 2 місяці тому

    Mungu awanyoesheeni Kauli njema na zenye kueleweka

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 2 місяці тому

    Maa shaa Allah

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 2 місяці тому

    Ya Allah kwenye Dibeiti hii uwende ukauthibitishe Uislamu kuwa ndio Dini ya Kweli na Hakki kwa Makafiri na Uwafanyie wepesi Mashekh na Walim wetu wa Dini ya Kiislam.. Allahumaamiin..

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 місяці тому +1

    Wewe ndasha Mungu akuongoze unajitahhidi sana.

  • @AbedibinRamazanisalum
    @AbedibinRamazanisalum 2 місяці тому

    Bwana yesu ni MUNGU

  • @AbedibinRamazanisalum
    @AbedibinRamazanisalum 2 місяці тому

    Tumsifu bwana yesu mwana wa MUNGU

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 2 місяці тому

    Subhanna allah

  • @godwinmapuli9256
    @godwinmapuli9256 2 місяці тому

    Always Waafrika kamwe hatuwezi kuendelea , watu wanakaa kushindania dini walizoletewa na wageni aisee

  • @IsmailWalugembe
    @IsmailWalugembe Місяць тому

    Ndàcha tayari naona umeshasilimu mwoyoni umebakiza kukiri tu Alha akuwezeshe kukiri

  • @hakimyusuf604
    @hakimyusuf604 2 місяці тому

    Niko Msa nakuamini Sana inshaàllah ushindi upo Kwa waislam

  • @hassansimbira3916
    @hassansimbira3916 2 місяці тому

    Shafii sana nakufatilia

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому

    InshaAllah.Bidhin.llah.Ukafiri.mzigo.tena.

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 2 місяці тому

    😢shekhe, kinyogori unauhakika utamuweza Mchungaji Ndacha

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 2 місяці тому

    Shekh shafii ALLAAH Akutie nguvu uislamu usimame kupitia wewe

  • @MwajumaShafii
    @MwajumaShafii 2 місяці тому

    PIA OSTADHI SHAFII MIM USHAURI WANGU NILIKUWA NASHAURI HUWAZE NA KUWAJENGA KISAIKOLOJIA JIA YA KUWA WASIWEKE MEPENZI JUU YA MZUNGUMZAJI BALI WASIKILIZE MANENO KAKA MAANA WAKIWEKA MAPENZI ATA KAMA UKIONGEA VIZUR HAWATA KUWELEWA KAKA BILA SHAKA NAKUAMINI SANA NA SINA MASHAKA NAWE

  • @samwelingasa1638
    @samwelingasa1638 2 місяці тому

    Aje Shafii na jopo lake aje ndacha ni genius mashehe wengi kuanzia mazinge wamemshindwa

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 2 місяці тому +2

    Ndacha akisilimu sisi waislamu tutafurahi sana sababu yeye ndiye atusumbuae sumbuae, kila nikiswali naomba kwa Allah itokee hivyo

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 2 місяці тому

      Ndacha hasumbui anawadanganya wakristo tu na hao wanaposikiliza maandiko wanaslimu

    • @salimramadhani5237
      @salimramadhani5237 2 місяці тому

      mkristo wakwenda uislam ni chiz
      ndacha sio chiz sasa😂 ukiwa ww muislam inatosha baki na allah wako ss allah hatumtaki wala kumsikia hatumtak

    • @michaeldoroleo4864
      @michaeldoroleo4864 2 місяці тому

      Ukiona mristo kasilimu ujue hayuko sawa kichwani.​@@nassorsharifu9837

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 Місяць тому

      ​@@salimramadhani5237inaonekana humfuatilii huyu ndacha,na ikiwa unamfatilia ipo haja ukafanye vipimo vya uelewa wa akili yako,
      Vp Mungu anamzaa yesu mbinguni halafu Mungu awe ni huyu hyu yesu huku tukijua Mungu ni mmoja muumba wa vimbe wote
      Ndacha anagawa Mungu wa waislamu na Mungu wa wakristo wakati vitu hivyo hakuna katika ulimwengu,
      Ndacha anasema yesu sio mama Ake mariamu wakati wakristo wote wanajua bikra maria ndio aliemzaa yesu,tumueleweje au hizi clip huzioni?

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 місяці тому

    Subhana Allah...Huyu kafir ipo siku isiyokuwa na msaada wowote atakumbuka maneno haya mazito kwa kipenz chetu Rehma za ALLAH ziwe juu yake.Tunawapenda hatuchoki kuwaombea ALLAH azidi kufunua vifua vyenu katika kupambana na makafikr kama hawa.ALLAH awatangulie katika mhadhara.

  • @planbmauwezo4853
    @planbmauwezo4853 2 місяці тому

    Unauwelew San shekh shafi

  • @ZakariaTau
    @ZakariaTau 2 місяці тому

    Shafi wewe kiboko Ismail in 🇿🇦 from 🇨🇩 ww mkali Wang sn

  • @jjtm164
    @jjtm164 2 місяці тому

    Shafi humwezi ndacha

  • @adinanihashim7
    @adinanihashim7 2 місяці тому

    Ostadhi Shaffy kuna jambo moja muwe makini na ndacha pamoja na msomaji wake ndacha anachomekea maandiko kisha msomaji wake anamalizia hii inatupa ukakasi ambao hawajui kueni makin sana

  • @MasikaMusa
    @MasikaMusa 2 місяці тому

    MashaAllah Allah azidi kuwalinda muzidi kuelimisha watu

    • @AlexMangena
      @AlexMangena 2 місяці тому

      una mpongeza kwa kipi ww? mwambie afundishe watu AT TAUHID aache kuchezea dini

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 2 місяці тому

      ​@@AlexMangenaAcha husda

    • @MasikaMusa
      @MasikaMusa 2 місяці тому

      Wacha makasiriko silimu uone ufalme mungu

  • @jumajuma3670
    @jumajuma3670 2 місяці тому +1

    Sheikh Shafii Huo Mdahalo Utakua Live Kwenye Mitandao

  • @khamiskassimkassim6661
    @khamiskassimkassim6661 2 місяці тому

    Mashehe zangu mama katoa fursa hiz za dibet tumien hapahapo kabla hajaja kiongoz kafri kuzuia kuhubri

  • @mjombawallace4966
    @mjombawallace4966 2 місяці тому

    Waaaa Wewe umejificha nyuma ya kina mazinge kuja mwenyewe 😂😂😂 utabatizea mapema

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 місяці тому

    Ndacha umesaidia sana watu kupotoshwa kimandiko kila dini ya christo kanda hizi za Africa mashariki umesaidia pakubwa wengine huenda uislam kwajili wapate majini watajilike wengine kazi,njaa,wengine ili wale futali kipindi cha ramadhani

  • @MokiwaKaskaz
    @MokiwaKaskaz 2 місяці тому

    Yaani huyu Ndacha ndio chambo chetu kinacho tusaidia kufikisha ujumbe kwa ndugu zetu wakristo. Allah Taala Aendelee kumuweka.

    • @PasserbyMan-ju8ky
      @PasserbyMan-ju8ky 2 місяці тому

      Una IQ 3000 bila kipimo😂😂 hakika chambo chetu kimekaa kwenye ndoano vizur

  • @SaidIsmail-f1j
    @SaidIsmail-f1j 2 місяці тому

    Mashaalla

  • @ManchesterTz
    @ManchesterTz 2 місяці тому +1

    Mmh SHAFII
    Unamfata MTU aliyekufa Duuuuuh. Jibu ushapata MAITI HAIFATWI.

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      😂😂😂kwaiyo yesu alipo kufa kuabudu kulikua hakuna au ni vipi

    • @ManchesterTz
      @ManchesterTz 2 місяці тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke
      Unaelewa neno Kuabudu.
      Kuabudu maana yake kutumikia au kufuata hivo alivokufa hatukutumikia au hatkumfata coz tuliambiwa atafufuka hivo tukasubili kama kweli alivofufuka tukamtumikia si yupo Hai.
      Sasa wewe swali lipo palepale UNAMFATA MTU ALIYE MAITI duuuuuh

    • @ManchesterTz
      @ManchesterTz 2 місяці тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke
      Kukuongezea ingia dictionary ya kiswahili alafu andika hilo neno KUABUDU utaona ata nyinyi mnamuabudu Mohammad na swali liloulizwa na shafii kimsingi lilipaswa kuulizwa hivi KATI YA YESU NA MOHAMADI NANI WA KUABUDIWA(KUFUATWA)

    • @hafsakirao398
      @hafsakirao398 2 місяці тому +1

      @@ManchesterTz😂😂😂😂😂 Allah akutie fahamu

    • @ManchesterTz
      @ManchesterTz 2 місяці тому

      @@hafsakirao398
      Nimefurai umefurai.
      Na nashukuru kuniombea Ufahamu zaidi.
      Ebu pia tutafakari hili
      Upaswi kumfuata MUSA
      Upaswi kumfuata IBRAHIM
      Upaswi kumfuata JACOB
      KWA SABABU WALISHA KUFA NA UMMAH WAO.
      Hila unapaswa kufuata MAFUNDISHO YAO KWA KUWA YANAISHI MPAKA SASA NA MILELE KWA KUWA NI MANENO YA ALIYE HAI MILELE NA MILELE( MUUMBA WA VYOTE)
      Lakini sio kumtumikia(kumfuata) marehemu. Ukifanya hivyo ni ibada za wafu yaani unamtumikia MTU MFU hakusikii hakuoni akusaidii lolote, hila YESU yupo HAI ata Waislam wanaamini yupo HAI hivo ukimtumikia ATAKUSAIDIA UKO ALIKO

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому +1

    SubhanaAlla..huyu.. Ndacha..akishikwa.na.Umauti.huyu.atajuta.kamaFiraun

  • @JafariHamisi-gu4ef
    @JafariHamisi-gu4ef 2 місяці тому

    Kila lakheri inshaallah

  • @ZuberiZuberi-oi9ci
    @ZuberiZuberi-oi9ci 2 місяці тому

    InshaAllha tutashindatuu

  • @ameali1251
    @ameali1251 2 місяці тому

    Mimi mchango wangu ni ivi, kwamaba wahaziriwamekua wakiropokwa hovyo hovyo kwa sababu mda wa kuzungumza unakua ni wa kwake , Sasa ombi langu wakati wa maswali Bora wajibizane pale wote wawili wasimamishwe.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 2 місяці тому

    O Muslims of Bangladesh, you have showed the world what courage is by forcing the colonialists to remove their dictator Sheikh Hasina from office. Don't let them give you another tyrant who will continue to implement Kufr ideology.
    Reject the entire system; it is time for Islam, It's time for Khilafah.
    #Armie2Palestine
    #WorkForChange
    #WorkForPeace
    #WorkForKhilafah

  • @samsonkariuki9696
    @samsonkariuki9696 Місяць тому

    Ndacha sabaratisha hii dini yakiislamu haina maraika haina yesu haina nguvu zamungu nikerere tuu nakejeri naupepari nakibuli chakuongea kiswaili na kusema taqbiri zakumaliza haibu juu wisramu sidini

  • @adinanimzimbiri
    @adinanimzimbiri 2 місяці тому +1

    Mada apewe shafii na kinyogoli

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 2 місяці тому

    Wakristo mjiulize paulo utume kapewa na nanani? Mnashindwa kujiuliza mna jadili swala la utume wa muhammadi ambao haunashaka yeyoteile niubishi tu.

  • @rajabusira400
    @rajabusira400 2 місяці тому

    Kumbe unamjua kabisa ni kidumee , kesho shafii atakuoa

  • @taufiqis-haq536
    @taufiqis-haq536 2 місяці тому +1

    Assalaamu Alayka. Sheikh Shafii kwa tulioko Mikoani Channel gani Inakuwa Live siku ya Debet?? Ili Tuifuatilie?

  • @MichaelDonaldnchingaMichaelDon
    @MichaelDonaldnchingaMichaelDon 2 місяці тому

    Wakenya wanajua kiswahili acha kukejeli

  • @SalmaMsangi-n2m
    @SalmaMsangi-n2m 2 місяці тому

    Kibanoo

  • @is-haqshahar8050
    @is-haqshahar8050 2 місяці тому

    Mbona ndacha anaposimama na waislamu kwenye mada jasho linamtiririka ?

  • @MimahMimah-b7k
    @MimahMimah-b7k 2 місяці тому

    Sheikh shafi mi nnna mazungumzo na ww sijui nakupataje

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 2 місяці тому

    Ndacha ni wakati wake wa kusilimu kwani anakwenda kufundishwa uislamu.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 місяці тому +1

    Ndacha amezoea kurukaruka na kubadilishabadilisha topic na kutojibu maswali aloulizwa na hivo ndio mienendo yao mapastor wengi. Hakikisha amekaa kwa mada na amezijibu maswali

  • @mjunikiobya
    @mjunikiobya 2 місяці тому

    Sasa Ndacha unageukageuka , Ukiwa Kenya unasema Yesu siyo Mungu ila ukija Tanzania unasema Yesu ni Mungu. Hebu kuwa na msimamo kwanza kuhusu Yesu kabla hujaanza kuja kwenye hii mijadala!

  • @issasekao9088
    @issasekao9088 2 місяці тому +2

    Mdahalo utakuja viwanja gani ?

  • @AbuuKinero
    @AbuuKinero 2 місяці тому

    Asalamaalekum niombe ki2 huyu mkiristor sion 7bu y kumlazimisha Ajue Uslam Kwani sioni pweynt anatoaga side y kuzugisha mada n ht mda mwengne humkashiffu Allah n kadhalika hjb maaswali ichokichwa hakielew hata husema Utapata Dhawabu ukiotoa sadaka .He Dhawabu inatamkwa n Dini gani zide Uwisilam .inamaana diniyake hina neno hillo neno

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 2 місяці тому

    Hiyo madaa ya kwanxa ndacha tayari hapo ushafeli bora nitizame tu ila iyo mada ya kwanxa badilisha utakufa kifo cha mendee

  • @rajabusira400
    @rajabusira400 2 місяці тому

    Hahahahaha, kesho tunamfinyanga ndacha

  • @MimahMimah-b7k
    @MimahMimah-b7k 2 місяці тому

    Sheikh shafi nna maongezi na ww sijui nakupataje

  • @KimuraMosashi
    @KimuraMosashi 2 місяці тому

    Uislamu ni dini ya Mungu mkuu Alie juu..ndacha aongea kama katiwa muhuri nyoyoni😂😂😂

  • @Raboudiblaq
    @Raboudiblaq 2 місяці тому

    Mie natokea Burundi 🇧🇮 naisubir kesho ndacha kama kamuogopa sheikh shafii 😂😂😂😂

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ 2 місяці тому

    Wallai mada tamu sana

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 2 місяці тому

    Nawaombea dua wahadhiri wote Allah awaongoze watu waelimike wapate kuijua haki na kuifuata na batili kuiepuka.
    Sina shaka nao kwani wanamuwakilisha mtume katika kazi ya daawa hivyo uadilifu ni pambio lao la kwanza.

  • @RAMADHANCHANDE-cg9sy
    @RAMADHANCHANDE-cg9sy 2 місяці тому

    Mimi napenda tulivyo ss na wkiristo ni ni upendotu

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 місяці тому

    Pia tunataka mada ya je Krismas ni kuzaliwa kwa Yesu?

  • @qaboossalim47
    @qaboossalim47 2 місяці тому +1

    Wasioweza kumuelewa shafii basi kaapime akili yako . Huyu jamaa hata mtoto anamuelewaa

    • @ManchesterTz
      @ManchesterTz 2 місяці тому +1

      @@qaboossalim47
      Kwahiyo tumuelewe alivosema wakenya hawajui kiswahili hivo na wewe Umesapoti MATUSI aliowatukana wa kenya?

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 2 місяці тому

    Ni time ya ndacha kuslimu

  • @SalimSalahi
    @SalimSalahi 2 місяці тому

    Ndacha hapo umeingia cha kike huyo bwana anatisha wallahi mimi nilimfahamu ana akili na anajua sana kwa taarifa yako naskia maulana habshi yupo na kinyogoli yupo na babu yupo ndacha acha huo mjadala

  • @basilejuma
    @basilejuma 2 місяці тому

    Shaffi si kitu kwa ndacha, shaffi ni mtoto bado

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 2 місяці тому +2

    Je kwanini hamjaingiza mada ukristo ni dini na kama ni dini je kaleta nani

  • @BahatiMuhammedNsanja
    @BahatiMuhammedNsanja 2 місяці тому

    Ndacha ni mtu wa kukurukakara ,anapenda speed huku anavungavunga hoja ,ila akibanwa kwa hoja anakaa

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 2 місяці тому

    HATUTAKI MDAHALO NA WEWE KAFIRI BWANA USITUPATISHE DHAMBI BURE TUKAONEKANA TUNAKULAZIMISHA.HAPANA KULAZIMISHA KTK DINI Q2:256

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 2 місяці тому

    Shafii mfundishe huyo mjaruo wa kenya

  • @hassansingano1150
    @hassansingano1150 2 місяці тому

    Tutajifunza kitu

  • @ZakiyaAnwar-w1r
    @ZakiyaAnwar-w1r 2 місяці тому

    Huyu ndacha yuko hapo ju anawakilisha wazungu michigan amerika ili alipwe kukoroga watu wasifahamu uisilamu ngoja muone vile atafanya

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 місяці тому

    Huyu Muachane nae ana asili ubishi.

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 місяці тому

    Ndacha kasalimia amani kutoka kwa Mungu wetu na bwana wetu Yesu Kristo halafu akibanwa anasema Yesu ndiyo Mungu😂😂😂

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 2 місяці тому

    kila mtu na dini yake
    allah binafs cmjui km ni mungu,,allah co mungu ns hawez kuwa mungu

    • @liwageboys4734
      @liwageboys4734 2 місяці тому

      Omba sana ujue kuwa allah ni mungu kabla hujafa itakusaidia lakini ukija kujua kuwa Allah ni mungu baada ya kufa andika umeumia

  • @rajabusira400
    @rajabusira400 2 місяці тому

    Wewe ndacha unabwabwaja tu huwezi kushindana na Sheikh Shafii hata robo